MAASHAALLAH...BIG UP BRO.... #NIMEKUELEWA... Allah akulinde na akuzidishie kila jema..INSHAALLAH...🙏🤲🤲
@SelinaMdoe-jv1pu
5 ай бұрын
Umeongea vizuri sana dr kumbuka
@mwawekomiuda9779
5 ай бұрын
Dr kumbuka , Hapana waislam na wasokua waislam hatuamini Mungu mmoja mpaka kiama.
@sabihaibrahim143
5 ай бұрын
nyoo waislamu tunajua mungu mmoja labda nyiye
@mwawekomiuda9779
5 ай бұрын
@@sabihaibrahim143 sasa mbona wanitukana wakati mm ni muislam kindaki2? Nimemrekebisha kumbuka lbd haelewi. Wengi wao ambao sio waislam wanasema Mungu moja tu. Sio kweli M'mungu wetu ni wa hakhi na mmoja hana utatu. Haya Roho na ikutulie.
@sabihaibrahim143
5 ай бұрын
@@mwawekomiuda9779 pole si kukuelewa itakuwa
@maryammdoe5801
5 ай бұрын
@@mwawekomiuda9779huyu hakukuelewa ameelewa pengine umemaanisha na waislamu tuna amini ktk utatu mtakatifu 😅 ndo ameelewa hivyo so tumsamehw N Allah atuongoze sote ameen yaarab
@FatmaHamad-g6s
5 ай бұрын
Nikweli kaka matajiri wajifunze kusaidia wanyonge na Yakima nasio machawa wanaoweza kutafuta na wanavyo
@awatifalghanim1106
5 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani machawa siwale wanokaa kwenye nywele? Au wako machawa wengine???? Au ni kupe hao??? 😂😂😂😂
@fatmaabdallah7709
5 ай бұрын
Mashaallah mtangazaji umependeza kuvaa hijab kuliko makofia unayovaa
@aminaomary5567
5 ай бұрын
Ni kweli Kumbuka❤❤❤
@katabaroonlinetv9688
5 ай бұрын
Sio sihiri ni Siri ukisema sihiri tafsiri yake ni uchawi
@sabihaibrahim143
5 ай бұрын
😂
@ummiissaabdulissaabdul8117
5 ай бұрын
Ati kwenda hija umra au hija nanyì nyinyi kambae muko usingizini
@badmanno.1650
5 ай бұрын
Sio hija.. ni umra
@binthkhamis8042
5 ай бұрын
😢😢
@Ambeniwatano
5 ай бұрын
Haya nayo ni magazijuto ( ) / * + - = watumiaji wa iftar wameangalia Zaid msosi kuliko ibada muangalie muandazi anatumia mkono gani kuweka chakula🤭
@IdrisaTuppa
5 ай бұрын
Sihiri ni Uchawi, Au Umemaanisha Nini Wewe na Mwiijaku ndy WaleWale
@awatifalghanim1106
5 ай бұрын
Mtangazaji ukiwa hujuwi usiseme. Hijah gani inofanywa sasa😂😂 Ni Umrah. Semeni Mungu awahidi wacheni kusema watu kila mtu na amali yake.
Пікірлер: 23