NJJAA ZA NAMNA HII NI MBAYA SANA WATU WASHAUAWA SABABU YENU HALAFU LEO MNAWASALITI HAIPENDEZI
@emmanuelsulle911
2 күн бұрын
Hakuna Mchungaji mnafiki kama huyu
@gabrielnjiapanda3710
2 күн бұрын
Kukosa uongozi tu umehama chama,yaani ni ubinafsi tu unamsukuma.
@user-bz5ti6op6z
2 күн бұрын
Kumbe wa Tanzania niwamoja kumbe hata Tundu lisu anaweza kuwa mwana chama wa CCM
@patricknyiti5303
2 күн бұрын
Wewe ulishakula mlungula ukawa unatetea sera mbovu za CCM ..!! Uliwakana wamasai ,ulitetea ulaji wa bandari
@leokamil6284
2 күн бұрын
Kabisa mnafiki mzandiki huyo
@abdallahmpalaye
Күн бұрын
😊@@leokamil6284
@jacksonsawe2301
2 күн бұрын
Huyu ni mnafiki huko ccm atazungumza nini wakati siasa zake ni upinzani au atamuunga Mpina?
@jdanny497
Күн бұрын
Njaa mbaya sana kwa kweli
@roudhamahmoud763
Күн бұрын
Hongera msigwa umeona mbali karibu ccm.kila ataekuja ccm ataambiwq njaa ila ukweli msigwa 🎉🎉🎉🎉🎉 wache waseme hao ulowaacha nyuma watakufata karibu
@DevidMarhias
2 күн бұрын
Huyo alisha kuwa ccm siku nyingi na chadema walishalitabuaga siku mingi na Msigwa alisha elewa toka hapo kuwa kinacho fuata ni THANK YOU
@piumagoha
2 күн бұрын
Kwa nn awakumfukuza mapema?
@neemamajana3078
2 күн бұрын
Njaa itakupelekea kifo Mchungaji, huko ulikoelekea watakupoteza, na police asiwatafute.
@user-sl1ko9me7u
2 күн бұрын
CHADEMA NI KUBWA KULIKO MSIGWA.....WALIONDOKA AKINA HAYATI LOWASSA, MH. SUMAYE, MZEE SLAA, WAITARA NA WENGINE WAKATI WA HAYATI JPM....LAKINI CHADEMA KIKO IMARA!
@JohnValle-xn1dx
2 күн бұрын
Umemusahau zito kabwe
@hajihassan5433
Күн бұрын
@@JohnValle-xn1dx Chama ni watu kila mtu ni muhimu, lazima ukubali kuondoka yoyote ni pigo. Matusi hayafai.
@antonykpatricj2864
Күн бұрын
Chadema ni mgodi wao.waende.sisi.tupo.sana ❤❤cadema
@user-zk9ox3di4b
Күн бұрын
asanteni sana CCM kwa kutudanganya wananchi tulio wengi tunaendelea na matatizo makubwa sana ya wanyonge Chama mapinduzi kina ondoa uhuru wetu vijijini kwa kusema watasmamia uchaguzi waserekali za mitaa je kama mnasema CCM inasimamia kwanini wenyeviti wasumbuliwe wakuu wa mikoa mpaka awa wakuu wanajaribu kuweka wenyeviti je. nauliza Samia ni haki je swala la kuwakimbiza wamasai ngorongoro iyo Bado unatarajia kuongoza Tanganyika tutafanya utafiti kubaini ata mkitetea serekali sisi walio wengi atuoni haki zetu atamkisema Chadema Chama chalikabila atukatai je sio Chama Cha udini naubepari
@EzekielChalomhola
Күн бұрын
Yan inadhihirisha huna hoja kabisa. Mpaka unakosa neno kasema yana unafikiria ktunga uwonngo uongo?? Da! Jaman wanasiasa wa Tanzania
@deograsiamgeni5716
2 күн бұрын
Njaa inawatesa watu jamani?
@emmanuelmathiasmpesa9396
2 күн бұрын
Tunachezewa akili hapa mbona kama ni mipangphii🙆🏿♀️
@JonathanMatembo
2 күн бұрын
Msigwa pole sana kwa kuuza utu wako, kuuza heshima yako, chadema ndio imekupa umaalufu watu wakakujuwa,leo umekubali kuwasaliti wana iringa,umesahau watu wapo jela wengine ni walemavu wengine wamekufa kwajili yako,imeingia kweye mtego wa CCM, watanzania wamekuzalau sana,,umeshajiuwa kisiasa bola uachane na siasa maana umeshajiuwa mwenyewe.
@walidmgonja3644
Күн бұрын
Sasa unalia nini?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
Күн бұрын
MUSIGWA amejimaliza kisiasa tamaa mbaya sana akina DEVDI kafulila walisha poteaga kwenye siasa nawwe ndio umeisha ivo
@barakambasile2651
Күн бұрын
Mpaka happy mbowe hata sikia atabuda tuu kama vire hasikii agekua na maana nzuli na chama angejitoa kugombea tukaona kweli anamarengo mazuri na chama awapishe kinalisu
@PaskaliCharles-pz8ds
Күн бұрын
Njaa zitakuua ukikosa CCM utahamia chama gani kingine
@user-hd6il8ni2f
2 күн бұрын
Njaa hizi watabzani kweli wana kazi ya kujitambua zaidi
@frenktarimo4703
2 күн бұрын
Njaa mchungaji
@natafutamatatizo4382
Күн бұрын
SHOGA LIMESHANUNULIWA NA ATAKUTANA NA WANAUME WAKUBWA WA KUMSHUGHULIKIA! 👀👀
@husseinjosephitocho6754
2 күн бұрын
mda si mrefu tunasajili chuma cha maana mpina achana na hilo takataka liliroshindwa uwenyekiti wa chadema Kanda
@user-kz5en5tq2z
Күн бұрын
NGURUWE KURUDI MATOPENI NI KAWAIDA, NA MBWA KULAMBA MATAPISHI C SHIDA, ALIYOKANDIA ANASIFIA. NAA MBAYA... KANISANI UNGEKUWA ARC BISHOP UNGENENEPA. LKN SASA MBNG NA NCHI ZINAKUTATHIMU KWA UNAFIKI WAKO. JE UTAIKOSOA TENA CCM AMA UTAISIFIA? NAKUSBR.
@Worldunite
Күн бұрын
Kwa mapokezi hayaaa, lzm atapewa uwaziri huyu😂😂😂😂
@titongome3037
Күн бұрын
Ameenda kuungana na namafisadi wenzake wa ccm
@PaskaliCharles-pz8ds
Күн бұрын
Huyu kamanda wetu kapatwa na nini jamani njaa imekuwa Kali kiasi kiasi hiki siamini eti mchungaji wanairinga tumtenge akigombea nafasi yoyote
@issaidrisamusa5962
2 күн бұрын
Aiseeeh, sipotezi muda tena kuwasikiza wanasiasa . Yaani aliyesema nyekundu juzi Leo anasema nyeupe tena hadharani hivi. Hata mbowe sina Imani nae. Na nahisi wakina Mdee walipata baraka zote za viongozi wa chama
@SamweliMbise-hk6sn
Күн бұрын
Usikate tamaa acha uoga
@ommymsangi9182
Күн бұрын
Mijuavyo mimi ulisha kisaliti chama tangu awamu ya 5 lkn ulibakishwa kama pandikizi lkn baada ya kuona kuwa wamekustukia na kukupiga chini kwa kura kanda ya Nyasa ndipo umeona uondoke.
@user-yo4mt8cv6w
Күн бұрын
Umekosea huna msimamo kabisa kama kuna shida ungebako hapo kuipgania haki umeondka umekimbia matatizo hifai hatakuitwa mwanaume mwanaume hakimbii tatizo anakabiliana nalo kwa stail hii hufai kuwa hata mwenyekiti wa kijiji
@fadhilimoshi5754
Күн бұрын
Weee msigwa acha njaa huna hata aibu ulivyokuwa ukiwatukana? Na nyie ccm kwa kula matapishi hoyeee katu chadema haishuki
@AishaKafimbi
Күн бұрын
Hii safi sana.
@josephlorri431
Күн бұрын
Msigwa kuhamia ccm ilikuwa swala la muda tu.. huyo ni mtu wa maslahi
@BavaBava-lz8vf
Күн бұрын
Ww mnafiki Uko uliko ndio sawa Huna lolote wanaharakat kama ww tunawafuta Ww na halima mdee mpo sawa pengine mpaka jinsia
@user-hj4bc5uh2x
Күн бұрын
Hiikazi kaifanya mboe nahii njia yanamnahii mbaya katikamafanikioyakweli kwenyenchi yetu ila ajendayamungu itatimia tuh
@user-xi2mf4xh7r
Күн бұрын
Binafsi sioni kama kuna shida yeyote Msigwa kuondoka chadema na kuhamia ccm,kwani yeye msigwa nani ndani ya chadema,aliondoka Wilblod slaa,aliondoka Zitto kabwe,Waitara,cvd 19,na wengine wengi kwani chadema imekufa?Mh,Lowassa aliondoka Ccm kwani CCm ilikufa? Msigwa siyo zaidi ya chama na huyo walimstukia muda na ndio maana walimtupilia mbali kwenye uchaguzi kanda ya nyasa.kauza kibali kisichowezatolewa na mwanadamu isipokuwa Mungu peke yake.ngoja tusubiri hapo kwisha habariyake atajitahidi kuchonga maneno lakini yatakosa kibali kwa watu, (ati mchungaji anachunga nini mbuzi,au punda,wnyamapori,au anachunga ng'ombe? Ewe mgalatia ni nani aliyekuloga kuanza kwa Roho na kukamilishwa kwa mwili?
@MonayLai
2 күн бұрын
Yaani huyu mchungaji kituko kwa kweli, yaani kushindwa uchaguzi na Sugu ndio uhame! Sasa km ni ivyo si heri hata ungemrudia Mungu urudi kutumikia kanisa kuliko kuungana na wanyang'anyi 🥱
@walidmgonja3644
Күн бұрын
Nami namshangaa kutoka kwenye genge la majambazi aka CHAGADEMA na kujiunga na chama kilichojaa wezi,kweli huyu kashukiwa na roho mtakavitu
@user-tg7vq3ty8p
Күн бұрын
Watu wanatazama kwenye sura ya mtu na vyama tunatakiwa tuangalie ndani zaidi k.v. familia, shule, jkt,n.k.
@abdallahrunwa1886
Күн бұрын
Kwa mawazo hayo ukko swa kabisa wale wanao kutupia lawama nao nikutokujua tu hakuna chama halali kinachowanyima wanacha wake kukosolewa ukweli ni chadema tu...!mchungaji usiwe na hofu karibu nyumbani umeongozwa na roho ya ya Bwana asikutishe mtu wewe ndiyo mzarendo wa kweli umeyaona maendeleo yanayoletwa na CCM huu ndiyo ukweli...!
@lilyjones3584
2 күн бұрын
Hizi ndiyo zile tabia za kimalaya malaya alizosema mwalimu! Kwenye Nchi za wenzetu, hatusikii leo mtu yupo Democrat halafu kesho Republican! Au leo yupo Conservative halafu kesho yupo Labour!!! Siasa zetu ni za kushibisha matumbo. Uso umeumbwa na haya! 😢
@Danielmathayo-hj8ek
Күн бұрын
Karibu ccm.
@realswahilicultural8140
2 күн бұрын
Mbowe aachie uenyekiti chama kinanfiaa😢😢
@jumannentimizi9000
2 күн бұрын
HUYU NI MJINGA MMOJA AMEKOSA CHEO AMEKIMBIA ACHENI AENDE ZAKE HUYU YUPO TAYARI KUWAUZA WANANCHI WAKE NENDA ZAKO HAUTASUMBUA AKILI ZA WATU
@lilyjones3584
2 күн бұрын
Huyu jamaa yupo tayari hata kuuza watoto wake kwa uroho wa ubunge 😢
@husseinmkanga7794
2 күн бұрын
Mnashangaa nini mbowe mwenyewe analipwa na CCM amelamba asali kwa kifupi upinzani wote Tanzania kwa sasa ni wapambe wa CCM. Lakini ukweli ni kwamba ili mladi vyama vingi vipo CCM haiwezi kutawala milele labda waache ufisadi na hilo sio rahisi.
@FridayMwassa
15 сағат бұрын
Analipwa sh.ngapi,acha uongo siyo vizuri kutoa shutuma za uongo
@husseinmkanga7794
7 сағат бұрын
@@FridayMwassa Mbowe ni mpambe wa Mama Samia kwa sababu Mbowe anajua hana mvuto wa kuchaguliwa kuwa Rais sasa hivi na yeye anakula keki. Mbowe hana hela ya kukodi helicopter analipiwa na mama Samia. Mbowe ni mfanya biashara ya siasa sio kiongozi wa siasa. Chadema chini wa wenyekiti wa Mbowe wamegombea uraisi mara nne wameshindwa zote kwa nini bado anashika hiyo nafasi? Jibu maslahi binafsi.
@user-xl4io3or7r
2 күн бұрын
Ni haki yake. Tusimkejeli hata wewe ipo siku utahama Kama alivyohama. Siasa Haina usingizi. Kahama chama lakini bado ni mtanzania.
@walidmgonja3644
Күн бұрын
Good comment
@user-wu2du6jy5c
Күн бұрын
Usmchagulie mtazamo wake kwani cdm chama Cha maraika
@rehemamejja8342
Күн бұрын
Aishiwa na Sera.njaaa
@maimunaahmed3477
2 күн бұрын
Nimechukia siasa siasa ni unafiki.
@moriscollins4494
2 күн бұрын
Ndio unalijua leo mbona kama umechelewa sana
@rahmaramadhan2825
Күн бұрын
Km ni mwema acha ajenge nchi kwani tz ni mmoja kajiona anastahiri ukmbn sio chmbn
@omarinyahegs4539
2 күн бұрын
Uchaguzi sio muda mbona hivyo tena
@frankbutati8343
2 күн бұрын
Mungu akutangulie huko uendako
@user-ev5xw1ev6f
2 күн бұрын
Tanzania hakuna wapinzani wote waroho wa madaraka mbowe amekuwa mwenyekiti Zaid 20 lakin bado wanasema wanadai katiba mpya pia wale Kaz yao wapo kwa maslahi kile chama ni Sacco's ya watu ndo maana kinawalinda watu kaskazini kwa hiyo wee Kama unaipenda chadema pole as tumeelimika na ndo maana hatumuwazii mbowe Wala nan maana ni njaa ndo inamfanya apige kelele
@petermwanyondo5370
Күн бұрын
Wakina zitto dokter slaa ndowalijuwa umpinza hata wakihama seem unajuwa pigo wengne kanjanja two
@user-wj6zj1ly4e
Күн бұрын
Ulipaswa usmame na chama chako na kuleta mabadiliko unayoyataka. Pili kwann uliposhindwa uenyekit wa kanda ndipo uhame
@ElishaOisso
2 күн бұрын
Chama yanga msigwa ccm hawa wote wamechoka hawana maajabu tena
@user-yo7sj8fs4h
2 күн бұрын
Baada ya kukosa uongozi wa Nyasa. Hii unaonyesha ni uchu wa madaraka. Chawa mmoja na nusu Da mpaka kusifia ya Kula na kipofu anajua.
@NixonJohnson-zn8nk
2 күн бұрын
Hiyo rang na wazee hao ni uchuro
@aarona.midende1789
Күн бұрын
Siasa ovyaa yaan mtu anakuwjizima data kabisaaa
@EdwardUrassa-xc6gz
2 күн бұрын
Njaa
@abdallahkihanza482
2 күн бұрын
Bado COVID nao wapo njia moja ili kulipa walio wafadhili kuingia bungeni kinyume na katiba
@leokamil6284
2 күн бұрын
Hivi hicho chama ulichokwenda ndio kuna hiyo haki na kujali wananchi na rasilimali za nchi ?
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
2 күн бұрын
Kama mchungaji kadhurumiwa je akina mnyika watadumu humo
@FashoKibona
2 күн бұрын
Njaa mbaya sana.
@aronimanirakiza5655
2 күн бұрын
Musigwa. Gani. Aibu. Uko a Konami?
@Agath45
Күн бұрын
Mmmmh haya bwana
@silvaj3155
2 күн бұрын
Good job mh Makala
@OmariVesso
Күн бұрын
Njaa hz jau
@user-ig5yn4zp2u
Күн бұрын
Naamini wewe umehamia ccm baada ya kukosa ushindi wa uenyekiti wa kanda
@user-oq6zh4tg3u
Күн бұрын
Wakiwa upande huu ni wahuni wakija kwenu mnawashangilia na kuwafanyia sherehe wahuni hao hao
@nashirkamugisha9425
Күн бұрын
Mtu makini katoka kwenye chama cha wahuni kaenda chama walau chenye mwanga
@GodfreyOsward
Күн бұрын
Siku zote nyumba ilikuwa moja. Kahama chumba tu. Ila watazamaji tulijua msigwa anaishi nyumba tofauti.
@AugustinoSambala
Күн бұрын
Mnyalukolo una nzala sana be unene Bado ndisikwelewa ndaa
@ellenirelli4912
Күн бұрын
Kaa kmy kaka
@leonardalphonce8924
Күн бұрын
Njaa zimekupeleka huko unajua sahiz upigaji uko kashirikiane kuiba huko
Kira mwanachadema atafakali uongozi was chadema je inwamilele au hakuna mwingine cadema mwenye akili kuliko mbowe kuwa mwenyekiti was chama happy ndoo naiona chadema kushuka kisiasa tulimweshimu mbowe rakini Sasa iiii
@leokamil6284
2 күн бұрын
Miradi ipi acha unafiki wewe ,anakopa kwa kukopa na bado utendaji mbovu wizi mwingi na matumizi mabaya ya rasilimali za nchi.
@wadeelegbogun3015
Күн бұрын
CCM FEKI MMEKWISHA KIFO CHA MENDE CHALII
@YustoMlay-cv4zb
2 күн бұрын
Vichwa vyote vinaenda CCM chadema Keisha kabisa
@GodfreyOsward
Күн бұрын
Ni namna ya kutawalana, tuna chama kimoja mengine ni matawi. Tafakari
@joshua-w5p
2 күн бұрын
Shida ya njaa kuamia kichwani iyoo
@FrankKajwaula
Күн бұрын
HAYO BAADA YA KUPIGWA CHINI NA SUGU
@FrankKajwaula
Күн бұрын
HAYO BAADA YA KUPIGWA CHINI NA SUGU 7:20
@user-bz5ti6op6z
2 күн бұрын
Karibu saana msigwa bado na wengine
@OswaldMwakalinga-jr4fd
Күн бұрын
Msigwa hiyo ni njaaa wenzio tumezoea wewe ni sokaliote
@antonykpatricj2864
Күн бұрын
Maneno sio dawa ututoi. Kweye reli
@wadeelegbogun3015
Күн бұрын
#NONSENSE, mchungaji feki wa mchongo
@user-zg4yz7je8d
Күн бұрын
Kwa iyo una maanisha ccm ni safi? Mpuuzi wewe mwenye uchu wa madaraka, uliyeshindwa uchaguzi na watu walikustukia. Lilikuwa swala la muda tu na ungekuwa mwenyekiti wa nyasa si ungeliuza majimbo wewe?
Пікірлер: 152