Kila mtu ni muhimu kwa nafasi yake mwamba hana shida kabisa attitude za watu ndo zinafanya wamtukane na ndo wanazidi kumpandisha Chief godlove kaza butii wasikupigie kelele
@innocentjoseph805
Жыл бұрын
Biashara gani unafanya au Kaz gani unafanya isiwe tu tafuta ela, toa conent Kama watu wengi waliyofanikiwa.
@akimu-gl7zp
Жыл бұрын
Kifo ndiokiboko yenu. hakunaujanja walikuwepo matajili huyo nisawa nachinga tu. Lakini Leo hawapo malizao hazikuwasaidia
@petromsomba4523
Жыл бұрын
Binafsi nmekuerewa kawaida ya mtu Alie shindwa ire njia Alio shindwa yeye ww ukifanikiwa razima Akuchukieh to Akili mingi san broo
@britonsparky5717
Жыл бұрын
@Rayvanny ni mnyakyusa tokea Mbeya, nipeeni likes za Rayvanny
@suleymansalim5732
Жыл бұрын
Hana utajiri bana tajir wa kukutana nae kizembe. Hebu mtafuteni Bakhlesa mkamuhoji kama mtampata😃😃😃
@user-sd7qs7jt3y
Жыл бұрын
Nimekuelew sana good love kuwa na malengo pekeake haitosh kikubwa nikuhakikisha unapigania malengo yako Kwan mafanikio ya kimaisha huanza na ndoto na ndoto hutimia kwa kuipambania
@stevennyondo2215
Жыл бұрын
Kipimo cha utajir ni nindset 😂😂😂. Huko ni kujifarij ila sio utajir
@beatusmajumbi7125
Mvivu wa kufikiri na mipesa ya damu anawaambia wenye akili timam eti tafuteni pesa hauna amani na hizo pesa za damu unajikaza unatafuta wa kufa nao
@jafarinauma6798
Binafsi namuelewa tujitahidi kuishi na kila mtu kama alivyo na tabia zake pia kwa sababu hatufanani tabia majigambo na kujiamini ndio tabia yake siyo kosa ukilielewa hilo
Пікірлер: 189