umejuaje kama mume wangu wa kwanza kaniroga nimkubali saiz pamoto ila hawa waganga wawe wanawaambia tu huyu akufai tunaharibiana maisha tu😢
@MwigaKatumpula-mi3zt
Жыл бұрын
Umenipata sana Yaani ni askari pia napenda sana kilimo na biashara 🙏🙏😀
@ashurakizito
4 ай бұрын
Ahsante sana Dr mm ni A na sasa nina mume S na ni mweupe alhamdullah tuna endelea vzr sana
@Abdulrahmanhassan18
7 ай бұрын
Shukran sana mwalimu kwa elimu hii
@tejalamapenzikindua779
2 жыл бұрын
Sawa sawa mtaaalam tuko pamoja tunaenda sambamba
@lucykimario7955
2 жыл бұрын
Kazi za herufi L tafathali
@MwajumaMohamedi-vd7vr
Жыл бұрын
Nimeuelewa sana asante
@MomoMusa-dn8zz
2 ай бұрын
Mimi napenda ya diamond na silver je inawezekana
@username-ey8qu
2 жыл бұрын
Asante sana doctor
@mwajumashomari5279
Жыл бұрын
Sijui umeniona mimi hapo kwenye ndoa maana daa! sina jinsi
@alicealinda6676
Жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako
@mariambura8071
2 жыл бұрын
Yani nakushukuru sana Mimi mariamu ulichoongea ni kwelo
@annageorge43
2 жыл бұрын
Ukweli mtupu. Mimi mwenyewe hapa.
@dumasbajun0012
2 жыл бұрын
Shukran sana Mtaalam Ally
@alexkush7995
Жыл бұрын
Daah broo kweli mm kazi yangu ni mwasibuu tuu mpka nashangaa
@merykyungai2551
8 ай бұрын
Nimejifuza sana
@AshuraAlly-t1d
4 ай бұрын
Kaka mimi ni A nina mahusiano na mtu jina linaloanza na herufi G huyu mwanaume anapenda wanawake na kila siku ugomvi shida ni nini mbona nyota zetu zinaendana A na G mwanaume ni G yaani mpaka nimechukua maamuzi ya kuachana ananisaliti sana mimi A ndo nimechukua maamuzi
@Aminajuma-q1y
11 күн бұрын
Hamendani
@jamalsaid9159
2 жыл бұрын
umenifanya nikumbuke kitu nilichokifanya zaman kiasi km miaka 4 imepita nilishaur Jambo kzn kwangu enzi nilikuwa nimeajiliwa wallah ushaur tu uliokoa nabilion yapesa nilipewa zawad ya laki 8
@hannamakamba6108
2 жыл бұрын
Ahsante kwa somo
@mahmoudmpitabavuma3158
Жыл бұрын
Lakini haya mnayapangaje?
@stevenmwakitalu9992
2 жыл бұрын
Nashukulu sana hakika uko mlemle Sema naomba unisaidie kitu kimoja NAWEZA KWENDANA NA HERUFI GANI KATIKA KINDOA AU NAWEZA PATA MWANAMKE MWENYE HERUFI GANI NA TUKAENDANA KIMAISHA?
@allykk1459
2 жыл бұрын
Ipo clip hapo itafute inayo eleza herufi zinazo endana kwenye ndoa ipo ipitie utapata majibu.
@fettyshabani63
2 жыл бұрын
Asante kwaushauli
@mahmoudmpitabavuma3158
Жыл бұрын
Kweli.
@salimumohmmed6902
2 жыл бұрын
Bro ukweli kabisa lakini mm naweza kuomba msada kutoka kwako please nisaidie number Yako pls
@muhinajuma7113
2 жыл бұрын
Swadakta
@jamalsaid9159
2 жыл бұрын
mpk leo sjawah kusahau
@nashnash2407
8 ай бұрын
Asante sana
@VickKulekana-si1ib
Жыл бұрын
Kwel mimi mwenyewe napendaga kufanya kitu jua linapochomoza
@mwidinihassani6583
11 ай бұрын
Mimi nimeowa mwanamke mwenye herufi h
@VickKulekana-si1ib
Жыл бұрын
Unapatikana wapi dar
@peterwapesa7947
2 жыл бұрын
Tupo pamoja tunaunga mkono hoja
@mohamednuno6340
2 ай бұрын
Ujambo hiyo pete pesa ngapi
@VickKulekana-si1ib
Жыл бұрын
Kwel kuna rafiki yangu y ana akili
@HadijaMussa-bb3js
3 ай бұрын
Huo udy unawshia ndan au nnje
@esterkiba1596
2 жыл бұрын
Hpo kweny cku y bahat mbn kwang huwa inakua mby
@allykk1459
2 жыл бұрын
Wewe ninani jina lako
@esterkiba1596
2 жыл бұрын
@@allykk1459 Anna
@allykk1459
2 жыл бұрын
Ester
@allykk1459
2 жыл бұрын
Ok nipigie whatspp asubuhi kuanzia saa mbili mpka saa tano
Пікірлер: 49