Power Mangwana ni Noma sana huyu Mtu Safi sana Mwana Habari wetu John Ngollo kwa kutuletea huyu Mtu
@simonimajalimarco6604
2 жыл бұрын
Pamoja Sana brother hongera kwa studio
@fredyfile623
10 ай бұрын
Umenikumbushaa mbali huyu jamaa nilimjulia kwenye r free kipindi cha sito sahau anahistoria nzuri sana. Hongereni
@nehemiaphilemon4625
2 жыл бұрын
Mambo vp jonh ngollo napenda sana kufatilia video unazoweka naomba muendelezo waushuhuda wa uyu pawa mang.ana
@johnngollo
2 жыл бұрын
Sawa hamna shida Mkuu Weekend hii itakuwa Tayari itapatikana kwenye youtube ya JohnNgollo
@jamessamwel7172
2 жыл бұрын
YESU walete na wengine safi kaka ngollo kwa kutuletea intavyu hii
@desdelboniphasdesdelboniphas
Жыл бұрын
Naomba namba yako mtumishi Tafadhali mtumishi bado nakukumbuka niliacha uganga nikachoma vitu mizim mpaka sasa naendelea na wokovu
@elispiuselias1339
Жыл бұрын
Hiyo imeenda
@desdelboniphasdesdelboniphas
Жыл бұрын
Du mtumishi upo wewe ulinifanya niokoke Buhogwa katika kanisa la baptisti Buhogwa kwa MCHUNGAJI edward misalaba
@SadickShedrack
3 ай бұрын
Tengeneza simulizi ya audio mtumishi italipa sana mtandaoni
@tumainichanya3268
4 ай бұрын
Duniani hapa Mungu anawatu wengi khaa
@yaredndolosi1480
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Alivyotoa meno kaka ulitaani kukimbia, yaani ule mshtuko wako tu umeonyesha uliogopa sana 😆😆😆😆 by the way, hongera sana bro.
@johnngollo
2 жыл бұрын
Mkuu hadi Macamera Man waliogopa😁😁
@yaredndolosi1480
2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rajgangyangranth-g2f
Жыл бұрын
Nice
@johnngollo
Жыл бұрын
Thank you Brother but i need your help to share my link for others
@benjaminomondi3500
2 жыл бұрын
Namba zake za simu
@jonathanmundeda9714
Жыл бұрын
Mbona hataji vyote namana jinsi walivotorka wenzake
@Oman-nu2kc
11 ай бұрын
Yn kama naangalia move maana adis ilivo tamu fu! Pole sana mu gu yupo pamoja nww
@tumainichanya3268
4 ай бұрын
Kumbe kibogoyo duh!
@hamisiomaryi1699
10 ай бұрын
Kamahulifanya hayo Mambo hunasema humehokoka hujuwe Kuna familiha hulizizulumu jitokeze kwenye hayo maheneho na hikiwezekana Kama hitakupendeza huzipehata kifutajasho kamahumezifanyia marego haiza hulizijengea na iyonyumba bdo ipo hujuwe bdo siho haki yako zitoe hata kwa yatima
@consolatamedard6593
9 ай бұрын
Mhmm ndugu yangu Mungu hayupo hivo Kama hivo sasa waliokuwa makahaba alafu wameokoka waanze kwenda kwenye ndoa za watu ambazo walikuwa wanaiba waume zao Mungu akishakusamehe amekusamehe kikubwa usirudie tena dhambi.Alafu jitahidi kuandika kiswahili kizur pakuweka u usituwekee hu😅😅
Пікірлер: 32