asahnt mtumishi wa mungu azidi kuinuwa huduma hii iliyop ndani yako
@JuliusMtunguja
4 ай бұрын
Barikiwa
@livingstonemussa9997
6 ай бұрын
Joel please utuwekee semina yote unatupa nusu nusu sana..
@mohamedismail2662
5 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki Sana
@yusuphkasuka
6 ай бұрын
Ni Kama nakuona ukichukua uongozi katka nchi yetu utaibadilisha sana
@yusuphkasuka
6 ай бұрын
Una kiti chako mbinguni Kaka tena Cha mbele.
@aminamtango5201
6 ай бұрын
Nakufuatilia sana mungu akutunze kwa ajili ya kizazi hiki
@georgepeter2055
6 ай бұрын
Viongozi wetu wanhekuwa na uzalendo huyu mtu alitakiwa alindwe kwa ajili ya tunu la taifa letu… ndio kwanza wanatengeneza chipukizi wao vitoto vyao… maana yake vijambazi vya kesho.. hili taifa mungu atusaidie aana.
@shalomchaula4420
6 ай бұрын
Kaka Mungu akubariki Sana na yeyuka huku nikiweweseka kiuwenda wazimu
Пікірлер: 14