Achana na yanga on gea ya simba mtaka po fungwa na yanga ndio mtajua kwamb a wanawaiga au ha wawaigi hovyooooo
@philiminamlosa
2 ай бұрын
Hawa kweli makolo 😂😂 Sanda!! Hii tarehe 8 mmeisha iandaa
@Zuwenamachela
2 ай бұрын
Kwahyo mmeshakufa subirini kuzikwa
@moizjohnston3841
2 ай бұрын
Km ni mshabiki wa Simba na unasema huwezi kununua hiyo jezi,we ni msenge na unarudisha nyuma maendeleo ya Simba
@gastonmbarila9458
2 ай бұрын
Mimi yanga Ila katika watu wa Simba ambao ua nawasikioiza ni GB ata kama ka ushabiki anako Ila ua anasema ukweli
@KokoloLambinguni
2 ай бұрын
SANDAKALAWE ndo abali ya mjini tena mkome kutulazimisha kuongea point
@SIDEBOYTV1990
2 ай бұрын
Sisi hatutaki kuamini kama kifupi cha neno sanda ni sandaland sisi tunachokifahamu sanda ni nguo ya maiti vaeni tu na kina debora wenu
@AnthonySarwatt
2 ай бұрын
Unayesema jezi mbaya kahamie yanga peleka unafiki huko kwa hiyo msemaji ambaye anaionea wivu jezi letu hata hiyo anayesema sanda hata yeye lazima ataingia kwenye sanda
@wazirimajani4476
2 ай бұрын
Hiyo tunaoelewa ni sandarland
@PaulSengo
2 ай бұрын
UBAYA UBWELA
@WadhifHajji
2 ай бұрын
Wametengeneza mapema hizosanda wanafahamukuwa tare he nane watakufa
@dahelahmad6331
2 ай бұрын
Lengo la vilabu hivi ni ubingwa Sio longa longa au uzuri wa jezi.08/08/2024.tusibiri kitachtokea.
@AbdallahShekhan-qx3kp
2 ай бұрын
Na lile jina la Moo makalioni lina maana gani
@Mhabeshi.Madayi
2 ай бұрын
Hakuna cha tulijua wala tulikusudia wala tulijua..Hilo neno sanda amejichanganya na makoro kuanzia wewe mwenyewe limewakalia vibaya hakuna cha promo wala nini hiyo mijezi ni sanda na mtazikwa nazo msimu huu hakuna ubunifu wowote mnatambulisha mijezi kama gulioni😂😂😂
@ladislausriwa7768
2 ай бұрын
Mwalimu nimekusikia umesema who is discover? Kama ni hivyo watoto wetu wangefauluje?
@efraimjohn4956
2 ай бұрын
Simba mshaivaa hyo nguo ngumu (sanda) Tar8 tunaenda kuzika tu maana mshajigharamia sanda
@NatressMwaskonya
2 ай бұрын
Big up?
@EstherMulinga
2 ай бұрын
Ndo hio sanda itakayowazika trh8
@PendoMatemba-ql1ng
2 ай бұрын
Kilio kitaanza kwako
@PlanetLeo721
2 ай бұрын
SANDA ! Duuuh
@salmahemed5840
2 ай бұрын
Kitambaa kizuri ,Kiko simple kama sanda.sinunui ng'o sanda hiyo nitavaa ya mwaka jana
@JumaBagelle
2 ай бұрын
Sanda fc
@frankiemissingo1925
2 ай бұрын
discover??????? kweli hv vTV vina watu.
@benjamimantoniomangoni6765
2 ай бұрын
Sanda Manara
@JumaBagelle
2 ай бұрын
Sanda Ubaya Ubwelaa
@FucianeBulemo-nd4wc
2 ай бұрын
🚫
@raulencomarkesh5848
2 ай бұрын
Kumbe huyu .....,🌑
@yunusimchala6569
2 ай бұрын
Huyu jamaaa anaharibu soka la bongo mm Nashauri TFF IWAFUNGIE HAWA WAJINGA MAKUMA HAWA
@erasmusleonidas6729
2 ай бұрын
Wewe mwenyewe kwa kauli uliyotumiwa ilibidi ufukuzwe nchini
@LohayDaniel
2 ай бұрын
Nyee makolo maneno ya kuandoka kama yameisha mngeandika jeneza kabisa,
@wazirimajani4476
2 ай бұрын
Tutanunuwa tu.duh kinaa
@mushtaqakram9843
2 ай бұрын
SI Bora wangeandika tu sunder
@IddyMawenge
2 ай бұрын
Hii mimi japo ni simba lkn swz kuvaa
@ElizabethChaga-dy7ju
2 ай бұрын
Kwanini usivae
@bisejulius4100
2 ай бұрын
Ubora wa sanda😂
@yusufsalimu-j4w
2 ай бұрын
😂watu wa yanga bwana, wamekosa malezi ya maadili katika familiazao. sasa hilitusi aliloandika hapa hajuwi kwamba anatangaza yaliyopo katika familiayake?
@ZuberySheketo
2 ай бұрын
Weka arsenal nnje kwenye vijola vyenu😂😂😂
@NathanielKayuni
2 ай бұрын
Wekafe2 machawa2shajuwaweweni yang
@Seven-x7q
2 ай бұрын
Sanda tayari, mazishi tarehe 8.tunazika hapahapa😂😂😂
@SalimAl-mahrooqi
2 ай бұрын
Tutawavisha yanga sanda. Hiyu tarehe 8.ashaushamba msikilize GB 64. Ndio umsome kisawasawa
@Seven-x7q
2 ай бұрын
Tar 8 mnakufa na mmeshajua mkaamua kuandaa sanda mapema😂😂😂.mazishi kwa mkapa @@SalimAl-mahrooqi
@AbdallahShekhan-qx3kp
2 ай бұрын
Weee mpumbavu sanda sio Sunderland maksudi gani anawafananisha na Maiti mapoyoyo nyie
@SaidOmar-d3m
2 ай бұрын
gb 64 wewe ilikua sahihi kutumbuliwa siamini ata hao wanafunzi waliopita kwako kama wanauwezo sahihi akuna maendeleo ya pekee yako duniani hata mataifa makubwa wanajifunza kwa taifa hata dogo vipi nyie simba mnakataa kujifunza kwa wengine na mnakataza wengine wasijifunze kwenu
@mushtaqakram9843
2 ай бұрын
Mm Simba lakini jezi mbaya
@jumannemsengi2195
2 ай бұрын
Na bdo mtasema tu
@SaidOmar-d3m
2 ай бұрын
gb 64 mbumbumbu wewe unavaa mawani umemwiga nani au wewe ndio wa mwanzo acha ushamba uwezi kufanya jambo iwe wengine wasifanye ndio ulitumbuliwa unaakili uliiba cheti
@yusufsalimu-j4w
2 ай бұрын
Kama wewe ni simba unaona jezi ya simba nimbaya basi kavae ya yanga maana ndo timuyako, wewe siyo simba tuachie simbayetu.
@silivianjonh6851
2 ай бұрын
kifuanni zimeandikwa sanda😂😂😂😂😂😂😂
@charleskuyeko4400
2 ай бұрын
Aliyebuni neno sanda kwenye jezi ni mpumbavu sana hana akili. Hata kama ni Simba mwenzangu hakutakiwa kuandika neno hilo. Sanda inayojulikana ni vazi la maiti. Sasa inakuwaje jezi zetu ziitwe sanda. Mlirogwa na nani kukosa akili kiasi hicho? Tutazodolewa mpaka tukome.
@NasibuAlban
2 ай бұрын
Tatizo nn
@lonesomekabora5547
2 ай бұрын
Sanda ni kifupi Cha kampuni ya sandaland iliyotengeneza jezi sasa huyo anapiga kelele na SANDA wakati umevaa nguo imeandikwa FILA upuuzi unakujaga kwenye jezi ya Simba tu?
@saidseleman2973
2 ай бұрын
Uwezi andika 3:37 Sunderland, ni tim UK, sanda ni tz
@emmanuelraphaelmalangahe456
2 ай бұрын
Tatizo la uto uelewa hawana
@sangaelly8548
2 ай бұрын
Wajinga wataumia sana na neno SANDA 😂UPUMBAVU Mwingi jamani
@bishopmgambomwenyecheo4610
2 ай бұрын
Mimi sivai sanda piga ua
@lonesomekabora5547
2 ай бұрын
Huvai Sanda lkn ukienda Dukani unananunua nguo imeandikwa FILA?
@lonesomekabora5547
2 ай бұрын
Sanda ni Logo ya Sandaland
@ImanBenjamin-i7z
2 ай бұрын
Era huna sio kwamba hauvai hacha uongo
@bethmahela2182
2 ай бұрын
Michoro iliyopo kwy jezi,ni jezi ya za yanga ya njano ,hiyo nyekundu juu kidogo ina namba moja,na chini kuna tano ni matokeo ya dabi,jezi nyeupe haina tofauti na msimu uliopita tofauti ni juu ya kifua neno m cola aliekuwa nayo mwaka jana mwaka huu tofauti ni m cola
Пікірлер: 70