🤣🤣🤣🤣Utu uzima dawa, mtabaki kua malegend daima aisee. . . .You guys are still the best😂😂😂💪💪
@alengodfrey657
2 күн бұрын
Dah! Ebhana mmetisha sana aisee😂🤣🤣
@raphaelmwamakimbula9642
3 сағат бұрын
🎉
@EricaBizuru-jp9by
3 күн бұрын
Yan kundi la Original Comedy ndio wachekeshaji Bora Tz😂😂
@Chekesha
2 күн бұрын
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
@user-uf7oh5eu4v
3 күн бұрын
Kazi nzuri 👊
@alfredcharles8029
3 күн бұрын
Mimi wa pili naomba like zenu wadau
@BonnyMwajombe-iu7hb
3 күн бұрын
Pokea hii kaiuze ,ikuinue maisha
@georgeslupopo6215
Күн бұрын
Hela ni hela
@godfreymasondaabel1904
2 күн бұрын
Mmetisha sanaa😂
@EricaBizuru-jp9by
3 күн бұрын
Jaribu kuji-pliz😂😂😂
@bluekenya4825
3 күн бұрын
Kazi safi sana ya wakongwe. Natumai siku moja kundi litarudia kama kitambo.
@Chekesha
2 күн бұрын
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
@simas.a1003
3 күн бұрын
Daa!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yan hawaviumbe.
@__B.O.B
3 күн бұрын
Vitakuja vikundi vya comedy Tanzania lakini hawa jamaa kubali kataa hawana mpinzani..
@user-uf7oh5eu4v
3 күн бұрын
Kiparaaa bhanaaaa😂😂yeye anaitikia tu
@josephgatunzi1670
3 күн бұрын
Pumbavu sana aisee😂😂😂
@mustafarajabu4005
3 күн бұрын
Mm sio mshamba ingawa wakwanza na like zenu sitaki😂
@BonnyMwajombe-iu7hb
3 күн бұрын
Jamaa mafundi
@Chekesha
2 күн бұрын
chat.whatsapp.com/IosOSDc5aBPDyEwCoBpKvR
@lunangabenjamin3121
3 күн бұрын
😂😂😂 hawa washenzi wawili wakikutana wananiumizaga kichwa eti nilisha jaribu mpaka kutowa rushwa ili viwezekane.kati ya nyumba yake na nyumba yangu ipi ilitakiwa kuwa numba moja.sasa ni sheriya ndo ifatwe au ujenzi uliopendeza.
@anthonylister754
2 күн бұрын
Mimi nitawakung'uta wote kama mwenyekiti 😂
@gilbertkalanda9354
3 күн бұрын
Yaani huu ndio uhalisia wa Serikali za mitaa hapo kwenye hela
@barakaharrison8677
3 күн бұрын
Laki na nusu kutoka milioni 😅😅😅😅😅😅 jaribuni kujipriziii😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@simonhussein4848
3 күн бұрын
Dulla makabila ulimdhihaki Haji, je ungemfanyia hayo Zai?.
Пікірлер: 46