Kongole sana kaka Hakika tunayeyuka huku tukiweweseka kiwendawazimu(The ecstacy of critical thinking) #farmersofthiughts
@hildajames8241
3 ай бұрын
Kaka, wewe ni mtu potential kuwahi kuzaliwa nchini kwetu, Mungu akutunze uishi sana
@mustafadjuma6504
4 ай бұрын
Mueshimiwa Joramu mkumbi upo vizuri sana kabisa Allah azidi kukulinda kiongozi
@johnmayaka
2 ай бұрын
Ulumbi kila mahali! Shukrani tumbitumbi kaka Joramu.
@tashjohn254
Жыл бұрын
Nime penda simulizi my brother, Toka Kenya 🇰🇪 na napenda kazi unayo fanya. Mungu ametupa kuishi maana kubwa ndo tuwe na " impact" Kwa kizazi chetu , tunaweza kama tuna amini. Mungu na akupe afya, maarifa , ushupavu na miaka nyingi za kuya tenda mapenzi yake. #We-Are-Africans-And-Africa-Is-Our-Business.
@alainnduba9000
5 ай бұрын
Merci beaucoup pour ce récit historique
@franksolly1927
Жыл бұрын
Ndugu yangu, mwalimu wa maisha yangu, sio leo wala jana kukufatilia, siku zote tangu nikufahamu kuwa ni chombo bora zaidi hakijawahi kutokea. Nasikia kila jambo unalo-post. Kwanza nikupongeze kwa kazi kubwa na nzito unazofanya. Kuhusu hilo la leo limekuwa bora zaidi kwa sababu unazungumza mambo mazuri yaliyofichika, popote pale huwezi pata, tunakuomba uendelee na kazi hii tena hata dakika uongeze maana ni habari nzuri sana. Tunakuomba uendelee kutupatia habari nzuri kama hizi tena ziwe za dakika 40 au lisaa.
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Asante sana ndugu kwa maneno yako ya uungwana
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Nashukuru sana Ndugu zangu
@eliasmkumbo5171
4 ай бұрын
Nzuri sanaa hii mkuu
@ahmedhinjuson9516
Жыл бұрын
Keep it up brother....nakuelewa sana na semi zako! One day utakuwa juu sana na mtu mashuhuri ....belive me.! By Ahmed .
@zacheaus1000
Жыл бұрын
Joram Nkumbi vitabu vyako nitavitafuta...sijui kama ziko kwenye Amazon...manake unanifurahisha mnoo..ukiweseka kiwendawazimu
@obreydenzel7643
Жыл бұрын
"Leadership is a solution to the problems of humanity". I can see it.
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Nashukuru sana Ndugu
@jackmoshi
Жыл бұрын
absolute gems ! we need more stories like this. big up
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Tutaleta Story za Kutosha
@emmanueljoseph3812
Жыл бұрын
Umetisha sana bro! Endelea kutupa vitu adimu kama hivyo bwana Joram
@benkalinga8783
3 ай бұрын
Kaka Joram tunapataje vitabu vyako tafadhali
@safirinamimi3783
Жыл бұрын
Asante sana kwa habari haya mazuri, tunahitaji vijana wenye ushujaa kama Gideoni. Waongoze nchi ipasavyo, bila kutumia mambo yasio halali, by Jhoan PINTO
@rommelmauma8081
Жыл бұрын
Kwa kuongezea, Chedieli Yohane Mgonja aliwania ubunge huko kwao Same katika uchaguzi wa mwaka 1980. Alitangazwa mshindi. Lakini Mahakama Kuu ya Arusha ilitengua ushindi huo kwa sababu alinunua kura. Zaidi, aliadhibiwa kutoshiriki siasa na uchaguzi kwa kipindi cha miaka 10. Lakini Mwalimu alimchagua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kabla ya kumaliza adhabu yake. Waziri Mkuu, Edward Sokoine, na Wakili/Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Joseph Sinde Warioba, waliingilia kati hadi Mwalimu akatengua uteuzi huo.
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Asante Sana kwa Mchango huu makini
@rommelmauma8081
Жыл бұрын
Nimehariri para ya mwisho kwa sababu kulikuwa na kosa la uandishi.
@joramunkumbi
Жыл бұрын
Asante sana kwa ufafanuzi
@rommelmauma8081
Жыл бұрын
@@joramunkumbi Swali: Unajua Taasisi ya mstaafu Rais Barrack Obama? Inajihusisha na maswali, matatizo na kero za vijana, globally. Mengi yanafanana na hayo unayofanya. Anatafuta vijana, kama wewe; sisi wengine ni wazee saaaana! Najua kijana mbunge wa zamani wa Aru Meru Joshua Samweli Nassari aliwahi kufanyakazi na taasisi hiyo mjini Chicago baada kupoteza ubunge wake.
@joramunkumbi
Жыл бұрын
@@rommelmauma8081 - tuwasiliane ndugu - unijuze zaidi , 0757464874
Пікірлер: 60