👏👏👏👏👏👏👏👏👏Asante Mungu Magufuli kweli wewe siomutumishi wawa Tanzania pekee pia wewe nimutumishi wa Mungu Mwenyezimungu akujalie nakukupangufu watuwa Danmark tunagupenda sana Congratulations 🤝🤝🤝🤝🤝
@kusinayusuph3949
3 жыл бұрын
Hongera Sana Raisi wangu niliekuchagua mwenyewe
@JoshuaSambeke
2 күн бұрын
Baba mwenzio saivi ndiyo raisi pumzika
@eliachniyonkuru9797
3 жыл бұрын
Congratulations DKT JPM GOD be with you!! Voice from Burundi
@rehemashabhay2205
3 жыл бұрын
Mh Rais wangu hongeraaaa sanaaa.mwisho wa yote ushindi tumepata Mungu ni mwema. Alhamdulillah Molla ni muweza wa yote.
@KM-hx8zy
3 жыл бұрын
Mwanangu Joseph, Kazi njema na Mungu akutangulie, usibadirike, moyo wako ni mkarimu kwa watu wako. Mungu akushike mkono wake!!
@zainabujuma7252
3 жыл бұрын
Tunakupenda Baba Magufuli go go go Ikulu yako ningekuwa na Amri ningekupa 20 kabisaa
@mariamuseifu3065
3 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu Rais wetu Inshallah 🙏🙏
@latifapolena7649
3 жыл бұрын
Mungu akupiganie
@annadotto2429
3 жыл бұрын
Kura yangu haijapotea wa sijakosea kukuchagua, hongera sana Rais wetu Mwenyez Mungu azidi kukulinda, wanaosema wameibiwa walikuwa wap wakat wana ibiwa?
@lilianpabro5511
3 жыл бұрын
Hakika umenena
@radhiasalum7156
3 жыл бұрын
Hongera Rais wangu. Mola akutangulie kwenye kazi zako🙏🙏
@suleimanhassan6624
3 жыл бұрын
Mungu akumpe mahono yakuifanys kazi yawana hichi kwauuwaminifu nabils ubanhuzi wadin Wala wskabila mungu akpe uzima,
@tukuyufm
6 ай бұрын
dah, nimemkumbuka sana raisi wangu JPM, pumzika kwa amani
@bernakajoro4083
3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde na kukuongoza kiongoz wetu mpendwa ,uliebarikiwa na mungu,mungu awajalie saana viongoz wetu,tunawapenda tunajivunia kuwa na ninyi kwani mfanyanya Mambo makubwa mazur ndani ya nchi hii,tunategemea makubwa Zaid mazur,tunawakubali saana.amina.
@alexmilalu3031
3 жыл бұрын
Hongera Rais
@johnmasalumasalunjire5887
3 жыл бұрын
Hongera Magufuli Mungu akuriend
@nkambapunguja1519
3 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wangu Magufuli 🙏🙏🙏
@linetwafula7107
3 жыл бұрын
Rip president magufuli
@christinebelinda3498
3 жыл бұрын
Congra JPM💝💝💝💝
@petershayo5227
2 ай бұрын
Rest in peace Baba tutakukumbuka milele😭😭
@uwezowamunguutendaokazi3043
3 жыл бұрын
AMEN AMEN. MUNGU MKUU AKUBARIKI NA KUKULINDA RAIS MAGUFULI NA HEKIMA YA MUNGU MKUU IWE JUU YAKO.BARIKIWA MAMA YETU. AMEN.
@juliethhouseofdesigns147
3 жыл бұрын
Hongera sana Raisi wangu Mungu akusimamie katika utumishi wako.
@مارثاتنزانيا
3 жыл бұрын
Mungu akuweke raisi wetu
@sophiamalinga18
3 жыл бұрын
Watz wamekuonyesha jinsi gani hawakutaki
@المهلهلالحراصي
3 жыл бұрын
Kama humtaki ni wewe usiseme Watanzania wote hatumtaki sisi bado tunamhitaji sana wewe nenda kajifungie ndani kwako kimya
@toxicharmful4938
3 жыл бұрын
Walifumbwa ubongo tuwaache watajuta wenyewe
@lilianpabro5511
3 жыл бұрын
Humtak wew c wote
@petersabai6801
3 жыл бұрын
Hegeraw sana mh jhon pombe magufuri kwa ushindi wako
@FlorimondMpoyi
Ай бұрын
Vraiment !!
@lomayanilaiza8205
3 жыл бұрын
Jemn President of naona unakula kiapo bythewei ngai 2mikia inch vizr
@suleimanbalemba3348
Ай бұрын
2024
@sophiamalinga18
3 жыл бұрын
Mungu ameshamkataa ndio maana kura za wizi zimeonekana bado umelazimisha utangazwe umeshinda hakika Mungu atakupiga mchana kweupe
@peterandrew2795
Жыл бұрын
Pole sana baba yangu
@ayishaayisha8053
3 жыл бұрын
Amina yarabi allah akungoze
@rukundoibrahim807
3 жыл бұрын
MASHA ALLAH.
@deborahdeogratius4447
3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki kukulinda na kukutunza
@haithamalharthy68
3 жыл бұрын
Mama SAMIYA ALLAH akubariki na akusaidiye inshaAllah
@josephinanikwelimdacki3330
3 жыл бұрын
Hongera rais wetu
@magrethmussa6404
3 жыл бұрын
Chapa kazi baba tunakuaminia
@danieljeromelyimo6673
3 жыл бұрын
Mungu aku samehe Mna thubutu Kuapa😥😥😥😥😥
@toxicharmful4938
3 жыл бұрын
Watanzania tutaibiwa mpala mwisho kama kura zinaibiwa nn hakiwezi ibiwa
@melkizedekiwiliam5533
3 жыл бұрын
Kuna uthibitisho wa kuibiwa kura? Au ni kusikia tu ya mtaan
@mussahamis1367
3 жыл бұрын
Amina 5tena
@lomayanilaiza8205
3 жыл бұрын
I shall a
@raqikhalf6415
3 жыл бұрын
Utabaki kua raisi wa tanzania hakuna wakukupinga
@haithamalharthy68
3 жыл бұрын
Allah akusaidiye JMP. una apa kwa makini. MUNU akusaidiye
@MsevenSaudisaidi
8 күн бұрын
Pumzka kwa amani jembe letu uriyo mwwachia kijiti nchi imemshinda
@cliffkidd_
3 жыл бұрын
R.i.p JPM
@uwezowamunguutendaokazi3043
3 жыл бұрын
Bado nasema yanga wabadili jezi. Hii njano ibaki ya Ccm tu.
@mrsruweidaabdallah8704
3 жыл бұрын
Mh hongera tena
@herieltadeus4722
3 жыл бұрын
Ongera baba munga akupe hekma kubwa kwa kuongoza taifa letu
Allah Hana sifa kama ya binadamu Allah anasamehe mpaka washirikina ambao Allah alisema anasamehe dhambi zote ila ushirikina tu ndie aliahid hatowasamehe washirikina basi kwa hiyo mdomo wako huwezi muingiza mtu motoni Wala peponi angalia yako wewe huna dhambi wewe
Hakuna mwanadamu anaekaa kikao na MUNGU juu ya wanadamu chini ya jua
@mangeleoporod2704
3 жыл бұрын
Imeandikwa wapi iyo wewe mwenyewe apo hujui utaenda motoni ama kwenye laha ya milele ndo uhukumu mwenzako
@matendupiterngoge8707
Жыл бұрын
Umefanya kosa kubwa sana kumuhukumu mtu akiwa hai kua yeye nimtu wa motonn nadhani wewe unaweza kua huujui uislamu kabisa unachukua mamlaka ya Allah ya kujua mtu wa motonn na WA peponإسغفرالله يا رجل
@rumb9691
3 жыл бұрын
Nyumbani kumenoga 🇹🇿
@selemanizakarizakaria9371
3 жыл бұрын
Mashaallah
@stevenfabian2208
3 жыл бұрын
Kama umeona tai ya pink JPM kavaa na wakati akiimba wimbo wa taifa rangi nyingne gonga like
@switbertntibashima5238
3 жыл бұрын
Hongeraaa jpm
@wangariann6044
3 жыл бұрын
Siningekuwa mtazania aki ama nihame Kenya nije TX huku hakuna upuzi
@yahyasaid9789
3 жыл бұрын
Comedy tu
@msstudiosoficial8825
3 жыл бұрын
ASSANTE SANA
@mrsruweidaabdallah8704
3 жыл бұрын
Magufuli hoye hongera.
@toxicharmful4938
3 жыл бұрын
Kama baba anashinikiza watoto wake wote wawe na vyeo familia gani zinatengenezwa hapo na maendeleo gani yatapatikana bila changamoto mfumo wa vyama vingi unaovunjwa huo tutajuta
@lewismugo4070
3 жыл бұрын
kweli kabisa hakuna vile anataka chama chake tu kwa mbunge hakuna maendeleo.
@lilianpabro5511
3 жыл бұрын
Mtanyooka
@toxicharmful4938
3 жыл бұрын
@@lilianpabro5511 na mamaako pia ngoja tuwaache simnajifanya fyatu
@lilianpabro5511
3 жыл бұрын
@@toxicharmful4938 Et ee c fyatu n tunajielewa nyie mtaponda mwisho mtaacha tu amna jipya hapo tushazoea na mitano tushaampa afu kuhusu mama co unaechat nae plz heshima ifwate mkondo wake
@lewismugo4070
3 жыл бұрын
@@lilianpabro5511 mwenye kuumia ni sisi wanainchi, hii ndunia hakuna inchi iko na chama moja kwa mbunge labda kwa dictator maendeleo hakuna hapo.
@rehemasalim4590
3 жыл бұрын
Bora umeziba tundu
@dsagagang3802
3 жыл бұрын
Ushuru wa mbuzi kutoka 3000 hadi 6500 tutaisoma wote
@kiyabolnjemu9646
3 жыл бұрын
Waanbie webzakoooo
@paulbaynet1396
3 жыл бұрын
Na bado yatatukuta sana
@noonelike6382
3 жыл бұрын
Hv yule CHIBA amehudhuria kweli hii shughuli 😄😄😄😄😆😆😆😆
@rosejoseph2228
3 жыл бұрын
Hahaha hahaha
@teacherd
3 жыл бұрын
JINSI YA KUFAULU MTIHANI WAKO BILA KUSOMA kzitem.info/news/bejne/q6pm1Zxqh52HmWU
Kila mmoja ni mchunga na kila mchunga ataulizwa jinsi gani alivyowachunga watu wake, 😭 tuandae majibu siku ya kiama😭
@dogoibrah5902
3 жыл бұрын
wapili leo jamana samahani sana kwa usumbuf na poleni na kazi ila naomba unisaidie ku subscribe KZitem channel yangu na kushare ku comment please jina dogo_ibrah
Пікірлер: 112