hakuna mzanzibari anayekataa muungano isipokua muungano wa dhulma unao ongozwa na serikali ya tanganyika na chama cha ccm huo hautakubalika maoni ya kamati ya maridhiano ya zanzibar mumeisikia yako fair enough.hii ndiyo miungano yenye faida siyo ati nyerere kasema ndiyo majibu yenu mkishindwa jee wewe unasemaje?
Пікірлер: 1