Kweli. Kabisa. Juzi Harmonize Anapiga mziki wakati wa kufuturu.. #Msiba mzito
@munguaibarikitanzanianawat9254
5 жыл бұрын
Inna lillahi wa Inna ilayhi raji'un
@josej9888
5 жыл бұрын
Tatizo hawa wasanii wakishajiona wanashabikiwa na mashabiki maandazi wanavimba vichwa.
@mwanakijana31
5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema inshaallah
@duscodeledele856
5 жыл бұрын
Mufti wetu allah akujalie afya njema na siha utupe kile ulichojaliwa
@shimuld6721
5 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Rahman Allah akuhifadhi daima maneno yako ni sawa kabisa
@ausihaji2398
5 жыл бұрын
SHEIKH HATA HARUSINI MZIKI NI HARAAM
@hamadsuleiman5177
5 жыл бұрын
huu ni upuuzi wanaofanya hawa wasanii kwani kwanza wao wapo kwenye kibri cha kujionyesha wanauwezo na sidhani ya kwamba wanategemea malipo kutoka kwa ALLAH ila ni sifa kutoka kwa watu, wanaudhalilisha uislamu tena mwezi mtukufu wa ramadhani, kama ni harmonize iwe diamond awe yyt yule ajue kwamba ataulizwa juu ya hili..musiifananize dini ya Allah na upuuzi wenu na pia kuna aya imesema watakao kuwa na tabia hizi watakua mahala pabaya na kupata adhabu kali mbele ya Allah
@AbdulWahid-hp8qr
5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdullihmaulid7859
4 жыл бұрын
Uislam siyo utamaduni acha kutudhalilisha
@hamadsuleiman5177
5 жыл бұрын
pia huu ni mwezi umeshuka Qur-an na tunasisitizwa kuisoma zaidi na zaidi, sasa leo munatangaza nyimbo zenu kwa kuwafutarisha waislamu eti munasema ni jambo jema..pumzi zenu munajaribu kuizima Quran kwamba watu wasikilize upuuzi wenu wa kisheitani badala ya kuhimiza mema..na mujue sio kila hela ni halali kwani hata mahawara na wauza ulevi si wanahela so ni halali!!!...la muhimu murejee kwa ALLAH kama alivorejea mzee Yussufu ili yasije yakakufikieni umauti katika hali hizo..Allah akupeni taufiq muweze kukumbuka na kurejea kwake kwani kila binadamu ni mkosa ila alobora ni yule mwenye kutubia makosa yake
Sheikh MZIKI NI HARAAM HARAAM HARAAAM.Haijalishi Wapi Unaupiga Ikiwa Katika Iftar -Au wapi Sema ni Haram .Hata Hizo munazoziita Kaswida maadamu zimeingiziwa ala za Miziki nazo ni MZIKI
@sabraham5308
5 жыл бұрын
Sheikh una majukumu kwa Allah ya kuwaongoza waislamu,hiyo ndio dhamana uliyokuwa nayo kama ni mufti,dunia hii ni daraja tuu,tutakuja kuulizwa dhamana zetu,tufanye mambo kwa ajili ya Allah,hakuna kitakachofichiki kwa Allah,hata kama chembe ya hardali,ikiwa kuna mambo hayakemewi kwa jamii ya waislamu,na yakifahamika yatazaa mbegu za upotoshaji,kesho tutakuja kuwajibika kwa dhamana zetu,dini hii ni ya muumbaji wa kila kitu,tuwe na tahadhari isichezewe,na maadui wa Allah,ambao rafiki yao mkubwa shetani,shetani wa kijini na kibinaadamu,kumezuka vitendo vya kuyaingilia,mambo ambayo waislamu wangestahiki,kuyaongoza wao wenyewe kiitifaki,ambayo kwa sasa,kwa wanaofahamu ni kinyume na taratibu na kanuni za dini yetu,binaadamu wote ni sawa lakini,kila jambo lina mipaka yake,tukiwa kama ni waumini wenzako,tegemeo letu ,ni kuulingania uislamu,kwa namna,ya maelekezo ya Allah na mtume wake Muhammad SAW.
@maulidhijja8998
5 жыл бұрын
Shk.umeongea vizur ila swala la muziki!ulipashwa kulikazia sana!mana hawa jamaa inaonekana wazi kuwa wametumwa kuidhiaki hii dini!haiwezekani haban ndani ya uislam mnaruhusu watu waichezee dini halafu nyie kama baraza mnaongea kirahisi kabisa namna iyo,hacheni siasa simamieni hakhii!!
@munguaibarikitanzanianawat9254
5 жыл бұрын
Sio kama hajuii anajuaa sema ni pesa zinawasubuaa eti na mama yake anamusifu ujinga musba kweli.
@irtshisekedikhamis5648
5 жыл бұрын
Muache unafki mbone kazungumzia mengi hamja yasema ayo ya mziki kwenye ftari ndo mumesikiaa tu
@mrishogange4276
5 жыл бұрын
tshisekedi wa mukendi unafk gan? Unatetea upumbav?
@irtshisekedikhamis5648
5 жыл бұрын
@@mrishogange4276 mimi sijasema kama wamefanya mazuri, ila alie post kwa nini aseme tu mambo ya diamond? Kwa kuwa milliard ayo inachuki na diamond Mufti kasema namna walimu na wa hafidhu wana pashwa kuwa. Kwa nini milliard ayo hajasema ayo? Diamond akifanya mema why yeye hayasemi? Ndo unafki uyo
Пікірлер: 21