Hatuna budi kuwakumbuka makomadoo wanao pigania nchi yetu mung wabariki aamin
@gangmore9091
2 жыл бұрын
Allah ndie hakimu wa haki kwa waloyafanya karume n wezake wataenda kujibu n nyinyi munao halalisha mauwaji y 64
@ibrahimrashid951
Жыл бұрын
huyu kaka yetu akili nyingi mansur anajitambuwa safi sana
@zanzibarwazanzibar8998
11 жыл бұрын
asante sana wewe unaetuwekea video hizi zanzaibar kwanza daima
@KassimAlly-xp4dz
Жыл бұрын
Nimejikuta naangali kumbukumbuka hii
@saidahmed9688
2 жыл бұрын
mansour
@gangmore9091
2 жыл бұрын
Mapinduzi or mauwaji
@feiz3180
11 жыл бұрын
Muumini wa ,muungano wa heshima, usawa, na haki.
@andrewsadiki9914
11 жыл бұрын
kkkk ccm 2015 mmeyataka wenyewe ati sera ya chama kweli kipofi siye yule asiyeona ni maumbile tu bali yule anayeona halafu akawa haoni ndiyo ccm wa zanzibar
@ahmadalihaji1901
4 жыл бұрын
Est wazalendo
@feiz3180
11 жыл бұрын
Tuwe mfano, Haina haja ya malumbano. Zanzibar kwanza.
@mohammedmuhammad7186
Жыл бұрын
Iavalava
@geraldnyamaiswe570
4 жыл бұрын
Muungano wa Sirikali mbili hauwezi kuufanya Muungano huu uendelee; maana ya Muungano ni vitu 2 vinaunganishwa pamoja.Sasa Muungano huu inakuwaje wa Sirikali 2 yaani Sirikali ya Muungano na SMZ sasa huo Muungano ni kati ya SMZ na Sirikali ya Muungano.Serikali ya Tanganyika iliyofanya nchi hii kuitwa Tanzania serikali yake iko wapi!!Au Tanganyika ndiyo imechukuwa nafasi ya Muungano? ?
@fatmajuma4998
4 жыл бұрын
Huna ubabe wanakuchezea tu wazanzibar fanya ivyo bara
@ibrahimdabo7163
4 жыл бұрын
Kusema ukweli siyo zambi jamani huyu ni mwana mapinduzi halisi na anauchungu na taifa lake
@albusaidkhelef6655
6 жыл бұрын
kapilima BORA MUARABU kuliko utawala huu.
@feiz3180
11 жыл бұрын
Hasama, chuki na ubaguzi tumezichoka na tumechaguwa matumaini.
@mwinyimjaka4782
4 жыл бұрын
Bora warudi warabu Mana hawa wanawo tuwongoza nakuma tu nivibaraka watanganyika tumewachoka kuzulumiwa
@pettermasika9120
4 жыл бұрын
Haki ya Mungu huu Mfumo ulio Changanya udogo wa Tanganyika na zanzibar haungoki hadi Mwisho wa Dunia, Kerere yoyote ni wa kupigwa hadi Afe, Mungu alisha Bariki kuchanganya UDOGO
Пікірлер: 30