Laa haula wala quwata ila billahi ,,tumrudie Allah
@ShamimHassan-qm1et
4 ай бұрын
Ni kwel shekh ila ni wachache sana wanaoelewa kuwa ndio mwisho wa dunia Allah atusaidie 😢
@abdallamohamedabdalla
3 ай бұрын
Shukraan jazillah
@rahmasuleiman9334
3 ай бұрын
Mawaidha mazuri saaana ktk zama hizi tunazoishi hakika mwisho u jirani sana tuombe sana na tumrudie Allah na tuwe na hofu ya Allah… Allah Ibariq Sheikh 🎉🎉
@NaodaNaoda-du3xg
3 ай бұрын
Wa aleykum salam,sheikh Kipozeo yupo hai@ShamimWanjiru
@user-fq1gg8rj9i
3 ай бұрын
Ni kweli Sheikh kipezeo hiz Ni zama za mwisho ,,waislam tuzindduken jamn na matukio tunazinduliwa tumejisahau na duniya Ni Mapito,,
@user-dy2jn5jr1n
4 ай бұрын
Swadakta shekhe upo sahihi
@ismailsoud3634
2 ай бұрын
Sheikh kipozeo yupo hai mzima wa afya.
@ismailsoud3634
2 ай бұрын
Wanasema mabadriko ya tabianchi badara ya kusema mabadiriko tabia binadamu.
@roudhamahmoud763
4 ай бұрын
Jazaka llah kher wabilah taufiq
@Husna34562.
3 ай бұрын
AMIIN 😢
@omarikessy2339
4 ай бұрын
Shukrani sheik
@hamadimadisa9346
4 ай бұрын
Sheikh dhulma ndio sababu ya majanga yanayo tokea
@ShamimWanjiru-bm6ve
4 ай бұрын
Watanzania salam aleikhum jamani mniambie huyu Sheikh Kipozeo yu hai au vipi manake yalienea sana huku Kenya kwamba kaaga?nitafurahi sana nikijua bado yu hai,napenda mawaidha yake sana
@user-fc4vl8zi4r
3 ай бұрын
Waaleykum msalam yuhai alhamdulilah Allah amjaliye umri mrefu
@ShamimWanjiru-bm6ve
3 ай бұрын
@@user-fc4vl8zi4r Waleikhum Salam nimeshukuruns kufutahi sana kwa kuniambia Yu hai Allah atujalie umri InshaAllah pamoja na Sheikh wetu,nawe pia shukran sana kwa kuchukua muda wako kinijibu,Allah akutimizie haja zako InshaAllah👍SHUKRAN!!
Пікірлер: 16