Kaka unatujenga sana nataman kupata kitabu mm ni baba huruma sina kitu laki akija ndugu au rafiki anashda natoa hata akiba yangu nisaidie kuepuka hili
@joelnanauka
Жыл бұрын
Angalia video yangu inayosema jinsi ya kujenga nidhamu ya kutoa Fedha
@farajazungu7732
Жыл бұрын
@@joelnanauka nahitaji kitabu chako...nakipataje
@pikanaauntzuu1466
Жыл бұрын
😅😅😅😅kwakweli ila kuna video alipost mimi pia imenisaidia yani akija mtu analia shida naweza infia deni ili nimsaidie ila tokea niangalie hio video nimejifunza kitu na km sina bac changaiki na km ipo kwenye mipango yangu bac c hangaiki na shida ambayo sikuitarajia tena ya mtu
@anethmajura
Жыл бұрын
Kaka unaniponya sana mungu akupe afya njemaaa na miaka mingi zaid uendlee kuniimarisha🙏
@user-di9ol2vc9h
6 ай бұрын
[LAW OF BELIEF] bado sijaifanyia kazi vizury
@Mwinamila-3
8 ай бұрын
MUNGU akupe maisha marefi my bro
@user-bp6br5yo1l
6 ай бұрын
Mungu akubariki na akulipe mema kwa kutuongoza na kutuzindua
@nouryan0016
6 ай бұрын
Namshukuru mungu nimefanikiwa🎉🎉
@mushicat1288
Жыл бұрын
Duh!unanijenga sana.Mungu akupe mafunio zaidi.
@charlesoputi7101
Жыл бұрын
Watching for the 3rd time be blessed brother @kenya
@MbarakaMasharubu
6 ай бұрын
Sina neno zaidi ya majuto kutokukufaamu mapema kk balikiwa
@MoreenSimkonda
5 ай бұрын
Natamani kujua kama naweza kusoma vitabu vyako mtandaoni na navipataje🙏
@ramadhanalmashamza3458
Жыл бұрын
Unachoamini kwa hisia kinakuja kuwa uhalisia asante sana kaka ubarikiwe
@JosephinaMahenge
Ай бұрын
KAKA JOEL WE GENIOUS SANA, UNAJUA KUTUPA MADINI 🎉🎉🎉
Kaka axante kwa mafunzo naamn xaxa ntafanikiw xana
@macmax3152
Жыл бұрын
Heshima yako kaka wewe ni jiniaz na doctor
@westside6470
Жыл бұрын
bom bom mano
@bushambalvenasbushambal-ot3eh
Жыл бұрын
kaka ubarikiwe Sana
@Deusmpili
Жыл бұрын
Najifunza sana joe asante ubarikiwe Nipo karagwe kagera naomba unitumie kitabu chako money formula
@robertonlinetv8908
Жыл бұрын
Thanks 😊 ❤
@mwajumabinwa604
Жыл бұрын
powerful speech nivizuri kuji nenea maneno mazuri ili yatokee ayoayo Asante kwa mafundisho
@muhsinsalum8009
Жыл бұрын
Kaka nimekukubali saana, nakumbuka niliwahi kuwambia marafiki zangu nilikua nikisoma nao masomo yetu ya dini nikowa Zanzibar, niliamini saana kua nitaenda OMAN kusomea huko. Na ukweli nilienda. Kwasasa ninandoto naowaza nakuiamini naomba Mungu anifanikishe niifikie in shaa Allah.
@antonymnapaaaantonymnapaa7939
Жыл бұрын
Shukurani sana itoshe tu kusema hivyo! Maana nashindwa hata nieleze jinsi gani unavyo nitia nguvu🙏
@hashimumchalo7613
Жыл бұрын
Kwa kweli mm umenisaidia mambo mengi sana ila hii ya Leo imeingia Tena kwenye malengo yangu natamani kukununua gari fulani na ninaliona sana kiongozi kaxi nxuri sana nitakutafuta mana mm nimeanzia chini sana
@Rivadetalentboy
Жыл бұрын
Tupo pamoja,,,
@tumainferisian8761
Жыл бұрын
Shukran sana kaka ushaur wako n mzuri sana tuki mtanguliza Mungu thanks
@raheemkassim2324
Жыл бұрын
Brother Joel me kun vitu vinanichanganya Sanaa niwez kukutafut unisaidie
@NusraJuma
4 ай бұрын
asante sana kwa somo zuri Mwalimu Joel nanauka. ila mbona law of imagination na law of correspondence kama zinafanana hivi kwa mujibu wa ulivyoeleza?
@jescadeogratias5292
Жыл бұрын
Mungu azidishe baraka kwako na kizazi chako chore.Unatujenga wengi,unatuinua wengi
@mlingijames1917
9 ай бұрын
Amen
@augustinepaul9692
Жыл бұрын
Imagination yangu ni kubwa sana na speed ya kufikia iyo ndoto ni ndogo hii hali inakua inaniletea stress
@Udindigwa
Жыл бұрын
AMINA
@sendamachenge6311
Жыл бұрын
Kweli ww ni Tanzania One, Una maono makubwa sana ndugu
@alexmarwa941
Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana brother unatusaidia xn kubadilisha fikra zetu
@ashaidd2912
Жыл бұрын
Mungu akuweke Sana Mimi nimeweka akili Kwa mwanangu abadilike na mungu amesaidia Niko vzr mungu ni mwema na mambo yanaenda
@MOTecnology
Жыл бұрын
Ahsante sana Joel A. Nanauka, Me nimejifunza kanuni ya Law of Belief.. Nashukuru Sana ALLAH akulipe kheri.
@dereckndasalama1002
Жыл бұрын
Hey Joel nanauka is a christian avoid saying Allah
@danielmlwafu4380
Жыл бұрын
Asante Nanauka
@charliekavugho1849
Жыл бұрын
Jambo Kakangu ,mungu hakubari sana unanisaidiya sana .
@sundaymariba360
Жыл бұрын
Brother Asante Kwa somo nzuri
@tongwe
Жыл бұрын
Asante sana kaka
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
Awesome Ubarikiwe sana
@annamallya8756
Жыл бұрын
Ahsante sana 🙏🙏
@kevincrown4554
Жыл бұрын
bro bless sana naimani nitanijenga kwenye maisha yangu
@edommdende4309
Жыл бұрын
You bless me more kaka joel
@yoshuasaiba4652
Жыл бұрын
Get it well🙌
@mwamvitamyombo4466
Жыл бұрын
Asante Joel Nanauka kwa mafundisho yako
@joelnanauka
Жыл бұрын
Ahsante sana kwa kufuatilia
@lebahatikeiya8666
Жыл бұрын
Be blessed bro
@tumainferisian8761
Жыл бұрын
Thanks
@kolokokoloko9276
Жыл бұрын
Safi sana Nanauka
@boscobalame8018
Жыл бұрын
Mungu Akubarik Kwel Hii Ni shule isiyo hitaji karamu ya wino😂
@rubbenmacha7254
Жыл бұрын
Mm na amini katka mafanikio makubwa
@Rivadetalentboy
Жыл бұрын
Im violin player🎻 unani encourage Sana 🙏🙏🙏
@rogathennana473
Жыл бұрын
Postivity
@cutting_timeless_barbersho1701
Жыл бұрын
Kanuni ya tatu iyo
@lilianwilfred3271
Жыл бұрын
Thank you Joel
@omarymyula
Жыл бұрын
Nimekuku Bali kak
@emanueleugen9463
Жыл бұрын
Law of corespondance this is the problem in my life
@hamisikambona-wp1oz
Жыл бұрын
My Mentor ,Najifunza Vingi Sana Kupitia Wewe Kaka Mkubwa Kupitia Hiyo "LAW OF BELIEF" Nimefanya Vitu Vingi Sana Na Vimekuwa.
@kainibachungege3430
Жыл бұрын
Kaka Jo Ukweli Ni kwamba Inasaidia Sana Watanzania na Walimwengu kwa Ujumla. Tunajivunia Sana Kwa Namba unavyo tuaa Maarifa haha Muhimu.
@gibsonmnun887
10 ай бұрын
Nimegundua kosa lang., Law no.1&2 niko vizuri ila kwenye law no.3&4 watu wa karib yang wananirudisha nyuma sana kwa kunipa negatives. Sasa ntaamin ktk mm nisiwasikize
@Patricia800
Жыл бұрын
❤❤
@ufahamuzaidi2343
Жыл бұрын
Great
@abdulmakongwa3856
Жыл бұрын
Kaka m nakushukuru Sana aisee Kwa maana ya kwamba maranyingi unanijenga kimsingi Sana.. hata ivo tafadhl sana naomba yako ya whatssap tuweze kuwasiliana.
@mrishobhaya8965
Жыл бұрын
Noel unamaliza kila siku MB zangu za thamani ya elfu Tano. Lakini baada ya muda furani nikapata milioni Tano ajabu kabisa na sichoki kukusikiliza maana unateka sana sehemu ya ubongo wangu
@KelvinMjuni-ob2pv
Жыл бұрын
Mawasiliano yako ni muimu ili kujifunza zaidi
@frankjonh-tz2qq
Жыл бұрын
Nipo songea nashida na kitabu naomb nitumie namba yako tuwasiliane kaka
@iddyrashid7132
Жыл бұрын
Bro sina mengi ya kusema mungu akulinde uzidi kutuelimisha
@joelnanauka
Жыл бұрын
Ameen Ameen nashukuru sana
@jacquellinepaulmatiku8645
8 ай бұрын
this background voice is an obstacle
@MOTecnology
Жыл бұрын
Now Naanza Kusikiliza Kwa Umakini Ili Nijifunze Kitu Kutoka Kwa Joel A. Nanauka
@joelnanauka
Жыл бұрын
Karibu sana
@MOTecnology
Жыл бұрын
Shukran.
@feisalhamza1589
Жыл бұрын
Thanks brother kakuni ya tatu inanisumbua sana Low of correspondence
@feisalhamza1589
Жыл бұрын
Kanuni ya tatu brother
@davidkihiga3531
Жыл бұрын
Ni kitabu gani naweza kukipata nankunipatia kwa maelezo yake.kwa.kirefu
@joelnanauka
Жыл бұрын
0762 31 21 71 tuwasiliane
@mossesezekiel7862
Жыл бұрын
👆👍👏👏👏
@asternjulius890
Жыл бұрын
Aiseh niliweka imagination ya kununua crown athletes ndo nikaanza kuziona nyingi kila sku
@paulkihenzeva754
Жыл бұрын
Ndiyo maana Kila ninapohisi kuteleza Huwa nakimbilia video zako chap kurudisha maarifa .
@jeniphersanga2306
Жыл бұрын
Kanuni ya law of belief jmn mimi mda mwingi akili yang imekaa kuwaza na kuamin kushindwa sijui shid Nn naomba unisaidie mwalm ktk hili nataman hali hii initoke
@joelnanauka
Жыл бұрын
Endelea kuangalia hizi video utaishinda hiyo hali.
@jeniphersanga2306
Жыл бұрын
Asante sana my mentor🙏🙏
@mwanatz5980
Жыл бұрын
Asante sana
@bensonbarnaba1431
Жыл бұрын
Asante , je nawezaje kupata mafundisho yako wasap?
@joelnanauka
Жыл бұрын
Tuma Hii meseji Watsapp 0756-094875
@ibrahmabdallah5148
Жыл бұрын
Ivi kuna uwezekano wa kupata no yako I mean group WhatsApp ?
@joelnanauka
Жыл бұрын
0756 094 875
@mayungasaid5394
Жыл бұрын
Low of correspondence
@kelvinmwakatobe2174
Жыл бұрын
Nanauka wewe ni Maana halisi na picha ya mtu alienufaika na elimu aliyoipata. Me tips zako naziiishi maana ni positive Tips
Пікірлер: 115