kontawa ,mkali wa Ngoma ya Champion amefika ladhani kupiga stories kadhaa na Kuvichaka,Kontawa anasema imemchukua miaka saba sasa mpaka kupata hit song ilioweza kumpatia mashabiki wengi sasa kwenye game,hii ni mara baada ya ku switch kidg toka kurap na kuimba ingawa hajaacha rap MUSIC,MSIKIE HAPA
- Жыл бұрын
KONTAWA : ZAIDI YA MIAKA 7 YA MSOTO KUFIKA HAPA/KUIMBA KUMENIINUA KULIKO KURAP
- Рет қаралды 5,800
Пікірлер: 22