Dr, sule nakupenda Bure njoo kwa ukristo ueedele kutuhubiria na biblia maana mahojiano yako yote mfano yote yote ni ya biblia.njoo kwa Jesu kristo yeye ndie njia tu kumfikia Mungu kama Mungu.biblia tamu inaogoza moto moto .bwana Yesu asifiwe naaedelee kusifiwa nayeye niyule yule Jana Leo na milele
@muhammedwakif6216
Ай бұрын
Sule umepoteza muelekeo Allah akugeuze Umeingia kwenye uchawi
@opportunities2767
Ай бұрын
Du sikio lako na ww litakua na funza, wapi kasema ameingia kwenye uchawi
@user-rb4qc2in6l
Ай бұрын
Namba ya Dr. Sulle tafadhali
@maryanomar119
Ай бұрын
Mashallah shekh sule umeongea maneno mazito sana mungu akubariki akupe afya na umri mrefu inshallah
@aliaden5512
Ай бұрын
unamuamini huyu mchawi
@Robbywedt
Ай бұрын
Safi sana doctar Sule
@serahmohamed6513
Ай бұрын
MaashAllah tabarakaAllah, mtu akikuhitaji waeza patikana Dr. Sule?
@qhatramohamed7006
Ай бұрын
Mashaa-Allah Allah akuhifadhi sheikh sule tunakupenda kwa ajili ya Allah (Nairobi) kenya
@faizG254
Ай бұрын
Huyu ni mshirikina. Ogopa Allah
@LuluByams
Ай бұрын
Doctor sule Nakuku Bali sana
@Sabakimotors001
Ай бұрын
Safi sana Dr.
@user-fu3cg3gv9g
22 күн бұрын
Ujue huyu hata wakimbishia ninacho penda anatoa aya kwahio ukipinga unapingana na mtume na ana hoja nzito huyu mwamba
Je hawa wachawi wanawo ibiya watu nyota zawo kwa kutaka kuitumiya wenyewe simhusika akafukarika huwa ni jini piya
@hakizimanaselemani1995
Ай бұрын
Jini Jema kamwe aliwezi kuja mka dili nalo kazi lolote liko bize na ibada , jinni la aina yoyot uki dili nalo tayari Ume toka katoka uislam , tuache kuji ficha nyuma y paziya ya dini , sheikh akiwa awek wazi utajiri wa majin wowot ni shirki si majin machafu au mazuri
@MuuYascohy-oc7os
Ай бұрын
Nabii Selemani aliwatumia majini kujenga Msikiti wa Aqswa na aliwatumia majini ktk kazi zake mbali mbali vip je nae alikuwa mshirikina ??
@jumachaduma5434
Ай бұрын
Anaongea kwa mihemiko,Hana elimu hiyo
@mbenamdudu7856
Ай бұрын
Nabii suleimani alikua mchawi maana alifanya kazi na majini na aliwatawala
@bakarhassan
Ай бұрын
usi andikeusivyo vijua mungu katu hamrissha baada ya swala tuka tafute rizki kwaiyo hao makini wao hawana rizki Wana msujudia mungu tu acha ku kurupuka
@odilomwemeziernest646
Ай бұрын
@@MuuYascohy-oc7os imeaandikwa wapi?
@hassanibrahim7870
Ай бұрын
Kavuka mipaka sana,Allah atulinde na majahil kama hawa
@ZubedaHussein-it7nf
Ай бұрын
Mashekhee wakubwa sie tusio nauwezo tunaogopa ata kuwaona anaejua gharama za kuonana nae anijuze
@mahamudaideed6922
Ай бұрын
Insha'Allah nitakutafuta nimekuelewa sana
@hamismohamed3541
Ай бұрын
Mtangazaji et zipo hizo pini dah unatuwakilisha vizuri muhuni wetu😂
@kassimabdillah5998
Ай бұрын
Haya anayozungumza Dr ni yakwake yeye sio uislam, Uislam uko mbali kabisa na haya sikiliza mazungumzo yake vizur utaelewa tuu kikubwa kumuombea Dua Allah amuongoe maana anavuka mipaka nawausia Ndugu zangu katika Imani ushirikina ni DHAMBI KUBWA yakwanza mtu akifa na DHAMBI hii hajatubia anaingia motoni milele , tusighurika Kwa maneno yampotoshaji ukaingia katika maangamivu soma dini yako na Umuabudu Allah pekeyake bila ya kumshirikisha utafaulu duniani na Akhera ila ukitaka maisha ya Dunia fateni masheikh kama Hawa Ili mukaangamie Akhera
@HaniferMwiru-wn9wq
Ай бұрын
Khusnul khatwima yaarabb 😢😢
@sophdenis3471
Ай бұрын
Dk sulle yuko sawa ipo sku mtamuelewa
@hemedbamja3197
Ай бұрын
Eti "hata komandoo"😂😂😂hilo swali
@officialcandleboy6923
Ай бұрын
Huo ni ukweli kabisa Uganda wapo wengi ni Tajiri ila huki kutana nae huta fikiria ni mwizi, na hao wa watoto ma punguani ni wengi sana
@salimyanga9216
Ай бұрын
Tunaomba nambayako shekh
@lordenoughforme4417
Ай бұрын
Nilikua nikidhani huyu mtu nisheikh kumbe jichawi.shenzi kabisa
@aliaden5512
Ай бұрын
Kweli kabisa mchawi ataliwa na hilo jin
@romainehabamungu8547
Ай бұрын
Docta , unasema kweli sana , basi nakuomba sana , mimi niko CANADA nitakupata je ?
@joventjohansenmushwaimi1988
Ай бұрын
Ana namba zake za simu anapatikana
@chusseboywcb2808
Ай бұрын
Uchawi upo umetajwa kwenye vitabu vya mungu vyote
@asiyajuma3135
Ай бұрын
MashaAlla Doctor sule umesema kweli wallah ila sijui ni ta kupataje nipo dubai
@abubakarchande8602
Ай бұрын
Nahitaji mawasiliano na sheikh au nielekezwe ofisi kwake tafadhali, ikiwezekana nipewe na gharama za kumuona
@starah2525
Ай бұрын
Kwahio shule tuache tujifunze uchawi na kutumikia majini wazuri
@TheogeneNzabonimpa
Ай бұрын
Haudjambo Dr sule niko rwanda jinarangu theogene nafataga maongezi yako samhani unaweza kunipa namber ya whatsap nakuwandikiya
@AbdusidMohammed-hi5ib
Ай бұрын
Mim namuona doct sule yuko sahihi mbona nabii Suleiman alikuwa anamiliki majini na wanyama
@bonifacewanyonyi3555
Ай бұрын
Umetuelimusha sana
@Skomi-0nedayyes
Ай бұрын
Tunaomba namba ya dk sure ndgu mwana habari tafadhar🙏🏿
@chamushippingcsl7540
Ай бұрын
Doctor uko vizuri naomba kukuona
@mohamedkipara1315
Ай бұрын
Sheikh uko vizuri
@user-cy7vw3ni3w
Ай бұрын
Acha izo
@jumaothman4411
Ай бұрын
dr sule watanhaza shirki sasa baada ya imani unapotea sasa tena wafunganisha ushirikina na allah .
@MuuYascohy-oc7os
Ай бұрын
Acha upuuz wew kutibu kwan dhambi?
@FatmaRashid-sj8jw
Ай бұрын
Baada ya mazungumzo ataje namba ya simu
@IsaaPauleta
Ай бұрын
Doctor asie kuelewa na kuku fahamu huyo ni mwehu na taahira tu.
@aweisali1723
Ай бұрын
Pini ju y pini
@Jcg-js5xu
Ай бұрын
Kaka mm naomba namba za shehe sulle
@ahmedsdk6736
Ай бұрын
Hata huku kigoma huku unamuona mtu anamiliki sheli 3 ana magorofa Watoto wanasoma shule za Gharama ana magali Makali alafu ukioneshwa anavaa yebo yebo sasa ya nn yote hayo?? S bora nipate 20 nikanunue jeans yang nipendeze
@pedropedroagira3980
Ай бұрын
Da doctor Mimi nassumbuliwa sana na ato mambo
@zainababdurlham18
Ай бұрын
Sheik kama unahitaji matibabu je garama yake nigp
@JamesAmani-xz6hu
Ай бұрын
dhaa dkit tunaomba namb zako make fifa zaku tunatak kushudia jamn
unataka kuuliza nini kama unataka pete utakufa kama mbwa
@Soge-jb4rb
Ай бұрын
Wapo wengi to
@ndayikezaoscar3467
Ай бұрын
UJINGA TUPU
@chusseboywcb2808
Ай бұрын
Nyinyi ndio wachawi tunawasaka
@surusuru1994
Ай бұрын
Tena mover zip
@KhamisHassan-jh6go
Ай бұрын
Namba yako au nakupataje Dr Sule
@igurusitv6553
Ай бұрын
Huyu ni mwanga tu
@aliaden5512
Ай бұрын
kabisa mchawi eti pete inaleta baraka
@hassanally446
Ай бұрын
Mwanga wewe usiokua na elimu, kwa sababu elimu ya mjinga ni majungu
@ummulhussein
Ай бұрын
🤣🤣🤣
@presidentofafrica.5038
Ай бұрын
KUMBE WAISLAM NAO WANA MAFUTA NA MAJI.., RIZIKI NGUMU KWELI.. MBONA MUNGU ANAOKOA KIRAHISI SANA, ILA HUKU MAMBO NI MENGI... YESU ALIUAMBIA MTI KAUKA UKAKAUAKA HAPO HAPO.. MUNGU ATUSAIDIE SANA.
@latifamuhunzi4061
Ай бұрын
Nikwambie kitu my ndugu, kama huelewi kitu uliza kwqnza
@latifamuhunzi4061
Ай бұрын
Kwa.upande wetu sisi ipo mpaka kwenye maandiko,labda nyie ndio mnayaona mageni
@latifamuhunzi4061
Ай бұрын
Maji na mafuta hayo mnayo ambiwa ninyi ya upako,ni maji ya kawaida.na mafuta ya mzaituni,kama huelewi ndipo mnapoona ni mapya ndiponapo pigiwa hapo
@user-qr2ww4nl7f
Ай бұрын
Hawo wooote wenye kumuunga mkono sule niwapenda shiriki kbsa😢
@faizG254
Ай бұрын
Huyu ni mshirikina.
@faizG254
Ай бұрын
Huyu mshirikina anapotosha Waislamu
@KhamisHassan-jh6go
Ай бұрын
Dr Sule nikihitaji namba yako naipataje au kukuona je
Пікірлер: 84