Boshoo na Odong ni marapper ambao ni miongoni mwa wanaofanya vizuri katika rap ya Bongo kwa sasa,walikutana kwenye kipindi cha ladha 3600 na Jabir Saleh na kushare kinasa pamoja na kupiga stories mbali mbali,tazama jinsi walivyopiga michano.
- Жыл бұрын
BOSHOO VS ODONG : MICHANO YA KUFA MTU/KIZAZI KIPYA CHA RAP BADO HAKIPEWI NGUVU INAYOSTAHILI
- Рет қаралды 8,156
Пікірлер: 12