Ata ukistaafu me nataman maisha yako yote ungeiongoza Tanzania bcoz c dhani kama atatokea kama wew Raisi magufuli mungu akubariki jaman muaminifu mwenye kupenda maendeleo...
@AliM-di8dz
5 жыл бұрын
Love you so much magufuli jembe tunajivunia asnt kwa uzalendo.
@farajimtoi9238
5 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu JPM, ningependa kusikia kuwa kuna mpango wa kujengwa kiwanja kikubwa cha ndege Dodoma kama kile cha DIA na JNIA. Hii itasaidia kukuza utalii kwani watalii wakitua nchini watakua wako karibu kwenda kwenye kila kivutio nchini kuliko hivi sasa wanakua wako karibu na baadhi ya vivutio na vingine vinakua mbali.
@mcshukuru_mrb8088
5 жыл бұрын
mbona upo na eneo limeisha patikana watu wamehamishwa tayari kule Dodoma eneo lilotengwa ni kubwa mnoo na utajengwa uwanja wa kisasa mno
@marcondokeji8982
5 жыл бұрын
Magufuli nakupenda bure mzee
@amneymtullah148
5 жыл бұрын
Dezidel sinahaja tena ya Ku koment nagonga like tuuu kwako bas
@eliuskivuyo6521
5 жыл бұрын
hongera sana rais wangu
@antonymathias8219
5 жыл бұрын
Mungu ambariki sana huyo baba
@thuvakonde2584
5 жыл бұрын
Mzee mapunda mwaka umemuishia vzr
@josephmsanga6751
5 жыл бұрын
Hayupo Tena Atakaye kuwa JPM Tanzania! Nashauri tu! Maisha yake Amalizie kwenye Urais Tanzania.Asante Mungu!
@salmadalaquimane5303
5 жыл бұрын
Wallah nakuunga mkono maana huyu akitoka watakuja yale kama ya mwanzo
@feiz3180
5 жыл бұрын
Musilolijua litawasumbua.
@angelusilljujalijuja9852
5 жыл бұрын
HONGERA MH JPM NA MZALENDO MAPUNDA TUSONGE MBELE
@frankmpinga3295
5 жыл бұрын
Mungu akulinde my president
@jaypollyjackson3520
5 жыл бұрын
Asanti sana wanasemaga fanya vizuli ujiendeye baraka zako utazikuta mbele asantu sana
@abdallahahmed8728
5 жыл бұрын
mwenyezimungu yupo n.a. watu wenye imani ya kweli.
@dezidellaurian4533
5 жыл бұрын
Tumuunge mkono rais wetu, tuungane kuwakabili wenye nguvu.
@feiz3180
5 жыл бұрын
Majuto mjukuuu
@samwellwiza5339
5 жыл бұрын
Kuwakumbuka watu ni jambo muhimu sana
@veronicascottmollel7897
5 жыл бұрын
Kweli kabis tuwe na shukrani. Hongera JPM
@drgeofreymdede3952
5 жыл бұрын
Hongera sana rais Magufuli am proud of you kwa kweli. Hongera mzee Mapunda kwa uzalendo. Lakini nimpongeze mheshimiwa rais kwa kutambua wazalendo wa nchi hii. Sis vijana wa leo tuna hitaji kujifunza sana kwenye uzalendo huu. Sasa hivi taifa uzalendo umepungua sana. Asante rais Magufuli
@hamismabula5813
5 жыл бұрын
Hongera sana Mzee Mapunda, hongera Rais JPM kwa kumkumbuka huyo mzee. Mungu awabariki!
@Kathren-ed7xb
5 жыл бұрын
Mungu akubariki rais wetu
@kingofkings7525
5 жыл бұрын
Magu we Bora sana.
@suleimanmazrui6942
5 жыл бұрын
Mzee Mapunda hongera Sanaa kwa uzalendo.
@suleimanmazrui6942
5 жыл бұрын
Mapunda oyee.
@kingofkings7525
5 жыл бұрын
Wema akiba, Wema hauhozi
@frankkobelo787
5 жыл бұрын
Ongera baba
@antonymathias8219
5 жыл бұрын
Love you so much baba yetu mpendwa
@hamadyjumaaa8810
5 жыл бұрын
WWE unao mkashifu rais ni fara tu tena mpiga dili ww
@salmadalaquimane5303
5 жыл бұрын
Tena ni senge anafokonyolewa rais afanye nn mlidhe Kila k2 kupinga2
@lucassabida5471
5 жыл бұрын
Story ya huyó mzee niliwahi kuisikia siku nyingi mpaka ikataka kunitoa chozi
@mohamedkhamis1241
5 жыл бұрын
Lucas Sabida km unayo n2mie 0776597812
@lulushambazuri4861
5 жыл бұрын
Nakupenda magufuli MUNGUBABA akulinde milele
@emmanuelmgana6906
5 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wangu na yupo shujaa kama huyo wakati wa vita vya uganda
@nicitegetseetienne6921
2 ай бұрын
Emungu tumehomba angekuwepo burundi ingekua👍🇹🇿🇧🇮😂
@lasteckmmary9741
5 жыл бұрын
nikitu gani kitakacho nichenga na ccm, zaidi ya kifoo
@charlesfrancis9438
5 жыл бұрын
Hongera sana raisi Magufuli kwa juhudi zako katika kuchochea maendeleo ya Tanzania na Mwenyezi MUNGU akujalie afya njema ili uweze kutimiza majukumu yako vizuri.
@samsonmagesa3959
5 жыл бұрын
Ongera sana Rais huyo Mzee Mapunda Alikuwa Amesaulika kabisa Bila wewe hata Watanzania wasingemjua
@innocentthomas2325
5 жыл бұрын
baba kweri unapambana kweri nami naamini
@ajabamosi9037
5 жыл бұрын
Jaman kama huyu rais akishindwa kufika tunapotarajia naomba wazalendo wote tusimlaumu katu nia yake nadhani so mbaya bali ni njema,
@jeninunu9177
5 жыл бұрын
Vlva JPM Mungu akulinde I like you
@MatronaThomas-wz5si
3 ай бұрын
Hongera Mapunda❤❤❤❤❤
@user-rl3ou5rg4p
2 ай бұрын
2024
@anodanorbert1803
5 жыл бұрын
Mzee wa Tanzanite, mzee madaraja Eng mfugale, mzee wa kutorosha ndege captain Mapunda, asante rais
@mohamadngwale4147
5 жыл бұрын
Wakati mwingine... Moyo unampendaga tu.. Rais... Magu..... Natamani.. Siku moja.. Nimuone ata live sija wahi kumuona
@amneymtullah148
5 жыл бұрын
Mohamad Ngwale maskini pole
@domitilazakaria7171
5 жыл бұрын
Nampenda sana rais wangu Jpm
@jameshaule6862
5 жыл бұрын
Hii nimeipenda sana safi sana Raisi wetu Makufuli
@josephmalisa3432
5 жыл бұрын
Hongera sana kuwaenzi watu wa chini na wazalendo lakini hizi pesa anazogawa si za wananchi na hazitoi mfukoni kwake?
@athumanimakorongo254
5 жыл бұрын
mh rais amefanya jambo la msingi na lakuigwa
@edgerperes5950
5 жыл бұрын
Jamaa kafanya maendeleo mengi tz kwa nd a mfupi miaka 5 haijaisha kakamilisha mambo kibao
@feiz3180
5 жыл бұрын
Njaa na umasikini umezidi.
@Vuvuzelaz1
5 жыл бұрын
I love Mapunda effects nimempenda huyu baba natamani nimuone
@flightclubtanzania1638
5 жыл бұрын
ukimuona utampa nini?
@jacobmagori9790
5 жыл бұрын
That's my president💪
@moseskayan3705
5 жыл бұрын
Sijamchagua magu lakini nimetamani sasa aongose miaka 20
@mathiasmb4967
5 жыл бұрын
Nini ni mkongomani, walakini na mupenda huyu raisi saaana,Mungu akubariki Tanzania kwa kupata Raisi huyu.
@hassankurwa464
Жыл бұрын
Wana propaganda hivi hawaoni aibu? JPM anamkaribisha balozi huku mijitu inasema hakuwa na mahusiano na mataifa😢😢
@peterrobert5688
5 жыл бұрын
Mtu anayetumikia watu mambo mema kwa moyo wake na yuko tayari kufa kwa ajiri yao, anaufunuo wa Mungu. Watu leo imeandikwa siku za mwisho watapenda pesa, hawatawapenda wakwa. Rais yuko sawa ametumwa mtu aliyetumwa hudharauliwa au watu hawaamini, maoni yangu watu huwa wanamwamini MTU anye wajali kwenye shida na maisha yao hata kama ni mkali kwa uzembe wao.
@linusrohomoja8856
5 жыл бұрын
eti akapande za jeshi ha ha ha ha ha ha respect my president
@munfatchichi2874
5 жыл бұрын
Nice rais
@antonymathias8219
5 жыл бұрын
Somuch magufuli wewe ni baba wawote
@singidaboy1586
5 жыл бұрын
Thank mapunda
@johnrimoy370
5 жыл бұрын
angekuwa mwenyekiti wa board ya wakuregenzi wa NEW ATCL
@happykipeya8516
5 жыл бұрын
Mzee magu shikamoo 💪
@SaleheRashidi
3 ай бұрын
Ulisema tutakukumbuka uku sio kukumbuka tu bali tunajuta
@muarabuemanueluongozihauwe6238
5 жыл бұрын
Tanzania ilipata rais kwerikweri tanzania inabadirika tumsapoti .nilikua sijaona maajabu haya.
@issavenanc1133
5 жыл бұрын
tukiwa kama mapunda na Magufuli, tutafika mbali mapema ajabu
@aminajuma6924
5 жыл бұрын
Mapunda umekula sikukuu vizuri
@loyaltey6407
5 жыл бұрын
Hii sanatuu
@peterjohn1969
5 жыл бұрын
anastaili yote uliyo mfanyia japomdamlefu uamungu asau
@gracetitus9963
5 жыл бұрын
CAPTAIN MAPUNDA SIYE ALYEITORISHA NDEGE KUTOKA KENYA. WAZIRI AMEMPOTOSHA RAIS. ALIYEITOROSHA NDEGE NI CAPT. MAKINDA. TUSIIBADILISHE HISTORIA. MAPUNDA RUDISHA PESA NA USEME UKWELI.
@edmondthomas3321
5 жыл бұрын
Issue ni "uzalendo", na issue ni kuenzi kitendo kilichofanywa kwa niaba ya nchi! Kama kuna sintofahamu ya nani hasa alifanya kitendo hiki cha kishujaa, ni jambo rahisi tu! Weka wazi kwa kumwandikia barua rais... Ninaamini hoja yako itamfikia! Kuanza kutoa amri huku kwenye youtube, ni kujichelewesha!
@piuspanga864
Жыл бұрын
Alikuwa hana nauli
@tonyfredy8975
5 жыл бұрын
Hongera rais,but hakuna uzalendo km kuthamini,utu wa mtu mmoja,akina tundulisu wako hospitality,tundulisu in zaidi ya ndege,akina aquilina wamekufa kwa ajili ya uzalendo wa mkurugenzi mmoja ambae alikataa kutoa,vyeti na kusababisha kifo,ninani anaweza kumuumba aquilina,ila ndege inatengenezwa.kutekwa watu,na uovu km huo unapoteza uzalendo.
@neemannko2040
5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@iddyamri2629
5 жыл бұрын
Tony Fredy we mpinzan! tundu lisu ni nan
@Influvesselstz
5 жыл бұрын
hakuna kitu kisicho na dosari... ata ingekuwaje
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
5 жыл бұрын
Uzalendo kwanza
@godwinmariki2812
5 жыл бұрын
TUMUUNGE MKONO RAIS HUYU WA WATANZANIA
@feiz3180
5 жыл бұрын
Hakuna uzalendo kutoka CCM. Munauwa upinzani na kusambaratisha upinzani halafu eti uzalendo. Wewe binafsi ni mtu wa chuki na kudhalilisha wafanya biashara etc. halafu unaongelea uzalendo. Ndege sio kipimo cha uzalendo.
@edmondthomas3321
5 жыл бұрын
Feiz... be serious bhana... nani anaua upinzani? Kwanza sidhani jina "upinzani" ni muafaka! Ningependa kuwaita vyama "kinzani" ikimaanisha vyenye itikadi tofauti na kilichopo madarakani! Tatizo HAKUNA hata chama kimoja kinachoweza kujitanabaisha kama chama "mbadala"! Huwa ninamheshimu mhe. Zitto kwa jinsi anavyotendea haki baadhi ya hoja anazojaribu kuzijenga... Laiti angejikita kwenye kutengeneza mfumo wa chama kinachofikiria na kujenga hoja kama anavyofanya yeye... tatizo mkuu wetu huyu kama vile yupo busy kujijengea kiti cha enzi, kuliko kujenga chama chenye nguvu! Hivi vikundi vya kupinga kila kitu na vyenye kujitangazia kazi ya 1./ Kuhakikisha waTanzania eti wanachukia serikali iliyopo madarakani, na 2./ Kuhakikisha nchi haitawaliki.... Hivyo navyo unaviita vyama mbadala? ...labda jina "upinzani" unaviathiri.
@feiz3180
5 жыл бұрын
@@edmondthomas3321 kiswahili lugha nyepesi sana. KINZANI maaana yake nini???.. Chama hiki ni chama cha kiimla. Cha ambacho kinafuata sera za kikomunisti ya uchina. Chama kisicho wafiki jitihada za watu binafsi wanaoleta maendeleo kwa wenziwao. Mimi kama mzanzibari siwezi kuthamini chama na viongozi wake kwa udhalalishaji waliotufanyia .. Zanzibar hamna CCM. Walioko ni wasaka tonge na KURA 2015 CCM walipigwa kama mbwa koko. Hata Sefu Ali Iddi alikosa jimbo ndio Kikwete akaleta jeshi na Magufuli akatimiza uchafuzi uliotokea kwetu. Unafikiri sisi tunataka muungano???. Sisi tumechoka kutawaliwa ,,,,,,
@edmondthomas3321
5 жыл бұрын
@@feiz3180 ....Duh.... Basi sawa!
@pastorm.e.mwakalonge7020
5 жыл бұрын
duh million kumi ok sawa tunaendelea kubana matuzi na tunauunga mkono
@petromasolwa6666
5 жыл бұрын
Hongera Mr President
@salmadalaquimane5303
5 жыл бұрын
Ongera mjomba magu
@man.lule.585
5 жыл бұрын
Rais ana posho nyingi za kuweza kugawa hadi milioni 100. Mbona Lowasa alitoa bilioni 3. ukawa amezitoaga wapi?
@davidkaguru9511
5 жыл бұрын
mshahara wa raisi ni milioni tisa.kwa mwezi huu tu keshatoa milioni 40 hizi pesa anazipata wapi?
@yonamahigu4655
5 жыл бұрын
Ufikri wako umeishia hapo tu kwan miez yote huwa anatoa hizo pesa na unahisi rais hana mfuko ofic yake?
@salmadalaquimane5303
5 жыл бұрын
Fala wwe
@eliyakapaya5858
5 жыл бұрын
Kwahiyo unatakaje
@mariammpapa9017
5 жыл бұрын
jalb matumiz mkuu mbona unagawa vijicent hovyohovyo
@mainepraygod3142
5 жыл бұрын
Rais ana mandate na pesa yote ya serikali...so usiulize sana kaitoa wapi
@ayubnsajigwa1037
5 жыл бұрын
Alichofanya sio uzalendo ni uharifu kama uharifu mwingine shirika likivunjika zina taratibu zake za kugawana mali sio kufanya kihuni kama Alichofanya huyu Mzee alivunja sheria kama wengine wanaochukua mali za umma
@edmondthomas3321
5 жыл бұрын
Ayub Nsajigwa inaelekea HUJUI kilichotokea wakati EAC inavunjika! Unajua kikichotokea? Unajua mchezo ulivyochezwa? Ni heri utafute kujua historia ya kilichotokea, kabla ya kuja na theories hapa! Si hekima kujaribu kutumia nadharia (theory) kwenye mazingira ambayo uhalisia HAURUHUSU utekelezaji wa nadharia hiyo! Alichofanya Captain Mapunda kwenye mazingira yale, kilikuwa kitendo cha kishujaa!
@chescomnyangali8601
5 жыл бұрын
@@edmondthomas3321 NI KWELI KABISA HUYU JAMAA HAJUI TULICHOFANYIWA KIPINDI HICHO
@salmadalaquimane5303
5 жыл бұрын
Una lopoka 2 ata ujui unacho kiongea fala wwe
@mrgwahula5026
5 жыл бұрын
Ndege zilizobaki ziligawanywaje?
@makameabdalla8928
5 жыл бұрын
Hasidi huwa hana sababu. Kuna hasidi mmoja alikuwa na jirani yake alikuwa hampendi. Yule hasidi akapata bahati ya kutakiwa kuchagua lolote atakalopenda afanye ila kwa sharti kwamba kwa kile atakachofanyiwa jirani yake atapatiwa mara mbili zaidi mfano hasidi akitaka apewe shilingi milioni 20 yule hasidi apewe milioni 40. Hasidi alikubali hilo sharti. Akaambiwa atamke kile anachopenda kufanyiwa hasidi yule akasema atolewe jicho moja akijuwa kuwa jirani yake atatolewa macho mawili. Inaonekana miongoni mwetu watanzania tumo wenye moyo wa huyu hasidi. Mazuri yote haya anayoyasimamia mpendwa Rais Magufuli wapo hawaridhishwi nayo na kuyatafutia sababu ya kuyatia kasoro eti anatumia pesa atakavyo bila kupata kibali cha bunge kama ni chombo cha kuidhinisha matumizi yote ya serikali. Wakulima wa korosho wanaotaka kupunjwa na wafanyabiashara wasiojali nguvu za wakulima na Rais alipoliamuru JWTZ kuratibu ununuzi wanasiasa wamefyatuka eti anatumia jeshi vibaya. Kumbe kisa ni kuzibiwa mirija yao ya kuwanyonya wakulima. Magufuli amebana watendaji wasio waadilifu na waaminifu waliokuwa wakila mamilioni ya shilingi kwa wafanyakazi hewa. Wamebanwa imekuwa noma. Wafanyakazi waliokuwa wakipata stahiki wasizostahili kwa vyeti bandia wamefanyiwa uhakiki imekuwa nongwa. Magufuli amerejesha kwa kiasi kikubwa nidhamu katika utumishi wa Umma akipiga vita rushwa ubadhirifu wizi na uzembe tunamnunia. Hivi sisi watanzania tukoje hasa tunataka nini. Awamu zilizopita wapinzani waliyapigia kelele sana mambo hayo. Leo yanatetekelezwa kwa vitendo wanakuja juu eti CCM imekopi na kuiba sera zao. Nilidhani watampongeza badala ya kumlaumu na kumbughudhi. Upinzani huu wa kinafiki hautatufikisha mahali pazuri na unaweza kuviza na kudumaza maendeleo yetu. Napenda sana upinzani lkn wenye kuleta tija. Magufuli ni binaadamu na si malaika wala Mtume na sifa ya ubinadamu hakuna mkamilifu. Sikatai ana mapungufu yake ya ki ubinadamu ambayo kila mmoja wetu anayo. Lakini katika suala la uongozi wa nchi tangu ameingia madarakani miaka mitatu sasa yuko vizuri. Tuungane kumuunga mkono na kwa pale anapokosea tumshauri na kukosoa kwa hekima busara na si kwa lugha safihi na matusi. Tukumbuke kuwa ufalme wa duniani anayetoa ni mfalme wa viumbe vyote yaani Mwenyezi Mungu yeye akitaka uwe utakuwa na asipotaka huwi utamaliza waganga na waganguzi na kuchanjwa chale za kila aina hadi za matakoni lkn katu huwi madhali Allah hajataka uwe. Hongera Rais Magufuli kwa yote mazuri uyafanyayo kwetu watanzania ukikumbuka Zanzibar ni sehemu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mamlaka ulionao ubuni na ufikirie miradi mikubwa itakayoiwezesha Zbar nayo kunufaika na Muungano huu ambao wapinzani wanatumia changamoto zilizopo kutaka kuuvunja Muungano huu kama unavyowaona na kuwasikia viongozi walionufaika na Muungano huu lkn leo miaka 55 eti hakuna lolote lillofanyika maneno hayo yanakuja leo wakiwa hawana madaraka serikalini. Mungu tuepushe na majanga na maafa pamoja na shari za za mahasidi mafatanii na waovu wanaoitazamaTanzania yetu kwa jicho la husuda. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake
Пікірлер: 110