chid ww kwaiyo diamond alikuwa anaogopa kutwajwa katika list ya mashoga nandmn kampushi dudubaya ii kali nimefrhi balaa
@professerayyub6781
5 жыл бұрын
Hata kizungu imetulia kwako kama legend uko juu 💕 💞 tu sana chiddi benz nimekukubali bro
@fastfacts1967
5 жыл бұрын
Jaribu kuwa na swali fupi ili upate maelezo marefu. Gonga like kama umeufeel huu msemo.
@swaleheali7167
5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 huyu ndio chuma
@livingstonemaarifabatawe9829
2 жыл бұрын
😅😅😅
@jacphaelyjohn2445
5 жыл бұрын
nmeipenda hii. "jaribu kuwa na swali fupi ili upate maelezo marefu"
@bekabokande254
5 жыл бұрын
Jarikuwa na swali fupi ili upate maelezi marefu😁😁😁uyu Ni chidy benz
@kibongobongo4608
5 жыл бұрын
Nikiwa na stress nazitoa kwa kumsikiliza Chidi Benz au Mwijaku 😝😝😁😁🤣🤣
@mozartsarahally5719
5 жыл бұрын
Kitendo cha watangazaj kumpa airtime ya kutosha kujielezea safi sana mana km design anatoa madonge rohoni ambayo pia inasaidia yy kupata relief ya moyo!!!!!
@mussamsella8560
5 жыл бұрын
Very true ... Uko sahihi sana
@thebroski9763
5 жыл бұрын
True say unapoongea ndio unatapika uchafu wote
@swaleheali7167
5 жыл бұрын
Nimependa sana caption yako
@yohanamollel2335
5 жыл бұрын
Uyo mshkaji sijui mtangazaji wakiume tafadhali mwambieni atafute kazi nyingine hapo hapamfai kwasababu hayupo kiprofesional yaani yeye kila kitu anasaport apo chid anasema matonya alikuwa mchaw* yeye anasema yaaa jee siku mkiwa mnamuhoji matonya nini kitatokea !!! tell him to change uyo dada yupo gud yupo vizur sana ila jamaa kazingua mtangazaji hautakiw kuwa upande wowote wa team
@oscarahia3264
5 жыл бұрын
Hahaha jaribu kuwa na swali fupi upate maelezo marefu😄😄
@alitante4279
2 жыл бұрын
Tunaskilza interview au mziki tuchague kimoja👍
@georgesamwelchacha7680
5 жыл бұрын
CHID BENZ yuko open Kama alivyo GIGY MANEY 😁😁
@adamsaidi9949
5 жыл бұрын
Mapengo mengine yanazibika, Ila pengo la chid benz Halizibiki mileleeeeee. Nitaendelea kukupenda mileleeeee
@titomapamba7525
3 жыл бұрын
mbona fujo sanaaaa nyie punguzen mzik apo bit kubwa kuriko kumsikia chumaaaa apo ✊
@drcma9273
5 жыл бұрын
Nakubali kwamba chid ni kipaji kikubwa siku zote !!!
@kamazimagrayson7754
5 жыл бұрын
namkubali sana chid
@barakaleader1550
5 жыл бұрын
Nyimbo zinazoashiria matusi kwa kweli sio kitu kizuri mie mmojawapo mwanangu akiimba naumia sana na anakuwa hajui maana yake
@jifaqmoonwalker6032
4 жыл бұрын
Calypsoo kaanzia huku kumbe
@hosearioner3637
4 жыл бұрын
My E.A Tupac..from 254 yo my #1 Black ninja.
@hemedirajabu7092
5 жыл бұрын
Ebwana mtu akiwa anahojiwa hizo background sound ziwe chini kifogo tusikilize
@sponsor7882
5 жыл бұрын
BEST HIP HOP ARTIST IN TZ NO MATTER WHAT.
@Thebatony-a
5 жыл бұрын
chidi wew ni chuma daima
@hawaiddi5737
11 ай бұрын
Mtangazaji mmi ni mama wa chid benz sipendi aulizwe maneno hayo akuna mengine sio mara kwa mara msipende kumuuliza ya nyuma matatizo yake kama mie mama mzazi sipendi jamani
@didowviper
5 жыл бұрын
kama umesikia chidi benz akimwambia nipe nafasi kidogo akimwambia mtangazaj wa kiume
@humphreyshabilila216
5 жыл бұрын
Jaman interview nzuri ila beat inaboa ipo juu San zaidi ya sauti mzee chid jaribun kupunguza saut ya beat iwe chin Sana tusikilize madin ya chid benzi bhana
@aboubacarkillo5140
5 жыл бұрын
That's my hero
@kingbidder
5 жыл бұрын
Chid ni kichwaa
@katolankingbinnah8632
5 жыл бұрын
To be honesty chid yuko real mpaka raha, alafu uyu mdada anaijua kazi yake sanaaa naweza sema kwangu ni the best female Presenter, mjanja na anatoa nafasi nzuri ya msanii kuongea, toka naanza kumjua child hii ndio best interview kwangu, nimejua vingi sana hapa, Bang mnairudisha kwenye ushindani Wa kibihashara Tbc. And bay the way nimeona kopo la maji ya hill hawa watu awaoni kama ni idea ya kuleta udhamini hapo hahahah big up pro 24djs mi ni shabikiwenu sanaaa
@mdachiog5211
5 жыл бұрын
True kabisa
@hazjay4671
5 жыл бұрын
Jaribu Kua Na Swala Fupi ili Upate Majibu Marefu...!!😂😂
@lilliandavid3212
5 жыл бұрын
Haz Kiss 😂😂😂
@livingstonemaarifabatawe9829
2 жыл бұрын
😅😅😅
@calacoswailer629
5 жыл бұрын
Chidi Benz nakuvulia kofia na salute juu - wewe ndio msanii wa pekee usotaka Kiki, sio mnafiki wa maneno kitu kizuri kwako ni honesty na ku stay original
@benjaminfataki6898
5 жыл бұрын
huyu jamaa ananichekeshaga sana big up broo i like
@almandowizzy6654
5 жыл бұрын
ChidGenious That's hip hop Hip Hop Its All About Being Real "U know U Ain't Real If U Ain't Live What You Rap"IN ONE THE INCREDIBLE VOICE
@cainewilliam5236
5 жыл бұрын
One of the best rapper of all time,one of the best interviews from him. I'm so sad to see him down seriously he don't deserve to be like he is now. Lord have mercy for him, hopefully he will be at the top someday. Chid, you are so smart guy. Your interviews never bored i really appreciate you bro
@enockmramba6555
5 жыл бұрын
I say chidi nakusalute mzazi...umetisha kinyama, u r my mentor
@maryandrew7868
5 жыл бұрын
Genius chidy Benz
@brownkira1332
5 жыл бұрын
Mnazngua sauti la beat linakera kisenge yani hata sisikii ki2
@fredypastoryutd4864
5 жыл бұрын
Huyu jamaa toka alivyomuongeleaga dudubaya kipindi kile yupo kifua wazi nikaamini kabisa huo unga wake hata mimi anipe nijibusti kidogo. Maana sio kwa akili hizi...😂
@juliaslengai3323
4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mtafte akugawie
@livingstonemaarifabatawe9829
2 жыл бұрын
😅😅😅
@johngavile5106
5 жыл бұрын
Kweli chid nakubali harakat toa ngoma mpya
@ahmedyak3793
5 жыл бұрын
Matonya mchawi🙋🙋🙋🙋🙋
@mbaroukhabib8048
5 жыл бұрын
Sounds track ipo juuu Sana ATA maneno mengine huskii vizur
@patrickliberatus4111
5 жыл бұрын
Namukubali xna huyu jamaa anapoint kiniumaaa
@pasikamamy1268
5 жыл бұрын
chid iyo mewani siyo kabisa chuma aiko poa
@abcdefgger
5 жыл бұрын
Chidy uko real 👌👍🏾
@manyaramrema6531
5 жыл бұрын
Kwel kabisa diamond aliogopwa kutajwa na dudu baya
@mimitv791
5 жыл бұрын
Dah "jaribu kuwa na swali fupi ili upate maelezo marefu" chid vooom
Big up chidi tunakuomba achana na madawa rudisha lafamilia
@zaidishabani5745
5 жыл бұрын
Chuma nichuma dunia mapito mkuu kila japo uja nauondoka
@sweetmama6885
5 жыл бұрын
Jamani ninampenda sana Chiddy. Yaani anaongea vitu vya ukweli na haki mbele za Mungu. Huyu kaka Mungu ampe tuuuuuu baraka zake na amuepushe na matatizo ya hii dunia. Ninatamani kukutana nae siku moja. Ata ninywe nae soda tuu, na tupige story mbili, tatu INSHAALLAH....🙏😊
@KellyKelvin255
5 жыл бұрын
Chid G.O.A.T 🙌🏾
@abdulsarungi2962
5 жыл бұрын
Huyo presenter wa kiume ajifunze kunyamaza na kumwachia nafasi anayemhoji sio kuwa anamalizia maneno kama yeye sio presenter anakuwa kama anajihoji. ila huyu dada she is perfect
@vinny.morales
5 жыл бұрын
Sure! Huyu presenter wa kiume hajielewi kabisa.
@hawadutch6478
5 жыл бұрын
Leta ngoma babu tumemic vitu vya ki konk....CHUMA💪
@Amishjuma
5 жыл бұрын
Kusema kweli chidi upendezi na kipini cha pua .....🙃🙃🙃 naangalia pua usishangae😏😏😏😏
@ahmadkhattar6760
5 жыл бұрын
Chidi katema sana madini leo
@kelvinbarnabas4843
5 жыл бұрын
Kumbe mond aliogopa kutajwa xio kwani nae chokooo
@karryh5338
5 жыл бұрын
Chidi you are real bro 254
@OG_The_King
5 жыл бұрын
Chid benz you are ginius
@abcdefgger
5 жыл бұрын
Raha sana jamani 👌👍🏾
@mkatavitv1014
5 жыл бұрын
MAOJIANO MATAM TATIZO MAFUPI SANA JAMANI CHIDY ANATOA MADINI YA HATARI
@hilarymungure8590
5 жыл бұрын
Naenjoy sana chidyy nkichokaa mwijuka nkichoka lisuu mid night😄😄😄😄
@balozibalozi5257
5 жыл бұрын
Aisehhh mim nampenda sana chid Benz
@jamesoduororawo8379
5 жыл бұрын
Chidi is a genius ...Chidi is wise ..wiser than all the tz artist
@jamesmgasa4012
5 жыл бұрын
U did a lot Chid Benz kama hawakushukuru Basi tena.
@abchunabdi352
5 жыл бұрын
Listen to the content before you post.... Background inaudhi
@josephineamon5493
5 жыл бұрын
Chuma Mwenyewe ndiyo huyu, ilala familia hood.
@erickndunguru1824
5 жыл бұрын
Jamaa anajuaa uyuu aseee
@deljaysamil1153
5 жыл бұрын
CHUMAAAAAA
@seifabraham5836
5 жыл бұрын
Yaaan huyu mtangazaji wa kiume anasapoti tuu yy hajui kazi yake
@shabannyamsalika8959
5 жыл бұрын
Mtangazaji punguza wenge
@mwendwamjukuu9468
5 жыл бұрын
Toa jiwe babaaa
@williamkazimoto6548
5 жыл бұрын
beat inazngua...
@lillianlucas5337
5 жыл бұрын
Aisee chid una akili nyingi sana
@shaibundinda645
5 жыл бұрын
Bonge la interview na chid benz kaongea point sana
@rahimmarions5712
5 жыл бұрын
Hiki chuma chenyewe sana,yani tunaaminishwa tu uongo kupitia mapungufu yake,ila jamaa ni hatar Sana.
@ben_son6950
5 жыл бұрын
superstar
@rasolmp
5 жыл бұрын
PUNGUZA SAUTI YA MUZIKI ILI TUWEZE KU-CONCENTRATE KWA KILE ANACHO SEMA.
@chainlamar861
5 жыл бұрын
Lafamilia for life🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sponsor7882
5 жыл бұрын
I HAV MET CHIDI BENZ IN 2009 TEMBO CLUB MOMBASA.
@mapenzi_tz1511
5 жыл бұрын
Duuuuuh!!! Bonge la Interview mwisho Chidi umeongea Mawe sanaaaa Aiseeeee nomaaaaah!
@jojo_linkissabiny5238
5 жыл бұрын
Nakuelewa chidy
@jacksonpaul3866
5 жыл бұрын
Beat ya kisengggggg
@hezrontrigger6281
5 жыл бұрын
😂😂😂😂 am done
@moudymchemia6598
5 жыл бұрын
Watangazaji kama wanamuogopa hivi chid wanacheza na saikolojia yake
@mwinyimwimbe8842
5 жыл бұрын
Oyooooooooooooo
@badmanno.1650
5 жыл бұрын
Heege chidi katapika ukweli wote..
@yakwako2354
5 жыл бұрын
Watangazaji mnazingua
@youngxhadah7951
5 жыл бұрын
one day naamin tutafanya ngoma poa sana Mimi na wewe
@salahkassim9729
5 жыл бұрын
Chi ... chi.. chi... chizi maarifa chidi benz...
@g_lover2558
5 жыл бұрын
Best interview ever
@chrissbreezy6540
5 жыл бұрын
Am inlove with ya english chid..
@johnsonmfinanga6173
5 жыл бұрын
muwe mnabalance hizo beat zenu tusikie sauti vizur
@balozibalozi5257
5 жыл бұрын
johnson mfinanga aisehhh wengine tuko bar tunasikiliza ni kelele Tupo sounds ziwa chini Na chid kawapa airtime kanifanya ni subscribe
Пікірлер: 205