Kigelegele kwa hiyo leo tunashinda? nataka kubeti kwa hiyo niweke mpunga kwa Yanga?🤣🤣🤣🤣
@fatumahaji-ei5hk
15 күн бұрын
Mbona ulipotea kigelegele ulikua unaumwa sijakuna.mch na azàm na vtaloo nilikumias
@ahmedalsaadi7108
15 күн бұрын
Yupo mikoani anasajiri wanachama
@user-princs
15 күн бұрын
😂😂😂 dah kigelegele🎉🎉🎉🎉
@sosomacharles9920
15 күн бұрын
Wamekalia seat ya dreva au siyo🤣🤣🤣🤣🤣
@mansooralaisri5200
15 күн бұрын
Watashuka bila ngazi, iwe kwa kuporoka au kuanguka😅 😅😅
@mansooralaisri5200
15 күн бұрын
Mla,mla Leo mla Jana kala nini?
@birundula
15 күн бұрын
Kigeregere umenenepa 😅😅😅 kweli Yanga raha
@user-ox4fv4cf5l
15 күн бұрын
SIMBA HUWA WANAPENDA LIGI IWE DHAIFU ILI WASHINDE MECHI KIWEPESI KWA KUTEMBEZA TIGO PESA
@sosomacharles9920
15 күн бұрын
Du!yaani Yanga kwa sasa inatafuta soko kutoka kwa wanachama wao,ni kama biashara tu.Wanaotembea mikoani kwa ajili ya kusajili wanachama ni kama afisa masoko vile.
@RamadhanHaruna
15 күн бұрын
Hahaha kigele gele bhna kwamba sawa
@sosomacharles9920
15 күн бұрын
Kigelele kumbe na nyinyi mnayasikia hayo?
@EliabuChatanda
15 күн бұрын
Wewe bwanwaja tutaona 😂😂 mpeni maji mwiko huyo hahahha
Пікірлер: 14