Inspector Haroun Babu ni legendary kwenye Game ya Hiphop ya Bongo,moja ya wasanii waliofanya makubwa sana na waliofanya rap ya uswahilini kiwenda masintream,akiwa na Gangwe mobb yeye na karama walikua miongoni mwa wasanii wa awali kabisa kuja na mavazi yao,waliachia classic albums mbili na mengine mengi,hii ni sehemu ya kwanza ya episode 1 ya maongezi yetu akiwa na Kuvichaka
- Жыл бұрын
INSPECTOR HAROUN PT 1: HISTORIA YA GANGWE MOB/MSOTO MKALI/BEEF VS BYSER NA MABAGA /MAANA YA NGANGARI
- Рет қаралды 4,481
Пікірлер: 25