Yaan huyu mama anakitu cha kuiambia dunia. Ubarikiwe sana. Mungu amejua kukutumia.
@wansibho554
Жыл бұрын
Ahsante Dada Irene kwa kutuletea Mama yetu amefafanua vizuri sana.. binafsi, nimebarikiwa na arudi tena✨
@dorothywibabaragatera6583
Жыл бұрын
Very profound ! Asante sana mama Mugassa ! Vijana wetu wanahitaji muongozo katika ndoa ili wafanikiwe maana chanzo cha Jamii nzuri ni familia / ndoa nzuri ! We need mama Mugassa more and more katika topic zote zinazohusiana na ndoa .
@Chrisscherry
Жыл бұрын
I’m 32 na huu mwaka naamini nitapata ubavu wangu tufunge pingu za maisha kabisaa🙏🙏🙏
@user-cv9mx1uj3i
Жыл бұрын
Unaye my sister?
@Chrisscherry
Жыл бұрын
@@user-cv9mx1uj3i bado sijafanikiwa
@isunga1964
Жыл бұрын
Nina 37 wakati wa mungu utafika ntaolewa
@hopesengo6972
Жыл бұрын
Usisahau kunipa Kadi ya mchango.
@irenekamugisha
Жыл бұрын
Utaolewa!
@joymohat5848
Жыл бұрын
Soon baby girl🙏🙏
@eshyndibalema1529
Жыл бұрын
Utaolewa dada Mungu yupo
@agneskajela6871
Жыл бұрын
Mungu mwema sana 🙏, Mwenyezi Mungu atimize haja ya Moyo wako
@hidayaswai3119
Жыл бұрын
Asante Yesu kwa kuwa mume wangu nitapewa. Asante mama
@Mimy_keys
Жыл бұрын
Ahsante Mungu wa Neema kwa Ajili ya Mafunzo haya 🙇♀️😢 Ubarikiwe Mama Mungu Akujaze Tena ❤️🙏🏽
@ashaidd2912
Жыл бұрын
Leo umefix kbs aje tena
@pericykiko6198
Жыл бұрын
Shalom mwana wa Mungu Iren uwe unakunywa maji ya moto mara kwa mara na uwe unapenda kuomba
@sophiasophia9713
Жыл бұрын
Unajuaje kama haombi, 🙄
@naomienana1412
Жыл бұрын
Namupata mia mia kabisa alicho ongea ni msingi katika kutaka kuanzisha safari ya ndoa Mungu amuongezee hekima
@hopesengo6972
Жыл бұрын
Eeh MUNGU,endelea kumbariki dada Irene aendelee kutuletea watu wenye madini ktk maisha yetu. Ahsnte mama Kwa hili somo,ubarikiwe mnoo mama.
@tulinagwea.malopa2889
Жыл бұрын
Amen
@noellahappy512
Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote 🙏
@mariamwamsojo5401
Жыл бұрын
Mungu amekupa hekima sana na maarifa yakiMungusana.
@elizabertpaul7215
Жыл бұрын
Sooo powerful. Vijana tumjue Mungu🙏
@eliudijustinyindi5939
Жыл бұрын
Nimeona nitulie nisikilize hii store mpaka mwisho maana nataka niingie kwenye mausiano duuu najifunza mengi nachoona dini ukiishika sizani kama utateseka kwakwelii
@mayaramso5647
Жыл бұрын
I have learn alot from this video
@greeneraston6102
Жыл бұрын
Kama Mim Nina 30 na sina hata presha najua Mungu atanipa tuuu
@hadiadaoman1981
Жыл бұрын
Irene tuletee na waislam hapa watuelezee mambo ya ndoa na mahusiano maana huku mtaan kuna kitu kinaitwa uke wenza hatar 🤣🤣🤣
@irenekamugisha
Жыл бұрын
Nalifanyia kazi boss wangu, soon!
@marthamhugo9699
Жыл бұрын
Kwa ambao hamjaolewa msikosee Kama sisi tumeolewa tukiwa wamdogo na bado Ni wadogo, lakini hatujui tunaenda wapi, tumeesha kosea
@laymashabani832
Жыл бұрын
Tumeelewa mamaangu sisi tusoolewa♥️
@emilylucas1404
Жыл бұрын
Hi
@hadiadaoman1981
Жыл бұрын
Yaan tunazidi kukua kiakili na kujua ndoa n nn jaman ndoa ina uwanja mpana sana
@laymashabani832
Жыл бұрын
@@hadiadaoman1981 Kabisa yani
@lucyedward7333
Жыл бұрын
Well said
@elizabethkwigeza6449
Жыл бұрын
Asante sana. A well educative session.
@katushabedotto2883
Жыл бұрын
Yani mnacho ongea nikweli ss ambao tumetolewa tukiwa bado wadogo ndoa zimetushinda tumezalishwa na tumetelekweza na watoto asee
@khalidgush1993
Жыл бұрын
Nice one.... lesson ...love your self that got me
@Udindigwa
Жыл бұрын
Point
@maryamtan682
Жыл бұрын
Asanteeni kwa mafundisho mazuri.
@eliethkwesigabo1990
Жыл бұрын
Asantee
@p-ludy7385
Жыл бұрын
Thanks 🙏🙏
@user-mo7yt7ez9u
Жыл бұрын
Ameen Mama
@osinyoruth2769
Жыл бұрын
I ,m blessed
@simpilumboma4760
Жыл бұрын
Helpful🙏🏾
@anethjoseph355
Жыл бұрын
Nimependa jmn
@leahstanley1064
Жыл бұрын
Asante mama
@gloriosehakizimana3789
Жыл бұрын
Asanteni sana somo nzuli mubarikiwe sana
@evasempita1144
Жыл бұрын
Hongera.sana.mama.kwa.mafundisho.mazuri.sana.
@user-js8hr3sp8s
Ай бұрын
Ahsanteee sanaa mama ang
@eliudijustinyindi5939
Жыл бұрын
Yamenikuta mengi sana walai vile kwakuangaika kutafuta mke wa kuowa nimepitia matatizo mengi nahata mmoja sijafanikiwa kuowa ila nina mtu mwingine sijui sijui kama nahuyu ntatoboa kwelii au laa
@stellahlinusi8215
Жыл бұрын
pole dear kime kukuta nn ndg yangu
@pericykiko6198
Жыл бұрын
Ma'am barikiwa umeongea vitu muhimu sana sana
@brynwalk4489
Жыл бұрын
Amen amen
@nolimittvonline6822
Жыл бұрын
Kweli kabisaa ulichopewa na mungu hakina maumivu Ila ukitafuta mwenyewe aaaah utakipata na malazote naonaga ndoa zinazo ongoza kwa kuvunjika nizile ambazo watu waliloga ! Au walivutiwa na vitu frani
@neemamhewa14
Жыл бұрын
Asante mama Kwa ushauri mzuri
@OnlyRuky
Жыл бұрын
Daaah 🥺🥺🥺Asante mtangazaji kwa maswali muhimu na Asante mama kwa majibu na mafunzooo
@mwanatz5980
Жыл бұрын
Asante Mama 😍😍
@agathamatambula538
Жыл бұрын
Well said mama 🥰😍
@nelsonludovick3360
Жыл бұрын
Naomba huyu mama aje Tena jamani
@suzanajohn5275
Жыл бұрын
Waoooo sisi ni wale wa kwanza kuiona na kucomment mamy umemaliza Kila kitu wewe ni hazina tunayoiitaji sana kwenye ulimwengu huu
@tiffanymo9453
Жыл бұрын
Ameen .God bless u mom.
@hopesengo6972
Жыл бұрын
Naomba arudi tena🙏🙏🙏
@zerasamwer52
Жыл бұрын
tumebarikiwa arudi tena
@user-sh3mc9zz2u
8 ай бұрын
asante mama umenisaidi kwa ushauri wako, coz sahii niko kwa mahusiano but weee
@jacquelineoemtoka6663
Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana Mama yaani angedelea tu.Mungu azindi kukutia nguvu
@jacquelineoemtoka6663
Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana namaneno mazuri
@user-ei2ud7gh5h
6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rehemarwanda6039
Жыл бұрын
Mama Mgasha.....umetusaidia sana Nikiri tu nimeelewa somo na litanisaidia kwenye next Episode yangu ya maisha😘
@ashaidd2912
Жыл бұрын
Mlete tena nimeelewa kbs
@berthaleonardbihondo1141
Жыл бұрын
Background music ingepunguzwa kidogooo pls🙏
@salomewandya7257
Жыл бұрын
Nimefurahi unaendelea vizuri na mafua
@irenekamugisha
Жыл бұрын
Thanks dear🙏
@lucyemichael7814
Жыл бұрын
Asnte kwa somo zuri. Itapendeza kama atarudi tena.
@irenekamugisha
Жыл бұрын
Ungependa kujifunza nini kutoka kwake!
@noellahappy512
Жыл бұрын
Mama arudi tena
@anethjoseph355
Жыл бұрын
Mlete tena jmn
@maila561
Жыл бұрын
ni mm kabisa bado sijajipta kwenye ndoa maana huwa haipo akirini mwangu kabisaaaaa
@KikiKasawa-ru9yf
Жыл бұрын
Imependeza saana Mama nimemuelewa
@pericykiko6198
Жыл бұрын
Wanaume si wachache sema wengi ni wanga mchana hawaonekani lkn haaaaaaaa
@jescajulius8023
Жыл бұрын
Jaman kuolewa siyo lazima haha
@Mcsceo
Жыл бұрын
Pole kamureen ulikuwa na mafua kwa Episode hii pole mamy..
@irenekamugisha
Жыл бұрын
Thanks. Mc Sceo
@furahannko10
Жыл бұрын
😍😍😍😍
@nevialeonard4306
Жыл бұрын
Unahama mada umemuuliza huyo mama utii ni nini kwenye ndoa kwa mwanamke?
Пікірлер: 106