Uishi sana bro angu, nafurahi zaidi nikickia unatenga na bajet ya kutuma kwa familia God bless you.
@sadickmwinyi1084
5 ай бұрын
❤ more life kaka Dnyota
@athumanizaidi8560
Жыл бұрын
Thanks brother..for your inspirational information.
@rastapeace9616
4 ай бұрын
Nakutafita
@MasolaFarm
Жыл бұрын
Nakufatiria sana kaka live
@jacquelinepalangyo412
10 ай бұрын
Ina maana haukatwi tax dula yan kodi,maana kl ukipiga hesabu sisikii ukitoa kodi ya seriklai.
@SesiliaMlonganile
2 ай бұрын
Naomba kazi ya usafi wa barabara
@HusnaMsalanga
2 ай бұрын
Vip kaka yangu niuganishe nitumie no Yako
@emmanuel-j4t
Ай бұрын
naitwa denisi naitaji kazi
@nadiromar9794
Жыл бұрын
like 100 kwa Dullnyota
@gioblu7860
Жыл бұрын
Words of god your advise u kweli big motivation asante sana dnyota from Italia
@MasolaFarm
Жыл бұрын
Safi sana kaka
@yussufdjumaissa2291
9 ай бұрын
Broo vip naiman uko salama dnyota nilikua naomba kuulizia kazi ya kuendesha aya magari makubwa je ipoje inalipa uko au? Sabab haujawah tuonesha kama inalipa au vip
@josephjames4587
3 ай бұрын
Hayo majengo balaa
@princegray9164
Жыл бұрын
Fatilia na michongo UK af uwe una tuambia tu kaka tuwe na taarifa
@ShabanKayombo
2 ай бұрын
Pamoja mpambanaji
@MasolaFarm
Жыл бұрын
Kaka asiye kuwamini nimpummbafu sana kaka yaani vitu live kaka
@saidbajoun4374
6 ай бұрын
Kaka wewe uko nchi gani
@sautikaliitz934
10 күн бұрын
Nipo mna wew mpka nife😅😅😅😅
@noellazaro763
Жыл бұрын
Iyo kaz inahitaji social security number?
@Hassanikagoma-u2e
Жыл бұрын
najipanga
@MasolaFarm
Жыл бұрын
Tunajipanga kaka tunakujaa kaka
@mussaagrey5679
Жыл бұрын
Bro umefika bongo atuna number zako tumekucheki kupitia comment lakin nimegundua uzisomi
@sharifukilongo2565
Жыл бұрын
Dnyota,appreciate bro
@MansourYusuphu
2 ай бұрын
Mimi hata masaa kumi na 15 nafanya
@jacquelinepalangyo412
10 ай бұрын
Na je kwahyo ukiamua kufanya kazi hadi jmosi inawezekana?na kl kazi zinafanyw hadi jmosi au ni baadhi ya kazi tu.
@Azariahmark3
Жыл бұрын
Yes my brother nimekuelewa sana ila ungetuelezea na kazi ambazo unaweza kufanya bila makaratasi zinalipaje…??? Maana kwa mtu atakayekuja marekani lazima afanye kazi ambazo za chini ya kapeti
@zakayodionis7748
Жыл бұрын
Ila kaka hapo kutuma Hela nyumbani laki tano ni kidogo tuma hata milioni maana laki tano kwa gharama za sahii maisha yako juu sana
@victor-xk6yr
Жыл бұрын
Tunajipanga nyota tutakuja huko
@jeanboscoharumukiza4183
Жыл бұрын
Mimi nimuburundi kunatakia nini wara kama unamtu darsrama dupe nanba tuonane nae kwasababu minakua darsrama kirawiki naendesha rori
@GaluAgro
11 ай бұрын
Broo me and miaka are trying to get me l need a job out there l can get it broo l want to succeed broo l need a job broo
@wakuitwangosha
Жыл бұрын
Bado bill ya gesi,bill ya internet,bill ya maji
@ZainabAbdurlhaman
Жыл бұрын
Tattoo kujua mitaa
@GRANDMUSICKOMEDIAOG
Жыл бұрын
Mm nipo kambini
@r-g-bchanal4963
Жыл бұрын
kambini.wapi?
@GRANDMUSICKOMEDIAOG
Жыл бұрын
@@r-g-bchanal4963 Nyarugusu ndio mm nipo
@charlesmkinda6946
Жыл бұрын
Sorry kaka,nikipata mwaliko,wa kuja huko nawezapata makaratasi yakufanya kazi
@victor-xk6yr
Жыл бұрын
Eti nyota kuaply Green card inatakiwa kidogo uwe umesoma
@gregorymassawe1441
Жыл бұрын
No
@victor-xk6yr
Жыл бұрын
@@gregorymassawe1441 yaani G unamaanisha ata ukipata bahati ya green card siku ya interview elimu ya secondary haitakuwa soo
@raffeiystar2870
Жыл бұрын
Inatakiwa uwe umefikia kidato cha sita kwa mfumo wa Tz, asikuongopee huyo, kama huna elimu hiyo bas uwe na ujuzi wa kazi wa zaidi ya miaka miwili, tena kazi ambazo zimeorodheshwa kwenye website ya wizara ya kazi ya marekani. Usipokuwa na hizo vitu viwili hupewi utapoteza nafas na pesa
Пікірлер: 41