watanganyika wanajua sana kuongea kuliko kufukiriii ..hii hali iko hivyo jamaaa anatujua sana watanganyika 😂😂😂
@GibsonNtamamilo
21 күн бұрын
Uko sahihi sisi huku Tanganyika ni talk talk sana.😂😂😂
@lawlencekalenga4212
21 күн бұрын
Hongera ww ulijariwa kuongea huku ukifkr bna!ila unapoongea kwenye media chunga mdomo wako
@homedevices-we3bn
21 күн бұрын
"Watanganyika wanaongea sana kuliko kufikiri", bonge a dongo.
@lawlencekalenga4212
21 күн бұрын
Unamaanisha watanganyika wote tunaongea bila kufkr aisee !
@aloycebabene6239
21 күн бұрын
Ila ametukana...kuongea pasipo kufikiri...
@ismailhassan5209
21 күн бұрын
Acheni kujichosha Viongozi wa Coastal, Simba imesajili kila mchezaji na mbadala wake mmemchelewesha Lawi kwenye neema mnamzushia Ubelijiji si mumwambie kuwa mnamtake shirikisho ili awasaidie angalau mzunguko wa kwanza wa shirikisho
Пікірлер: 8