@@frankmpembu Please be serious! tangu line kikawa kitu kimoja?
@leonceuwandameno6378
Жыл бұрын
@@frankmpembu Ni kweli sinagogi siyo msikiti, wala hekalu siyo msikiti ... shekk anapobainisha kuwa Mariamu aliingia msikitini... anamaanisha nini?
@jumamgandi-wi1cp
Жыл бұрын
Axalam alyqum warahmatullah wabaraqatu shekh...mbna hufiki mombasa sehumu za mariakani ju wa2 wanatamani xna kukuona....inxhallah twakuombea ufike kwa neema ya Allah.
@emilykivunja1280
9 ай бұрын
Kiukweri Dr. Sulley Mwenyezi Mungu akupe kila lenye kheri hapa duniani mpaka ahera.
@nemeskiwali3248
Жыл бұрын
Wallahi shehe umenigusa mno na Hotuba yako Mungu akubariki sana!
@fatmakombo6639
Жыл бұрын
Mashalah shekh Alhah akubariki
@deodartngaiza6664
9 ай бұрын
Sheikh, hongera sana sana hii ndiyo hotuba iliyoenda shule. Natamani utunge kitabu cha maneno haya haya. Kiletwe hata makanisani kwetu tutanunua sana.
@jumamshana9868
9 ай бұрын
Mashsllahh
@dianandabirorere6365
Жыл бұрын
Jazzak Allahu Khair,shukran sheikh Wang kwa elimu
@nakundwamkubwe7823
Жыл бұрын
Mashallah Mashallah kwa uhakika Uislam ni muongozo. Shukrani kwa elimu Dr Sule Allah akuweke.
@lilianluhasi311
8 ай бұрын
Hayo hata kwenye Biblia yapo, hivyo muongozo upo kwenye Biblia
@lilianluhasi311
8 ай бұрын
Kuzaliwa kwa Yesu ni mpango wa Mungu, alizaliwa bila baba kimiujiza. Acha wote tumfuate Yesu
@josephosborne3072
8 ай бұрын
Safi sana Ustadhi Dr Sule, Ni hadthi tamu sana, tumeenda sawa, utofauti upo mazngra alipozaliwa Yesu, chini ya mtende/ Hori la kulishia ng'ombe, but kla mtu afuate alichofundshwa vyote tumeletewa but hongera sana wewe ni mwl.
Kweli kabisa shekh hitoria ya Maryam unaijua,nashanga waislam wengi hawataki kujua hilo
@godfreyobadiah7892
Жыл бұрын
Ulijenga mjengo southninyi viongozi wa dini zote mna maisha bora kwa zaka za waumini
@godfreyobadiah7892
Жыл бұрын
Kumbe zaka robo tatu iende kwa wahitaji siku hiyohiyo ijumaa na j'mapili, mnabadili magari na hiyo pepo mtaionaje ?
@mahunduinnocent8027
Жыл бұрын
Hotuba mzuri
@Ashsultana
Жыл бұрын
@@godfreyobadiah7892 😂😂😂😂🤣
@abdulrahimowino1235
Жыл бұрын
Allahu Akbar. Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza Sheikh. Hongera kutoka Kenya.
@galusbenomillinga
Жыл бұрын
Nimependa mahubiri yako Shekhe Sullen.
@SWEETGALKHAN_001
Жыл бұрын
😢MASHAALLAH WALAHI VERY TRUE MAY ALLAH BLESS YOU AND ME ,AND GRANT US JANNATUL FIRDOWS 🕋🙏###ISLAM IS THE BEST DEEN FOREVER
@aishanassor1757
Жыл бұрын
I am Muslim I love it please give me your number for know ing each other
@ipyanamwasampeta653
8 ай бұрын
Only zombies and mentally ill people can believe in this cult known as islam religion. Your god called al lah is an imaginary statue with two hands both are on the right side and a leg, hence is not Spirit and anything without Spirit is a dead thing therefore has no divine powers, is powerless, is dhaifu. The God of Abraham, Isaac and Jacob is Spirit and this God is worshiped by Christians and Jews. Your god a stone called blackstone is in city called mecca and this stone is found at the corner of a cube called kaaba, muslims believe that once you kiss this blackstone all your sins are forgiven. Even the shetani of cult is also found in the same city called mecca, this shetani is punished by muslims by throwing stones in the building of this shetani and building has been built by muslims not shetani himself. Only fools can believe in this cult. Immediately after taking shahada know that your brain is gone so you become zombie. Even scholars of this cult known as islam religion they say that muslims are supposed to believe without understanding and are forbidden to question anything concerning their cult. It's said that 99.8% of muslims do not understand what is written in their book called quran because their god called al lah uses only one language that is arabic language and it's a must to pray in arabic language. Internet is killing islam.
@pungopungo411
Жыл бұрын
Mungu akibariki sheh nimependa mahubili yako mungu akujaze
@FordinaMpangala
Жыл бұрын
Nimependa mahubiri sana, mm ni mkristo
@marymule1678
9 ай бұрын
Nakubaliana na ww maana kitabu Cha historia ya Mama Bikira Maria katoliki inafanana na hii Yako Mungu ni mwema
@stevendavid8054
Жыл бұрын
Amina shehe,,tuangalie majina ya kuwapa watoto,mimi ni mwinjilisti nimekupenda sana barikiwa
@frankmpembu
Жыл бұрын
Wewe ni mwinjilisti wa uongo, yani hujui kuwa anaongea uongo
@saidbakari2408
Жыл бұрын
Mungu akubariki nawe pia ndugu
@stevendavid8054
Жыл бұрын
@@frankmpembu wewe ndo mungo na mnafiki,hapo sasa alizungumza uongo, kusema tuchague majina ya kuwapa watoto,acha ushenzi wako
@stevendavid8054
Жыл бұрын
@@saidbakari2408 Amina Asante
@frankmpembu
Жыл бұрын
@@stevendavid8054 Utamsilizaje na kumuunga mkono mtu ambaye anaongea uongo, tena anatumia neno la Mungu kutetea uongo wake na wewe humkemei, wewe ni mwinjilisti wa mchongo na muongo, maana mtu muongo hawezi kumpinga muongo mwenzake Yohana 8:44-45 44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo. 45 Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki.
@anodsimbeye9093
Жыл бұрын
Kanisa la Mungu katoliki liki wafundisha juya mama bikira maria mnawajiajuu na kuwa tukana ndipo mumeanza kuku mbuka Amini.
@ahmedabdi3262
Жыл бұрын
Allhamdullh shukrani kwa mungu ametuzalia masheik wenye wakona elimu
@adijamuke8590
Жыл бұрын
Allah akulipe kilalakheri fidunia wali
@jumannekambi232
Жыл бұрын
Barakallah fiika
@ahmedkamalmuhammad475
Жыл бұрын
بسم الله الرحمن الرحيم السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Baada ya assalaam Naomba sheikh Atuletee mawaidha ya janga jipya linatusumbuwa na mashetani wa sasa. Masaala ya mume kuowa mume. Masaala ya me kuowa mke. Adhubilahi minaal sheitani alrajeem. Inshaallaaah. Barakallahu kheiran.
@fatumakambi960
Жыл бұрын
Masshallah
@user-gs1to5lj9x
9 ай бұрын
Hongera sana doctor
@Aisha-qx7kz
Жыл бұрын
MashaAllah mungu akulipe heri Kwa kutuelekeza yalio ya kweli
@bettyjimmy9007
9 ай бұрын
Natamani kama vile uebdelee nimefarijika sana japo mimi mkristo mkatoliki
@Mbumbuko
Жыл бұрын
Allah Kareem akufanyie wepesi Kwa kila Jambo maashaa Allah
@user-ng6yt2od7l
9 ай бұрын
Mashalllah ❤nimependa mafundisho ubarikiwe Allah akupe mema ya nchi
@silvanuschiwalanga46
9 ай бұрын
Unaitwa Dr haki unastahili kwamaana unajua kujua kufafanua watu wa mungu waweze kuelewa tena kiuwepesi
@augustinematwe2797
9 ай бұрын
Sheikh Allah akubariki.mimi ni mkristo.
@RehemaMassana-gm5ir
Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Mungu akubariki
@halimamfaume1925
Жыл бұрын
Bismillah MashaAllah ❤❤❤
@chusseboywcb2808
9 ай бұрын
Mungu mwema atujalie mwisho mwema ❤
@lameckmadeni
Жыл бұрын
Inshallah mwenyezi Mungu akubariki sheikh
@piustombili9921
Жыл бұрын
Mawaidha ambayo hata mkristu akisikiliza anaelewa safi sana Sheikh
@frankmpembu
Жыл бұрын
Anaongea uongo, Waislamu zindukeni
@saidbakari2408
Жыл бұрын
@@frankmpembukakojoe ulale mpinga kristo
@drmwitagogwani3636
Жыл бұрын
Mashallah Allah jambo la khery
@eliufoombise7889
Жыл бұрын
Takbiiir
@rajabomar3981
9 ай бұрын
Mashallah, mwnyz mungu akubari shekh Suleiman
@HazlaKhamis-xw6se
Жыл бұрын
Mashallah Allah akufanyie kila la kheri sheikh SULE inshaallah
@mariamjuma8580
Жыл бұрын
Mashallah ostazi 🙏🙏🙏🙏
@asteriashios1852
9 ай бұрын
Mimi ni mkristo shekhe umenifurahisha sana maana unaongea ukweli mtupu mungu akubariki sana
@tresorkinyeshe6965
3 ай бұрын
Allahou Akbar cheikh sule acha allaha azidi kukupa umri marefu cheikh wangu nakukubali sana
@JosephSila-tc2dw
Жыл бұрын
Nimefurahi sana unapohubiri habari za bikira Maria. Asante
@fathimamct232
Жыл бұрын
Shekhe Mrisho Ibni jumaa Ibni Mrisho wa Ibni Kipindura Amerithi jina la Babu Shekhe wangu.
@nassirlugunda1544
Жыл бұрын
YOU DID IT DR SULE YO ARE REAL DOCTOOR
@frankmpembu
Жыл бұрын
Doctor wa uongo
@saidbakari2408
Жыл бұрын
@@frankmpembukaa kwa kutulia mpinga kristo wewe
@frankmpembu
Жыл бұрын
@@saidbakari2408 Mimi siyo mpina Kristo Kwasababu naamini Yesu ni mwana wa Mungu kama alivyosema yeye mwenyewe. Yohana 9:35-37, 35 Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu? 36 Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? 37 Yesu akamwambia, Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Wewe ndiyo mpinga Kristo, kama hutaki kuwa mpinga Kristo, amini leo kuwa yeye ni Mwana wa Mungu kama alivyokuambia apo kwenye Yohana 9:35-37
@msafirikushama2193
8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.
@AndreKanyama
4 ай бұрын
Mashaallah mungu akuwekeye wepesi katka mambo Yako yote duniani na akhera shkrani sn shekh😍😍😍
@ahmedabdi3262
Жыл бұрын
Ma Sha Allah sheik
@mystrocell2
Жыл бұрын
Yesu aliwaambia wanafunzi wake yakuwa, mjihathari na mafundisho ya waandishi na mafarisayo
@samxx411
Жыл бұрын
Mwandishi alosema yesu ni huyu:- matendo ya mitume 1:1 "Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, Theofilo, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha" 23:6 Matendo ya mitume "Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"
@user-il7pd9et7d
8 ай бұрын
Amene
@eunicengendo1446
Жыл бұрын
I would like the nxt content of dr to be how joseph become the father of jesus
@MrCay2co
Жыл бұрын
Masha Allah Al Hajji - Hussein Kaituko, Bungoma, Kenya
@SimonHombo-kl8rr
Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu shekhe
@user-fk5pc3md8h
2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Dr Sulle,,,,nmecheka xnaaaaa leo,,, ujumbe mzito na maneno ya kufurahisha,,,, Allah akulinde Inshallah
@StellaSamsoni
3 ай бұрын
Yean wewe ndio unajua dini naona katika waislam wewe pekeako ndio hauna unaguzi wa dini na umekubaliana na wa kristo wengine wanawaita MAKAFIRI HAWANA HOFU YA MUNGU ALLAH aendelee kukutunza🙏
@saumbliz8983
2 ай бұрын
Makafiri sio wakristo eleweni kafiri ni yule asiejua Kuna mungu ,kufa na kufufuliwa na siku ya mwisho
@pungopungo411
Жыл бұрын
Sheh unafaa kwa dini zote asante mungu akubariki
@frankmpembu
Жыл бұрын
Hafai kwa dini zote, nenda kasome. Anaongea uongo tu apo
@saidbakari2408
Жыл бұрын
@@frankmpembuukikata mkojo kakojoe ulale AZAZIL
@frankmpembu
Жыл бұрын
@@saidbakari2408 Kama inakuuma chomoa, ukweli umeshakuingia toka huko.
@saidbakari2408
Жыл бұрын
@@frankmpembu 😁😁😁 Pole saana kondoo uliyepote
@frankmpembu
Жыл бұрын
@@saidbakari2408 Wewe ndiye umepotea kwa kuamini Qur'an ni ukweli kumbe ni uongo wa shetani aliyempa Muhammadi kwenye pango la Hira. Kitabu=Upanga mkali, Ukurasa wa 22, inasema "Tulikuwa na mtume usiku Mmoja, Mara tukamkosa, tukamtafuta katika jangwa na mabonde, tukasema;ameuawa, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu. Kulipopambazuka mara tuka mwona anakuja akitokea upande wa hira, tukamwambia, tumekukosa, na tumekutafuta wala hatukukupata, Basi tukalala usiku mbaya waliowahi kulala watu; Akasema Muhammadi nilijiwa na muhitaji wa majini Bosi wa majini nikaenda naye nikawasomea Qur'an
@eliudjrkim-sm6ru
Жыл бұрын
Mungu akubaliki shehe
@augustomariosama1542
Жыл бұрын
Maashallah
@shaninjenje5004
Жыл бұрын
Ma sha Allah napenda sana kusikiliza mawaidha yake Allah amlipe ujira mwema
@manenondege543
Жыл бұрын
Shukrani sana
@zawadithomas1008
Жыл бұрын
mungu akutunze sheikh am Christian lakin napenda mafundisho yako🙏🙏
@kelvinkapinga4781
Жыл бұрын
Hàihitajiki nguvu nyingi kuyaelewa mafundisho yako. Ubarikiwe
@minafadhil3837
Жыл бұрын
Naaam
@suweidkhamis722
Жыл бұрын
Kuwa muislam
@emertonmwakina8593
7 ай бұрын
Anglicans pia tuko hapo mafundisho mazuri sana Barikiwa sheikh.
@benedictkiteji3627
Жыл бұрын
Barikiwa shekhe hunaga unafki
@imanimussalacky3078
11 ай бұрын
Mashaalllah, M/mungu akupe umri mrefu sheikh vizaz vijavyo vifaidike zaid na darasa zako
@RubenMassawe
9 ай бұрын
😅 by
@issakawaya8315
8 ай бұрын
AllAh atuongoze
@christinakayela1161
Жыл бұрын
Kwawakatoliki hongereni sana kumpa heshima huyu mama kumbe wengi wanatambua uwepo wake tutazidi kumuheshimu hata kama wengine watamtukana huyu baba kafafanua vzr sana
@masigoraphael9288
Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@saidbakari2408
Жыл бұрын
Barikiwa saaana
@samxx411
Жыл бұрын
Waislam tunamjua hadi familia yake, nyie hata baba ake hamumjuwi anaitwa nani
@prochesernest5439
Жыл бұрын
@@samxx411 Mariam dada yake Arun tofauti na wakwenye biblia Mariam wa Muhammad Quruan aripata mimba siku hiyohiyo na akazaa wakati anasikia uchungu sauti ikatoka chini ya aridhi na mtoto akaongea siku hiyohiyo ISSA Mariam
@samxx411
Жыл бұрын
@@prochesernest5439 sasa huyo maryam wa biblia baba ake nani
@aliyyuhibu3561
Жыл бұрын
Safi sana Dr, sule
@magrethkauki2224
8 ай бұрын
Asante Shehe nimelewa sn leo
@evelynensabiyumva2999
Жыл бұрын
Sheikh mungu akubarik sana
@rashidihabutwaha7636
10 ай бұрын
Maashaanllaah anlaah akuzidishie
@baysadam235
Жыл бұрын
Assalamam aleikum Mungu akujaze kheri shekh 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mohamedshaban4854
9 ай бұрын
Hongera mtaalam Doctor Suley
@joasgeorge9648
Жыл бұрын
Bwana YESU Asifiwe Suleiman Alijenga Hekalu na sio Msikiti wowote
@Malaikakisseto
9 ай бұрын
Nenda kasome yesu alikuwa akifanya ibada ktk masinagogi sasa katafute maana ya masinagogi utagundua kuwa ni msikiti kwasababu maana ya masinagogi ni masikiti wa wayahudi. Usikalilishwe kama kuna kitu hupaswi kuridhi ni dini fanya uchunguzi wa dini utagundua wapi sahihi ufate.
@addymsola4625
Жыл бұрын
Nimekukubali shehe ubarikiwe sana
@rahmamusa4484
Жыл бұрын
Hadithi nzuri sana mashallar
@user-ch9rq9fj1j
Жыл бұрын
Man'sha Allah sheikh
@FaustineAssenga-wu2lb
9 ай бұрын
Nimepata kitu kutoka kwako Shekhe Mungu akupe nguvu ya kuinjilisha. Neno
@mrsab303
Жыл бұрын
MashaAllah 💕💕💕💕💕💕💕💕
@bernardndemba2253
Жыл бұрын
mpumbavu wewe wamusikiliza huyu mwongo .kweli wajinga hawawezi kuisha dunia hii
@jumamsangi6048
Жыл бұрын
Masha'Allah
@martinsntonyo8537
9 ай бұрын
Mahubiri mazuri sana ubarikiwe mno
@strong8534
Жыл бұрын
Jazakallah
@malcomg1004
Жыл бұрын
Shekhe sikia,uislam umekuja miaka mia sita baada ya kifo cha Yesu Kristo,japo unawadanganya wa Islam ila hongera maana unasambaza neno la Mungu wetu,Hongera Shekh kwa kumuongelea Bi Mariam mama wa Yesu,utabarikiwa sana
@samxx411
Жыл бұрын
Mama yake mariam anaitwa nani?? Maryam kabla ya kumzaa yesu alikuwa dini gani?? Yesu alizaliwa baada ya miaka mia sita baada ya mussa mbona hamfati dini ya Mussa
@mohamedrashid6578
Жыл бұрын
Muhammad hakua mtume pekee alietumwa kwa ajili ya Uislam. Yani yeye alikuja kufanya kazi ilioanza kufanya miaka mingi kabla yake, kwaio Yeye sio wa kwanza kutumwa kwa ajili ya Uislam hapa duniani. Ila ni wa mwisho
@damianosikapili2917
Жыл бұрын
Tumsifu yesu kristo Mimi nimesikia mwanzo mpaka mwisho Sheikh
@stephenmnkande8192
Жыл бұрын
Maelezo ni mazuri sana japokuwa mengine kama ni tofauti na ninavyofahamu na pia hayaendani na Historia. Mfano kusema kwamba Mariam mama yake Yesu alisali Msikitini ilhali sote tunafahamu kwamba Mariam alikuwa ni Myahudi na Wayahudi wanasali kwenye Masinagogi hapo ndipo ninapotofautiana naye. Kumbuka Mariam aliishi miaka takriban 600 kabla ya Muhammad (S.A.W). Hata kwenye Quran 22:40 inathibitisha kwamba Wayahudi walikuwa wanasali kwenye Masinagogi (SWALATUN) na sio misikiti.
Ni kwel lzm atupasue vichwa sababu tunampenda sn,tuna muheshim sn huyu ni Mtume wetu hvyo lzm tumfuatilie sn
@aminasalmin6058
Жыл бұрын
Sadakta
@aminasalmin6058
Жыл бұрын
Dr.anamzungumzia nabii Issa sio Yesu wako. Weka kichwa chako sawa.
@mhandomhina5503
Жыл бұрын
Sababu Ni mtukufu, kwa Nini asingiziwe mlaaniwa wakati Qur'an sura ya Maryam(Mary) aya ya 31 "yeye na mama Ni wabarikiwa..." Pia hata Biblia inasema angikwae amelaaniwa Wagalatia 3: 13 sasa hapa tunapoumia na masingizio ya mtu huyu mtukufu dhidi ya laana lakin kwa Hali ya ajabu watu hawa wakidai wanamsifu .
@user-nf6ft3ir5e
8 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana she
@user-rv1po9or6j
9 ай бұрын
Sheih. Ubarikiwe. Nimekuelewa
@fastanzania
Жыл бұрын
Mashallah ♥️ 🙏
@abdoulmrisho4214
Жыл бұрын
Masha Allah 🥰🥰
@issafaquedalaura8279
Жыл бұрын
Masha Allah very history
@sofiaomar9919
Жыл бұрын
Mashallah ❤
@charlessiwale3858
4 ай бұрын
Waisram wanamariam wao munyazi mungu wao kwaujumla tuendelee kuwaombea waje kwa Jesus
@samirahimid205
Жыл бұрын
Tabaraqah Allaah
@kaijagenshala2161
Жыл бұрын
Mashall
@rebeccamaunde4085
Жыл бұрын
Unaongea ukweli kabisa,mafundisho mazuri haya
@saidijafari2812
Жыл бұрын
Hiyo ndiyo injili yenyewe hasa inayopatikana ktk Quran maana wengi hawajui Quran nini Quran ni kitabu cha mtume Daudi A.S ambacho ni Zaburi ,Torati ya Mussa A.s Injili ya yesu A.s na Quran yenyewe ya Muhammad ni kitabu kilichoshiba kweli hakuna kitu utakachokosa kuhusu mitume kabla ya Muhammad ni kitabu cha haki na ndio maana hata Muhammad kafundisha mama yake yesu ndio mwanamke aliebalikiwa kuliko wanawake wote ingekua uislamu sio dini ya haki bc Muhammad angemsifia mama yake lakini ye ndio kaja na Quran lakin kamsifia mama yake yesu ambaye alikuwepo kabla yake na wakati huo mama yake yesu na yesu mwenyewe hawapo washaondoka duniani .
@user-wx2oz8dp7d
9 ай бұрын
Inshallah shekh Allah akpe kher
@salumsalumu741
Жыл бұрын
Mungu akupe umli mlefu
@junedkipande3694
4 ай бұрын
Mashaah mungu akubaliki
@user-ng6yt2od7l
9 ай бұрын
Asante babaa🙏💯💯
@sh4138
Жыл бұрын
Mansh Allah Alhamdulillah
@yakoubmasesa4462
Жыл бұрын
Maashallah
@jeniphermyingajeniphermyin8029
Жыл бұрын
Hapo Kwenye majina nikweli kabisaaaa💯
@MaishaMahukualimas-vi8gm
Жыл бұрын
Nakufata vizuri sheh
@charlottemageza5380
Жыл бұрын
Sheih barikiwa sana
@emanuelmargwe7087
8 ай бұрын
Yesu wanaomuongelea waislamu sio Yesu Kristo tunamsoma kwenye bibilia bdugu zangu. yesu wao anavunja makanisa ila wetu ndo mjenzi. yesu wao hataki umoja ila wetu anahimiza umoja. Msipotoshwe ba hbr kwamba wao wanawasoma manabii wote walioko kwenye bibilia hiyo sio kweli. Kama wanawasoma wakuambia hbr za yesu tunae msoma sisi uone wanavyokata mitaa. Watakimbilia kwenye bibilia na kunyakuwa kifungu kdg na kujifanya kukuyumbishia. Hawa waislamu ni poroji nyingi tu, hawana lolote. Wapendwa ktk Kristo Yesu jitahidi sana muijue kweli ya neno la Mungu, nayo kweli iwaweke huru.
@mamlee7983
3 ай бұрын
ndo huyo huyo ila kuna wahuni walikuja kuihariri injili na kuharibu baadhi ya mafundisho
@Juma-hx9cf
7 ай бұрын
Mawaidha Matamu kweli walah hizo bangi unataja Ustadh me nimechoma kijiti apa ndo kwanza imenituliza apa nikiinjoy mawaidha yko usilolijua n ucku wa Giza karibu 254
Пікірлер: 862