Acheni kuongea utumbo sasa hapo amejigamba kitu gani hapo konde boy ni mtu mmoja pisi sn tuu ❤
@user-ps5el6ef2u
18 күн бұрын
Kinachoongelewa na mlichoandika haviendani😅
@eggysulle7988
18 күн бұрын
Jeeshiii la mtu mmoja jeshii kama jeshii 🔥🔥🔥🔥🔥
@ellyjimmy22
18 күн бұрын
Suel tv we are watching 🔥
@titoamani-e8b
13 күн бұрын
Harmonize hana imaani na kipaji chake tena ndio maana ameamua kua na uchawi..Mzee Popo...laana tupu😅😅😅
@boniphacemsafiri
19 күн бұрын
Wale vywawa wako mbona hatujawaona pimbi na wasenge wengine kelele wote leo wapost na hili
@youngrickericjames1850
18 күн бұрын
Mtangazaji unachokiongea ni tofauti na msanii anachojibu 💁🙄
@user-xp4re6tv8l
18 күн бұрын
Vanny mkubwa sana
@margarethpolepole7438
18 күн бұрын
MkubwaMungu tu siyo Vann
@yussufamour9979
18 күн бұрын
We nn kafirwe uko Acha shobo
@margarethpolepole7438
18 күн бұрын
@@yussufamour9979 Acha matusi toa maoni tu nenda shule usiitumie simu vibaya
@omarybakunda2554
18 күн бұрын
Unafiki wenu mm huwa siupendi
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
17 күн бұрын
Aaa Hawa hawaeleweki huwa ni kiki
@user-lb1nr2fw7t
18 күн бұрын
Harmonize bado sana kwa lukuga
@BurundiMedia
19 күн бұрын
wa Tanzania acheni unafki bila kupepesa macho wa mdomo Hamonize ni musanii muzuri ila kujilinganisha na Diamond bado sana kwa kweli afike kwanza level Rayvanny kwasababu Rayvanny pekeake kamzidi mbali sana Hamonize ila Hamonize anataka anataka kujifanya kua haujuwi kua Rayvanny mkubwa kuliko yeye anajuwa sana
@Peterchila-un2lx
19 күн бұрын
Sahihi sana ndugu upo sahihi kabisa
@binkomhesi9019
19 күн бұрын
Poleni
@MbalasaJRMwakabalile
19 күн бұрын
@@binkomhesi9019Ukikuwa kidogoo ukiwa na akili ya kuona kitu utaelewa harmo is better broo
@Farida-jx5nz
19 күн бұрын
Harmonize Yani bd sanaaa sema yeye anajikubari sana kuliko ata mashabki wanavyomkubari
@DM_15
19 күн бұрын
Duh unamjua konde kweli , kuna utofauti wakua popular nakua namafanikio kwa umaarufu naku shine diamond ni the best. But nguvu ya ku ficha ulichonacho na ku mention konde ni strong angekua dhaifu angepotezwa kabisa kwenye ramani ya muziki kama mavoko. Diamond usipokua imara ana hakikisha amekushusha hataki ushindani wa kuona mtu ana mpita ki ustar na umaarufu, kitu unatakiwa kujua ukiwa maarufu wafanya biashara wenye nguvu ya kuficha thamani wana tumia umaarufu wako kuingiza pesa, Diamond anatumika namakampuni mengi, mfano chibu perfume nimtu aliwekeza , diamond karanga nimtu aliwekeza wasafi media kunamtu kawekeza, wasafi bet, mkenya ka invest , peps mkubwa wao wahindi wamewekeza, air tel pia hivyo hizo kampuni zote hazi milikiw nayeye baadhi ana his nazo. Na unatakiwa kujua hakuna mtua anaweza kukulipa zaidiya anachopata. That means haimaanish hawezipitwa na wasanii wengine. Do you know that guy musion AY. He has a lot good result , bana boy wajuz tuu kawapita wengi kiuchumi, hivyo hata konde anawezakua wa juz aka mpita mondi pia inawezekana.
@donlee9992
8 күн бұрын
Ukubwa wajna utapendeza ukiambatana na mkwanja.
@user-fc1pn6ee4z
Күн бұрын
Bado sana harmo
@nzitogondwe9976
6 күн бұрын
Yeye kila mara mpaka amtaje mwamba diamond
@jeremiahcharles6027
18 күн бұрын
Mbona anaiga kwa mond mpaka anakosea ,,,anaongea kwa uhumble sana
@lamecknzuzu9734
10 күн бұрын
Mond apewe heshima yake
@NGOSHA
18 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@gustaphkadio5144
10 күн бұрын
Ili muuze lazima mumtaje diamond for no reason
@DamasLehani
18 күн бұрын
Vanny kwani anaomba Nini ?
@richkaja3317
16 күн бұрын
Mond jini sio mtu konde afanye kazi aache unafiki
@enockezekiel4125
18 күн бұрын
Momentis duh
@zerochanneltanzania3797
18 күн бұрын
Diamond will always be your papa…without him you aint shit. End of story.
@piusnyaboga903
18 күн бұрын
Wewe n ng'ombe kila mtu amesaidiwa hat diamond alipitia mikono ya mtu
Wewe Baba ako ni Diamond.. Diamond ni Baba ako wewe..
@JuliusOkanya
17 күн бұрын
Aje kuliko simba
@musiccaentertainment100k8
18 күн бұрын
Naona mashabiki wa rayvanny wanavyo weweseka
@eggysulle7988
18 күн бұрын
😂😂😂😂😂watapatapa😂😂
@yokossiaks867
Күн бұрын
Simba angemchukia harmonize angemuacha kabla bado haijatoka
@SiraMinanda-k1n
Күн бұрын
Chuki inakuja baada ya kuona mafanikio ambayo ukuyategemea kwa ulimsaidia, Aliyekusaidia anatamani uwe chini yake uendelee kuwa muhitaji kwake.
@shannarsaidSwahili
19 күн бұрын
Rayvanny ni mkubwa kuliko huyu harmonize.....maana harmonize anavimba saana na bado yupo chini ya platinumz na vannyboy
@user-in7ie3mj9o
18 күн бұрын
Msiwe mna kurupuka bhana😂
@user-fh5xt9pr3v
18 күн бұрын
Jesh na kiba ninwakali
@karimjuma4019
18 күн бұрын
Mtangazaji unaongea sana
@SmilingBeaver-rf6sf
18 күн бұрын
Dogo unajifanya wewe ni mkubwa
@d-manb-free3478
18 күн бұрын
Think about Konde Gang kumebaki tu Ibraah na yeye ni Kama yupo and hayupo 😂
@Barakanenealldays-bp8cd
17 күн бұрын
Anaongea kaaa mondi
@margarethpolepole7438
18 күн бұрын
Diamond ni ya Kusaga yeye anashea ndogo na Ally Kiba yuko na waziri nyumq yake na ndiyo qliyemleta wa BBC London kuna siri nyuma ya pazia tulieni vijana
Пікірлер: 79