Huyu jamaa ana best ideas 💡 na zote zinasogeza urahisi wa ufanyaji biashara nchini
@gradientlife
Жыл бұрын
Twalib ana akili sana, mtangazaji umejitahidi lakini Twalib is just a genius guy. Hakuna habari ya 20Billions hapa, utajiri mkubwa ni charity. Hongera mpambanaji mwenzangu Twalib.
@yasmeenaal4191
Жыл бұрын
Maashaallah tabarrak allah 🙏, kutoka 2017 kuanzia Lori moja mpka 2022 Lori 200 kwa kweli mungu akutangulie
@rodashadrack9474
Жыл бұрын
Malori 100 tu
@bennymsigwa1527
Жыл бұрын
KUNUNUA malori mfululizo mi cjaridhika na chanzo Cha mapato
@greysonkisinda7390
Жыл бұрын
@@bennymsigwa1527 kipato cha mtu unataka ulidhike nacho? We ni mchawi nn unataka kujua kipato chake chann?
@suzanamushi4567
Жыл бұрын
Nachojifunza hapa, ni kuanza kutembea na watoto wetu katika mazingira ya kazi zetu, watoto wanajifunza kwa kuona. Hongera sana Mr Twalib
@laisamally3736
Жыл бұрын
Namuomba m\mungu amzidishie kheri ili aweze kuajiri watu wengi zaid na pia namuomba mungu anijalie na mimi kufikia malengo ya kaka twalib
@sadockchengula5542
Жыл бұрын
Dah! Hongera. Kazi ya baba ni dereva na wewe hukuwaza kuja kuwa dereva bali ulienda mbali sana ukawaza kuja kuwamiliki ajira ya madereva. Pia hukuwaza kuja kuwa CO wa kampuni za watu. Big up sijui dogo nadhani dogo.
@halimamremi5375
Жыл бұрын
Asalam Aleykum Mwanangu MASHALLAH MUNGU Akuzidishie nakuona una ulendo wa binadamu wenzio wasaidi tuu na utoe sadaka kwa ALLAH!! Ili uzidi kuendelea zaid na zaid mm nakuo.ba unipe kazi nami nipate rizk
@abdulbandidu119
Жыл бұрын
Mashallah. Allah azidi kumbaarik huyu jamaa,ni inspiration kubwa kwetu vijana wa kiTanzanzania.
@brobabuu3973
Жыл бұрын
Umesema vizuri sana.. wala hana majivuno
@thegreat.9869
Жыл бұрын
Biashara na mafanikio ni siri. Sio kila tajiri alitafuta kwa bidii kuliko maskini waliopo pia sio kila maskini unaowaona walikuwa ni wavivu kuliko matajiri waliopo. Hivyo. Mafanikio ni siri guys. Hongera kwa twalib ila baadhi ya matajiri wengi ni ni ma motivational speaker😂😂 Ukweli hawausemagi
@edlumala9428
Жыл бұрын
Jamani utajiri hauna umriii! Qadar ya Allah
@masudially4669
Жыл бұрын
Swadaqta
@fadhilikiyungi1741
Жыл бұрын
Amesoma shule ya msingi kinondoni,mahali nilipo mimi hivi sasa, jirani na hiyo shule,hongela kijana, wacha namimi nipambane,
@mosesarapkoibei9923
Жыл бұрын
Baraka zake Mwenyezi Mungu zikushukie Brother. Kwani ni wengi tu wanapata kula sababu ya kazi ulizowapa. I wish ningepata job ya dereva gari kubwa kampuni yako naomba......Shukran sana
@hamidaala2832
Жыл бұрын
MASHA.ALAH
@hadijaalpha7547
Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah ☝️ mnyazi mungu azidi kukuongoza 🤲🤲🤲❤
@glorylyimo_
Жыл бұрын
Hongera sana bro unatupa moyo wa kupambania ndoto zetu Kama vijana.
@leonardmisalaba7946
Жыл бұрын
Hakika vijana wa kitanzania tunaweza, kikubwa ni kupambana tuu Kila kitu kinawezekna kabisa hakuna uganga Wala kuogopa
@medlucas5686
Жыл бұрын
Kweli mafanikio yanachangamoto nyingi kwa kiasi tunajifunza bro Asante wakati mwingine unaweza semalabda nibadili kazi kumbe nisuala la muda asante
@ndukulusudikucho_
Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kumuongeza na kumlinda na kuzid kumpa njema, Mwenyezi amuongezee zaid ili azidi kuwaajiri wengi zaidi, aaaaammin
@peterkasenga8404
Жыл бұрын
Hongera Sana brother maisha yanasiri kubwa Sana anaejua vema ni Mungu ✝️
@goodluckmsoka3660
Жыл бұрын
Nawewe ufate izo siri
@khadijaksssimkhadijakassim6324
Жыл бұрын
Hongera
@liannsambu7264
Жыл бұрын
Hongera sana Mr.Twalib nimefurahi na kujifunza mengi kupitia Biashara na juhudi zako , ENDELEZA MAPAMBANO LAZIMA TUFANIKIWE KWA JINA LA YESU
@Cao_ZeKai
Жыл бұрын
sasa hapo tena Yesu kafata nini?
@sadockchengula5542
Жыл бұрын
Huwezi jua mpaka uwe tayari kujua. Neno linasema aliyetayari kupona na apone. Huko tayari kumjua Yesu ukiwa tayari hutauliza ulicho uliza.
@ezekieljacob5795
Жыл бұрын
Bila kutoka jasho.mmmm,!!
@barakachalres9316
Жыл бұрын
AMEEEN
@shyfettymtunda4619
Жыл бұрын
Aisee, hongera sana kwake.
@shabanialfani5394
Жыл бұрын
Kwao kulikuwa na Pesa bro. Sisi tupo Nje pia kupata Hela ya kununua Lori kama hilo siyo rahisi hivyo! Hata Mimi ukinianzishia Basi naweza kufika alipo. Watanzania wengi tunaweza sema Mitaji ndiyo shida
@hejmabohejhej9
Жыл бұрын
Kwakoufupi wazee wake ndio wanapesa wamempeleka dogo ili awe na ujuzi kibiashara
@jabirjabir4652
Жыл бұрын
Kweli sioutani
@shabanialfani5394
Жыл бұрын
Kabisa maana Lori ni Kama Milion Mia kwenda Juu kwa Mishahara ipo bila kuhaso kisawasawa
@ngwelesalu8348
Жыл бұрын
@@shabanialfani5394 250M
@shamimuabdallah8801
Жыл бұрын
Upo sahihi ndugu yangu shabani alfani penye pesa ndipo panapatikana pesa
@abdullyathuman1425
Жыл бұрын
He's so innocent but anyway congratulation brother
Maashaa Allah Tabaarakar Rahmaan 🤲🏽 Allah akuhifadhi na hasadi.amiina yaa Rabbiy 🤲🏽
@daudhabona8897
Жыл бұрын
Kipindi kizuri sanaaa. Ila mtangazi maswali yako yametunyima fursa kubwa ya kujifinza kibiashara bro.
@alexchungu6263
Жыл бұрын
Tatizo , wewe una maswali yako, na yeye ana maswali yake. Cha msingi mtafute huyo tajiri, umuulize
@sarafinaoscar1360
Жыл бұрын
@@alexchungu6263 🤣🤣
@andiqueantonio3377
Жыл бұрын
Millard ayo angeweza kumuuliza vzur kbsa
@hadithizetutv
Жыл бұрын
Asante kwa hadithi
@hgltv5336
Жыл бұрын
Amepambana sana but ukishakuwa na mali unaongezewa we jiulize gari moja ni TSH ngap?? m500-700 utaipata wap?? Kwa kuwa alianza vizuri kielimu na akapata nafasi ya kufanya kazi wingereza 🙏 Kuna watu hawana hata pakuanzia alipata pound 500 sawa na 1.3m Kwa week lazima utoboe kama unaakili kama zake. Aanzisha Hilo dawati la kusaport idea za vijana, ukomboe Tz 🙏 barikiwa sana 🌅🌅🌅🌅
@sharifasultanmhinah7829
Жыл бұрын
Kabisa
@bentybenty2343
Жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah
@leonardmisalaba7946
Жыл бұрын
Hongera saana kaka ,nami nakaza buti ipo siku nitafika level za juu kibiashara
@NeemaKipande-hr9rz
9 ай бұрын
Twalibu hongera Sana na Bado kwakudra za mwenyezi mungu utafika mbali Sana maana huna majivuno atakidogo MUNGU akubariki sana
@mabulamasunga7378
Жыл бұрын
Kiongozi, nimefurahishwa sana na ubunifu na uthubutu wako wa kuimarisha biashara za Kimataifa. Naomba pia uweze kunipatia mawasiliano yako nikupatie wazo langu la kimaendeleo.
@zahariasongolo9362
Жыл бұрын
Afu jamaa Wala hujisikii mashaallah
@sadockchengula5542
Жыл бұрын
Alafu uko halisi angekuwa mwingine hapa tungesikia una bana pua mara you know etc. Ila uko halisi safi sana.
@user-th1il3zt7o
2 ай бұрын
Twaribu kulaga uhangame nyanda,,, Mungu akupiganie kwenye kazi zako
@didasseveline9013
Жыл бұрын
Siri ya utajiri wa mtu anaijua yeye na mungu! Hayo maelezo mengine ni kutulisha imani2
@abdallahkajonjo2296
Жыл бұрын
Hahahahahha
@khalidsharji2462
Жыл бұрын
Mashallah M.mungu akulinde
@hanifatanzania7258
Жыл бұрын
Maashallah tabarakallah mm Sina mengi kaka zidisha ibada Allah kakupa u tajili usi pumbazike nao kuwa makini na Dunia . Allah akulinde na Maadui wakilaaina🤲
@ip_header
Жыл бұрын
Biashara ukisikiliza ni kama kuangalia movies utaona nyepesi lkn ukiingia ndio utajua changamoto zake.
@patrickpazza4764
Жыл бұрын
Inatufariji Sana aisee kwa hili hongera Sana bro
@jerichomwandenje3657
Жыл бұрын
Naomba kazi mwee
@dayana5513story
Жыл бұрын
God bless you bro,kijana ata mafuta ajapaka 🙌🙌🙌
@manjaugodwin7834
Жыл бұрын
Hongera sana kk nımeıpenda hıyo jaman naomba ushaurı wako
@musason1680
Жыл бұрын
Haki nawaambia ndugu watanzania mimi siku Moja mpaka Millard ayo ataniita na anihoji apa kuweni na subira na mniombee sana. Sitawaangusha ndg zangu mwenyezi mungu anitangulie hakna kt natamani kama siku Moja nitoboe halafu nikakaa hapa sitaki BBC nataka Millard ayo hapa.
@burudanitiv324
Жыл бұрын
Kabeti brooo uta won 🤑🤑🤑
@musason1680
Жыл бұрын
@@burudanitiv324 kubet sio ajira kaka wala co kt Cha ktegemea kaka tnamitikasi tnafanya tnaamini ck 1 mambo yatajipa t ni suala la mda t
@burudanitiv324
Жыл бұрын
@@musason1680 total true brother Im understand broo hod bless us
@leonardmisalaba7946
Жыл бұрын
Hongera saana mkuu nami pia naamin one day we will be
@leonardmisalaba7946
Жыл бұрын
Tuzd kupambana tuu ipo siku marengo yetu yatatimia
@michaelmaziku991
Жыл бұрын
Ww hujatoka familia ya chini bwan km baba yako alikuwa dereva means alikuwa anajiweza
@aishashaibu4772
Жыл бұрын
Daaah mungu akutangulie uzid kuwaajir watu ambao wanapata mkate kupitia wewe kumbe tz kuna watu wanapesa lkn hawapigi makelele
@bonnyngowo7567
Жыл бұрын
Congrats bro.Mungu akutangulie🙏🙏🙏🙏
@merinaemmanuel3593
Жыл бұрын
Hongera sana
@Nyamko-christmas
Жыл бұрын
Vijana sidanganyike na story za watu ambazo zinasiri nyingi sio mtu wa kawaida na wala familia yake haiwezi kuwa yakawaida kosoma Oxford sio kitu kidogo. Huyo sio mtu wachini
@gabrielkimario3160
Жыл бұрын
Ni kweli anaoneka wazazi wake walikuwa na uwezo wa kifedhaa
@thomassalvatory8303
Жыл бұрын
amesoma oxford, unasema ameanzia chini kuwa serious ila hongera kaka
@richardkajembe6939
Жыл бұрын
Great brother 🎊🎊🎊🎊🎊👏👏👏congratulations
@sadiqahmed5216
Жыл бұрын
Masha alah mungu akujaliye bwana twalibu, ndo kweli kama una ndoto una weza kukamilisha ndoto yako kwa hiyo vijana wezangu tubambane tu kamilishe ndoto yetu tunayo, kama kaka yetu twalibu alivyo kamilisha ndoto yake na mwenyezi mungu amjaliye yeye na familiya yake , salamu zenu kutoka 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 one love 💕 my brother and sisters?????
@ziyandamhlana8776
Жыл бұрын
Baba taja jina la kampuni ulifanya Kazi ingland campany yakoo ww ndio ulisimamia msiba wa Albee magwea bada yakusikia amefaliki ulikuwa Zambia
@richardsaidi2448
Жыл бұрын
Jamaa Yuko vzrii.sio rahis kama a mnavo fikriaa
@barakanicholaus7507
Жыл бұрын
Maelezo yake yapo easy sana na anakwepa maswali ya msingi ila nampongeza kwa alichofanya na kumsihi kwa maslahi ya watanzania asije kununua magari ya kichina, atawatia vilema wafanyakazi wake wa maroli.
Mungu akutunze. Je sisi watu wnye uemavu wa kujongea na tuna ujuzi au ideas ni vipi
@amenuhu9268
Жыл бұрын
hongera ndugu yangu wewe ni mpampambanaji
@richardsaidi2448
Жыл бұрын
Ni vzrii kusikilizaa watu walio fanikiwaa.lakin ndugu zanguu ningumuu mtu kusemaa njia alizotumiaa akafanikiwaaa .matajiri wenyewee wanatoaa ushaurii kwaa masikinii.lakin aslimiaa kubwaa sis tunaskilizaa watuu walio fanikiwaa na kudhalau ushaur wa maskin.atujuii kwambaa maskini ndioo ana. Idea nzriii bila wivuu wowotee
@athusmateru
Жыл бұрын
Fact🙄
@ramadhanichilumba3610
Жыл бұрын
nimeipenda hii alafu anaonekana hana mambo mengi
@zawadisospeter827
Жыл бұрын
Nimekupenda Bure una bidii sana Mimi Nina bidii lkn sijafanikiwa.hongera sanaa.
@jimmykitura5803
Жыл бұрын
Mola ndio mpango mzima na jinsi unavyo sema moyoni riziki kwa wengine ndio mungu ibaliki brother
@gidotesha6083
Жыл бұрын
Wacha kuingiza vijana tamaa wew Freemason uyo
@nickalreadyknows
Жыл бұрын
Once you're poor you will always be poor, badilo hiyo mindset Mungu yupo
@binally1alkindy511
Жыл бұрын
Maisha yanafactors nyingi Sana ,keep the spirit up ,mashallah na Allah akunyosheee
@happymushi8197
Жыл бұрын
Kanifurahisha tu hachanganyi lugha ila wangekuwa wengine hapo kizungu kama chote kila sentence yan. Big up bro!
@pastorgodwinchengula7848
Жыл бұрын
Kama wewe ulivyochanganya tayari hahaaa
@nyokonyoko7990
Жыл бұрын
Wivu tu kw wanao changany ngeri mbn ww umesem big up acha uchawi dad 😆
@happymushi8197
Жыл бұрын
Ndio hivo kama cc
@neemayatosha1618
Жыл бұрын
Mtu anakosoa alafu anarudia kosa lile lile,Mambo ya kuona vibanzi vya wengine na huku liboriti limekaa fronti 🤣🤣
@rademm8924
Жыл бұрын
Akichanganya kuna hasara gani unapata au faida gani?
@mwanatz5980
Жыл бұрын
Hongera sana kaka.
@janechristophermkumbi9046
Жыл бұрын
Manshalaah manshalaah subuhanalaah akufunike nambawa zake naomba mawasiliano yako nikupatie usia wangu wahenga wanasema ukubwa dawa Inshaalah
@bahatikazungu7657
Жыл бұрын
Kwenye mambo ya utajiri mtu asikuhadithie tu eti ilikuwa hivi na hivi,utajiri una mambo mengi
@fatumachagudadui3138
Жыл бұрын
Na tajiri kukuambia siri ya mafanikio ni ngumu
@ShamsiMikdad-bj7me
7 ай бұрын
Mashaallah mungu azidi kukuinua nasisi pia ameen
@janatiitungo7338
Жыл бұрын
Masha'Allah
@yukundapeter8200
Жыл бұрын
Huyu amekubali kuwa alikuwa mfagiagi,wengine wamefanikiwa walikuwa wachungi,hawasemi walikotokea
@ziyandamhlana8776
Жыл бұрын
Ww kipindi mtoto wakiongozi abakutuma Zambia kuchukuwa mwili wa ngwea ulikuwa ushakuwa na loli????duuuuu Tanzania noma
@dicksonkilupa2258
Жыл бұрын
AWE MKWELI BIASHARA YA MAGARI NA UMRI HUO NI MWOOONGO WENYE MAGARI TUNAWAJUA HAYAZALIANI KIRAHISI HIVYO. KAMA ANAENDELEZA MALI ZA BABA YAKE HAPO NITAELEWA.
@collinsambwene9563
Жыл бұрын
Sema unayejua ukweli
@faudhiasalum7279
Жыл бұрын
Awesome
@fredma21x
Жыл бұрын
Ameshindwa kujibu Networth yake ni kiasi gani...Hapo tu ndipo ameninyima raha🤣🤣🤣
@abdulahmadimkabakuli6342
Жыл бұрын
ALLAH akuzidishi pia usihau dini yako toa kwa ajiri ya ALLAH utafanikiwa
@malugukushaha6764
Жыл бұрын
Mashaallah 🙏
@alphoncekihwili
Жыл бұрын
Napenda sana hii kampuni nije kuwa fund kwenye hii kampuni nampenda sana
@hidayaswai3119
Жыл бұрын
Big up bro. I appreciate
@ziyandamhlana8776
Жыл бұрын
mwango huyooo sana Mtoto wa mheshimiwa kutoka Tanzania na Zambia ndio wenye mzigo huyooo mwulize Kondowani ndio msimamizi Zambia abaishii Avondelo msimamizi wa Tanzania ana itwa zubeli ndio mumiliki wa golofa lile kubwa makumbusho anataka😂kiki mwamba hana😂kituuu
@yahyaiddi5782
Жыл бұрын
Kweli binadam happening kuona mtu ana maendeleo sasa mimi namjuwa vizuri huyo ndio mwenye hizo mali naijuwa hata familia yake Kabla hata ajarudi tanzania
@malikzafarani172
Жыл бұрын
Hongera sana br utafika mbali
@mrishojumaamrisho3212
Жыл бұрын
Mashaaallah
@petersmart8107
Жыл бұрын
Hongera kwa kudra za Allah, lakini atupe ukweli wa mafinikio yake Kutoka 2017 kwa lori moja mpaka 2022 malori 100, inamaana ni miaka 5 sasa,yaani kila mwaka labda malori 20, kiakili ni ngumu yapo yaliyofichikana
@janemhangomhango5841
Жыл бұрын
🤣🤣🤣 bola iwe kweri
@jrsaid4270
Жыл бұрын
Hio ni approximation labda na kama ni kweli ni zile used tz Bei ya mnada
@marykennedymarwa1641
Жыл бұрын
Vinawezekana kumbuka alikuwa anafanya kazi uingereza na mshahara ulikuwa ni pound na Bado alikuwa na nafasi ya kukopa Kwa ajili alikuwa ni mfanyakazi . So it is possible, hakuna maswali hapo Kwa sisi tunaoishi nje ya nchi tunajua . Keep up kijana
@kibabumlelwa71
Жыл бұрын
Kumbuka amesema amefanya kazi kwenye moja ya Big 4 Accounting and finance companies in the world ambazo ni kati ya Ernest & Young, Delloitte, PWC au Moody. So mshahara wake ulikuwa mkubwa na ndio uliombeba kufika hapo alipo. Inaonekana ni kichwa kwemye Uhasibu huyu dogo.
@aairraahseif5648
Жыл бұрын
@@marykennedymarwa1641 anasema kwa kipindi anacho sema alikuwa Uingereza,na sometimes akisoma na kufanya kazi ktk restaurant kama weiter na cleaner Sio kweli aliweza kupata £500 kwa week,hapo amedanganya,even now hupati pesa hiyo kwa full time job, iweje yeye part time job after UN time apate hiyo?si kweli
@mohamedsalum378
Жыл бұрын
Safi sana bro,Mimi namawazo namba ntapataje,tatizo mtaji
@mr.petrokhuni9363
Жыл бұрын
HIZI NDO TAARIFA , mWANDISHI UPO VIZURI UMEMUDU INTERVIEW
@frolandunguru4489
Жыл бұрын
Hongera kwa kututangulia
@hidayaswai3119
Жыл бұрын
Kaka naomba kazi. Nitakua muaminifu
@burundishallsmile1day109
Жыл бұрын
MashaAllah 👍🏽
@kazkaz1943
Жыл бұрын
Wabongo wanavyopenda kuiga wangesikia bilionea anayefuga mbuz au analima vanila kesho wote wangefuga haya sasa kanunuen maloli😀😀nunuen loli moja tu
@busta_malik5971
Жыл бұрын
Khaaa😂😂😂
@erickdioniz8277
Жыл бұрын
Hongera sana bro
@robsondalink6206
Жыл бұрын
Kafagie na wewe sasa uone😂😂😂😂 maisha na mafanikio ya mtu ni siri kubwa sana
@TamuzaKale
Жыл бұрын
Hahahhaha mamae!
@ndennkya9554
Жыл бұрын
Kweli kabisa umenena neno la maana
@priscamhando3818
8 ай бұрын
Kwel kabisaa
@hakunamatataznz5508
Жыл бұрын
Kongore kaka, Allah bless you and Ayo Tv
@Udindigwa
Жыл бұрын
Ujumbe Mzuri sana Hongela Sana
@machajeremia7870
Жыл бұрын
Pongezi kwake mungu akupe Maisha marefu Ili tuvune matunda kutoka kwako
@mzeengoma9395
Жыл бұрын
Mungu nakuombea kinajana kuwapenda jamii inayo watanzania
@scollantandu6278
Жыл бұрын
Duh hongera sana jamani
@rosekaiza2716
Жыл бұрын
Hongera sana mungu mwema
@renatusbishanga2606
Жыл бұрын
Naomba ndg mnipatie mawasiliano yake vizuri mimi nimemuelewa hilo jambo linawezeka.
@omarylukindo5306
Жыл бұрын
Tusidanganyane jamani,,huyo kazaliwa kwenye mfereji wa pesa na connection.utoke zako nchukwi huko uende oxford moja kwa moja 😳😳au ndio Yale Yale tunayoambiwa bakhresa alikua anauza ndizi na karanga kariakoo
@iddiali8057
Жыл бұрын
BarakaLLAHU LAKA
@its_khalidy_46
Жыл бұрын
Millard ayo ni jina kubwa sana kwa sasa,,,ila studio zake bado hazilingani hadhi na ilo jina,,, sound system,,camera mpaka chumba ,,ni wazo tu lakini
Пікірлер: 512