Pole sana mwanangu nakuoneya huruma, nami nimelelewa na shetani kama hawa Moomba wako na mke wake ila Mungu akunusuru mikononi mwa hawa mashetani.
@HusseinNuru-zd3bf
Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤kaka bwela hapo hapo mungu akufikishe hatua ya juu sasa tunasema ikibamba sana wapi shangwe kwa bwela weweeeeeeeeeee
@user-vg9kf3ss3e
2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mariamomari4521
27 күн бұрын
❤❤wow mashaallah congratulations bwela
@user-xy5go4ks1z
23 күн бұрын
Jamani anko wewe nimtu mbaya sana
@user-vq8nb2ej2b
5 ай бұрын
good and nice work, ujumbe umegongewa msumari vizuri. bravooooo to all the actors. Viola nilifkiri upo Tikitok tu kuwatetea wanaume kumbe na kwenye uigizaji upo, safi sana dada. Bwela kaka angu i loved yr presentation, pamoja na familia ya mjomba wa tete na ile ya jirani aliyedanganya anasaidia kumbe nae ana lake. hongereni sana. Ngadu na mwanasheria wa serikali cjawasahau pamoja na mke wa mbwela. good work
@githongagenesisgithonga
7 ай бұрын
Mbwela kazi nzuri sana nilichukia ila nimemalizia kuipenda mwana sheria Viola, Stephen, Tete kila la heri
@uwamahorochadia5859
24 күн бұрын
Ww mujomba namkewako nyie ni mashetani😢
@uwamahorochadia5859
24 күн бұрын
Thanks mbwela ubrikiwe❤
@margaretnamubi4565
Ай бұрын
😮😮😮😮asante mbwela kwa kusimama na huyu binti
@HanifaHanifa-yw4pl
21 күн бұрын
❤❤❤
@user-zt3nj5yj2j
21 күн бұрын
Naomba kujua samaan jina la kijiji hiki nanimkoa gan pazuri nimepaelewa
@dorcaschease
21 күн бұрын
Morogoro Bwakila
@user-zt3nj5yj2j
21 күн бұрын
@@dorcaschease mashaallah shukran sana nataman kufika hapo siku moja kaz nzur sana mungu awajaalie mfike mbali kazi zenu zizidi kutupa elimu
Пікірлер: 16