Waandish wa habari,mtafuteni konki anajua vitu ving sana kuhusiana na wasanii na mziki wa Tanzania Kwa ujumla
@AlFarsiy-er8xy
Ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@TALLUBOY
5 ай бұрын
Kweri brother dudubaya Umeongea vzl umeongea vzl Kibrand zaidi unatufunza sana Wasanii wachanga
@Wamoyothenumberone
5 ай бұрын
Dudu baya
@Extension4353
4 ай бұрын
Duh!! Baba wille kakonda mbaya aisee,, Ila ana madini hatari,,😢😢
@EmmanuelMwanza-ef9bf
5 ай бұрын
Yani tanzania ukiwa msema ukweli unachikiwa na watu wengi sana sijui kwanini
@mbukumagiubukumagu406
5 ай бұрын
Mzee Putin nakukubali sana hupindishi kitu
@ismailmshana2828
4 ай бұрын
Mama yetu Mh Rais Samia suluhu Tulete dudu BAYA aka konki masta awe msemaji wa wasanii wa mziki wa kizazi kipya Tz taifa litafika mbali
@FranklinMtei
5 ай бұрын
Dudubaya anaongea sauti mbili kwa mpigo. Ya pili na ya tatu. Zimwi mtu!😊
@shaamemchauru1365
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@giztony2009
4 ай бұрын
Huyu jamaa anaongea point sana
@bbng9475
5 ай бұрын
Bbng band inakubali nikwili✌️🌹
@user-pw8ml6ts8r
5 ай бұрын
Nikweli kabisa 🤜🤛🏼👏👏👏👏
@husseinallysuleiman4657
5 ай бұрын
Braza dudu umezeeka kinyama nakupendu tu mimeno kama ngiri nakupenda tu ukitema mate yanadunda kitimtim haaaa huwwaa aluuu
@user-mj9kx3wo6m
4 ай бұрын
Dudu ...nakushauri andiika kitabu ...uelimishe watu...kweli watu wore Wana roho mbaya Sana wivu umetawala...watu hawajitimi kwenye KAZI starehe Zimetawala.
@fortuneakankizya5336
5 ай бұрын
Dudu baya umeongea story iliyomkuta faza. Yaani duh
@user-ch3ku3yx2z
5 ай бұрын
Nondo za kweri bg broo kanunue nyonga mwenyewe😅😅😅
@dominickkisulo8017
5 ай бұрын
Daaah kweli asked🦾
@bugybuster5788
4 ай бұрын
Kweli kabisa binaadam cc wazuri machoni tuu
@oswaldacleofas2803
5 ай бұрын
Fact konki anaongea
@user-bi9pl4eu2o
5 ай бұрын
Good fact
@Beni-qn6gr
5 ай бұрын
Kwel broo wengi wameumia kwa mtindi huo wa kugongeana Kijiji umeongea ukweli kabisa saluti
@nyembobea7285
5 ай бұрын
Umesema kweli mkuu
@damaka_
5 ай бұрын
bora uchelewe kupata ili uwe na akili za kutumia
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
5 ай бұрын
😅😅😅
@user-rl3yh6ls7b
4 ай бұрын
King Kiba Fanya kumchukua huyu Dudu Baya umweke hapo crown fm angalao awe na kipindi kwa wk mara moja kinachohusu maisha na wasanii au apewe kipindi chochote kile ktk tasnia ya music na Imani tutakuwa tunaweka alarm kwa ajili ya kusikiza kipindi chake
@francissimime7449
2 ай бұрын
Upo sahii
@amisamaurid1882
5 ай бұрын
Mamba msema ukweli ❤❤❤
@shaamemchauru1365
4 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@fortuneakankizya5336
5 ай бұрын
Ni kweli unae ishi wakaribu aweza kua mbaya wako
@moriartys.192
4 ай бұрын
Mtu wa point sana, akili kubwa
@athumannassoro5073
4 ай бұрын
Yuhu hata mimi namdunda sasaivi
@SenzilaGrayson
3 ай бұрын
Dudu baya anaongee madini sana
@standardtv3494
4 ай бұрын
Dudu baya anajua anajua tenaaaa
@Wamoyothenumberone
5 ай бұрын
Hapo sasa nani alimwingiza mwenzake kweny unga
@warakawayohana2896
5 ай бұрын
Biashara ya chupi dar ni ngumu😂😂
@husseinkonz5192
5 ай бұрын
Konk upo vzr kichwan bg up
@BINSIMBATEAMunofficialchannel
5 ай бұрын
HUYU JAMAA ANGE PEWA NAFASI BASATA AU COSOTA LICHA YA ALI ZINGUA KUWATAJA MAPUNGA
@user-ti7nf4jc8g
4 ай бұрын
Tu nataka muziki mzuri hatutaki majungu
@TheConqueror__Yb
5 ай бұрын
Dudubaya awe mchungaji.
@nancyjohnson6620
4 ай бұрын
Achunge nn😂😂
@abdimakame7929
5 ай бұрын
👍
@maximusalnono6425
5 ай бұрын
Nikiwa kama kijana niliepitia maisha ya kitaa namuunga mkono dudu ni kweli vijana wengi wamejikuta wakiingia kwenye madawa sababu ya kuchanganyiwa na wanaovuta nao rafki zangu wengi na wengine Mungu awasameh wameshatangulia mbele ya haqi waliingia kwenye madawa kwa njia iyo na naweza kusema ni asili mia kubwa sana wanaingia kwa kuchanganyiwa 🥲
@evanccast6228
5 ай бұрын
Kweliii konki master umenyookaa ✅✅
@nelsonmaganya5391
5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙊namkubali Sana
@Sifam634
4 ай бұрын
🙏
@ismailabas2447
12 күн бұрын
Oya mamba wanaokutafuta ili wakuzuru waondo anayotakiwa ...........
@King_Of_Everything
5 ай бұрын
✌️👍👊.
@warakawayohana2896
5 ай бұрын
Putin wa bongo😂
@lazarolaurent8800
5 ай бұрын
Huwa nakuelewa sana kaka mkubwa. Huwa napenda sana Interview zako kwa sababu huwa unaongea ukweli
@ottomanmkoveke8342
4 ай бұрын
Huyu jamaa ni hazina ya bongo fleva munao husika mtunzeni
@JafariPilly-bc1tk
4 ай бұрын
Kubwa kuliko anasema ukweli.
@saidabdalla8996
4 ай бұрын
Bongo kuna mijutu wanajuwa kujaza ela za wizi tu kwenye mabank yao akuna jipwa kabisa
@lucymsheshi5871
4 ай бұрын
Dudu baya nakumbuka hata wewe ulikuwa unakula bangi mlipokuja same na Mac D kufanya show pale Same High school Mlipiga show mkatoka nje mkawa mnakula bangi 😂😂😂😂😂😂
@loner_wolf
5 ай бұрын
Kombe la dunia Dubai......... Qatar bana ulimi mterezo😅😅😅😅
@francomwikwa2183
5 ай бұрын
Putin wa bongo
@samyspesho1698
5 ай бұрын
Dah mbona kakonda sana mwamba
@geoffreyembasa8483
4 ай бұрын
Saumu kali
@shaamemchauru1365
4 ай бұрын
ANA BALANCE BODY 😂😂😂
@cassianclovis8706
4 ай бұрын
😂😂 kupigwa miti, kutafunwa
@jacksonamos2008
4 ай бұрын
Sio poa kabisa 😂
@fredrickkakila9392
4 ай бұрын
mlugaluga😁😁😁😁
@brunoswai3559
4 ай бұрын
Kumbe jamaan Ana akili hiv
@MwanjiNzala-mo5ni
4 ай бұрын
Putin hahaha ujaoa ila ukiwa unarifresh akili bebe awe pemben
@abubakarymaulidy5681
4 ай бұрын
Matako ya wanawake yanatembezwa kama vitumbua duh
@user-mv2bq3ci3b
4 ай бұрын
Vitumbua
@lucasbatano333
5 ай бұрын
Kweli kabisa konki master
@Mohaa4309
5 ай бұрын
😂😂😂😂
@justinollomy5861
4 ай бұрын
kipindi kileee walikulogaa nini mbonaa Sasaivii unaongeaa pointiii sanaaaa
@mohamedswalehe4777
5 ай бұрын
Mkono wa kushoto kidole cha shahada dudu baya kimekuaje alipigwa na wahuni?
@rabaakondo-jr8px
5 ай бұрын
Mwezi amalizi tunamuaga
@weekendservicechoir
4 ай бұрын
lafiki yako, Mtwala, Gali, Latiba... Mhhh kwa utamkaji huu bado unasafari ndefu sana kaka mtangazaji
@RwegoshoraPatt-os2ik
4 ай бұрын
Nahisi alimaanisha uharabun😅
@salomewandya7257
5 ай бұрын
Konk master
@HamisiHassan-oy6xz
5 ай бұрын
Ukweli mtupu lkn kuhusu Dubai sio kweli dudu baya.
@mohamedbajun2546
5 ай бұрын
Konki wewe nimkweli cn
@queenmilan2024
5 ай бұрын
wewe dudy baya huku ulaya tuna vipindi 4 vya majira. sisi huku ulaya kuanzia mwezi wa 5 mpaka wa 9 ni joto. kwahiyo bi joto sana kushinda Dar. kwahiyo tunavaa nusu uchi. kuna sehemu maalum karibu na bahari au ziwa watu wanatembea uchi kabisa kama walivyozoea. sisi huku summer ni joto sana.
@svt3
5 ай бұрын
@queen-qz9ep joto sio sababu ya kuvaa uchi acha kutetea tabia mbaya tumeishi Australia zaidi ya miaka 20 sasa na jua la australia inakaribia Qatar na Saudi Arabia kuna mara Australia juw ni kali kuliko popote dunia nzima ila sababu ya heshima hatuvai hata ki pensi cha kuonyesha mapaja na shall za matako narudia miaka 20 Australia ninyi labda hata bado mugeni wa miaka 5, 8 munajifanya it ulaya
Пікірлер: 83