Wavivu, wazembe waongo na wajeuri katka kujibu wateja hao wasipewe msamaha hao ndio chanzo Cha matatizo kwa wananchi
@AmedeusMbanda-gh4rj
Ай бұрын
🙆jamani
@ibrahimmohamed8845
Ай бұрын
Timua wote wanaoshindwa kufanya kazi ipasavyo.
@neemakerefu4876
Ай бұрын
Waziri mbona kama wote hawafanyi kaxi Hapo kuna UHUJIMU UCHUMI KABISA KUNA WAFANYAKAZI WANAUZA MAJI WANATOA MAJI KWA MGAO NAKUOMBA WAZIRI FUATILIA KWA KINA
@barakarobert1029
Ай бұрын
Hii serkalin ya ovyo sna kuna vijana wengi sna wenye sifa mtaaani alfu hao mbulula wanachezea kaz ingekuwa hivi mtu aki zingua piga chini hakuna kumuamisha wala kumsimamisha kaz unapiga chini hili hawa wengi na wenyewe wapate kaz hapo kila mtu angejituma sasa hii mala kumpa onyo
@JamesChrizestome
Ай бұрын
Mheshimiwa Aweso tusaidie kitu kimoja hasa katika ulipaji wa bill za maji kunautofaiti gani unit moja ya maji Kagera katika malipo na mikoa mingine, Kagara unit moja ni shs 2200/= na sehemu nyingine ni shs ngapi?
@exaverysimon1064
Ай бұрын
weka ndan hao
@allymusira2153
Ай бұрын
Tatizo mita mheshimiwa tunafanya maombi tunaambiwa tusubiri sasa zaidi ya miezi sita
Пікірлер: 15