Mwendo wabandika bandua kma unamkubali mama candy kua mkweli weka like hpa from Oman 🇴🇲
@busatitv
24 күн бұрын
❤❤❤
@user-hf7pk2lx4v
24 күн бұрын
Candy heri upoteze vitu zote lakini kukana mama mzazi hiyo ni laana asiyeskia la mkuu huvujika guu
@happynesbaemuhappynes8813
24 күн бұрын
Tunawashukuru sana kwa Move nzuri @@busatitv
@user-uz7uq5lj5w
24 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 Nawakubali Sana Jamani 🎉🎉🎉🎉kwahilo kofi la kwenye chavu 😮😮😮😮atari😂
@YasmeenKhalifa-zq1zk
23 күн бұрын
🇴🇲
@ministerlightnessrobert5342
24 күн бұрын
Wale tunao ona ndowa ya zuu na kahi itafungwa like apa😊
@HellenSteven-y2y
24 күн бұрын
❤
@user-lx8zm7rh4c
21 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@CarolineMurugi-bt5dz
24 күн бұрын
From kenya guys,,,mwenye anaona kendo anamfanyia mamake vibaya ngonga like hapa jamani😅
@JacksonVicent-i1t
24 күн бұрын
❤ hii tamthilia cjalala nilikua nakusubir hiki kipande brothers mnajua sana
@Mwanamvua-ze5ls
24 күн бұрын
Wangap wanamkubli kendi kuitwa shida 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂gonga like apo
@queenyqadoty
22 күн бұрын
Hilo jina linamfaa sana😂😂😂😂
@queenyqadoty
22 күн бұрын
Hilo jina linamfaa sana😂😂😂
@Mwanamvua-ze5ls
22 күн бұрын
@@queenyqadoty 😀😀😀😀😆😂
@lovnell6462
24 күн бұрын
Mm kama shabiki naombeni likes ata Tano tw❤
@AdamZainab-mb7qj
24 күн бұрын
Na mm Kam shabiki nimekup like
@user-qb4qp7xj7d
23 күн бұрын
😅😂🤣@@AdamZainab-mb7qj
@YohanaKagundo
24 күн бұрын
Wakwanza Leo Mimi naombeni like 10 kwajili ya dada wa kazi
@user-qd7ey5cp5s
24 күн бұрын
Watu wa kuomba likes hapa kama watoto ni lini mtakuwa watu wazima sasa😏😏hakuna siku mtawahi ongea mambo ya muhimu kupitia hii filamu na mjifunze kitu hapa....acheni utoto😏😏😏mnaboo sana
@marynabwile4086
23 күн бұрын
Hapo umenena wanaudhi sana
@user-im8pr5cj3n
23 күн бұрын
Wanakela blaa😏😏
@user-ee5ek3se1s
23 күн бұрын
Upo sahihi my dear
@naominafula7803
20 күн бұрын
Wanaudhi sana aiseee
@rosemarenga832
23 күн бұрын
Hongeren San Kwa Kaz nzur Mung awabarik sana nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mbona dada wakazi ajawai like comment yangu au Hana smart phone adi sasa 🤔🤔🤔
@SarafinesimiyuMainq-iv5tw
24 күн бұрын
Aki 😂hii comment ni ya mkenya
@adelinaomani9012
24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@brendakhasiala7343
23 күн бұрын
Tangu EP 1 adi hii Leo Wacha ni comment aki nime fell mamake shida wah kweli kabisa hiyo ni uchungu, kumzaa adui yako 😢, like zi come basi
@user-yp7qy2qf7k
24 күн бұрын
Mama ni mama hata kama unamzidi elimu candy mamako na unamfanyia hivo 😢😢😢😢😢
@UpendoHussein-k7t
24 күн бұрын
Busati tv mambo ni moto MR TASHA umetisha sana
@user-jr1qx1sj8t
23 күн бұрын
Ucmdharau mzazi ata kama ana magumu kumbuka yy alikulea akiwa na maisha hayo hayo ya dhiki 2heshimu sana wazaz 2uangalie kisa cha candy na kai 2kielwe nawapenda wote❤❤
@Mariam55-hz8if
23 күн бұрын
Huyu candy kiboko sana yaan mama ake anamjibu kama mke mwenzake na huyo masozi saut kama kaweza sabufaa😂😂😂😂😂kudangia vilema hii noma sana
@user-mq3zd9vk2p
24 күн бұрын
Pole sana mama candy waaah hii movie ina Mafunzo mengi sana big up sana 🎉🎉🎉❤❤❤
@Emeraldlady16920
24 күн бұрын
Wawooooh hatimaye mama lend kuonyesha ukweli kuhusu kandy
@user-sk7un6ls2t
24 күн бұрын
Nimewahi naombaeni like kidogo please 😢😂😂😂❤❤❤
@Rsilk192
24 күн бұрын
😢
@Marim-sj7oi
24 күн бұрын
Hongera 🎉🎉🎉
@user-qb4qp7xj7d
23 күн бұрын
Hay nimekupa Maan umeongea kwahuruma jmn
@user-sk7un6ls2t
23 күн бұрын
@@user-qb4qp7xj7d asante 🤣🤣😂😂
@user-os3tt6ru7k
23 күн бұрын
Kaombe msikitini
@mauamshindo2558
24 күн бұрын
Sehem ya comment ni yakutoa mawazo na mlichojifunza nyie mnaomba like😂😂😂🙌
@UniceMsomi
24 күн бұрын
Naona watu hamlali duh sio pw jaman Ata dakika1 haijaisha ila watu mpo😂😂😂Aya bana kutoka zanzibar apa ❤
@nurusaid4698
24 күн бұрын
Cendi Wwe Aya Kma Ndio Maisha Kweli Cjui Ungekuaje Maana Naona Mtto Uliepatikana Kwa Shuda Ungekuwa Unamfita Mmako Machozi Aliopitiya Yuma Nawe Ila Funzo Zuri❤❤❤❤
@SleepingEyes-ej3ir
24 күн бұрын
Wa Kwanzaa nipeni like wapenzi much love from Canada ❤❤
@user-dn3sn2fk9v
24 күн бұрын
40 ep house girl here we go❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I wish isiishe iendelee Tu at ad 1000ep😂😂😂
@juma3473
23 күн бұрын
Kweli kabisa nzuri sana sana usimalize jamani iwe kama ya kihindi ❤❤❤❤❤❤❤
@user-os3tt6ru7k
23 күн бұрын
Hahahaha
@MizeMatano-nb9pj
24 күн бұрын
Wenye tumeisubiria kwa hamu tujuane hapa mnipe like ata tatu🎉🎉🎉
@HellenSteven-y2y
24 күн бұрын
🎉🎉
@JacksonVicent-i1t
24 күн бұрын
Shabiki no one member NN mm APA mkurya niso na baya tarime moja kichwa radi panga sheria nawakubali sana wakongwe kai zuh hii part unyama sana ❤❤❤
@MaryamMaryam-ru1qt
23 күн бұрын
Hahaha wakulya 2po
@Asha-xc1nc
23 күн бұрын
Yani Kila kukicha movi n 🔥🔥🔥nawapenda jaman sana🎉🎉🎉from🇰🇪🇸🇦
@PurityWaithira-ud2vj
22 күн бұрын
Mie naombeni msamaha kazi imekuwa nyingi huku qatar😢, naombeni like tafadhali ingawa ni saa chelewa
@user-xn7ru6fl6q
24 күн бұрын
Wa tatu leo like zenu
@user-ti5mt6cr7v
23 күн бұрын
Wanao mkubari mam cendy kusema ukweli weka like
@RehemaSospeter-vu4ms
24 күн бұрын
Yan kwenye tamthilia zingine watu hawaombi like km humu jmn....hemu acheni
@user-pp3vo8rw5j
23 күн бұрын
Waaaaah yan moto juu ya fire 🔥 tu saiii yan mngemuacha ajiue man anadharau sana huyo nawakubali sana much love from saudi ❤❤❤❤kai hapo usijishaulishe ukampenda tena fanya yote ila umutafute zuu kai ❤❤❤❤
@user-gu2yu2wp1z
24 күн бұрын
Aisai sio kwa kibuli hicho,,kwa hpo ilipofika kuna kakitu kana kuja,waigizaji n mashabiki wenzang nawapendeni snaaa snaa ❤
@estermpare4078
24 күн бұрын
Yaani comment zilizojaa ni kuomba like tuu !! Hebuu kuweni watu wazima basi acheni utoto. Mnakeraaa😏😏😏😏😏
@user-qd7ey5cp5s
24 күн бұрын
Waambie maana mm nishachoka
@jaliamartinz
24 күн бұрын
Wambie bwana 👏👏👏
@SunGod-i4b
23 күн бұрын
Waambie jmn waelewe sababu wanakera sana
@marynabwile4086
23 күн бұрын
Waambie tena wanaudhi sana
@TabiaMwaisumo-ss7pz
23 күн бұрын
Wanakera sana
@AdelaLudovick
23 күн бұрын
Wanaoniunga mkono kuwa waongeze dakika like zenu tafazali
@user-mv6vi1gv6f
24 күн бұрын
Leo130 naomba like mwenye atakuja nyuma 🎉❤🎉❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@christine7744
24 күн бұрын
Waaa candy jamani weee hata kma ni move ata nalia much love you guys❤❤❤
@ShakilaHussein
23 күн бұрын
Mashallah move nzuli Sana mwenyezi mungu azidi kuwapa ufaham na ujuzi makubwa zaidi ya hapa inshallah nawapenda Sana ❤❤❤❤❤🙏🙏
@user-hp3vn4kc4s
24 күн бұрын
Kazi nzuri Mr. Kai
@user-or7bm5ui5f
24 күн бұрын
Wa kwanza jaman naomba like 2
@WeddyMithika
24 күн бұрын
Much love from kenya🇰🇪
@LINDAKARANI-jx3dr
23 күн бұрын
Fellow Kenyans let's gather here
@ElizabethOuma-j4s
23 күн бұрын
Isay mnabamba hapa mie Niko shule wee mnabadilsha matendo yanyu well done
@sussymtunga3673
24 күн бұрын
Mambo imechemka hku sana waaa aki 😂😂😂😂😂 candy uko na vitisho...... very interesting nangoja the next part 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OfficialZuli-ve5kh
24 күн бұрын
🎉🎉🎉 nzuriii yenyee kuvutia kuelimisha na kuburudisha
@aishaqassim1777
24 күн бұрын
Leo nimewahi wakwanza ila nawapenda 😊😊😊mungu awabaliki kwakazi nzuli ❤❤❤❤
@IshakaMachanoMakame-sb2xx
23 күн бұрын
Mnazingua banaaaa
@mariamsalehabdulla6825
24 күн бұрын
Wa kwanz mm leooo nilikuw naisubr kw hamuuu
@zanishaikhonge7296
24 күн бұрын
Kidogo nimewahi jaman kazi nzur pamoja sana
@AshaNzara
24 күн бұрын
😂😂😂kaeni kwa kutulia
@user-le6xc6ei5x
24 күн бұрын
Wakwanza leo 😂😂team zuu miko juu
@user-gy1tu7wv8d
24 күн бұрын
Candy kweli ni Shida😅😅😅si bure ya iyo kina lake😂😂😂😂si wamwache hajiue
Jamn msimlaumu cendy vile alivyo ni kwasababu cendy anababa sita yaan ajulikani baba😅
@LovenessValentine-nn7wm
24 күн бұрын
Nimewahi Leo jamani maana house girl inanifanya nikeshe mie but nawapenda❤
@GivenessJamal
24 күн бұрын
Hongerani kwa kutufunza na kutuburudisha
@Franciscah-ks5zq
24 күн бұрын
nilisubiria kwa hamu na ghamu hii
@zubedamae-ro1jx
24 күн бұрын
Hii movie aky inamafunzo lkn sijui kama nayaona mm au pia nyinyi waomba like mnaona au nivip, anyway tuwapende wazz wetu na tusiwe wepesi wepesi wa kuamini marafika tukaacha mashauri ya wzz, napia kugawa sio poa unajidhalilisha 😂😂 yaaan kugawa kitumbuaaa 😂😂😂
@Dayana-o4z
24 күн бұрын
😂😂😂waaah wewe sio cendy wewe n shida
@irenengowi8657
23 күн бұрын
Sahvi hta sio nzurii hii movie jaman zuu the way awamuonyeshi sana na kai
@aishaomar2287
24 күн бұрын
Candy alopiga mamake jiwe la kichwa kisa chakula kai ndie ulitarajia awe mkeo😢...inasikitisha, watoto tuwapende na kuwajali mama zetu hata watokee kutupata katika mazingira gani
@dottonangemo2166
24 күн бұрын
Huyo ndio candy ukisikia mwengine photocopy tupo sambamba na we candy mpaka radhi ikutafune😂
@SunGod-i4b
23 күн бұрын
Hizo like mnazo omba mnaenda kupanguzia mavi au, mnakera sana
@user-cy2rb4pf7e
24 күн бұрын
Safi sana kay, like tu jamani
@Jumambogo123
24 күн бұрын
Mimi sitaki like zenu
@MymunaMuna-qn5lo
23 күн бұрын
hata kwenye tivi nyumbani wambieni wawape like kwenye tivi maana kwenye simu tumechoka like like khaaaa mnachosha
@LightnessUrio-fo7mq
23 күн бұрын
Mimi kama shabiki wa house girl naomben ata like kumi tuu mm sitajiuwa atamkininyima😂😂😂🎉🎉
@Sofiashabani780
24 күн бұрын
Heee washajaa kila mahali
@sadahamad6158
24 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉 woyoo tupo chonjo team zuu
@jofumwakalambo1097
24 күн бұрын
Kwanza mm jaman toka sumbawanga
@JasminiSabun
24 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭kumbe watoto wakubakwa ndo wako hivo
@adelinaomani9012
24 күн бұрын
Wengi wao wasumbufu sabu ya waliomzalisha hiyo ndo ndo tabia sasa mtoto piahulisi
@AidatAmadi
23 күн бұрын
Iiih kipande ata sio nzur Yan maadis yamekuwamengi
@CarolyneNyanchama-yk1gf
22 күн бұрын
😂😂😂aty candy anaitwa nani??? Mama candy wewe ni bonge la mama sasa poor shida kubali 😂shida ni dramatic woman kajiue basi😅 nawapenda guys kwa kazi nzuri ❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
23 күн бұрын
Aya Aya Tena kumekucha Tena Jiji amuogopi Aya wale wif zake zuu kutoka 🇴🇲🇴🇲 kwenda tz tujuwane bas ukiwa na waif za Bure za warabu raha busat tv akiweka nimooooo Hila pole sana mama cend
@MR_RAMSABOYTZ
24 күн бұрын
Mnaoomba like mnaenda kupika kama mbogas au niadje
@user-kc7ri4vj4q
24 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SunGod-i4b
23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aishaaisha7097
23 күн бұрын
😅😅
@CarolyneNyanchama-yk1gf
23 күн бұрын
😂😂 Bora uwaulize wewe
@esterkimalio8846
24 күн бұрын
Huyo ndio shida bhana sio Candy tena duuuh
@chandigamoses05
24 күн бұрын
Wakwanza leo ❤❤❤
@Nailah736
24 күн бұрын
Yenye nimekumbuka kwa hii movie 😢😢😢😢😢eeeh mola nijazie neema na ujasiri 😢
@LUKASNGOMBANIZA
23 күн бұрын
Mnastahir sifa kwasababu kazi yenu ninzuri tunaipenda Sana ofcourse inatuelimisha wanajamii wenzenu. Ahsanten na mungu azidi kuwafunulia maarifa yakutoa mafundisho kwasababu tunaamini bado mnamengi yakutufunza zaidi.❤❤❤
@user-sr7pk7vb8o
24 күн бұрын
Jamanii wa kwanza leooo😅
@-kagerayetubw9jx
24 күн бұрын
Uyo mimi sasa
@VaneGesare-wf7oq
24 күн бұрын
Weuh kendi mbona humkatae mama kazi kwl kendi cio poa
@user-ky7cf6nm8d
24 күн бұрын
Mmewai ila namimi nimewai team kai 🎉🎉🎉🎉
@zaharahamadi3784
24 күн бұрын
Nawapenda san inamafuzo mengi sana ala awabariki sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤
@user-sk4yh5kw9j
24 күн бұрын
Nmewahi jmn hata like 20 ntashkuru
@user-nk4oq4ek9y
24 күн бұрын
Jmn sofia ni mwiko wa pilau lkn kajeuri sanaa kimbaombao
@merinazyd0532
23 күн бұрын
Wapeni wenzenu hongera na sio kuomba like jamani kwani mnataka mzipeleke wapi hizo like mbona akili hamna
@CatherineLubela-sb1fb
23 күн бұрын
Wana Kela saana Hao wote Wanao omba like sijui niutoto jamani
@AnicethaLaurent
23 күн бұрын
Aaaah nanyie mnatuma tusehemu tufupi sana ongezeeni dk kidogo bas...tunasublia sehemu ya 41 msitucheleweshee jamani
@MariaEmmanuel-nu4ld
24 күн бұрын
Hii move nzr San jmn daah
@ShazzLizz
24 күн бұрын
Hadi Mimi nataka likes jamani kutoka Kenya❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marynabwile4086
23 күн бұрын
Aki,usituangushe wakenya huwa hatuombi likes huku likes ni kama wimbo
Пікірлер: 871