Viva Trump Mungu mpe uraisi Trump iwe sababu ya kusimamisha vita
@MohammedGabaye
28 күн бұрын
Uyo tramp ndio nsenge kabisa
@mwawekomiuda9779
28 күн бұрын
Nani kakudanganya?
@Farhah0035
28 күн бұрын
Uyu kama ndo tramp ndo aliziteta mada za ushoga simpendi wallah
@davidsika5292
27 күн бұрын
Kumbe watu hawajui tramp kuwa ndo hatarii
@joshuawenceslaus2466
24 күн бұрын
@@Farhah0035Trump hatetei ushoga acha ujinga kama hufuatilii siasa za marekani Kaa kimya, bora Trump kuliko biden
@yahayaannu3663
28 күн бұрын
Hawa wote lao moja tu hamna unafuu 😢
@redpromediat.o.tstrongteam1679
28 күн бұрын
Ndo nilikuwa nasubiria. Hii mada kali mno.
@mancholotrasco8350
28 күн бұрын
Nilikuwa natizama live last night nilikuwa nacheka kauli za Trump Kwa Biden na watu waliokuwa waki comments ... Aise watu wengi inaonesha hawamtaki Biden... Hata alipoongelea kuhusu Putin, Kim na Xi 😂😂😂
@hajjiomary2383
28 күн бұрын
Safi sana muche ajikanyage tu mda wake wa kuwa mtoto ushafikia
@user-vr4vw7dk7j
28 күн бұрын
The 1
@gaudencemihungo4348
28 күн бұрын
Thanks Bundara!
@user-rw4qn6zh6n
28 күн бұрын
Trump alivyo kuwa anamwangalia sasa😂😂😂😂😂
@MS.independent8934
28 күн бұрын
😂
@visionstudios6804
28 күн бұрын
Trump jau sana 😅😅
@Elybwayz
28 күн бұрын
Heee ata wao wanadaiwa duu mimi ni nan 😅
@dominicksangu8934
28 күн бұрын
Very good mh trump. Kwa kufanya vizur
@zayumar2955
28 күн бұрын
Trump Sasa alivyo kunja mdomo 🤣🤣🤣🤣🤣
@ayshasaid1547
28 күн бұрын
Kesha kubwa damu za watu wa gaza ishamlewesha mungu atamlipa hapahapa duniani kwa kuchochea vita
@ce-08
28 күн бұрын
Angekuwa ndiyo rais wa Afrika hapo wangemsema kweli kweli hajiwezi lakini bahati mbaya ni wao sasa
@mussakiziyzi408
28 күн бұрын
Wazunqu hawana time ya kuwasema watu weusi Mansemana wenyew,mnaibiana wenyewe na kuuwana wenyew kwa wenyewe.
@omarymwaluko9765
28 күн бұрын
@@mussakiziyzi408ww choko unatetea mashoga
@user-xl9so6jg1e
27 күн бұрын
@@mussakiziyzi408kwel kabsa
@mayunga..777
28 күн бұрын
Trump sura yake bwana😂😂😂
@user-vh3hj8mt6l
28 күн бұрын
Trump ww n noma Sana Yan unamuangalia Biden kijeuri kweli aki hii nkali🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@luckkaserekadancer6832
27 күн бұрын
Huyo biden ni robot😂😂😂mnipe like zangu
@flavourboyke
28 күн бұрын
Mimi kama mkenya niko team trumph,,, huyu biden amepea ruto kiburi they mus go
Walisahau humpiga shindano ya energiser robot,ili awe active
@EmanuelNicholaus-of1qg
28 күн бұрын
Raisi ana kigugumzi
@EzekiaMyila
28 күн бұрын
Wote wamezeeka hamna mzima hapo wote wapigwe chini
@iddiramadhani5111
27 күн бұрын
Hawa wamarekani eti wanaona hilo ni jambo baya akati wameruhusu uchafu,
@frankmare1708
28 күн бұрын
Biden ni kama robot vile
@muhammadmbaraka4515
28 күн бұрын
Trump kama kichaa flani hiv 😂😂 kumbe ni genius
@hassanikaawizy2597
28 күн бұрын
Wakwanza
@MwangaBora
6 күн бұрын
Kilajambo liamwisho
@MerciMariamu-bt9vm
4 күн бұрын
🥰🥰🥰🥰
@davismuzahula907
28 күн бұрын
Lakini mboka kama Amedhohofu sana
@BabasahdSahd
28 күн бұрын
Kwan beiden ninan aswaaa kama mnajua lecode yake nijuzeni😂😂 malekan inachekesha mngu ata walipa xku moja
@LUJIGA_PODCAST
28 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅 ila Trump
@Mumewangu
28 күн бұрын
Trump ndie anaefaa kuwa Rais nipo Tanzania lakin kama kunaruhusa ya kupiga kura basi kura yangu nampigia kura mwamba trump
@Fgldesigns
28 күн бұрын
Hata hao wamarekani wenyewe hawawezi kuchagua, rais anachaguliwa na Masenata wala sio raia
@Mumewangu
28 күн бұрын
@@Fgldesigns alafu utasikia raiya wao wanademokrasia kumbe hawana lolote
@mtenhussein
27 күн бұрын
@@Fgldesigns. Lengo la kupiga kura ni kuwashawishi wapiga kura wanaowakilisha jimbo lako, ambao nao watapiga kura kumchagua mgombea wako. Katika kila jimbo, kura ya watu wengi huamua idadi ya wapiga kura ambao wameahidi kumpigia kura mgombeaji wa chama fulani. Sio uchaguzi wa moja kwa moja; unapiga kura kumchagua mtu ambaye atapiga kura kwa niaba yako. Mshindi sio kila mara mtu aliyeshinda kura nyingi kwa sababu mbili: 1. Majimbo madogo yana uzito kupita kiasi katika idadi ya wapiga kura wanaopata. Kila jimbo hupata wapiga kura sawa na idadi ya wawakilishi pamoja na maseneta wawili. Wawakilishi wanalingana na idadi ya watu, lakini maseneta kuna mfumo tofauti: kila jimbo linapata wawili, iwe Californi au Rhode Island(Ndio state ndogo sana Marekani). Kwa hivyo majimbo madogo hupata kura kadhaa za ziada. 2. Upeo wa ushindi katika jimbo haujalishi. Ukishinda 100% ya kura katika CA na ukingo mdogo kwingineko, bado unaweza kushinda uchaguzi ikiwa maeneo uliyoshinda kwa nywele yatakuwa na wapiga kura wengi kuliko California. Kwa hivyo sio mfumo uliojengwa ili kuakisi kura ya watu wengi; ni mfumo uliojengwa ili kuhakikisha kuwa majimbo makubwa hayaendeshi uchaguzi upande mmoja mara kwa mara. Lakini matokeo kwa ujumla yanawiana na kura za watu wengi. Katika uchaguzi huu uliopita (ambapo Clinton alishinda kwa kishindo kikubwa katika California na New York na kushindwa kwa tofauti ndogo katika majimbo mengine mengi), lakini kwa wingi wa majimbo mengine. Unapaswa kupiga kura kwa sababu ile ile ambayo ungepiga kura katika uchaguzi wa moja kwa moja: kumfanya mtu wako afisini. Ni kwamba tu unampigia kura mpiga kura, sio moja kwa moja kwa mgombea. Chuo cha uchaguzi huchagua, lakini unachagua chuo cha uchaguzi.
@personpeter2221
28 күн бұрын
Mbona wazee sana
@89_Media
28 күн бұрын
Ila wana mitonyo💸💵 Moja ya sifa kushinda uchaguzi mkuu Marekani,ili usiwe mwizi mwizi😂😂😂
@jongosalehe1036
28 күн бұрын
kwanza Trump kavaaa tai nyekundu nzuri Sana alitakiwa havae Joe Biden Kama raisi wa sasa.
@ebengapierre8826
23 күн бұрын
Uyu miaka yake imesha pita yy ahache wengine watawale 😅😅😅😅 baiden kachoka kabisa 😢😢😢😢😢 sioni baiden kushinda
@michaeljames3480
28 күн бұрын
Kamaaa unamkubal Trump
@Zuu673
28 күн бұрын
Wala hakuna wa maana apo
@salehkhalfan7345
28 күн бұрын
Lkn panapo na vbaya viwili bs ki1 kitakua afadhali
@katayaloveness5529
28 күн бұрын
😂😂😂😂trump siyo mambo yake 😂😂😂
@noelmusa3502
28 күн бұрын
Eeeh yani anaongea kama roboti
@KS-iw7qv
28 күн бұрын
😂😂 trump hivyo anavyomtizama..... Biden
@omarmohammed5157
28 күн бұрын
Speech diosder 😂😂😂
@malkiawagiza1327
28 күн бұрын
Biden ni mzee mwenye shida ya akili wapaswa kumwacha astaafu 😕Hata hajui anachozungumza.
@hemedisufiani3219
28 күн бұрын
Mpumbavu baideni kauwa watu wengi sana huyu mzeeee loho zitamtesa sana kabuli lake litawaka moto milele 😢😢😢
@BaboumitengaMutenga
28 күн бұрын
1❤
@festohaule9716
28 күн бұрын
Dunia hii omba sana usokutane na changamoto ambazo hata pesa haiwezi kukusaidia chochote...omba sana!!!!!
@user-ti5ik2le1i
28 күн бұрын
Point kaka
@loyalforumtv
15 күн бұрын
@@user-ti5ik2le1i❤😂❤
@bryanzeconfesor5476
28 күн бұрын
Trumph kajikaza sana kuto kumwingilia Biden na kumchamba Kwa udhaifu wake😂😂😂
@joshuawenceslaus2466
24 күн бұрын
Sanaaaaaa😂😂😂
@Nyanda506
28 күн бұрын
Ina maaana wa democrats hawana wagombea wengine zaidi ya Biden😂😂
@hemedjackson2261
28 күн бұрын
Mara anajamba huyo mzee, kun clip km tatu au nne hiv anajamba
@hajjiomary2383
28 күн бұрын
Wasioleweka
@sa3dasa3da87
28 күн бұрын
Hawa wazee wote wana bore,kwani hakuna vijana hukooo
@shabanimataka8418
28 күн бұрын
Angekuwa rais wa wenzao uyu sijui ingekuaje bahat mbaya ni wao
@jacksonseverin5670
28 күн бұрын
Tumpu yupo vzr ila sera zake haziibebi africa
@loyalforumtv
15 күн бұрын
Akibebe akupereke wap Kaka 😅😅
@bensonswai-hl6fn
10 күн бұрын
Unataka ubebe na marekan ili nn jibebe
@Agath45
28 күн бұрын
Nilingojea kwa hamu sana. Ila trump kauwa
@lucymacha1853
9 күн бұрын
Trump anaubaguzi sana baiden nae kazeeka wote hawafai Bora Obama arudi .
@idinado-wk3lx
26 күн бұрын
Kusema ukweli uyu mzee amchoka hajiwezi kabisa
@MosesHarerimana-ku2cp
28 күн бұрын
Trump ipo makini san😂😂
@hajjiomary2383
28 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Yassinseleman
24 күн бұрын
Trump hii sura yake sasa na alivyo jaariwa zarau😂
@blezywatino1043
8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@MohammedGabaye
28 күн бұрын
Watu wengi wanamtaka tramp ila tramp ndio mpumbav akiwa rais
@sarastephano3409
28 күн бұрын
hakuna waislam wanaomkubali Trump maana Ni myahudi😂
@HarounRashid-rh6jr
28 күн бұрын
😂
@kassimramadhani3198
28 күн бұрын
Mbona haujachambua na alio yasema Trump
@joshemman520
28 күн бұрын
plz like video
@alexbahindolwa3921
28 күн бұрын
Huo muono wa Trump sasa 😂😂.jpt
@eleven-in5qw
28 күн бұрын
Jamaaa na si kumchukia lakini aachane tu na uongozi lakini hii inaonyesha kuna watu au mtu sahii analiendesha taifa
@MarryCharles-rc6ei
28 күн бұрын
Najarbu kutafakar ikifika tz hi democracy, huku samia vs mbowe! Naamin siku hyohyo kuna mtu ataomba kujiuzuru😂😂😂
@MS.independent8934
28 күн бұрын
Team Trump 🎉
@stellanyamuhogota1832
28 күн бұрын
Wote wamezeeka wakwende huko kwan America haina vijana wa kugombea urais😢
@partnersah8802
28 күн бұрын
Wampe Kanye West tu
@wadantz123
28 күн бұрын
@@partnersah8802😂😂😂😂😂😂
@BenjaminMetanyau
28 күн бұрын
😂😂😂
@omarymwaluko9765
28 күн бұрын
America wote mashoga
@Sidrasidra636
28 күн бұрын
Sasa😅 kwanini wanajua na wana uhakika kama hayuko vuzuri alafu wana kuhusu hii midahalo kwani ni lazima?😅😅😅
@AjiaMohamed-rt5pb
28 күн бұрын
Sio tz hiyo utake usitake lazima ufanye
@personpeter2221
28 күн бұрын
Hyo ni katiba ya USA🇺🇸
@Sidrasidra636
28 күн бұрын
@@personpeter2221 okay!
@Sidrasidra636
28 күн бұрын
@@AjiaMohamed-rt5pb eeh kumbe!
@BigZhumbe
28 күн бұрын
DT for the president hii Amerika inamhitaji mwamba wa sheria kali Trump akishinda tu wenye upinde wakatafute kwa kuishi 😂
@hebertotanaely6607
28 күн бұрын
Marekani toka atoke Obama Bado hawajapata Raisi, Antony Blinken anafaa
@Awatee
28 күн бұрын
😂😂😂😂
@personpeter2221
28 күн бұрын
Kaz kwen waislam mambo yameanza kuchangamka mnajifanya kmsifu Trump nnasahau kpind chake alizuia nch za kiislam kuingia america viva tramp
@maryamabdallah3140
22 күн бұрын
Si ubakie kwako, unatafuta nini usikohitajika!
@paulvimbamvula9508
28 күн бұрын
Make American great again, Viva Trump
@user-it7ih1it3m
28 күн бұрын
Ilipaswa kichwa cha habari kiandikwe biden kayakanyaga lkn sio kajikanyaga😂😂
@NoblessePatriote
28 күн бұрын
😂😂😂
@rabsonchisumo6640
9 күн бұрын
Trump anamchora
@MHDFURNITURE-jn2rx
27 күн бұрын
baiden kama lowasa
@democritenzoisaba9117
28 күн бұрын
TRUMP /YES
@joshuawenceslaus2466
24 күн бұрын
Roe vs wade iliondolewa chini ya Biden😂😂😂 asimseme Trump, halafu sasa mahakama ya marekan imempa kinga Trump, hahahahahahah kwahyo huyu mzee bado yupo yupo, na hii ni kesi ya biden, kwasababu mahakama ya juu ilisema Mahakama haina mamlaka ya kuamua utoaj mimba bunge ndio ina hiyo haki, so wabunge wa democrats ilibidi walete muswada bungeni wa kupromote utoaj mimba walishindwa, so wasimlaumu Trump🤣🤣🤣🤣 hawa jamaa hawashindi tenaa
@stephenmmbago4975
16 күн бұрын
Viva Trump
@Ibrah__
25 күн бұрын
Ulafi wa madaraka Jaman, Biden kazeeka vibaya, aachie madaraka. Kufiamadaraka
@kembopere4961
28 күн бұрын
Nyie acheni habari za uongo...ndo kuongeya kwa Baden.
@omarmohammed5157
28 күн бұрын
Trump anamwangalia biden kama vile helewi
@e11said23
28 күн бұрын
Trump kawapa mayahudi mji mkuu jerusalem nauyu baiden kaja kupiga haya karibuni wote mbwa nyie uwanjani mpaka muombe poo
@ezekielphilemon7343
28 күн бұрын
Trump latima ashinde
@Brunotarimo10
28 күн бұрын
Trump direct white house ❤
@ammaherman3391
27 күн бұрын
Hamjuagi Biden ni Robort? Ile ni AI. Biden alishafariki.
@Churchofecclesia
21 күн бұрын
Hata mm niliwaza hvyo huyo atakuwa AI
@fasterwalker1464
28 күн бұрын
Biden inasemekana ni Robot tu sio mtu sahihi
@FahadAbubakari
28 күн бұрын
Inasemekana wapi Biden kawa kwenye siasa miaka zaidi ya 50 , ni sawa we Leo useme yusuph makamba sio mtu ni robot
@emmaonalloh5515
28 күн бұрын
@@FahadAbubakariakili yake haiko sawa anasahau sahau vitu
@FahadAbubakari
28 күн бұрын
@@emmaonalloh5515 uzee
@fasterwalker1464
28 күн бұрын
@@FahadAbubakari inasemekana huyu Biden sio yule halisia wakawa wanaonesha na tofauti za Biden Og na huyu Robot wanaamini yule halisi ashafariki
@fasterwalker1464
28 күн бұрын
@@emmaonalloh5515 unatakiwa kabla hujajibu uelewe kwanza sijasema huyu sio Biden kwamba nna uhakika 100% ila nimeongea kwa baadhi ya madai ya wa2 yanaweza yasiwe yakwel pia ndomaana shule mkaambiwa read instructions yaan jibu kitu ambacho unaelewa nacho ok!
@user-dg7wf6fg2j
28 күн бұрын
Trump apewe nchi Baden apumzike
@AjudeKaluwa-bp1zz
28 күн бұрын
Welcome trump Biden buried
@salimali-rf9er
28 күн бұрын
Huyu biden ni gay, hayo sio mafua, hiyo sauti ishaanza kubadilika, hivyo ndio mahanis wanavyokuwa
@ramadhanikazimoto3052
28 күн бұрын
Uwe unanyama kaka tuwasikilize viongozi mda wotw unaongea wewe tu unakera bana
@kingpunzy194
28 күн бұрын
Kaka Sky sie wengine tulikuwa tunasubiria hatma ya GAZA na URUSI, ila jamaa wamecheza trick Kwenye kuuliza maswali na kujibu maswali. Biden & Trump are Zionists Brothers
Пікірлер: 153