Kwanini Watumishi wengi sana hawatimizi wajibu wao..kwanini Hatuwezi kujenga Nchi yetu pasipo dosari!!!!!
@hashimmawazo5503
2 күн бұрын
Njoo kibiti mh,waziri kuna mengi uku miradi yote imekwama na pesa wamezitafuna
@emilianchibinda82
Күн бұрын
Wizara ya Maji acheni masiala jamani!! Eti hadi aje Waziri! Wengine mpo wapi? Aibu!! Serikali ajirini watu wengine!! Mambo haya hayana afya kwa Watamzania.
@philemonmagesa5548
2 күн бұрын
Mweshimiwa Aweso ww chukua mfumo wa makonda kusikiliza kero nakufatilia utendaji utakusaidia kisiasa na kujenga imani kubwa kwa wananchi
@user-tu9ps9kr2o
2 күн бұрын
Mhe waziri kwanza hongera.kwa msukumo wako wa nguvu hizo watabadirika Sasa watumishi .mhe makinda umetoa fundisho kwa wateule wa Mhe Raisi
Huyo ameshindwa kutumia cheo chake kwa hiyo anaenda kushushwa kwa lugha nyingine
@mahijayusuph8186
2 күн бұрын
Tenganisheni siasa na kazi
@mahijayusuph8186
2 күн бұрын
Nyie mnaoshangilia hamjitambui
@nurdinmfamau3493
2 күн бұрын
@@mahijayusuph8186inawezekana Wakawa Hawajitambui Lakini Katikati Kuna Uzembe Na Dhuruma Kubwa Inayowapa Au Kutupa Chuki.
@husseinamassanza50
2 күн бұрын
Kero za wananchi zinasababishwa na nyie nyie serekali msione watu wapo kimya ipo siku haina jina.
@nelsongodfrey9952
Күн бұрын
Msumi hatuna maji, lakini mbopo wana maji. 3km difference but dawasa wapo
@user-oy2gp3nq4j
2 күн бұрын
Wanauza Maji wanamagari yao waziri wanakudanganya Hata huku makabe
@user-nm2jq7xo5f
2 күн бұрын
Tusilee uzembe mheshimiwa waziri wengine wajifunze
@stevensteve7519
2 күн бұрын
Watumishi wa serikali ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi kutokana na kutofanya kazi kwa ufanisi na kutotambua kuwa wao waajiri wao niwananchi. Hili hawalijui kabisaa, wanadhani kuwa wao wako juu ya wananchi.
@godfreylyimo4177
Күн бұрын
Elizabeth ni mtendaji mzuri!!
@LovelyOmbreSky-pu4jt
Күн бұрын
Naona sasa kakayangu umeamka sasa ila ujachelewa nilijuwa kasiyako imeisha ilanakujuwa Utendajiwako sinamashaka nawewe
@MOHAMEDSALEH-fl7kb
2 күн бұрын
Mama Huyo. Tanzania ya Maendeleo Tunaitaka
@Bifa_2024
Күн бұрын
Wananchi wachonganishi ipo siku mwanao dadako Ndio atakuwa huyo Eliza alafu wamama wana midomo adui wa mwanamke ni mwanamke
Uweso njoo masasi mtwara hufiki kabisa Kuna madudu sana
@gililwise
2 күн бұрын
Mh njoo Morogoro Morowasa utalia maji tunapata mara moja kwa wiki kwa mwezi mara 4 bili inakuja 40,000/= Bhopal kata us bigwa
@user-oy2gp3nq4j
2 күн бұрын
Wanajifanya Miungu watu watumishi hawa sana ata ukipiga awapokei
@user-oy2gp3nq4j
2 күн бұрын
TUNAKUOMBA SASA MTUPUNGUZIE MALIPO YA KUWEKA MAJI MAJI YANAPITA MLANGONI UKIULIZA KUWEKA MAJI SH 270,000/=
@user-ow7pl6tz2c
2 күн бұрын
Mh waziri dawasa nitatizo niwazembe sana
@user-kv8sq6qz7g
20 сағат бұрын
Moja Kati ya hazina kubwa ktika Taifa letu Ndugu aweso mzalendo wa kweli
@eddytheophil7626
10 сағат бұрын
Safi sana❤❤
@nahlaaasidee1848
Күн бұрын
Waziri Njoo Masasi-Mtwara kuna shida
@HamadaZubeirTahir
Күн бұрын
Musichikijuwaaa...mmmmmh..mpaka nawaonea hurumaaa
@monicamaganga8681
2 күн бұрын
Waziri njoo kinodoni tunateseka sana
@piusmapunda4255
Күн бұрын
Mkuu njoo nahuku tanganyika dc kata ya ikola maji hayatoki nimwezi wa 3 sasa!,
@ahmedronga7583
2 күн бұрын
Ila wanawake dah!😅
@user-ch2it3qt5z
2 күн бұрын
Hiii 😂nchi inakiki 😂
@machoguhameri7757
13 сағат бұрын
Wanawake bado sana
@giftkalenge418
Күн бұрын
Utashitaliwa waziri Sasa huyu dada anakosa Gani wakati mkurugenzi wako ndo tatizo
@FarajaLusuka
Күн бұрын
Shida nini viongozi wetu jamani kwanini mnatufanyie hivyo maji hamna hata kwetu makurunge kigamboni hatuna maji wala umeme
@serafinamalecela4728
6 сағат бұрын
Eliza kiherehere kimemponza angekaaa kimyaaaa maskini
@dorahmushi-we6ts
Күн бұрын
Tunamuona mhshmw Makonda group kazini.
@bahatielias6443
2 күн бұрын
Ila kunawakati mwingine inakela
@monicachacha455
Күн бұрын
awesoooooo safiiiiii
@reubenalfred9707
Күн бұрын
Chanika Nzasa mradi wa maji ulifunguliwa na mwenge lakini mpaka sasa hatuoni hata tone la maji..!
@user-xm9xr5db1j
4 сағат бұрын
Kweli kabisa kaka..
@husseinkonz5192
7 сағат бұрын
Wamezoea kukaa ofcn piga na chin wote
@KilonzoGodson
2 күн бұрын
Hivi Tanzania tukoje?
@hamredhamis-cz6qc
2 күн бұрын
😊
@HamadaZubeirTahir
Күн бұрын
Anaweza akafukuzwa mbele ya Wananchi baada ya masaa akaitwa Ofisini akaambiwa endelea na kazi
@PatrickSepetu
5 сағат бұрын
Wanalinga mno wakiwa ofcn hao
@josemalley1691
2 күн бұрын
Arusha mtaa x ndo balaa
@AminaAmina-cr8jq
Күн бұрын
Wazir njoo arusha mateves tunateseka na idara,ya,maji bil laki 3 kwa,mwenx na,barabara,vumb tynashidw,hata,kuuza yaya
@mamakayla6697
2 күн бұрын
Kwa kweli waziri umefanya kazi vizuri ya kuchukua hatua ya kuja wilaya hii ya Kibamba, njoo na wilaya ya Ubungo. Ni shidaaaaa,njoo Kimara Bucha.
@napoleonmutungi6866
3 сағат бұрын
Waziri kapiga simu kwa mkurugenzi wa miradi vifaa havijaletwa dada amefanya kazi yake waziri anafanya siasa ya kumtoa kafara Eliza na watanzania bila kutumia busara mnashangilia kwa roho mbaya tu
@HamadaZubeirTahir
Күн бұрын
Eti Wazili..wazili...wazili...sioWazilii...ni Waziri ndio kiswahili sanifu
@juliusmbuya3814
2 сағат бұрын
Uchaguzi umekaribia
@florencekyande4443
Күн бұрын
mbona Eliza tu,huyo kaka aliyekosa mafaili ,yaoo wattsap je?mkurugenzi aliyeookea maelekezo kwa waziri asiyafanyie Kazi je?
@sharafisaidi7999
Күн бұрын
Njoo na mbagala mheshimiwa maji tunayaonaga kwenye video tu kibondemaja mtaa wa kimbangulile
Ila tujifunze ukipewa nafasi watumikie wananchi,ukipewa maelekezo na mkuu wako tafadhali fuatilia ,hapo unakuta gari ya usafili kapewa lakin mtu anaagiza tu yeye yupo ofsini, ama fungu lapesa linatolewa halafu hizo pesa wanaingiza kwenye biashara zao kwanza mpaka mda unaeenda wee Ndio wanakuja kufanya ,Sasa wananchi inakuwa ni mateso
@user-qy7he6cl8w
7 сағат бұрын
Makonda kaanza kupata mapacha
@DandasiKundi
2 күн бұрын
Waziri njoo mkoa wa pwani usikilize vioja vya dawasa eneo la lukuruti, mihande karibi na shule ya skondari wanasema vifaa hamna na hata hivyo wengine wanafungiwa sijaelewa wziri hapo kuna nino happ
@FilbertKalembe-fy4oq
2 күн бұрын
Safi kabisa mumelea ujinga mda mrefu tusaidieni halmashauri zote ziko hivyo
@rahelmponda
Күн бұрын
Kumbe unambadilisha kituo ila kazi yake Bado ipo, ujinga tupu na wanaokushangilia😅😅😅
@venancemwarabu7168
19 сағат бұрын
Ulitaka afukuzwe kazi? Kosa lake ni lipi? Matatizo ya kimfumo hata ukiwekwa wewe hapo utakutana na huo ukakasi
@YusuphMwangobola
2 күн бұрын
Wananchi wamesha mchoka hyo dada
@SultanaShaban
2 күн бұрын
Njoo bonyokwaa mkuu
@thomastemu3332
2 күн бұрын
Mtumbue huyo hawafai
@FredMwamgogwa-td6ni
2 күн бұрын
Fukuzaaaa
@danielelikana2615
Күн бұрын
Mfumo wa kuajiri unatakiwa kufumuliwa upya kabisa!! Wanaajiriwa watu wasiokuwa na uwezo wa kufanya kazi, wenye uwezo wanaachwa!!
@Mumewangu
2 күн бұрын
Kama umesikiwa mwananchi anauza bangi. Nipe like zangu
@wisemaliva5376
Күн бұрын
Wamesema anauza maji
@fatmaathumani7116
Күн бұрын
Watu tunahangaika kuzitafuta hizo kazi nyie mazwazwa mnanenepeana tu km mafurushi 😢😢😢
@user-nm2jq7xo5f
2 күн бұрын
Awesu fukuza kazi wazembe hao
@monicamaganga8681
2 күн бұрын
😂 7:28
@KhalidAlly-je8ky
Күн бұрын
Ujinga mtupu
@hashimmawazo5503
2 күн бұрын
Njoo kibiti mh,waziri kuna mengi uku miradi yote imekwama na pesa wamezitafuna
@Kalunirashidi
2 күн бұрын
kweli uweso ndio mnatakiwa kufanya kazi siokupigiwa makofi wannachi wanaomie
Пікірлер: 87