Mchungaji #hananja amefunguka juu ya kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wale Manabii wawili walio wasili nchini wakionekana kuwa na mionekano iliyoleta gumzo na huyu hapa mchungaji Hananjja akitoa maoni yake kulingana na maandiko ya biblia
- 7 ай бұрын
KUWAKWAZA WATU KATIKA MAZINGIRA YAO NI DHAMBI | DINI ILIKUJA NA UTAMADUNI
- Рет қаралды 15,151
Пікірлер: 16