Niwaombe samahani washabiki wangu kwakucherewa kwahiikazi mnisamee mashabiki zangu nimatatizo yalitokea kidogo ila namshukulu mungu mpaka reo
@NkondoGaliyaya
2 ай бұрын
Joo upige show itilima tumeku mis
@JumaLukanya-h2u
2 ай бұрын
Poa
@FaidaNyanda
2 ай бұрын
uko vizur xana gudegude umenikumbuxha wimbo wa mama neema pamoja ule mikos
@Maleyboy
2 ай бұрын
Kaz nzur kamamda ❤❤❤❤
@DoganNgongo-ou1cc
2 ай бұрын
Achiaa na Ile ya shiloti Kaka tunasubiri Kwa hamu sana
@MayengDulu
2 ай бұрын
Kazi poa sana gude gude tunakuintaji sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rafikiwadiamondplatnumz289
2 ай бұрын
Mbona unaimbiwa watu tu changanya nyimbo bhana toa ngoma zako bhana SHILOTI 😢😢 Mwaka huu umetungusha
@massanja221
2 ай бұрын
Nikwel hiz nyimbo so wote wanaozipenda hapo anabagua baadhi ya watu kama mimi na wengine weng
@MashakaDandu
2 ай бұрын
Hongera sana kijana lkn wapunguze Hawa jamaa komaa na yule mmoj tu mwananengo tushazoea mara Moja Kwa mwaka, lkn Hawa achana nao we msanii sio msanii wa kuimbia harusi au kusifia mtu, nakukubali sana mmi pande za izumba pia karibu
@MwanzalimaJohn-hd1hq
2 ай бұрын
Nakukubali sana mzee wa pesaa zinawenyewe..mungu akubaliki sana ❤❤
@johnonores7412
2 ай бұрын
Nilikuwa shabiki Sana wa nyanda madirisha Toka afe wewe ndio top wa nyimbo za kisukuma piga Kaz karbu dar
@EmmanuelElisafi
Ай бұрын
Mm .Martha napenda nyimbo zako san ❤❤😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ zinakosha san hiv gude unakaa wap
@emanuelbuganda269
2 ай бұрын
Pesa zina wenyewe kaka,, kazi nzur Sana japo duniani kote huwez mfurahisha kila mtu hivo focus on what you are doing 💪
@Samwel486
2 ай бұрын
nipo🏳️⚧️naisklza wananiulza who this guy nawambia gude gude tajiri wa maluho
@Devilinintungwawc2vk
2 ай бұрын
I've been scarred by a blotter, please forgive me, I'm begging you to like even one, my brother
@MeshakiPbarekele
Ай бұрын
Good job my brother
@bonifacehamis4088
2 ай бұрын
Good talented 👏👍👍 piga kazi Gudegude 🔥🔥
@dastopadady2402
2 ай бұрын
Gudegude Mungu akuongezee amani na salama kwako🎉
@KamisingusaKhamisi47
2 ай бұрын
Daaa sawa kaka angu kazi nzul sana pambana
@massanja221
2 ай бұрын
Kaanza kuingia kwenye mifumo ya wasanii wanaoshindaga kwenye harusi kuimbia watu but anyway gudegude wewe ni msanii mkubwa kwa sasa wasukuma tunahitaji jadi punguza urafi😂😂😂ukihamia huku kisima atakupiga gape kubwa sana
@bonifacehamis4088
2 ай бұрын
Tumemuacha mbali sana KisimaGang🔥🔥🔥
@massanja221
2 ай бұрын
@@bonifacehamis4088 sasa utasemaje umemuacha mbali mtu aliyekuzid subscribers parefu tu me naonaga wote wako sawa tu na ndo wenye wanaleta competition kali kwenye asili kwa sasa mana huyu anamwangalia huy na huy the same but akijikita kwenye nyimbo za harus si wte wanaozipenda sisi ni mashabiki zao na tunatoa maoni tu
Kazi kazi kutoka asili yetu ya kahama Fm hapaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
@zagalazabuinge3893
2 ай бұрын
Unatufelisha sana,kuna mambo mengi ya kuimba unatushauri siyo haya ya kuimbia watu
@SaidiHasani-n6c
2 ай бұрын
Hongela sana kaka mungu akutangulie
@HAMISIZENGO-v6t
2 ай бұрын
Punguza kuwa chawa broo unapotea kaka tafuta jumbo nzuri na sio kuongerea watu kaka!!!!!!!
@PoliceNdizeye-rt2ml
2 ай бұрын
Kazi nzuli gude gude tunakupanda kutoka burundi 🇧🇮
@RamadhaniMengi
13 күн бұрын
Goodone
@RevocatusDeus-dp8fz
2 ай бұрын
Ngoma ya moto sana ❤❤
@BrigadierJishosha
2 ай бұрын
Toa Ngoma kaka uko vzur
@MagrathMgwesa
2 ай бұрын
Acha kuimbia watu kaka tunahitaji kazin za kutuelimisha kama zaman. Nakukubari sana bro
@GehaShimiyu
2 ай бұрын
so Kila siku uelimishwee muda mwingnee burudani, Toka uzaliwe unaelimishwaga tuu na Bado huelewagii tuu bas Anza kusali
@emanuelbuganda269
2 ай бұрын
Kaka ata nay wa mitego anaimba siasa, elimu, burudan ndio mzk uko hvo huwez imba kitu kimoja daily kuchanganya nyimbo ndio uwezo wenyewe sasa
@rafikiwadiamondplatnumz289
2 ай бұрын
😢napoteza msanii wangu pole pole
@EdinaPastor
14 күн бұрын
Waooo
@vjamostzv
2 ай бұрын
Samahani pia ile ya lekana nabho mami hiyo ifanyie shooting
@alexsonmakejanic7549
2 ай бұрын
Nyimbo za mwanzo ni nzuri sana asaivi unaimbia watu tu
@EbuelaKabiona
2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉 kanzi ipo kabs
@sembiKashepi
2 ай бұрын
Jamani mziki Ni biashara Sasa Kama kalipwa aimbe aikataee Sasa pesa wakati yumo kwenye utafutaji
@siwemaSylvester
Ай бұрын
Hongera unafanya kazi nzuri sana ila punguza kuimbia watu mara mwananengo mara ndalo kwanza unachanganya watu imbanyimbo za kuelimisha jamii..wewe ni msanii mkubwa sana kikubwa punguza kutangaza biashara za watu kupitia nyimbo zako ushasema mwananengo ametosha.unataka wahame kwa mwanengo waende kwa ndalo tena 😂acha zako bhna.. yapo mengi kuhusu jamii bro achana na hawa watu .
Пікірлер: 133