Whatsapp group la house girl fans 👇👇 chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
@JacklineMazonge
3 ай бұрын
Tunaochukizwa na matendo ya candy weka like hapa
@Mwashashaali
3 ай бұрын
Ucjal
@maryammaryam7354
3 ай бұрын
Yaan Ile siku dawa zitaisha atajutia😂
@Mjamdaa
3 ай бұрын
Nachukia kwa vitendo vyake
@Bakr_salim
3 ай бұрын
Haki ya Mungu
@MaryPendo-gy4yr
3 ай бұрын
Alafu ubaya zaidi Kai haelewi
@IteritekakellyKelly
3 ай бұрын
Jaman wanawotak km da zuu atarud kweny hariyake yakawaida wek like hap 😢😢😢
@RobyWerema
3 ай бұрын
Tangu nianze kwangailia Leo ndo nimewai jamn mniulumieko mnipe likes
@busatitv
3 ай бұрын
Nice
@leatimoth3611
3 ай бұрын
❤❤❤❤😂
@RashidiSaidi-ij9nv
3 ай бұрын
Nakubali sana kazi zako nzuri sana na kwakweli unaweza kufika mbali zaidi ya hapo
@rahimaaaaa5682
3 ай бұрын
😊😊😊🎉
@Josephnyinge
3 ай бұрын
Like za mavi wwe angalia video uende zako mkojo
@tamtamtz
3 ай бұрын
Kama na wewe ulali bila kupata hii House Girl nicheki
@busatitv
3 ай бұрын
🤣🤣
@StephenMbogo-xp4qe
3 ай бұрын
❤
@BarakaAsuman-uq7tm
3 ай бұрын
Mambo
@Zainp-o4o
3 ай бұрын
🎉🎉😂😂😊
@OneniMahenge-wm8ji
3 ай бұрын
Mambo na uko mkoan gan
@MariamRashidi-n7u
3 ай бұрын
Jamani wanani wako tiyari kusubiri namba 27 tujuwane kbs 😂😂😂
@merryelias2403
3 ай бұрын
Mimi jamani
@MariamRashidi-n7u
3 ай бұрын
@@merryelias2403 kwel usijali wataileta karibuni
@joleemvungi
3 ай бұрын
Haya kila mtu wa kwanza yeye anataka like..haya mimi wa mwisho nataka like pia😘😘
@IteritekakellyKelly
3 ай бұрын
Usijali mpenz 😂
@JemimahNzai-j3k
3 ай бұрын
Tokea candy aende Kwa mganga nimeboeka
@ShabanDeus
2 ай бұрын
❤❤❤❤
@ShabanDeus
2 ай бұрын
@@JemimahNzai-j3khata Mimi nimeboeka jaman 😮😮
@Lucy-t7n
3 ай бұрын
Candy ile siku kai atakugeuka utashangaa utaona moto
@macrinafuraha-zg3mi
3 ай бұрын
Jameni namhurumia kai yaani amemkana mzazi wake bila ata huruma walia kai ningekua apo ningekunyonga kimya kimya tena ki movie movie
@AsiaAbubakary-hm6ig
2 ай бұрын
😂😂😂😮.
@MaryOyalo-eu7cv
3 ай бұрын
Wa kwaza jamani mnipe likes zangu
@leahnyaguthie4175
3 ай бұрын
wakwanza leo like za kenya pamoja na team strong
@MbethiKomu
2 ай бұрын
Anna Giza CBB material
@MadamOrida
3 ай бұрын
Tunao kelwa na matendo😢ya kendy naomba weka like hapa
@busatitv
3 ай бұрын
😭😭
@BahatiSimire-jf9up
3 ай бұрын
Movie zuri sana🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwantimeally8521
3 ай бұрын
Wamwisho kilasiku nipen bas like za kuchelewa😅
@JacklineChando-s6v
3 ай бұрын
Watu hawalali duuuu sikubali kushindwa lazima niwe best three follows of House girl
@Kimwana255
3 ай бұрын
Shoga leo umepiiga magoti😂😂
@busatitv
3 ай бұрын
🤣🤣🤣
@djanfarmoulay6865
3 ай бұрын
Like zenu ata 1000
@Bakr_salim
3 ай бұрын
Kwani ni chakula😂😂😂
@issamsodoki6782
3 ай бұрын
Wakwanz naomb laik
@saumodzumbo9671
3 ай бұрын
Jamani kendi yote hayo ni ww😢😢😢
@busatitv
3 ай бұрын
😭😭
@noelaslaa
2 ай бұрын
😢😢😢😢
@MeMere-u1y
3 ай бұрын
Candy Siku zamwiz ni Albain daw Yako inachemuka 😢😢
@HawaOmary-gw2oo
3 ай бұрын
Jaman kwahiyo mimi ndio sipati like 👍 😢😢
@HawaSadock
3 ай бұрын
Wajinaaabana😂😂😂😂😂😂
@Asma-hn1jk
3 ай бұрын
Hongern sana guys but mungekua munayuletea ata vipart viwili man movie nzuri ata sitamn iwe inaish haraka😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SkolaRichard
3 ай бұрын
Kay weeee haya yangu macho utajutia jiliii
@kingfocustzog
3 ай бұрын
Watu amlali mpo macho kweli
@Lucy-t7n
3 ай бұрын
Wah hk inaniuma sana lakin sawa tu🎉🎉🎉
@ASAS-q9u9e
3 ай бұрын
Wakwanza leo team glaf mpooo❤❤❤❤🎉🎉🎉
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
Kai kweli umelogwa ukalogeka looh,,,candy unadhambi kubwa sana aiseee😢😢😢😢
@busatitv
3 ай бұрын
😭😭
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
@@busatitv pole bhana usilie ndio maisha😂😂😂
@mwalisuleih1164
3 ай бұрын
😢😢😢😢Atayalipia maumvu candy 😢😢😢😢
@irakozeshela1809
3 ай бұрын
candy kwa kuigiza duuh😂😂😂😂
@mapesaomary-ip3vf
3 ай бұрын
Tunao kesha kwa muendelezo tuna enjoy wengine zam yenu ni kesho inshallah
@Realme-xm3sh
3 ай бұрын
Naona mambo ni fire❤❤ thenks dj
@sifamaureen2792
3 ай бұрын
Love this movie ,am watch from Kenya,gen z forever
@rehemaruwa
3 ай бұрын
😂😂😂😅😅😅
@user-Ambani
3 ай бұрын
GenZ forever
@phorahmahaza638
3 ай бұрын
Wakwanza Leo jmn😂😂😂😂
@ferouzmasoud3104
3 ай бұрын
Oi wa kwanza naombeni like zangu 🤣
@busatitv
3 ай бұрын
🤣🤣💪💪
@sifamaureen2792
3 ай бұрын
Wakwazda leo twende nalo
@gracemuusi3421
3 ай бұрын
254 niko live naomba like
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏
@janethkimath5275
3 ай бұрын
Kha kaz yenu umbea tu kuoga aaaah!😂😂😂
@JoyceOkemwa-hf7zc
3 ай бұрын
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fatumamwakulonda3570
3 ай бұрын
Hatakama ni kurogwa Kai umezidi ....😅
@mwalisuleih1164
3 ай бұрын
Yan balaa ak mganga ole wake
@MaryPendo-gy4yr
3 ай бұрын
😂😂 kabisa
@DidaAlly-iz1it
3 ай бұрын
Mambo zenu watanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wezanguu naombeni Iike ata 16 na mimi nijione mtu 🎉🎉🎉🎉🎉
@mwanamisimwapula8392
3 ай бұрын
Chezea dawa wewe kai amekua nyuki
@maryamtanzania9743
3 ай бұрын
Wanaume sio wakuwategemea sana ukizaa mtoto wakiume umuombee kwa allah apate mwanamke mwema ndo utafaidu la sivyo akipata mwanamke mshirikina ndo kama haya hata kwetu yupo ndugu yetu hataki ndugu wala kabila lake na anasema anajuta kuzaliwa na ktk hii familia ila tukumbuke haya maisha ya dunia ni mafupi sana yasituhadae
@DivineIngabire-lj3sr
3 ай бұрын
Kai nilikua nakupenda lakini leo nimekucukia kabisa umeniumiza jamani
@FatmaSharif-mp1cm
3 ай бұрын
Hata me nimemchukia🥺🥺
@floramacheva5855
3 ай бұрын
Kweli 😢😢 Kai umekorokwa akili vilivyo....ila candy, sijui siku dawa itaisha nguvu utakuwa rafiki wa nani....
@mwalisuleih1164
3 ай бұрын
Atauramba mkavuu nayy barabarni huko tutamuona tuu 😂😂😂😂😂😂😂
@user-Ambani
3 ай бұрын
Ata rafiki yake ashamruka😂
@sirielypetrombise519
3 ай бұрын
Congratulations kwa movie nzuri jamani
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@JumaaCharo-t6w
3 ай бұрын
Kai anaharibu utamu wa movie hayo mafunzo yahii movie ilikua inakuja vizuri ila ep 25 nahii Kai waaaah Ila Acha tuone mwisho😂😂😂😂 nawafatilia nikiwa kenya❤
@نيجي-ن1د
3 ай бұрын
Ishaanza tutuboo kabisa kwani movie nyingi siku hizi lazma kuingizwe tu ushirikina
@nasraAl-b1w
3 ай бұрын
Zuu yuko wapi sasa sijapenda
@djanfarmoulay6865
3 ай бұрын
Wa kwanza leo hummm nimeotea
@sifamaureen2792
3 ай бұрын
Na mbona huyu amekaribushwa vizuri kuliko wengine?? Kendy mbinguni hauendi😂😂😂😂
@DamlaahDekhaan
3 ай бұрын
Yan daah imeonekana fup Kwa kuweka ivo vipande jmn Sasa ndio nn
@JoyceMsambili
3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@ZakiyaZakiya-t9u
3 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@GladysKarembo
3 ай бұрын
Kendi,Hiyo ni iwe ni ku act tuu bt isiwe ndivyo ulivyo katika maisha yako halisi,Maana duuh una roho mbaya kwa kweli.
@lubazumaduhu
Ай бұрын
lakin mtu hawez ect kitu ambacho si huruka yake
@deadcrush
3 ай бұрын
Lovely….
@TatuDimka
3 ай бұрын
Jamn Leo nimewah naomben like 10 t
@busatitv
3 ай бұрын
💪💪
@eunice1808
3 ай бұрын
Good job@@busatitv
@MariahJuliuss
3 ай бұрын
Daaaah maisha haya jamani 😢😢😅😅😅😅❤❤❤
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
Hata mkipost saa nane mm nipo macho bhana
@saumodzumbo9671
3 ай бұрын
😂😂😂😂 jamani
@pendohylida5893
3 ай бұрын
Hulali😅😅😅
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
@@saumodzumbo9671 hakuna kulala bhana
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
@@saumodzumbo9671 🤣🤣🤣🤣
@esterkimalio8846
3 ай бұрын
@@pendohylida5893 nilikuwa namuombea zuu apone ila daah sijamuona jamani😭😭😭
@yktitho6493
3 ай бұрын
Leo nimewai nipeni maua yangu
@minduchudi9121
3 ай бұрын
Mm candy simpendi mwanamke mnafiki sana
@Noella-p5u
3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@busatitv
3 ай бұрын
🥰🥰❤❤
@JescaIrakoze
3 ай бұрын
Hata mimi pia nimewah leo
@JoyceMsambili
3 ай бұрын
Nawafatlia kwa ukalibu sana
@JamillaWesonga
3 ай бұрын
Kai 😢😢😢😢nawe kendy chako kii motoni
@JoselineJuma-r7o
3 ай бұрын
Akuna kitu kibaya kama laana ya baba😔😔😔
@coolboymicky3651
3 ай бұрын
❤❤❤❤
@zainabamir8653
3 ай бұрын
𝕂𝕖𝕟𝕕𝕪 𝕤𝕚𝕜𝕦 𝕪𝕒𝕜𝕠 𝕚𝕥𝕒𝕗𝕚𝕜𝕒 𝕦𝕥𝕒𝕝𝕚𝕒 𝕜𝕒𝕞𝕒 𝕞𝕥𝕠𝕥𝕠
@ephraimndenga8988
3 ай бұрын
Like
@Salma-h1g
3 ай бұрын
Nyieee kendi anaota au 😊😊
@zeynab7617
3 ай бұрын
Wacha wee nimejaribu kuwahi❤❤❤❤
@NellyAshley-s5w
3 ай бұрын
9sec nafika nimeidakia juu jamen tujuwane team Zuuh japo tupo kweny hal mbaya 😢
@HidayaMbodze
3 ай бұрын
Wallai nasinywa lkn tuwe na Imani mnafiki candy vimrudie na Kai aregeshe ufahamu aoe zuu atimue candy😢😢😢😢
@mwalisuleih1164
3 ай бұрын
😢😢😢😢😢Mie moyo una maumivu kw ajil ya zuu na babake kai😢😢😢😢
@HidayaMbodze
3 ай бұрын
@@mwalisuleih1164 😰😰😰
@Marim-sj7oi
3 ай бұрын
Hongereni wapenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
@LoyceLoyce-fu9pc
3 ай бұрын
😅😅 candy panya wewe.. umemrogà kai akili maamuzi yake yanàkerà sasà😭😭😭me nitalià kiukweli ukweli mjue😢
@Melvy-kb3lc
3 ай бұрын
Congratulations 🎊 khai mungu akutangulie na team yko 💜🙏
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏❤
@KhadijakassimMwaipaya
3 ай бұрын
Mungu amsaidie mzee
@NipherRubia
3 ай бұрын
wuuuwi Gay umenipoo sana kwa episodes zenye zimefuatana haki unafanya nimeanza kukuchukia na vile nilikuwa nskupenda, kwa kila movie nikikuona nilitaka tu niwatch yote
@AjuwaeTannu
3 ай бұрын
Jamani hadi huluma dada wakazi mapenzi yalikuwa yamesha noga
@busatitv
3 ай бұрын
😭😭😭
@CatherineKirugumiCathy
3 ай бұрын
Candy leo ni dada wa kanisa anaongea vizuri
@busatitv
3 ай бұрын
🤣🤣
@pendoelias4822
3 ай бұрын
Leo na mm nmewai
@JemahEvaristo
3 ай бұрын
Wa kwanzaaa nlikua naisubiri kwa hamuuu❤❤❤
@JoselineJuma-r7o
3 ай бұрын
Tunaendelea vizuri 🎉🎉🎉
@MwanaidiMohammed-bm6qg
3 ай бұрын
Dakh kai mazure mazure yakikutoka käi utakuja juta käi pole sana ila candy mnafiki sana unajifanya mwema ila candy lichá kwamba nimchezo ila sijapenda tabiya yako dakh
@merinazyd0532
3 ай бұрын
Hii move wameharibu hao watu wengine wanatokea wapi yaani mgefanya maarifa mkawatoa wale wadada ambao hapo sirias mkawaweka ambao wapo siriasi ili move yenu inonge mnazidi kuongeza watu mmeiharibu hii move
@lameckelasto-ih9jk
3 ай бұрын
Ase kai wamemuhalibu ase
@SurprisedPotluck-ms1vh
3 ай бұрын
Me wakwanza nipe like zangu
@barakachaula7050
3 ай бұрын
Saaf 🎉🎉😂😂
@minduchudi9121
3 ай бұрын
Hawa wengine wakina nani tena alitaka kumbaka mwenzie
@aishaomar2287
3 ай бұрын
Sijawaelewa bado😊
@aishaallyaishaally3220
3 ай бұрын
Waaah hii moto
@Kimwana255
3 ай бұрын
Leo nimewai mapema nipeni like zangu
@ZeinabJeni-xu3og
3 ай бұрын
Leo nmewahi nipeni laik zangu
@coolboymicky3651
3 ай бұрын
❤
@winniesmart3410
3 ай бұрын
Mje mnipe like❤❤ nAwapenda wote
@زهرةكيني-ث3ل
3 ай бұрын
Sijachelewa sana 🔥🔥🔥
@busatitv
3 ай бұрын
💪💪
@suzan2929
3 ай бұрын
Bo@@busatitvbona mnaongeza wp
@Mungumwema-g9p
3 ай бұрын
Nakoswa usingiz nikikoswa hii
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏
@EsterMwalongo-ox2sk
3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Ila tunaomba mda uongezwe ni fupi mno leo hata zuu sijamuo na umesha isha mmmmmh
@mwatukam7347
3 ай бұрын
Muda ni mfupi, afu inapoteza mvuto kabisa
@aishaomar9621
3 ай бұрын
Hii filamu inafunza kwakweli hapa kwa huyu chiko mnapswa wanaume mjifunze kitu tulieni kwenye ndoa zenu kuna maradhi😢 Kai hujainuwa thamani ya baba utakuja kujuta badae majuto n mjukuu😢 natamani kuita baba mwenzio 😭💔 zuu pole wapitia magumu ila utapona tuh Mungu Yuko nawe🙏💕
@busatitv
3 ай бұрын
Amina 🙏🙏
@جوريالشهري-ل1م
3 ай бұрын
Nice😘
@Saumu254
3 ай бұрын
Cand usisahau penzi la dawa halidumu dawa ikiisha ukali utatamni ardhi ipasuke😂😂😂😂
@NipherRubia
3 ай бұрын
hata mimi hapa nimewahi
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏
@UmmyShabir
3 ай бұрын
Nilitak kulal weee naskia notification ya movie yang ❤❤😂🎉🎉🎉
@busatitv
3 ай бұрын
🥰🥰🥰
@HidayaMbodze
3 ай бұрын
😂😂😂
@mwalisuleih1164
3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Haukuanguka lkn maan cio kw mushtuko huo😂😂😂😂
@salmaseleman3841
3 ай бұрын
Tulokuwa tunaisubilia hii serie tujuane🔥😀🙏
@busatitv
3 ай бұрын
🙏🙏
@nurusaid4698
3 ай бұрын
Achaneni Kuchanganya Hii Stroy Mtaiyaribu Ssa Ebu Awa Watu Mliowatiya Juu Watoweni Kabisa Cjapenda
@merinazyd0532
3 ай бұрын
Kumbe hata wewe umeona dia sasaivi haina muelekeo
@violangaira
3 ай бұрын
Hata kumbe pia ww umeona
@nurusaid4698
3 ай бұрын
@@merinazyd0532 Wanaiyaribu Wenyewe Wausika Awawaoneshi Tukajuwa Ali Zao Zuu Na Bake Kai Na Bbi Mizimu Yake Imemuambiaje Wanaonesha Cjui Wabakaji
@nurusaid4698
3 ай бұрын
@@violangaira Vizuri 2 Acha Wajichangaye Wenyewe Na Watu Wao Wabakaji Cjui Akina Nani Wakat Wausika Awakuwaonesha
Пікірлер: 658