Nasra popote ulipo 😊 One Power Media hongereni Sana Sana Kwa kazi zenu: Kama hamto jali mna group la whatsp Nina omba kuwa mwana family 😊😊 WATU WA AKILI MINGI
@zulachama1067
2 жыл бұрын
Kizuri kipewe kipao mbele kwa kazi nzuri sana, pongezi kwenu nyote wausika.
@zulachama1067
2 жыл бұрын
Hanita,kama nakuona vile katika kitengo chako,kwa kweli filamu iko vizuri sana nimeipenda. Watching from mombasa kenya.
@gagalinodenatrick1652
Жыл бұрын
Huyu jamaa nae n chiz Sana kujielezea mpk uombe ridhaa ww bwatuka tu
@gagalinodenatrick1652
Жыл бұрын
Huyu jamaa nae n chiz Sana kujielezea mpk uombe ridhaa ww bwatuka tu
@musaiddi4562
Жыл бұрын
Liashura lina roho mbaya kama sura yake
@douglaskibiwot5420
Жыл бұрын
Bongo tamu ili
@marynzioka1898
Жыл бұрын
Asanteni sana kwa mafunzo yenu mazuri sana kwetu wote wanawake tuwe naroho z akuelewa waume zetu, wanaume muwe mahaminifu,
@OmanOman-ky2oo
2 жыл бұрын
Ashura kumbe unamchipuko wako usije ukajuta
@MRJ1308
2 жыл бұрын
Jirani huo mhereni kwenye pua uondoe unakuharibia uzuri
Пікірлер: 41