Mungu ana tupenda sanaa jmn Kila kitu kimewekwa wazi uchaguzi n wetu 🙏🙏
@MarkMabinga
2 ай бұрын
Mungu akulinde daima,atakaye kukugusa,awe anaigusa mboni ya jicho la Mungu
@nitwelesimon4303
2 ай бұрын
Mwenye Masikio na Asikie, Mungu atusaidie
@user-jt3fi6bk8w
2 ай бұрын
Naposikia mtu anamhubiri Yesu Kristo orijino najisikia vizuri sana
@vickysteven1172
2 ай бұрын
Ameen
@victorianchimbi8640
Ай бұрын
Amen na mimi pia
@Maryc2G
2 ай бұрын
Mungu akusimamie, na akutumie kwa kiwango cha juu, kwaajiri unajua kila kitu. Na yesu ni bora kuliko vyote 👏🏽
@marianandisi1641
2 ай бұрын
watching from Kenya 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mariakalama3014
2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe mchungaji katekela na mungu akulinde na atie nguvu kutangaza jina la bwana wetu Yesu kristo!!
@TeddyDaghau
9 күн бұрын
Ni mara ya kwanza kumsikiliza. Mchukaji huyu kweli YESU ANA WATU NIMEPENDA NENO HILI BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ntihebuwayojoselyne2876
2 ай бұрын
Mungu ni mwenye nguvu kuzidi wote , Mungu aendeleye kuwa nawewe siku zote .
@user-fu6fx8if6w
2 ай бұрын
Uyu mchungaji Katekela amekuwa wa baraka katika maisha ya wengi,acha Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi "bendera chuma mlingoti chuma ".❤️
@vickysteven1172
2 ай бұрын
Ameen
@sifakarulange
Ай бұрын
Amen
@ablankamlelwa864
24 күн бұрын
Mwenyez MUNGU akutunze ee Mubarikiwa
@fitinamarando
2 ай бұрын
Eee Mungu atusaidie saana. Mch katelkella Mungu akulinde uendelee kutufundisha na kutueleza ukweli. Amina
@JaneWanje
2 ай бұрын
BWANA YESU APEWE SIFA UNAWEZAJE KUFIKA KWETU MASASI MTWARA?
@user-ut1ls8fi8f
2 ай бұрын
We mchungaji nimekupenda Bure unafundisha viatu vya kweli unamhubiri YESU halisi yaani natamani ungekuwa karibu niwe muumini Kwa uwaminifu Jamani Mungu akubariki zaidi na akupe uwezo wakutufundisha zaidi yaani siachi angali hii charnel weeeeeh ni moto
@MadeleineJuma
2 ай бұрын
Mungu akuwezeshe Tena na tena Bwana Yesu akulinde chini ya uvuli wa Damu yake
@nominetjacob8137
2 ай бұрын
YESU KRISTO NI KILA KITU YESU kRISTO NI VYOTE KATIKA VYOTE INJILI UNAYO HUBILI BWANA YESU KRISTO AKUBALIKI SANA SANA
@lilianluhasi311
2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo. Pesa si kitu mbele ya mwenyezi Mungu, na ni mtego kweli wa shetani
@user-iw1yq3op8f
3 ай бұрын
Amina sana mtumishi kwakweli mungu atusaidie sana Maana bila musaada wa mungu hatuwezi
@brightondonatien5898
25 күн бұрын
From Zambia
@flavianarwebangira6726
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yenye weredi mkubwa .Mungu aendelee kukutunza kimwili na kiroho umtangaze Kristo aliye hai pembe zote za dunia.
@CatherineNgugi-vu2yo
2 ай бұрын
From kenya
@WilliamNgazija-cd7cs
2 ай бұрын
Hakika Nguvu ya Mungu ni ya ushindi
@absalimlufyagile4974
2 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mungu akubaliki sana
@irenehochstaffel8367
2 ай бұрын
Asante sana, Mchungaji Amiel Katekela.wewe ndio sababu yangu kuokoka kweli, kumkubali Yesu na kuacha njia za giza. Asante Yesu kwa kumuokoa Amiel Katekela kwa Shuhuda zake za kufungua Macho ya kiroho, wengi tumeokoka na hatutarudi nyuma.
@DanielMogena
Ай бұрын
God bless you pastor amielly katika yesu akuzingire maana wengi walitolewa kusimu lakini hawajaweka mambo ya kuzimu hatarani kama wewe aisee asante yesu wa Mbinguni
@annangowi5517
2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nakufuatilia Sana na niko pamoja na wewe
@aminakyungu8414
3 ай бұрын
Amina mchungaji MUNGU atusaidie
@user-tz5xm2ey7f
2 ай бұрын
Amena Amena Amena MUNGU akubariki sana mtumishi kwamaubiri yakuokowa
@DeusFesto-iz2re
2 ай бұрын
Ushuhuda Safi kwa wenye Moyo wa nyama lakn wenye Moyo wa jiwe mmmm
@user-eq9hl9vg2x
2 ай бұрын
Mungu azidii kumuweka jmn mchungaji Amieli nafurahia sana huduma yake mungu ambariki sanaa yeye na family yake❤❤
@JaneKuyokwa-ng2qf
2 ай бұрын
Amen mtumishi mungu akubaliki
@user-bo7hp4hh1x
Сағат бұрын
Nimejua kwamba kumbe shetani anadini kubwa nilitaka kuhamia huko kumbe ningemwabudu Akbar Mungu wa kuzimu
@fitinamarando
2 ай бұрын
Semina hii ilinipita namshukuru Mungu naendelea kubarikiwa. Mungu ambariki Mch Katekella
@lilianluhasi311
2 ай бұрын
Damu ya Yesu Kristo imefanya ini lako kuwa hai zaidi ya asilimia mia kwa jina la Yesu Kristo
Kweri hakika huu ushuhuda umenitia moyo sana tudiize kuonmbeanee?
@vitaelfaustine2744
2 ай бұрын
Ubarikiwe Kwa mafundisho mazuri ndimi vitaely
@CatherineNgugi-vu2yo
2 ай бұрын
Asante sana mtumishi kwa neno. Afadhali kuokoka sasa,
@SudaNyalupagi
2 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi katekela
@yalalaambobe9528
2 ай бұрын
Amen amen amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@wilsonkombeyeri4623
2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, usikae sana uje Mombasa jameni
@rosettenyandwi6334
2 ай бұрын
Amen Amen hakika nimebarikiwa naMutumishi waMungu
@williammahigi889
2 ай бұрын
🎉
@williammahigi889
2 ай бұрын
Watching from Kenya
@beatricefilbert1171
2 ай бұрын
Yesu nisaidie mimi
@josephgalandu128
2 ай бұрын
Nyie mnaodanganywa na maji na mafuta ya upako poleni
@failaprince9250
2 ай бұрын
Muumbà wambingu naichiakuzidishiye kabisa amen
@JofreyDamson-nm6ec
2 ай бұрын
Amina kubwa mchungaji
@angelamugoywa4917
2 ай бұрын
amen yesu abewasifa 🙏👏
@user-wj2ml4eq9v
2 ай бұрын
Ameni MUNGU akubariki sana❤❤
@user-pr2kh9pn8l
Ай бұрын
Amen
@user-lv5wh9cs7q
2 ай бұрын
Kweli kabisa ubarikiwe Mutumishi wa MUNGU tusaidiye yesu
@user-rm2by8dx5v
3 ай бұрын
Amen!
@josephmutemi7494
2 ай бұрын
BWANA akulinde mtumishi katekela
@flm1530
3 ай бұрын
Ameeeenn
@ChristinaCharles-py1ct
Ай бұрын
Mungu akubari sana, naomba namba za simu
@fitinamarando
2 ай бұрын
Naendelea kuusikiliza ushuhuda huu mhimu.
@user-rm8lp3tp3s
3 ай бұрын
Amina
@naomicharles5444
2 ай бұрын
Uyu jamaa anaongea vitu anavovielewa tumzingatie sana
@USHINDIMANENO
2 ай бұрын
Kweli kabsa
@raelnangila3006
2 ай бұрын
Ameeni
@robertsilington-cu4dz
2 ай бұрын
AMEN
@BeniMsokile
2 ай бұрын
Mchungaji katekela amekuwa wa baraka sana
@anifaauguste6519
3 ай бұрын
Amen Amen
@alexnyigo8864
2 ай бұрын
Mungu tusaidi
@elizabethnekesa652
2 ай бұрын
Nakualika kariadudu Nairobi Kenya plz
@elizabethnekesa652
2 ай бұрын
Utakuja?
@samwelndiletelevisionc3385
2 ай бұрын
Ndioo
@user-nu9ww9ly6q
2 ай бұрын
Amen Amen sana
@annangowi5517
2 ай бұрын
Mchungaji Katekela nawezaje kupata simu yako?
@rahabnkya8276
3 ай бұрын
ASANTE MTUMISHI KWA KUTUKARIBISHA KANISANI KWAKO. NA KILA MCHJ LAZM TU AONE KANISA LAKE NI MIZURI KULIKO LA MWINGINE, AMA DAA TUTAHAMA HAMA, KONDOO WATAPATA WAPI MALISHO YA UHAKIKA.
@RehemaGodfrey
3 ай бұрын
❤
@jescashedrack25
2 ай бұрын
Kasekwla mchungaji wa kanisa gani? Je naweza pata namba yako hata kukualika kwenye makanisa yetu
@acci6516
2 ай бұрын
Amen and Amen
@faustamwakonosya1825
2 ай бұрын
Ameeen
@shilimaabdallah-mw2bj
8 күн бұрын
Hakuna sauti
@omaruwakitaa
2 ай бұрын
ameeeeeee
@failaprince9250
2 ай бұрын
Amen amen lakini mshugaji kwanini aukemee iyozambi ambaho umeifaamu wewe iyomeshe mbona watu bado wako nazo kwenye vichwa vyoho?
@mwaminimwangaza
2 ай бұрын
Inaweza kuwa ngumu kwake kulikemea kwa ujasiri kama muke wake bado anavitumia tumuombee ili Mungu amupe ujasiri kwasababu ni maandiko na apate mafunuo kupitia roho mtakatifu
@AdriaMushi
2 ай бұрын
Mungu unayehubiri kweli yake ili kunusuru kanisa lake akutumie jeshi la malaika likuzingire na Simba wa kabila la akiwa juu yako
@aminakyungu8414
3 ай бұрын
Hapohongera
@sarifusteven4634
2 ай бұрын
❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@BonifaceLameck-bx5xe
2 ай бұрын
imanaishimwe
@IradukundaFrancine-on5yy
2 ай бұрын
Nipo Burundi nakufata asili Mia
@user-hz8mp5cp7v
2 ай бұрын
Asante Kwa kunikarisha kanisani kwako, kwanini hautaki kupokea simu yangu?.
@pqschalndonge6252
2 ай бұрын
Mtumishi mimi ninaishi masumbwe unahudumu kabisa gani ili nikuone
@trophywilson7211
2 ай бұрын
Mtumishi mishono hiyo mmmh Kwa Mkristo sidhani kama ni poa
@thomaspokella909
2 ай бұрын
Kwa uzito wa anayoyahubiri unapata muda wakukkosoa nguo?please focus
@ellyitete938
2 ай бұрын
Sasa mshono unashida gan
@assacharles1047
2 ай бұрын
Jamani suti ya heshima unakosoa ulitaka avae modo jamani tuache kumsumbua mtumishi
@rithageorge2461
2 ай бұрын
Yani Kuna watu wanajikuta wameokoka Sana Kila kitu wao ni kujaji tu, sijui ulitaka avae shuka ndo uone kavaa. Roho mtakatifu yupo kazini muulize usijaji Kwa nafsi yako na akili zako.
@trophywilson7211
2 ай бұрын
@@thomaspokella909Yaani hadi macho yamefunga kwa vile unasikiliza mahubiri??Aaaa msitudanganye
@geitandelwa299
2 ай бұрын
Aaa ŵanawake tuache ķujipamba
@dorcaskinyamasyo
2 ай бұрын
Poor cameraman. Know when and where to focus
@AlexanderKibona-os2bt
2 ай бұрын
Camera mqn ovyooo kabisa aendi na matukio
@RodahAdonice-dz4sm
2 ай бұрын
Nautaka huo wokovu nikiwa duniani
@colyndelwa1738
2 ай бұрын
Bado hujaokoka?
@RodahAdonice-dz4sm
2 ай бұрын
@@colyndelwa1738 nimeokosa sasa kwakupitia shuhuda za huyu pastor
@user-ut1ls8fi8f
2 ай бұрын
We mchungaji nimekupenda Bure unafundisha viatu vya kweli unamhubiri YESU halisi yaani natamani ungekuwa karibu niwe muumini Kwa uwaminifu Jamani Mungu akubariki zaidi na akupe uwezo wakutufundisha zaidi yaani siachi angali hii charnel weeeeeh ni moto
@namsifugodson7718
Ай бұрын
Amen
@faustamwakonosya1825
2 ай бұрын
Amina
@clarisotieno3858
2 ай бұрын
Amen
@mbwamboenedy3593
2 ай бұрын
Amen
@LispafulgenceSimon-rs1zg
2 ай бұрын
Amen
@sarahnjowela554
3 ай бұрын
Amen
@user-co6nm5fk1g
2 ай бұрын
Amina
@frankwilson2484
2 ай бұрын
Amen
@RebecaThomas-zz3ft
2 ай бұрын
Nakupenda Sana kwa jjinsi unavyo fichua Siri zote unatusaidia kujuaj jinsi gani tuenende
Пікірлер: 115