Mungu akubariki mtumishi kipitia haya maombi ya mihuri imenifingua sana,singeweza kuomba wala kufunga lakini kupitie wewe namshukuru Mungu kwa ajili yako azidii kukupa neema ya kufichua siri zote za kuzimu na Mungu nasi atupe ufahamu wa kuelewa na kuomba vile unatuelekeza nimeona hayo maombi yakinifungua mimi ni huru kwa jina la Yesu christo God bless you man of God
@daviddavid-gq8zp
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji,kwa jina la Lord Jesus Christ...Bwana azidi kukutia nguvu ili uzidi kutupa siri za Shetani(Allah) na malaika zake Majini.
@mwajumaamuri974
Жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu Mtumishi tunahitaji maombi tunateseka na hizo Roho.
@bintmwambapa7734
Жыл бұрын
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU, karibu Sana uku mpakani mwa Tanzania na Malawi
@BenditaErnestochuva
Жыл бұрын
Bwana yes asifiwe mtumishi wa Mungu aliye hai nabarikiwa Sana kwa mafundisho hayo namwomba Mungu huje huku Mzambique ulete hiyo injili yenye huwai ikiwezekana upande kanisa Jesus akuinuwe sana
@annissdaprincess3846
Жыл бұрын
Mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU wambinguni 🙏🙏🙏
@elizabethconstantino6056
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Katekela, tunakupenda mno, Mungu wa mbinguni akulinde
Ubarikiwe Sana Hilo ganisa liko sehemu gani Mtumishi tumelitafuta Hilo kabisa yangu jumapili hatujaliona tunaomba mtuwlekeze ili tupate baraka
@lilymwashumbe4890
Жыл бұрын
Mchungaji katekela Mungu akuinue Na akulinde mpaka uende Mbinguni
@malackmarko1545
Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mchungaji
@victoriaremmy3772
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish wa Yesu
@rabinzsinoya1434
Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi MUNGU , kwa kutufundisha tuwe odari wa kusali.
@paulinamsanjila2491
Жыл бұрын
Mungu akulinde zaid na afanye njia hata pasipo na njia injili uliyoibeba iwafikie wengi waokolewe
@marymatekwa6867
Жыл бұрын
Bwana asifiwe sana mtumishi wa Mungu Ubarikiwe pamoja na nyumba yako nikisema Pole Sana Kwa ajali iliyokupa upone Kwa Haraka kwa jina la Bwana Yesu pokea na nguvu Mara tena
@VictoriahSabas
6 ай бұрын
Ubariwe mchungaji nabakiwa sana Kwa mafundishi yako.karibu mkoa wa njombe
@VictoriaMachozi
Жыл бұрын
Amen Amen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@Ntirampeba
Жыл бұрын
Amen
@lilianmbeyu
10 ай бұрын
mtu nmzima hatishiwi nyau,mtoto wamgalilaya bendera chuma mlingoti chuma,❤🎉
@dadaz4653
Жыл бұрын
Amen barikiwe sana
@rizikibahati8364
Жыл бұрын
Mungu akupeye maisha marufu mtumishi wa Mungu
@mabelgreatverypowerfulspir3470
Жыл бұрын
God bless. Very educative
@damentsichivula677
Жыл бұрын
Mungu aliye mbiguni akubaliki mtumishi karibu kwetu momba nafuatilia mahubiri hayo nkiwa Zambia lakini kwetu momba tz
@saramgula6357
Жыл бұрын
Wakumwitu..
@emmysarikiurio6445
Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@milkahkale9031
4 ай бұрын
Umenobariki sana
@HellenSulle-m7t
3 ай бұрын
Jamani mtumishi asante kwakunistua nilikua sijui kama kunaibada ya wachaji silali tena sasa kumi na moja
@emimambazi2636
Жыл бұрын
Mchg Bwana Yesu, ninashida nitapataje kitabu na Ni sh. ngapi? Na nitapataje nipo Mwanga Kilimanjaro. Asante ubarikiwe.
@dainesykalinga7133
Жыл бұрын
Amen Amen Barikiwa mno kwa Kazi njema Mungu akuinue zaidi.
@beatricendikumana8776
Жыл бұрын
Amen amen amen hallelujah hallelujah thank lord huyu ni mwanzo
@sarahchiwamba6038
Жыл бұрын
Tunaomba video zitulie vizuri.
@maxiesecurityservicesltd11
Жыл бұрын
Very educative. May God bless you
@violetnasimiyu8718
Жыл бұрын
Hallelujah
@heritier5119
Жыл бұрын
Shetani kapata Sana hasara kumpoteza Mch katekela, ndie kasaidia Sana wengi kuzijua siri za shetani na kuwatakia wengi nguvu
@janetkazungu7795
Жыл бұрын
Amina amina baba
@maxiesecurityservicesltd11
Жыл бұрын
Amina Amina
@lauraingosi1428
Жыл бұрын
asante sana watumishi wa Mungu kwa kazi njema ya Mungu,lakini alie upande wa pili wa microphone apunguze sauti.
@mpandawiliam5390
Жыл бұрын
Barikiwa sana.
@ayubu_podcast
Жыл бұрын
Amina!
@alice4720
Жыл бұрын
Amen Niko kenya naomba maombi yafamilia
@saramss7262
Жыл бұрын
Barikiwaa SANA mtumishii hallelujah hallelujah hallelujah
@fatumaminyeko1875
Жыл бұрын
Mungu wetu nimkuu sana
@elifarajasamwel3583
Жыл бұрын
MUNGU NIOMBI LANGU wew uwe wangu daima milele
@jacklinekimario296
Жыл бұрын
AMEN ata mm.
@elifarajasamwel3583
Жыл бұрын
Ubarikiwe ninaomba no plz Mtu Wa Mungu
@jacklinekimario296
Жыл бұрын
Ok
@elifarajasamwel3583
Жыл бұрын
@@jacklinekimario296 habarii Mtumishi
@elifarajasamwel3583
Жыл бұрын
@@jacklinekimario296 Uko wapii Mtumishi ,sisi TUMEPATA NEEMA ya kuhudhuria seminaa hiii
@MgayaBress
Жыл бұрын
Munyu akutiye nguvu📖
@marywachira3745
Жыл бұрын
From KENYA
@bintmwambapa7734
Жыл бұрын
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU.
@smariamwambene9524
Жыл бұрын
Upo dar sehemu gan nije nikuone mtumishi
@elizabethwanyonyi609
Жыл бұрын
Mchungaji naomba kufunguliwa kutokana na kula udongo. Naula kwa wingi sana.
@fwambamarkd5735
Жыл бұрын
Mama tafta dawa ya minyoo alafu tumia dawa ya kuongeza damu kwa mwili, ukule mboga ya kienyeji kwa wingi, maini mara moja moja kwa wiki ama nyama alafu unywe maji kwa wingi na Mungu wa mbinguni atakusaidia
@fwambamarkd5735
Жыл бұрын
Mimi si mchungaji ni mekufunza kiospitali barikiwa
@Esther-Bri
Жыл бұрын
AMINA
@myself4128
Жыл бұрын
Dunia pana saaaana aisee!
@mariakalama3014
6 ай бұрын
Wewe huoni kama umeumiza bwana wako 😊
@hajiameir8688
Жыл бұрын
Wewe muongo Acha kuukashifu uisilamu Allah atakulipia hapa hapa duniani Kwa idhini yake mm nakuombea Kwa Allah uwe muislamu iko siku
@HellenSulle-m7t
3 ай бұрын
Huyo hajakashifu uislamu bali anaongea kitu Cha kweli ambayo ni lugha ya majini wanayoongea huku na namba wanavyomswalia Mungu wao ambaye ni lusifa na yeye huyu mtumishi alikuwa mmoja wa kuzimu ndo maana anajua yote maana hata yeye alikuwa anafanya hayo
@annamulenda6652
Жыл бұрын
Kanisa liko wapi hapa Dar.. Ukonga semu gani ?
@nkabo507
Жыл бұрын
Naomba kujua Dar uko sehemu gani
@PromovertvTz
Жыл бұрын
Ukonga Sabasaba
@mamaSarah-mc6mk
6 ай бұрын
Naomba namba ya huyo mchungaji
@OmanOman-hx8yv
10 ай бұрын
Naomba namba jamani
@peterdeus1990
Жыл бұрын
VIDEO inarukaruka sana
@MariahJonah
5 ай бұрын
Naitaji kujazwa na roho mtakatifu
@HellenSulle-m7t
3 ай бұрын
Nataka kujua hayo masaa mengine ni mchana?
@elifarajasamwel3583
Жыл бұрын
Hakika ukweli kuna hatari jamaniii
@demaa2183
Жыл бұрын
Naitaji maombi yenu.....natoka kenya
@halimaiddy9168
6 ай бұрын
Promova ongeza maono juu ya mitambo ya kisasa zaidi huku uduma itakujakua kubwa mnoooo nenda na spidi yake isikuache njiani
@patriciamakia4509
Жыл бұрын
Naomba kujua upo dar sehemu gani nahitaji kuudhulia
@nicodemusmpogole967
Жыл бұрын
Ukonga sababa
@happymlawa5698
Жыл бұрын
bwana Yesu asifiwe, kwa anayejua kanisa lilipo,tafadhari tunaomba maelekezo jinsi ya kufika.Asante
@We2k7
Жыл бұрын
Téléphone ya mchungaji amiel Katekela
@PromovertvTz
Жыл бұрын
+255 756 275 511
@MariahJonah
5 ай бұрын
Ni vipi mtu anaweza kujazwa na roho mtakatifu mcungaji amiel
@jeniphatemu2937
Жыл бұрын
MBARIKIWE, NAOMBA HILO LA SIRI ZA MAJI NA MAFUTA TUFAFANULIWE ILI KUSAIDIA MAAMUZI. NAMNA KAMBI YA GIZA WANAVYOTUMIA ILI TUWEZE KUTAMBUA KWAMBA HUU NI UCHAWI.
@kakanicodemus3632
Жыл бұрын
Aliliongea sana ktk ushuhuda ambao upo KZitem ktk channel ya promover TV
@hajiameir8688
Жыл бұрын
Sasa haya makelele ya KAZI gani
@marywachira3745
Жыл бұрын
Number ya huyu mtumishi naitaka kwa maombi
@PromovertvTz
Жыл бұрын
0756275511 Mch.Amiel Katekela
@mugishomwenda3415
Жыл бұрын
Ubiri watu WAAChe DHAMBI bro acha ungaga wa kienyeji Hesabu 23:23 [23]Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! Surely there is no enchantment against Jacob, neither is there any divination against Israel: according to this time it shall be said of Jacob and of Israel, What hath God wrought!
@simonrevelian7278
Жыл бұрын
Nawe una tatizo la kuingilia kazi ya roho mtakatifu, anposimama hapo amepewa Cha kuhuburi, Mungu ana namna ya kuokoa aliowakusudia, acha kabisa,
@marthacharles3872
Жыл бұрын
Jaman si msikilize ujumbe na ujumbee huu ni Amina na kweli
@aloycemary1968
Жыл бұрын
Bora afichue Siri za kichawi ili tujue tunawapiga vipi kwa jina la Yesu
@amyesanga2004
Жыл бұрын
@@aloycemary1968 mwacheni tuu yamkini wanamfichilia Siri zake ndo anachukia.asamehewe.
@janethmwihumbo1289
Жыл бұрын
Lakini shetani yupo huyu alitumika uko lazima atoe Siri ili ujue unayepambana naye ,tofauti na mtumishi aliyeitwa bila kutumika kwenye giza
@veronicahkhaikwa4929
Жыл бұрын
Mchungaji anajua kuimba pia asifiwe yesu
@iradukundafrederic2964
Жыл бұрын
Niko Burundi natamani mtumishi ujehukukwetu naombanamba zako za whatsapp
@teklalumalanja1752
Жыл бұрын
Mchunqaji unafundisha vizuri lakini unapoponda makanisa ya wachunqaji wenzako ndipo utajipunquzia utukufu. Siyo makanisa ya wachunqaji wenzio kwamba Ni Moto wa mabua. Tanzania you're haitakuja AGT, AU TAG. Kila mtu Munqu humchaqulia pa kwenda. Wewe fundidha neno tunabarikuwa. Acha kuponda wachunqaji au manabii. Vita Yetu sisi Niya shetani tu.
@famusepeopleday1093
Жыл бұрын
Mungu nimwema sana Ubarikiwe sana mujungaji Naomba hata namba yako kwaajili ya maombi please 🙏
Пікірлер: 102