Eliudi ni comedian ambae anachekesha vitu vinavyoendelea mda huo huo hajiandai na point Wala vikalatasi , ni kipaji kutoka kwa mungu kabisa automatic, aminia sana
@PauloFlorence
6 ай бұрын
Eliud best comedian wa mda wote....alafu hatukani wala hadhihaki, anamtanguliza Mungu. 😊
@josephmihayo6236
6 ай бұрын
Elliud is the best comedian. Nimeishi Mbeya kwahiyo nikisikia anaongea nakumbuka Mbeya Tukuyu,Kyela, Ipinda, Masoko,Ushirika, Kiwira huko.
@simonngailo
4 ай бұрын
Bro eliud akika mungu kakubaliki sana na ndio maana kakupa kipaji unaiwakilisha mbeya yetu kaka
@benardmapuga4737
4 ай бұрын
Sio mbeya yenu tu Tz nzima tunamfuatilia na kumkubali
@iptisamismaill-f6h
6 ай бұрын
Kwenye tunasuburia lifti tunanyanyasika sana ata aturelax mda wote macho yapo kw mwenye gari 😂😂😂 ... eee mungu tuone na sisi❤
@alonijoseph5466
6 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza naomben like Zang 🔥🔥🔥
@Egon-steven0907
6 ай бұрын
God bless you bro unajuaa sanaa
@bahatilaizer8706
6 ай бұрын
Jamani nimekuwa wa 9 Naombeni like Zenu kwa niaba ya Eliud samweli ❤
@AmonJames-o3y
6 ай бұрын
Waomba like sijui niwatukane kidogo maana mnakela kweli kweli kama hizo like zinafaida si bora mseme tufaidike wote na sio kukaa mnaomba like kila muda
@dolveyzabdi4261
6 ай бұрын
Sasa wew zinakusaidia nn😏
@barakakusa7606
6 ай бұрын
Haya chukua hizo uone kama zinafaida😅
@freystar2684
6 ай бұрын
Baada ya m2 kutona maon yake baada yakuona kituflan yeye anataka like😊
@agripinagaudence7744
6 ай бұрын
Siipendi comment ya kuomba like
@macdonaldmassawe6277
6 ай бұрын
Mi sielewagi mtu akiwa wakwanza labda kuangalia au kucomment anaomba like sasa sijui huwa wanalipwa kutokana na like nyingi 😅😅
@clementbonifasi3515
6 ай бұрын
ila Eliud jamani. The best talented comedian. Mungu kakubariki sana Kwa hicho kipaji chako. Kufanya watu zaidi 200 wacheke si kazi ndogo. BIGUP TO U
@tiopherysanga2934
5 ай бұрын
umetisha home boy mtoa lift uwe naye makini japo ana vits
@tycoon9540
6 ай бұрын
Eliud natambua kwamba hapo upo tukio la mziki/injili ya dini Ila jitahidi unapokuwa kwenye kumbi zingine ujue kwamba mashabk waliopo ni wa dini tofauti,, hvyo toa salamu zinazogusa dini zote Mara kwa mara nimekuona ukitoa salama za kuegemea upande mmoja ilhali unakuta upo ktk kumbi yenye kuhudhuriwa na watu wa dini tofauti tofauti
@nathanielmpalila567
6 ай бұрын
Hyo ni ibada ..iliyoambatana na praise and worship.... Kwa hyo lazima asalimie kutokana na ibada ..
@evasilaa9064
6 ай бұрын
Ulishawahi kuona waislam wameenda mahali wakasema Bwana Yesu asifiwe? Sisi wakristo tunajifanyaga siyo wa kirohoo yaani uonekane mzurii wewe fanya research popote Waislamu wakisimama mahali salamu yao ni moja tu sasa kwa nini sisi tusiwe na salamu moja itaka usiitike hiyo ndo salam
@tycoon9540
6 ай бұрын
@@nathanielmpalila567 najua hilo ndo maana sentensi yangu ya kwanza nimerealize hilo Ila nimempa angalizo pale anapokuwa kwenye kumbi zenye kukusanya watu wa dini tofauti azingatie nilichoshauri just for his prosperity growth SANAA ni pamoja na kutambua hadhira unayoenda kuiburudisha
@tycoon9540
6 ай бұрын
@@evasilaa9064 Hayo pía ni mapungufu ya hao wanaoshindwa kuaddress hilo Ila Mamá Samia, PM Majaliwa Kabudi nishasikia wakisalimia kwa salamu zote mbili
@anjelmoses624
6 ай бұрын
Wee nae kama utaki acha embu muache unafki hiyo aleluya inakukera nini mbona kuna anko zumo hajawahi salimia kawaida zaidi ya kislam embu acheni kujiona watakatifu mnaniboa kiukwel
@PASTORELIYANGILANGWA
6 ай бұрын
Mko vizuri
@hilaryroberts7466
6 ай бұрын
Brother Unajua Sanaa
@mathiaslyimo9373
6 ай бұрын
Aisee hii kiboko, nimecheka hatari 😂😂😂😂
@tiopherysanga2934
5 ай бұрын
leo umegundua akina samuel wote nishort
@Lastybonyshoka
6 ай бұрын
Apo Safi sana kaka
@kikotimedia6638
6 ай бұрын
Talented
@PASTORELIYANGILANGWA
6 ай бұрын
Tunaipataje Live hiyo event???
@petermsabi2830
6 ай бұрын
Eliud noma
@LiboryMulunga
6 ай бұрын
Unagusa TU hutumii nguvu
@ed1goandshine844
6 ай бұрын
Unajua home boy
@patientlazaro6930
6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅 eti G flat ama hapo kapiga flat/ out of key 😅😅😅😂😂 Kama vile kweli
@francistuntufye7941
6 ай бұрын
😂😂😂
@atupelemsomba5451
4 ай бұрын
❤
@piuskusenge-jf2ob
6 ай бұрын
Mpiga picha hajui
@NordPictures012
4 ай бұрын
Wee unae jua upo wap
@cbegram6161
5 ай бұрын
Hivi mc madevu yupo wapi jamani
@gracekikula6279
2 ай бұрын
Hata mimi natamani kujua aisee!yuko vizuri sana madevu
@WetchiKhams
6 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉
@fwalotv5625
6 ай бұрын
🎉🎉😢🎉
@chalamilaprinciple4164
6 ай бұрын
😂😂
@neemasamwel9545
6 ай бұрын
Ila Eliud 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@evianarafael8965
3 ай бұрын
😅😅😅❤❤❤
@davidawet3214
5 ай бұрын
😂,😂😂
@MiracleJeremia
3 ай бұрын
Unajua sana kaka
@georgedionizi4574
6 ай бұрын
😂😂😂
@AminaPeter-b4f
6 ай бұрын
😂😂😂😂❤🎉
@floramallema8555
6 ай бұрын
😅😅😅😅😅🎉❤
@rizspecial4669
5 ай бұрын
Ila huyu jamaa anapiga story tu hakulazimishi kucheka ila utacheka tu🔥🔥🔥😀
@directorimmah_vfx3043
6 ай бұрын
Eliud ndmaan halis ya StandUp comedy
@FanyJimmy
6 ай бұрын
😂😂😂😂et mmekalili nyimbo week mbili 😀😀😀😀 ila eliiiii
@piuskusenge-jf2ob
6 ай бұрын
Msanii anaonekana kwa mbaaaaaaali sasa sijui unataka tuone nini
Пікірлер: 84