Hapa suluhu ni kuwapeleka mahakaman ingekua inawezekana nikwenda lcc washtakiwe huko
@hemedsaidi9388
2 ай бұрын
Hatua nzuri
@jaanjaan111
2 ай бұрын
Shida sio polisi shida iko kwenu mapimbi mawaziri wote family zao ziko mitaani mali zoa zinajulikana tumalizane nao siku kumi zinatosha kuleta heshima kwa kila mtu
@farhiyaibrahim2053
2 ай бұрын
Kwenu au kwetu?
@Noelkitoi
2 ай бұрын
Samia ameonga watu wakuiba kura chadema tuko tayari kwa shari
@michaelmwambije3603
2 ай бұрын
Hakuna ambae hajui kuwa jeshi lapolic niwatekaji ten nimajambaz
@deniccgabriel6153
2 ай бұрын
Ukileta matukio aya alafu unaona Peter Msigwa anatoa menooo njeee kama chiliku
@ThomasAlute
2 ай бұрын
Jeshi la polisi linahusika asilimia mia moja kwa sababu watu wanajua kila kitu unajua Dunia ya sasa hivi huwezi kuficha chochote kile watu wanauelewa mkubwa sana kuliko hata IGP
@EmanueliWildausoni
2 ай бұрын
Kwa matendo haya hata hiyo katiba mpya ikipatkana nina was was haitafwata mana hata hzo sheria ambazo zipo hazifwatwi waz waz na hakuna kinachoendelea pole mzee wangu Kigaira
@JumaMkiji
2 ай бұрын
Awajamaa wanafanyavibaya sana mungu atakuja kulipa
@elibarikimollel7149
2 ай бұрын
Hapa kuna fumbo! Wananchi tukisema juu ya mzunguko woote kisha anatokea kaimu kusema tuko naye,kwamba polisi ni waongo,bado ntatekwa, kufichwa,kuteswa,baada ya muda kupita patatokea tena utekwaji kisa nimesema polisi waongo?!
@AllyMabena
2 ай бұрын
Chadema tatzo mnaishia kulalamika tu, ifike mahala chukueni hatua ili wanachama wenu wawe na Imani na chadema
@samuelmakara1475
2 ай бұрын
Ungana nao au wewe sio Tanganyika
@raymondnlelwa427
2 ай бұрын
Unataka tuanze kuwachinja tunaoishi nao mitaani sasa? Hii haifai; tunawaachia wenye mamlaka waamue na Mungu wetu aingilie kati.
@dionismutayoba3542
2 ай бұрын
Shauri wafanye nn?
@deniccgabriel6153
2 ай бұрын
Suala hili ni la wananchi wote watanzania ingekua wananchi wanauwezo wangemkataa Samia tangia sakata la wamasai kutoka ngorongoro, bandari kupigwa mnada, sukari kupanda bei ,nape nauye kusema kua kuiba kula kwao ni halali Mungu atawasameee😊😊😊😊
@sagandamalechampullo659
2 ай бұрын
Jeshi la Polisi Tz ni Majambazi na Watekaji wote
@JumaMkiji
2 ай бұрын
Akuna utawala washelia wanafanyamambo kiuonevu iposiku wataondoka kama alivondoka mkoloni
@josephmkinga9509
2 ай бұрын
icc ndowatenda haki ila hii mahakama yetu rostm mwazz ashasema hio ni ya maagizo2 hivo tz, hamna haki
@Jeremiahlukumay
2 ай бұрын
Jeshi la polisi tz kwasasa limekua hatari zaidi Kwa usalama wa raia tanzania,hususan wapinzani wa serikali.
@dallasmusic6465
2 ай бұрын
Tunajitawala vbaya Sisi kwa Sisi police wa bongo wakiundiwa tume kuna uovu mwingi Sana
@frankSamwel-rg3lz
2 ай бұрын
No rule of law no one is safe
@mtotowamanka
2 ай бұрын
Police TANZANIA 🇹🇿
@AronAnselemi
2 ай бұрын
Vyama pinzani vinatuangusha sana avina msimamo
@samuelmakara1475
2 ай бұрын
@@AronAnselemi wanaotekwa ni vyama vya upinzani au raia. Wewe unasemaje
Пікірлер: 27