Mimi nipo marekani maeneo ya Ohio Cleveland dudu baya yupo sahii 💯%
@mwibelechekahuka7314
2 күн бұрын
Ndomana wa bongo hakuna upendo mnashidwa kuhelewa kama hile shwo diamond hajalihanda limehandaliwa kwahiyo apate watu akose watu haijalishi.
@sonnyr1899
Күн бұрын
Tatizo ni uongo mwingi tunaojazwaga uku. Mtazame yule mtoto wa South africa Tyler alivyo piga gep kubwa ila mdada wa watu hana makuu
@jacksonmsendo3478
9 сағат бұрын
Yupo sahihi kuna mzungu nilimkuta ulaya ana cd ya remmy ongala nilishangaa sana didnt expect it hakika remmy is a legend
@nazirjorgedasilva
2 күн бұрын
Salute kwa Dudu baya 🇲🇿
@alsam4881
2 күн бұрын
Ni kweli kabisa ayasemayo hayo Dudu baya.👍
@givenhappy__bu1
Күн бұрын
Bujumbura burundi 🇧🇮 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AlexanderNimbona-lj4ln
2 күн бұрын
Legend👑👑👑
@namukwayamweshihange8866
5 сағат бұрын
Akuna watu wanafiki kama tz. Wabongo niwauwaji. Diamond napinwa vipi nakila mtu. Sijuwi kafanyanini. Wivu mkubwa sana sijuwi arikiba Sijuwi rayvany Sijuwi hamo. Basi munawe atakumua. Sijuwi pimbi Sijuwi muhijaku. Sijuwi ostazi juma. Jamani. Musichokia Diamond analinwa namungu sana. Namupa pole sana mama yake. 😢😢😢
@dankingmaterial9569
2 күн бұрын
Mamba mamba 2 , you never fail bravo
@SikituYusuph-fr7rj
21 сағат бұрын
Ww dudu bya ndo maana yalikushida kwann wabong mnakuwa wanafiki sana
@mbukumagiubukumagu406
2 күн бұрын
Chris br analipwa pesa nyingi akicheza dakika 1.ile ni biashara sio mzuka fungueni macho watanzania
@angenyalusischmidt2321
22 сағат бұрын
ILIKUWA SOUND CHECK.. KAPIGA USIKU.. MIMI NI PROMOTER ..HUU WOTE MNAUSIKIA KUHUSU ULAYA NI UONGO
@ShakillaSaid
6 сағат бұрын
Jinga sana hili jamaa
@sundaysenga7608
2 күн бұрын
JUZI NILISIKIA SINGLE AGAIN IMEPIGWA REDIONI UK I WAS SO HAPPY BIG UP KONDE BOY
@user-hi8le2vb7z
Күн бұрын
MTAONGEA MENGI SANA WATU WANGU ILA LUGHA YA MUZIKI NDO CHANGAMOTO KWA KAKA YENU.....JINA ANALO KUBWA TU AKUNA MTU ATABISHA
@suntzu8959
Күн бұрын
Akili kubwa
@ThabisoMbhele-oj7zd
2 күн бұрын
Loho mbaya dudu baya
@kdloon2030
Күн бұрын
Mtu akisema ukweli inakua ni roho mbaya,au huo ndivyo hivyo akili yako hua inang'amua mambo?
@ziggertv3185
13 сағат бұрын
Kasema kweliii
@DelightfulFish-ps8ny
2 күн бұрын
True that konki
@Secy-y5g
Күн бұрын
Yuko sana dudu
@Azkingogkaka
10 сағат бұрын
Ahuna akili wewe baba na wewe ni mjinga sana
@christinewomanoffaith5479
Күн бұрын
Ila kiukweli wanaijeria linapokuja kwenye nchi yao wana umoja balaaa
@osmundmtavangu
2 күн бұрын
Haya Waandishi mabumunda mmesikia?😅😅😅😅😅😅
@stevenckanumba7
2 күн бұрын
True 🙏🙏
@mbukumagiubukumagu406
2 күн бұрын
Wabongo wengi waliokwenda ulaya wanaishi maisha kujifichaficha
@mataypanga5262
Күн бұрын
Siyo wabongo tu,sisi kama wanavyotuita watu weusi Ulaya siyo rahisi sana.Labda mtu awe amesomea kule au ameshasoma toka Africa
sehem za nje kibao akienda kufanya show hapata watu maana yake mziki wake mdogo sana kwa nchi za nje 😅😅😅😅😅
@venancengunda3879
Күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 asee bongoo mavii sanas🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SikituYusuph-fr7rj
Күн бұрын
Dudu mby ndo maana yalikushida muache simba afanye mambo yake ww tafuta ya kusema
@kdloon2030
Күн бұрын
Anasema ukweli,sisi tupo nnje tunayaona hayo
@user-xc5or1ph8x
Күн бұрын
wanasifia ili wapate ulaji kaka sasa upo wasafi media utamtangaza vibaya kwel boss wao
@nicolenabintu2509
2 күн бұрын
Na ndo maana wasianze kwennda uko mana hakuna anaye wajuwa
@mataypanga5262
Күн бұрын
Dudu 😂
@sonnyr1899
Күн бұрын
Mtangazaji kutokuzingatiya tofauti kati ya herufi L na R inapoteza ladha ya matamshi mazuri inapoteya
@VitusEmmanuel-pe3yi
2 күн бұрын
Me niliwambia diamond nimxani wa kawaida xema TU media ndo zinampa kichwa lakin ukwel ndo huo
@Mwamba-hc1jy
Күн бұрын
Msanii mkubwa ww
@humbleshoal
Күн бұрын
@@Mwamba-hc1jy Hana ukubwa huo
@sonnyr1899
Күн бұрын
@@Mwamba-hc1jy Ndio ila east africa
@jacksonmsendo3478
9 сағат бұрын
Yupo sahihi dudubaya
@BraveMajaliwa-gf7ru
Күн бұрын
Upo sahii brother Tanzania 🇹🇿 ina promote mziki wa diamond 💎 komasava Wakati ni nyimbo mbovu 😂wimbo unapewa promo kubwa Wakati ni sururi
@HijaJuma-ip7xj
6 сағат бұрын
Dudu baya anaongea ukweli mm nipo south Africa sijawahi kuona TV wala radio za huku zikiuzungumzia mziki wa Tanzania
@Abby_Shawn_KE
11 сағат бұрын
😂😂Msema kweli DUDU BAYA,. Ureno nani anajua Swahili tukitoa waafrica wanaoishi mle? Nao unakuta hawana nafasi ya kwenda hapo kutokana na ubize
@Secy-y5g
Күн бұрын
Anacho ongea dudu Yuko sawa sana huyu jamaa anaujua mzk
@SadickHamis-vm1qi
10 сағат бұрын
Sio mziki ni vitu vingi tuu
@user-it6zi7zw8y
2 күн бұрын
😅😅😅😅ongea kua iyo show ya mwambino kapiga Bure kama alikua Hana furaha sababu anajua kua iyo show sio yake ni Wanaijeria wasafi wenyewe walikua wanapost anavyoimba mwambino kuzungusha camera ukumbi wote hamna watu Kala zakichwa kwamba maana yake zile show alikua anafanya zamani zilikua za uwongo ana edit kumbe sasa uwo ndo ukweli kua bado msani mdogo kwa nje msani mkubwa kwa Tanzania sio mda alie pangiwa mda wa show hata kama angefanya show mwenyewe pekeake asingepata watu hapo nahao wengine wamekuja sababu ya kuona show ya wasani wa naijeria
@nashnene6326
2 күн бұрын
Siku Diamond akifa ndio mtakapojua kuwa tunu ya taifa imeondoka
@sophsoph4740
Күн бұрын
Yan kwer mti wenye matunda lazm upigwe mawe😢@@nashnene6326
@kdloon2030
Күн бұрын
Yeye ni nani mshamba tuu,tunu ya taifa kwa wewe mwenye kichwa kibovu.Mtoto mdogo@@nashnene6326
Пікірлер: 59