Ramadhan kuria. Manshallah uko na msomaji wa maana sana kwa kufundisha hawaa mandugu wetu Wakristo... Inshallah Mungu awajalie maisha marefu. Na hii videos itaangaliwa na watu wengi na itakua sadakatu jaariya. Manshallah fil dunya waal akhira umeshafanya kazi. Imagine hii videos zako kaarne ngapi watu watajisaidia nayo ili kujinufaisha ..
@idalahow
9 ай бұрын
Haki ya Mungu... Brother Ramadhani mnakabiliana na mambo mengi....na vichekesho lakini we will surely support these DAWAH TEAM Everyday, Every Night...
@Ukhtyzuhura
9 ай бұрын
haki una subra sana kaka Ramadhan Kuria dah kuna watu vichwa ngumu wanafanya ubishi na ukweli uko wazi wazi hakika Allah awalipe kwa juhudi zenu
@sophiakassim6979
9 ай бұрын
Aamiin
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
@@Ukhtyzuhuraaamina
@AyubuIkaku
2 ай бұрын
Amiin
@salmaminja7714
9 ай бұрын
Allah ndie mjuzi hakika Ustadh unapambana. Namuomba Allah akujalie mema ya dunia na kesho akhera akujalie pepo tukufu Biidhinilah. Allah Akbar. Idhaa Aradallah..
@Catherine-mh8sw
9 ай бұрын
Amiin
@mubariekabrahams2650
9 ай бұрын
Assalam aleykum sheikh Ramadhan Allah akuzidishie uzima na umri wallahi tunafaidika Sana na mafundisho.
@sultanissamohamed3605
Ай бұрын
Brother Ramadhan, 😅😅😅😅 nimecheka kwa mahali ulisema, "unauliza mungu change, shindwa katika jina ya yesu".... Walahi Mola awasaidie, hii kazi inatakaa subra . Inshallah Allah s.w atawalipa.
@StraightPathDawah
Ай бұрын
😂😂😂😂
@RAMATHANI-eu5dk
2 ай бұрын
Mashallah macheikh wetu.
@faudhiasaidi3669
9 ай бұрын
Mm napendaga sana uyu msomaji anasoma vizuri sana
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
MashaAllah
@noahwamalwa4385
Ай бұрын
allah ni jiwe jeusi huko mecca!
@swidiqrajab4519
9 ай бұрын
Asalamu Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuh Mashaa Allah, Allah Awabariki na Awazidishie Khayr Na Barkah Katika Kazi Mnayo Fanya, Na Rehma Na Amani Zimfikie Mtume Muhammad
@StraightPathDawah
9 ай бұрын
اللهم صل وسلم عليه وعلى آله وصحبه وسلم
@Noorein-ws8wk
9 ай бұрын
Allah awahifadhi masheikh wetu
@khatibmuhsin7723
9 ай бұрын
Allah atakulipa ujira wako ustadh kwa kuwafundisha watu neno la Allah na kuwapa uongofu,kazi yako tayari umeshaifanya,,,,, Mungu atakulipa ujira uliokuwa mwema wenye kheri na wewe,,,, inshalla Amiin....
@Naima-g1n
9 ай бұрын
MashaAllah sheikh ramadhan kwa kazi nzuri
@hassanmpemba5747
9 ай бұрын
Masha Allah sheikh wetu ni kuwaelimisha sana tu ili wajuwe ukweli
@mamitomamita6284
9 ай бұрын
Hao wanajuwa ukweli lakini hawataki tu kuufuata ALLAH AWAONGOZE IN SHAA ALLAH
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
Aamina
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
SiwanamfuataHuyo.mwizi
@AyubuIkaku
2 ай бұрын
Inshaallah
@Nora-v1m3p
9 ай бұрын
Maashaallah tabarakallah walim wetu Allah amfanyie wepesi kueneza dini ya Allah
@MwanaIdi-db9qj
9 ай бұрын
Allahumma Aamin yarabb
@SaidMgeni
9 ай бұрын
MashaAllah Akhii Ramadhan Allah awape Afya na umri muzidi kueneza qalima ya lailaha ila Allah Muhammad RasuluAllah 9:29
@AyubuIkaku
2 ай бұрын
Amiin
@AsiyaAwadh-zg8wf
9 ай бұрын
Wallahi sheikh ramadhan muko na kazi ngumu kulinganiya dini ya haki ya islam hawa wenzetu wa kushoto ni wabishiii sana!!! Allah azidi kuwapa nguvu na fahmu na uwezo kulinganiya dini hii haq
Masha Allah sheikh Ramadhan salamu zimfikie msomaji wako anasma vizuri
@RobertWasike-hv2ex
7 ай бұрын
Mimi ni Robert na Mimi ni mkristo,lakini naanza kuamini uislamu kweli kama yesu ni mungu basi pia natumuite yohana pia mungu juu wamezaliwa kwa njia moja nayo ni roho ama
@AIFOSMUGOTV
9 ай бұрын
Nime subscribe,,,unafanya kazi nzuri Allah akujaze na Allah azidi kukupa ilmu
@qhatramohamed7006
9 ай бұрын
Mashaa-Allah Allah awahifadhi wahadhiri wetu
@Aminedanisman76799
9 ай бұрын
MashaAllah tabarakallah.leo nimepata kusikiza hii mjadala.Allah awape nguvu na subra kwani hii kazi ni mgumu sana.si rahisi kushawishi watu kuingia kwènye dini ya haki
@sirnaismail8926
9 ай бұрын
Sheikh ramdhn Allah akuhifadhi na akulinde na macho ya adui .... nakupenda kwa ajili ya Allah
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
Aaminayaarabi
@mziguwaosman8539
9 ай бұрын
Mungu awape subra kwenye misukosuko na muwe wavumilivu kwenye safari zenu mungu atawalipa InshaAllah
@selemanendemangandemanga
9 ай бұрын
Allah Akbar, so big proud islamic Dawah
@yusufmohamed7235
9 ай бұрын
Maa shaa Allah ustadh,kazi njema munaifanya kwa kweli.Mola awajaze mema na awabariki.
@guyogalora2736
9 ай бұрын
Masha Allah shukran jazeelan sheikh ramadha kuria somo zuri sana
@Adm9464
9 ай бұрын
I thought he said hana dini. Now anatetea Ukristo bila andiko. Very sad
@fatumamwalimu5765
9 ай бұрын
Wanakua hivyo, maana anajua uko ndio kuna mateka wenzie,na ndio unaona anakua kiherehere nyingi na anahangaika nakujifanya mjuaji
@fugichguyo9887
9 ай бұрын
Allah S.W atupee sote kheri
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
Aamina
@mwangimuhammad-sx9hb
9 ай бұрын
Alhamdulillah kwa Neema ya Uislamu, kuna watu ambao vichwa vyao ni vizito, mswiba
@NassoroSipemba
9 ай бұрын
Manshallah sheikh Ramadhan Allah akubaliki.
@TulloMhombo
9 ай бұрын
Shika Imani Yako. Usijitengenezee uongo Kwa kulazimisha watu wa Imani tofauti Kwa mambo fekifeki. Mtu anajifa ya mkristo kumbe ni muislam mwenzako. Mungu HAHADHIKIWI. MSPOTOSHE WATU
@MaryamIssa-y7v
4 ай бұрын
Lete hoja acha hasira
@Ali-gk5mv
9 ай бұрын
Maa Shaa Allah MUNGU AWABARIKI
@Nora-v1m3p
9 ай бұрын
Mabruk masheikh wetu kw juhudi zenu
@GodfreyMuhanji-m5q
9 ай бұрын
I salute pastor Ndacha. Huu ujunga unaoongea ushakatazwa na Ndacha. Leo amepatana na wanyonge..I kindly request our Christians to read the bible and listen to BND
@Alithoya-qr7di
9 ай бұрын
Soma maandiko acha kufata mtu ety ndacha, ndacha ndio Nani yeye mwenyewe maandiko hajui
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
@AlitmaajabuEti.ndachahoya-qr7di
@naimamohammad8870
9 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah wape ujumbe Shehe Ramadhani
@MohamedMeja
17 күн бұрын
Mashaallah
@rashidjuma3457
9 ай бұрын
Good job
@Sal.0
9 ай бұрын
MashaAllah Ustad. TabarakAllah Team, pamoja na Cameraman! Hii info fo WaKristo: Kitabu alicho PEWA Nabi ESA, kama Ma Nabi wote, lili kuwa ni KITABU KiMOJA, tuu! SIO, Four 'Gospels' za WAZUNGU, au 66 StoryBooks, za KingJames! The word 'GOSPEL' is an abbreviated form of an OLD ENGLISH Word, known as: 1) 'good spell'. And 'good spell', means, a 'good story'…! Yaani POROJO Nzuri! Kwa hivyo, neno 'GOSPEL', hata SIO Neno kamili, na SIO Holy. It is just an ordinary English abbreviated WORD, which simply means, a 'Good STORY'…! Na hicho KiTABU Ki MOJA tuu, cha INJEEL, ili andikwa katika LUGHA ya MaYAHUDI, na lugha ya ESA, cha ARAMAIC, which is an Old form of ARABIC. AND the Aramaic language, was spoken by the YAHUDIS since 750BC! Hata Nabi SULEIMAN ali kuwa ana ongea Ki ARAMAIC! Na hata QUEEN of SHEBA, ali kuwa ana ongea Ki Aramaic. BONIFUS alikuwa ana ma'anisha kama SADAKA katika Mskiti, huwa ina pewa IMAM? Answer is SADAKA, in the FIRST instance, must be given to: MaFUKARA na MASIKINI. Huyu HILARY, ni kichwa Ngumu! Haroon, HAYUKO Kanisani! CORRECTION...... QURAN HAI kuja NYUMA ya Biblia! The ENGLISH Bible, ili TUNGWA na KingJames na WaAndishi wa 46, kule ENGLAND, in 1611AD, using the Primitive OLDE ENGLISH! Therefore, the FIRST Olde English Bible, is ONLY 400 Years OLD! NA.... the SWAHILI Bible 1952, munao soma, ni COPY ya a 'VERSION', of the SAME original King James Bible, FABRICATED in 1611AD! Kwa hivyo, the Bible, or Biblos, or ANY other MZUNGU Fabrication, all came 1000yrs AFTER the HOLY QURAN! Na PAULO ali kuwa mu ANZISHI wa ROMAN Catholic teachings. Na PAULO, ali kuwa ni MuCRUSADER aliye FUKUZWA from ANTIOCH by the Mamaluks, in 1426AD. Na Kanisa la MWANZO la the ROMAN Catholic CHURCH, la ST PETERS ili jengwa, ili iweze kufuatisha mafundisho ya Mu Crusader PAULO, wa KARNE ya 14. Note. ALL of Allah's REVEALATIONS like the: TORAT, and ZABUR and INJEEL, are SINGLE BOOKS, just like the QURAN, which is just a SINGLE BOOK!
@athmanadi7391
9 ай бұрын
Brother maelezo yako ni mazuri na yana mafunzo mazuri kwa wasiolewa, unastahili kuwa muhibiri
@Sal.0
9 ай бұрын
@@athmanadi7391 JazakAllah Bro. Nina jaribu by posting, ili wanao pitia hapa, wa Elimike. Na, as a Muslims, na post Vitu ambazo nimeya Research vizuri, na ku hakikisha ni ya KWELI. Factual Research. Sisi huwa HATUNA Porojo za WaKristo. So i am glad, ume like info nilio post. Sasa, wewe, take this info, and teach others, because even some of our Daees in East Afrika, are NOT confident about the FACT, that the Bible was FABRICATED, only 400 years ago! Even though the FACTS are plain to see. Some of our Daees, who were former christians, find it especially hard to digest the fact that the English bible, is just a mere STORY BOOK! A StoryBook which was FIRST made by a GREEK MAN, called ERASMUS, and others, who had started COPYING factual HISTORICAL EVENTS from the QURAN, beginning in the late 1495s! The Translation of the QURAN in 1490s on, ENABLED the World's FIRST GREEK Biblos, to be complied in 1516, by ERASMUS the Greek, who lived in Rotterdam, using the HISTORY contained in the QURAN! After the First GREEK Biblos was made, from 1516AD onwards, as the GERMAN language developed, then subsequently OLDE ENGLISH developed by 1536, other EUROPEAN Groups, also started FABRICATING their own 'Bibles', or COLLECTIONS, which were NOT HOLY, but simple FABRICATIONS and modifications! Then in 1605AD, KingJames decided, and said : "ALL previous 'Bibles' (or collections), were "NOT to be 'trusted",( like the HENRY Bible, Bishops Bible, and Geneva Bible), and that a NEW Bible will be written! Therefore, in 1605 AD, King J, appointed 46 Writers, to MANUFACTURE or Write HIS Bible, known as the 'King James Bible', using the still PRIMITIVE language of OLDE ENGLISH. And this 1611AD K.J Bible was the FIRST Bible, to be distributed to ALL the ENGLISH Speaking Colonies, including AFRICA and USA. Therefore, the KING James Bible 1611AD, is the MASTER BIBLE of all the thousands of 'bibles' in the World TODAY. And the SWAHILI Bible of 1952, is a COPY or translation, of a VERSION of this ORIGINAL 1611AD Bible, called: The KingJames VERSION Bible, produced by the British, in 1810AD. Sawa?
@Noorein-ws8wk
9 ай бұрын
Shukran bro jazakallahu Khair
@Sal.0
9 ай бұрын
@@Noorein-ws8wk Waiyakum.
@seifserenge3340
9 ай бұрын
Shukran sana mashekhe wetu, Allah akubarikini nyote, baada ya kuwaeleza kwa mujibu wa vitabu pia waeleze Kwa nini umeacha ukristo
@adanabdi5249
9 ай бұрын
Mbarikiwe sana Sh.
@MwanaidyMwambez
9 ай бұрын
Hogereni xna mkonakazi ngumu Allah awafanyie wepesi inshaaAllah
@mwangimuhammad-sx9hb
9 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu,,, Maa Shaa Allah...hao ushaa wafoki
@festinamwakipale3919
9 ай бұрын
Mungu atusamehe tunahangaika sana na.dini.kuliko.mola.wetu
@dvjkelly8449
5 ай бұрын
KABISA AKA, NA BORA WAHANGAIKE KATIKA UKWELI, ILA WANAHANGAIKA KATIKA KUPOTOSHA SANA MAANDIKO NA KUWEKA HISIA ZAO
@tushuhassan3809
9 ай бұрын
Brow una pambana sana Allah akuzidishie afya uzidi kusonga mbele kueneza neno lake.
@doramalisa2061
9 ай бұрын
Mi nawakubali Sana wakristo wasabato wayafuata maandiko, na hawana Christmas,coz wanasema kuwa tar 25 Dec ilikua birthday ya tamuzi mtoto wa mungu jua wa Babel. Na yasherekewa wakibandika picha ya Yesu na si Yesu, ni huyo mtoto wa upanini
@mamawamoya3344
9 ай бұрын
Ma sha Allah ❤
@Adm9464
9 ай бұрын
Total confusion Wakristo kila pahala. They can’t even agree on themselves.
@SalimOmary-w8j
9 ай бұрын
mashaAllah Allah akuhifadhi kaka kuria
@davidwalker2144
9 ай бұрын
"Never will God lead people a stray untill it has been blacklisted what they should avoid " GOD IS ONE ! Qul: hu Allahu Ahad 😮 Muslim guy is warned Quran verse:- 2-42 & 109-3
Hao unaowasema wewe kua wanakunywa pombe Na wanaiba Sasa hao sio waislamu Ila wanajulikana kama waislamu Sasa hao wapo upande wako wewe wote nyie sio waislamu
@georgekamau9855
9 ай бұрын
You are right ✅ my brother. Most Christians no longer celebrate Christmas as it should be. To most, it's a time to drink beer and engage in bad sexual behavior. May God help them to understand the real meaning.
@Farkhan-ju6js
9 ай бұрын
Maasha'Allah brother Ramadhan ALLAHU Baairk
@rayaalhabsi1725
9 ай бұрын
Mwenye Enzi Mungu awape nguvu, afya muendelee kuitangaza dini ya haqi na kuwa fundisha walio potezwa na walio kuwa hawana elimu. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
@hamadihome-hg5oj
9 ай бұрын
ALLAHU AKBAR😍😍
@fatimahrashid2356
9 ай бұрын
MashaAllah hustadhi ramadhani kazinzur zaidi umewafundisha hawataki kuelewa Bado Wanalazimisha yesu ni Mungu nitabu shda kuzidi sana wasema wamuongeza andiko lakumsapoti Ili aende jikoni vizur 😂😂😂😂
@charlesopudo7192
9 ай бұрын
Nendeni mukahubirie waaislam wenzenu, achana na waikristo. Mungu ndiyo muamuzi.
@Saidi-cops2023.
9 ай бұрын
Masha Allah ❤
@SaidMgeni
9 ай бұрын
SubhannaAllah ama kweli akili zinakutu iliyoganda Allah aeaongoze katika swiratwal mustakim
@sophiajuma6798
9 ай бұрын
MASHAALLAH
@essanda1
9 ай бұрын
asalaam alaykum,naweza pata bibilia kama hiyo?. mnafanya kazi nzuri.
@ChristinaCharles-py1ct
9 ай бұрын
Mungu akubariki Kwa kuuweka ukweli wazi.
@fardoshnassor7847
9 ай бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@shuebissackshaka3236
6 ай бұрын
واطيعوا الله واطيعوا الرسول فان توليتم فانما على رسولنا البلاغ المبين
@salimdaawah123
9 ай бұрын
Masha Allah
@SalmanMughal-lq5lt
3 ай бұрын
WanamsrehekeaYuleMwizi.kaachiwaHuru🤣🤣🤣
@ngurukitv4584
9 ай бұрын
Good job bro ❤❤❤🎉
@StraightPathDawah
9 ай бұрын
🥳
@ammielvictorykirango2887
9 ай бұрын
Wewe Yesu ni Mwana wa Mungu...
@khuzeimaabdul4275
9 ай бұрын
Labda mungu wako ndy anazaa maana wa ukweli hana mshirika na hawezi kuzaa anajua kuumba
Mimi ni mkristo but ukweli hakuna kurisimax but huwa twaichukua kama siku ya yesu kuzaliwa
@parinshii1898
9 ай бұрын
Ni siku tu watu wamechagua ya kusherehekea
@JamilaJumanne-u7q
Күн бұрын
@@parinshii1898❤❤❤ bora ww msema kweli
@raymondsekabigwa5907
9 ай бұрын
Poleni Sana msojua maandiko na kudanganywa.ilishuka usiku lini, wapi just stories
@mziguwaosman8539
9 ай бұрын
Asalamualekum warahmatulahi wabarakatu ndugu zangu samahani kama nitawakosea nauliza naomba kujuwa nikitabu Quran gani emeandikwa kuswali ni kucheza kwa sababu kila juma pili wanasema wanaswali kisha kwenye kanisa wana piga ngoma na kucheza
@ammielvictorykirango2887
9 ай бұрын
Usimlinganishe Yesu na mtume yeyotee, unakosea sana kusema Yesu ni mtume, yaani ni heri mkubali Yesu ni Mwana wa Mungu alafu usimkute kwenye wadhifa huoo kuliko kumshusha alafu ukamkuta ndio Mungu, na ni mhukumu, kiukweli utajuta sanaa wewe ndugu
@salimmohammedmwazecha4169
6 ай бұрын
Kwa lipi yesu ndo awe Bora kama si mtume tu unastaajabu ya yesu kuzaliwa na maryam bikira je Adam mtu wa kwanza naye je tumuite ni mtoto wa mungu au mungu pia Kila Allah analolitaka akisema jambo kuwa lina kuwa hapo hapo
@bashkamohamed4015
9 ай бұрын
MashaAllah Ramadan
@FarajiSalimu
9 ай бұрын
Allah awaongoze waifuate njia ya haki
@RahamaMohamed-nv1bm
9 ай бұрын
Njia ya haki ni gani
@JamilaJumanne-u7q
Күн бұрын
@@RahamaMohamed-nv1bmsoma au sikuliza haq nikua mnyenyekevu Yaan kua muislam baaas❤❤❤
@ElizabethKakolanya
9 ай бұрын
Bora nanyi waislam muwafungue sisi wasabato tumefundisha hawaelewi,Mungu awabariki
@ShakurAKBAR
9 ай бұрын
Maashallah
@odilomwemeziernest646
9 ай бұрын
Yesu asifiweeee,sasa kwa aya hiyo aliyosoma mnafeli wapi kumwamini Yesu
@khuzeimaabdul4275
9 ай бұрын
Tunaamini yesu ni nabii wa mungu ila shda yenu munamuamini ni mungu hapo ndipo mmepotea.wapi yesu alisema yy ni mungu?andiko hatutaki porojo
Nyinyi Wasilamu msitusumbue Christmas ni Siku ya kuzaliwa Yesu kristo alie hai. ( 25/12/ Miaka 2000 Iliyopita.,msituguse ktk Hilo, kila kitu mnataka Kutupangia , 😂 ,Yesu amezaliwa kimiujiza kwahiyo anaweza kuzaliwa chini ya miezi 9 yani kivyovyote anaweza zaliwa. Acheni kutusumbua wasilamu. Mnatafu ugovi na sisi big up Christmas 2023
@rahmaabdalla7643
9 ай бұрын
Toa andiko basi ,
@salimmohammedmwazecha4169
6 ай бұрын
😂Soma vitabu Ama soma Quran kwani whats special kwa yesu hata adam aliletwa bila Mama wala Baba
@HalimahassanMwachinyezi
9 ай бұрын
Aki napenda sana hii daawah
@rithapuran5835
9 ай бұрын
ALLAH AKBAR ❤❤❤
@Fabgenius04
9 ай бұрын
ALLAH ATAKUJAALIA JANNATUL FIRDAUS AL U3LYAA IN SHAA ALLAH.
@giuseppinapaul4432
9 ай бұрын
Shika adabu Yako. Yesu ni Mwana wa Mungu na ni Mungu. Tubu na kuiamini injili. Krismass oyeeeee. Kuna chinja chinja
@JamilaJumanne-u7q
Күн бұрын
😢😢😢😢masikin poleee
@salimiddi7583
9 ай бұрын
Ustdh waaaaah uko mkali hivyo but umefikisha ujumbe
@frankjohn8706
9 ай бұрын
Ukimjua Mungu wa kweli utajua kwamba Hana dini Wala kabila.hakuna dini ya mwenyezi Mungu .Wala lugha ya mwenyezi Mungu
@issaabdallah7660
4 ай бұрын
Huyo Mungu unamjulia wapi bila dini
@frankjohn8706
4 ай бұрын
@@issaabdallah7660 Yani watu wa dini wangalimjua Mungu wasingaliwauwa mitume Wala manabii wake
@ZainabuMwambashi
9 ай бұрын
Mashallha
@shuaibalula9003
2 ай бұрын
Kuna watu kuelewa ni ngumu sana
@cindymorgan8765
9 ай бұрын
ALLAHU AKBAR
@flm1530
9 ай бұрын
Pamoja na alahu akubar yako usipookoka na kumfwata YESU kuzimu ya Moto inakusubiri
Пікірлер: 361