Dugu sangu msiedee uyu nganga ni atari Sana tumtengemee mwenyezi mungu ata kama utakufa maskini aina shida Matajiri na masikini wote tutakufa
@badruseif1318
Ай бұрын
Andrew unazungumzia uganga WA aina gani? Mana hata ukienda muhimbili kuna mganga mkuu
@andrewmoi2186
Ай бұрын
@@badruseif1318 akika mwenyezi mungu ametukataza kumtengemea muingine asie kua yeye sasa wewe ukieda KWA mganga kama uyu sule apo utakua amemusirikisa mwenyezi mungu
@sleyumngolo
Ай бұрын
Uelewa wako mdogo
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
Sahihi kabisa, huyu ni mganga na anapaswa kupingwa vikali sana
@rajabuidd45
Ай бұрын
Wewe mpaka Sasa una magari mangapi
@jumaothman4411
Ай бұрын
shekh umekua unajua kadari kuliko ata mtume sasa duh muogope mungu usipoteze watu
@IbrahimMwinyi
Ай бұрын
Ameongea ukwel kam umefatilia vizur
@azizaramdan5879
Ай бұрын
Kumbe huyu naye ni mshrikina namba 1 subhanna llah
@SANDUKUTV
Ай бұрын
Rizk anatoa Allah na anamkadiria mwenyewe
@abdulrahmanally7614
Ай бұрын
Nilikua namuheshim sana dr sulle ila kumbe upo kwenye ushirikina dah! Allah akuongoe
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
Hakika, hata mwenyewe kwasasa simuamini tena
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
Hakika, hata mwenyewe kwasasa simuamini tena
@FridayMwassa
Ай бұрын
Ushirikina na uislam ni ndugu moja
@salimuismaily7754
Ай бұрын
Tatizo hujamsikiliza Kwa kumuelewa umemsikiliza Kwa kumpinga
@abdurahimabdulkadir3926
Ай бұрын
@@FridayMwassashakahola pia alkua mwislamu au
@alimwadima254
Ай бұрын
Shukran Kwa kunielemisha juu Ya Hayo makundi manne Dr.Sule
@fawziyahassan5714
Ай бұрын
Boss Sulle hata habari huna na hujali kama Mungu anakuona Doh!! Dunia imeisha Mashekh wamepotea hata sijui tunaelekea wapi jamani.Shirk imekua kama maji ya kunywa Mungu asimame na kila anaekana upuuzi wa Sulle
ATAKAE AMINI HILI ANA AKILI KAMA ZAKO .....KUNA KITU NYUMA YA PETE UNAWAFICHA WATU.
@ibnuali6857
Ай бұрын
Duh allah akuongoze sule shirki hiyo ndugu rudi kwa allah uombe msamaha na hizo shirki utubie
@josephshirima7057
Ай бұрын
Ni kweli tunatakiwa kujifunza Kwa kuuliza tusiyoyajua ila hadithi zinasema nabii Suleiman alikuwa na hyo Pete hebu ifatilie uijue
@mamuamtoto
Ай бұрын
@josephshirima7057Nabii Suleiman alikua nao Pete hii niTarehwe nimesoma hata mimi kama sijakosea Kitabu cha RiyadhiSalihin jaribu kufuatilia.
@mussamalekela2107
Ай бұрын
Ndio shida ya kujiita masheikh bila kusoma mwisho wanatumbukia ktk ushirikina! Allah amuongoze sule na walio mfano wake, maghorofa magari ya kifahari mapesa visitupumbaze hadi kumshirikisha Allah.
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
Sulle unauchafua uislamu bila wewe kujua, hiyo ni shirk
@dorcaskarago2876
Ай бұрын
Uyo ndiye anajuwa siri yote ya uislam
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
@@dorcaskarago2876 uislamu hauna Siri yeyote. Sheria na taratibu zote za uislamu zinatokana na Quran na Hadith za mtume kama walivyoelewa maswahaba. Na vitabu hivyo vipo wazi, kila mtu anaweza akavi-access. Uzuri huyo bwana amezungumza bila ya ku-quote popote katika vitabu vinavyotumika katika uislamu. Hivyo katumia mawazo yake Tena na anachokisema kinapingana Kwa asilimia 100 na Sheria ya uislamu. Afterall shirk ndio zambi namba Moja Kwa ukubwa katika uislamu, Hilo liko wazi
@ahmetmwandu8499
Ай бұрын
@@dorcaskarago2876 pia Sulle Hana analojua katika uislamu, kama ni mjinga basi ni namba moja. Usione sijui ana-debate na wakristo ukajua ana elimu, hapana, Mimi nadhani anatumia dini kujiingizia kipato, lakini Kwa njia isiyo sahihi na huko ni kuvuka mipaka katika dini. Si sheikh, bali kwakua ela tamu basi anaenda kinyume kabisa na dini
@maryamtanzania9743
Ай бұрын
Sijui nacheka ninj ila naogopa kupoteza imani yangu kwakusikiliza hawa mashehe washirikina yarabi nakuomba utungoze
@FridayMwassa
Ай бұрын
@@ahmetmwandu8499Wewe ndiyo unayesema hajui kitu lakini waislam wenzako wana muunga mkono kwamba yuko sahihi
Ikiwa hujafahamu hasa.uliza tena...Mungu amaumba Sisi na majini tumuabudu...Sawa?
@husnatoba8124
Ай бұрын
Hamna mshirikina yoyote bila kusoma na wengi ndio wanapoteza jamii na Moroni pia atakua na kundi lake.innalilahi WA inna ilaihi rajiyun
@fahadrashid9754
Ай бұрын
Shida ya shekh mifano anayotoa hasemi kama ni khadithi au qur.an n kama hadithi wapokezi ni wepi
@swahilitherapytv3846
Ай бұрын
Elimu ya nyota ni miongoni mwa elimu za ushirikina, na hakuna swahaba yoyote wa mtume Muhammad allayh salaam, aliyefanya mambo hayo , ww Dr sule umetolea wapi ushirikina wako huu...??
@hasanipoy3976
Ай бұрын
Kwa mgaga wa kienyeji
@Blessedboi8019
Ай бұрын
Wewe ni agenti wa shetani
@user-kc6hc6re7t
Ай бұрын
YOTE NI SHIRK
@user-hd3pi3bc9v
Ай бұрын
Ww mzee acha utapeli na ushirikina na visa vyako vya uwongo ipo siku utakufa na utalipwa kwa unachokitenda✓
@allyabdalla8688
Ай бұрын
kadar haibadilishwi na lolote sio wala sadaka cha msingi watu wakaedarsani wakaelimishwe.na sio kwa mawazo yao wanazungumzia qadar aliulizwa mtume rhma na amani ziwe juu yake kuhusu qadar akase nisir Allaah usiizungumze . tumuogopeallaah kwa kutoa fat wa bila ya elimu.
@AboubakarNiyonzimaAboubakar32
Ай бұрын
Eti jini anaweza kukulinda ni ushirikina Allah hapendi hayo wew Sule Soma qur'an suratu Al an'am Ayat ya 128
@ndabatv518
Ай бұрын
Ndo maana waganga wengi ni waislamu...fatiliya mtaani kwako utakubaliana na mimi
Fremason wengi wakristo fatilia uniambie hlf nikwambie kitu hawa prophet ni hatar kuliko huy shekhe
@MuuYascohy-oc7os
Ай бұрын
Mafreemasons wengi ni wakristo na wasiokuwa na dini kenge ww!! pia wale waganga wa Shinyanga,Mwanza,Simiyu,Kigoma na Mara wale waislam ?? kenge mkubwa ww
@mjombawallace4966
Ай бұрын
Hawa Bure kabisa wanshenzie eeh😊
@fredducaunt
Ай бұрын
@@aminatanzanya7475😂😂 freemasons ni ma atheist na maislamu bhna fatlia bro Hakuna mapichapicha ya kafara kwenye Ukristu bob
@sambatv3194
Ай бұрын
Shirk ni shirk hakuna cha elmu ...hapa kama kuna mtu Ana elmu kuliko Rasul (S.A.W)
@user-hd3pi3bc9v
Ай бұрын
Halafu usilazimishe kuwa una elimu nendaa ukasoma itikadi sahihi ya dini yako [
@Aisha-qx7kz
Ай бұрын
Masha Allah ALLAH atuongoze na atakabalie dua zetu insha Allah
@rahmasalum1317
Ай бұрын
Kuvaa pete au madini bila kueka shirki haina tatizo tatizo huja kuitegemea pete hali yakua madini nasie waja ni viumbe vya Allah haifai kutegemea aina yyte ktk viumbe vya Allah
@ernestgeorge8412
Ай бұрын
Nakuelewa Sana dk sule
@TheFikra
Ай бұрын
Subhannallah kumbe huyu ni mshirikina kiasi hiki? Amefikia hadi kuhusianisha nyota na maisha ya watu?
@TwariqYusuf24
Ай бұрын
Kutegemea jini kwa ulinzi ni Shirki ya wazi katika uislamu..tatizo sio watu kukosa elimu bali ni kwa Dr. Sule kukosa elimu ya Tawheed
@user-kh2hn8in1s
Ай бұрын
Naskitika kuona uislam unatukanwa kwa mtu kukosa njia nzuri ya kufikisha aliccho nacho, hayo mambo hutaeleweka nduguyangu, hapo sio mahala pake, hakuna aliefaulu kwa kuwa na muelekeo kama huwo, uislam uko mbali na hayo, maulamaa wetu woote wameyapinnga hayo
@RaniyaOmary
Ай бұрын
Inalilah wainalilah rajiughun allah atunusuru... huy anatumia din kuangamiz umma muhammady mtoa rizki kwenye uwilam hamn wew nimshirikin allah akulipe dunian na akher
@noahnsubc1666
Ай бұрын
Ustadh unamaliza Mb na story za uo go😂😂😂 mtangazaji katulia tu
@sheikhidrisa9793
Ай бұрын
Hii ni elim tu kosa la dr sulle tu hakutakiwa kuisomesha kwa watu wasiojua ulimwengu wa mamb ya kiroho mie niko pamoja na wewe kaka toa elim
@user-ls4ih7hz8s
Ай бұрын
Hiyo ni shirk mtu ahusiani na nyota Aina hizo za makadirio umetoa wapi lete dalili we ni mpiga ramri tu
@hassanjr5318
Ай бұрын
Aliwahi sema kuhusu Nabi Sulemani na matumizi ya Pete
Nakumbuka kunakipidi Fulani aliwayi kumleteya fujo mayipopo uyo mtu nimshirikina mimi kwaivi sitaki hata kusikiliza hata maushirikina yake ALLAH anazidi kumunbuwa
@HeboniBabu
Ай бұрын
Mweleweni Sheikh vizuli musilaumu kwasababu ayo Ni mafundisho ya Dunia Na ahelaa kwaiyo mafundisho upate kuwelewa
@sabrimtumweni5633
Ай бұрын
Hii ndio shida ya wahadhiri huyu aliposilimu alihifadhishwa bibilia hakusomeshwa dini kisha akachanganya utoto wa mjini na dini hapa ndio amefikia... Ewe mola muongoe kiumbe chako mrejeshe katika njia yako sahihi Ila huyu ndugu engebarikiwa elimu ya dini sahihi yengekuwa Bora na kheir kwake
@HusseinHamidu-nq1vc
Ай бұрын
Watanzania tunapenda kukariri TU maisha utasiki ni shirki hii ndipo tunapo fely
@user-ec7wu9bk8w
Ай бұрын
Kwhy unajisifia sasa...Allah anakuona Sulle...!!!
@juntaadichie1923
Ай бұрын
Unajua nimesikiliza. Kuna faida ambazo nimepata kutoka kwenye visa alivo hadithia. Lakini nimeona kun shirki pia anafanya. Kuvaa pete upate hela kwa kutegemea majini. Ni sawa na mtu anae vaa irizi ili jini amlinde. Hivi viko sawa. Kwanini uvae pete, ama uvae iridhi wakt mungu yupo.. Tunajikinga kutoka kwake yeye tu ndio mlezi wa viumbe vyote. Hivi nd vit vya kuamini. الله و رسول
@FhhbCanhebeg-tv9sv
20 күн бұрын
Dr sule uko vzr kwa ili mtu akuelewe inabid akusikilize sanaa
@michaeljoseph3118
Ай бұрын
Hii Ni Shirki Sio Mafundisho Ya Mungu Ata Kidogo ,Hii Ni Shirki Total
@adamkassim-ts2ds
Ай бұрын
Uyu anapoteza waislam ana support shirki
@duncanbee1263
Ай бұрын
This guy is a genius 😅
@mantosanto3222
Ай бұрын
Dr naomba unisaidie nimeishi maisha magumu sana
@Mpuuzikichekesho5610
Ай бұрын
Hahahahaha jini nikiumbe kilicho asi mbinguni 😂😂😂😂 amtegemeae mwanadamu kua kingayake moyonimwake kamuasi mungu 😂😂😂😂😂😂😂 Majin nimeyatumikia sana mpaka kubadili din ila ukiyahitaji yanakulinda kweli nampaka sasa yananilinda ila nategemea mungu pekee
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
Ай бұрын
Kwa we Zeno mnaitolea shaanaa macho,uwoogo nthupo,mtume muhamadi(s.a.w.) hakusema upuzi uwoo.
@usrahismail3196
Ай бұрын
Eti Mungu anaumba kwa udongo wa shari na udongo wa kheri ?
@mjombawallace4966
Ай бұрын
Watapoteza watu hawa😮😮
@mjombawallace4966
Ай бұрын
Soma Quran utupe Aya tufatilie
@kanzucentre3468
Ай бұрын
Ameamua kujidhihirisha dakika za mwisho , muoneni ulamaa mumpishe kibla Kiukweli amepoteza mvuto na mwelekeo amfate tu mzee yussuf
@mohdshebe5640
Ай бұрын
Bwana mdogo vipi umetangaza dini imekushinda sasa unataka kutia watu kwenye shiriki, wapi na wapi Pete kuvutia riski au kufuga majini unakoelekea cko huko
@hassanjr5318
Ай бұрын
Umepata kisa cha Nabi Suleman Katika maelezo yake anamtumia sana tusihukumu elimu pana labda yupo sahihi
@AllyAhmad-zg2yp
Ай бұрын
Sule dua haibadilishi kadar umekosea bali hio dua pia nikadar maana Allah alijua kua utaomba dua tatizo liondoke ,kwa hio pia dua imekua kadar
@AshaAlly-dv8jg
Ай бұрын
Ahsante sana dr sule kwa kuelimisha jamii tatizo kubwa liliopo ni hawa mawahabi hawana elim na wala hawataki kusoma walicho karirishwa na wapumbavu wenzao kila kitu ni shirki ndio maana ukiwaona wamepaukiana na kila kukicha maisha yao ni afadhali ya jana
@AbdiAthumani-es7og
Ай бұрын
Ukipata wewe inatosha
@adeelgeniuz9492
Ай бұрын
Hakika
@bigemagomabigemagoma6312
Ай бұрын
Alhamdulilah Allah ametujulisha wewe ni Mtu wa aina Gani
@yusrashaban8138
Ай бұрын
Allahuakbar
@salimfaraj5509
Ай бұрын
Namuomba aniepushe na dhambi ya shirki. Siwezi kuuza akhera yangu kwa dunia. Allah anifanyie wepesi
@Shomariamuri1
Ай бұрын
Sasa uyu Sule mwisho wake utakua mbaya saaaana ☺️☺️
@Jumasaidi-iv8cj
Ай бұрын
Dah mungu tusamehe sisi tisio na elimu eti mtu kabisa anakwambia jini kukulinda inafaa je huyo jini anakulindaje pasipo na masharti
@usrahismail3196
Ай бұрын
Pete haisaidii lolote Bw sulle Mimi sasa sitakuita daktari kumbe udaktari ni wa kishirikina Ima kazi ile ya kuchambua Biblia,upo sawa nakuunga mia kwa mia
@Onchieku-cp8wd
Ай бұрын
Huyu ni mshirikina tu...
@Kekulebenzene
Ай бұрын
Mshirikina tu huyo
@hassanjr5318
Ай бұрын
Nabil Sulemani umepitia kisa chake ?
@ybmtaakwamtaaofficial3415
Ай бұрын
Una elimu ndogo
@aminatanzanya7475
Ай бұрын
Mi nauliza huy anasaidia nn huwa namuona tuu leo ndio nimesikiliz
@nassoroyahaya821
Ай бұрын
Nyota,Majini na pete ni Shirk jieoushe na hizo Elimu Kaka Maxinge yupo vizuribmno juu ya hilo
@user-ui2cc4bk6m
Ай бұрын
Huu ni ushirikina
@mbarakassa4347
Ай бұрын
Allah akutowe huko kwenye itikadi hiyo ya,shirki usowake unaonesha zahiri kama una,danganya wacha uzushi
@SameerMdumbemalongo
Ай бұрын
Njaaa mbaya sana kwa huyu Jaaahili....alianza kweny nyuki na nyambu zake....leo anaumbuka laivu
@tahirnephessalum3678
Ай бұрын
shirk zipo za aina nyingi kukitegemea kiumbe kingine kikupe utajiri badala ya M/Mungu nayo ni shirk ..
@AnnoyedCityMap-im1dd
Ай бұрын
huyu sheikh ni mtu muhimu sana ktk huu umma japo wasionsikiliza hawawezi kumuelewa.
@Kaankaraz
Ай бұрын
Kumbe Huyu ni mshirikina sikulifahamu hili kabla
@ackimackim1880
Ай бұрын
SULE NI KIGAGULA YAANI SANGOMA, NA UKIZAMA SANA KTK UISILAM UNAISHIA KUWA SANGOMA, ILA MNARAHISISHA KUJIITA WATALAMU,UCHAWI TU.
@regnaldymambaly9880
Ай бұрын
Mungu anasema ataibariki kazi ya mikono yako hivyo ina maana kuwa kupitia kazi zetu ndio ,Mungu anapitia kutupatia mafanikio au utajiri na ameweka kanuni zake,lakini wewe unavaa lipete kidoleni alafu una tuambia lina uwezo wa kukupa utajiri,sikiliza cc si watoto tuna juwa wazi kuwa shetani ni roho hivyo huwezi kumuona kwa macho yako kama hauko ktk roho , hivyo huwa anawakilishwa kwetu kupitia maumbo au vitu tunavyo weza kuviona kwa macho yetu ya kawaida kama pete ulioivaa na kuna sababu ya kuivaa mkononi na wala sio kuiweka kabatini au mahali kwingine
@yunusrashid3356
Ай бұрын
Nakuelewa Sanaa suleiman
@HamzaNassoro-kn6yt
Ай бұрын
Mungu akunusuru dada
@GloriaCharles-bu4fk
Ай бұрын
Upandacho ndicho utakachovuna usichanganye dini na uganga mungu adhihakiwi unamtumikia nani
@ibrahimgollosaid512
Ай бұрын
Got it..!!
@CharlesMganga-kk7jv
Ай бұрын
Dokta sulle nakuku Bali sana mimi ni mkristo lakini nakiamini unachofundisha
@jamalykimaro961
Ай бұрын
Tapeli umeuchafuu uislam sana sana allah akuathibu hapa duniani na kesho akhera maana uislam ni kalla llahuu kalla rasull kasema allah kasema mtume wake ndo uislam si maneno bin kauli z allah walla mtume usitume maneno ya kusema tuu allah ww ni mchawii na si muumin suala la rizik ni Allah pekee
@florayoram9563
Ай бұрын
Sule anaongea vizuri sana juu ya paswed ya riziki😂
@amanihamis217
Ай бұрын
Mashallah
@abuumadesign8095
Ай бұрын
Sheikh bora urudi kwenye moja dharau lakini huko ndugu yangu unajivalisha Jojo lisilo lako
@KihangoDonard
Ай бұрын
Mungu jaman atulinde huu utajiri siyo
@jumaabdallah6087
Ай бұрын
Ushirikina wa wazi
@abdialiabdi5862
Ай бұрын
Hata siamini ninachokiona..😢 ndo huyu dr 😢
@rahmajohn7284
Ай бұрын
Ya Allah tuhepushe na ushirikina😢
@pascopaul909
Ай бұрын
eti pete inaweza kumsaidia kwa idhini ya mwenyezi mungu huyo mungu anayeweza kukusaidia kupitia pete huyo sio mungu ni mapepo yako unayoyaabudu MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI hana shirika na majini hilo unalijua ila uchawi tu unawasumbua
@MwanamkuuMumbe
Ай бұрын
Maashaallar
@LizenMaker
Ай бұрын
Kweli kabisa
@mwanamkemuislamutv9369
Ай бұрын
VISA VYENGINE VIHAKIKISHENI MAPOKEZI YAKE JEE VIME SIHI AU NIVYAKUZUSHA....KWANI NABII MUSSA HAKUWA MCHAMUNGU.... BWANA SULE MANENO MENGINE KUWA MAKINI KUYAELEZA JAMII. Daah hichi kisa Kina wa atiii tena sana.
@jeniverstanley5282
Ай бұрын
Wote tunajua mashekh ni wachaw na dini ya kiislam ni ya shetani huyu shekh anadhirisha hilo.Bwana Yesu awafungue macho mpate kuona
@AbdulKitalula
Ай бұрын
Hawa ndio wale Mashekh wanaowachapa watu mitaani kisa hawajafunga ramadhani
@mobimbalongida
Ай бұрын
aminia sana dua
@EngLex-vo7te
Ай бұрын
Watu wanashindwa kuwaelewa awa jamaa na ata wao wanashindwa kujielewa mimi kwa namna nilivyofuatiria na kuwaesikia kwa umakini ni hivi: Muslim akisema jini mm'baya anamaanisha shetani na anapsema jini mzuri maana yake roho mtakatifu
Eti hiyu ni Sheikh watu kweli wanalitumia jina la mwenyezi mungu
@hurulaainmalkiaaisha1508
Ай бұрын
Allahu ya aalam
@barazasule9582
Ай бұрын
Dr Sule, Sasa sikuelewi tena kama zamani.
@user-sd5hj2im4q
Ай бұрын
Elimu yke kubwa Dr. Sule mm nimemuelewa sna na elimu ikizidi unaweza kuteleza,, lkn ukweli Dr. Sule kasoma na elimu kaipata sasa wale kajamba nani haifai kumpeleka ktk shiriki sheikh wetu kwza wakasome ukweli ameiva
@Young_Chamguhi.
Ай бұрын
Yan wachache sana tunaemuelewa Dr. Sulle
@ladyvision1133
Ай бұрын
Shehee yoote hayo maswali wanayokupa ni wivu na pia umewastua cause mashehe wengiii wanafiki pili mashehe wengi wachoyo wa dua hawasemi kweli kwa watu na mashehe wengii wanaishi kimaskini ndio hicho wanachopata tabu na wewe tuliosoma quba tunakuelewa kabisaaaa
@chakeali7772
Ай бұрын
Lete dalili katika maneno yako ya nyota na Pete unapoteza watu shekhe
@hassanjr5318
Ай бұрын
Kisa cha Nabi Suleiman dalili ya Pete Dalili ya nyota inauhusiana mkubwa sana na Hoja ya kwamba kila mwanadamu ana jini wake hapo ndio taarifa za nyota huanzia
@YasiniRajabuAlly-oc1pd
Ай бұрын
Mashekhe wameweka wazi sana utaperi na ushirikina wa huyu mchawi ila watu wanazidi tu kumpa sapoti ktika upotovu wake amkeni bwana nyie vipi
@galeebkhan0138
Ай бұрын
Shk Huyu n mshirikina acheni kumsikiliza
@MwanjiNzala-mo5ni
Ай бұрын
Ni kweli hata kwenye ulimwengu wa roho waweza badirisha kibaya kuwa kizuri
@mwanamkemuislamutv9369
Ай бұрын
Hebu twambia ni kadari ya aina gani kwa sababu wanachuoni wanasema qadari zipo za aina mbili hebu twambia ni kadri ipi inayobadilika kwa dua.
@user-do2id6pp4g
Ай бұрын
Ulishawahi kusema kwamba jina la kiislam sio sababu ya mtu kuwa muislam lkn nikukumbushe kwa hiyo elimu unayotoa kwenye jamii hauoni kwamba shirki na ushirikina katika uislamu ni ukafir sasa we hauoni kama umebakiza jina tu lkn kwenye uislam haumo
@user-vk1xf3lk9h
Ай бұрын
Mh hakika badosijawai kumeelewa huyumtu
@user-rd6he3pu2o
Ай бұрын
Dr ww zawad kutoka Kwa Allah unatuelimisha vizr snap inshallah.
Пікірлер: 370