Kaka nimejikuta ninacheka sana maana hao watu wawili WA mwanzoni katika maisha yangu ninao na wamekuwa wakiniwazisha sana bro kuanzia leo naachili aisey daah . Asante sana brother
@MajaliwaMhungati
Күн бұрын
Ni kweli tupu...watu hao kwa sasa wataisoma namba maana kwa sasa itabidi nibadiri mwelekeo Bora peke yangu.
@gosbertrutayega4546
11 күн бұрын
This is very true. Yaani kuna mtu haamini hata nikimwambia sina hela
@JohnPatrickKasokota-qw6ep
21 күн бұрын
Asant sana broe kwa elimu nimegundua na ndo inavyo nitokea mm kwa watu wangu wakalibu sana mwalimu vitu gani nizingatie il na mimi nifanikiwe hizi changamoto ilizo sema zote ndo zinazo nitokea mimi
@blackeagle4441
18 күн бұрын
Kaka #joelnanauka barikiwa mnoo najifunza mengi sn kupitia ww🙌
@hawahamza1085
8 күн бұрын
Nimeipenda iyooo
@denismabuye2282
20 күн бұрын
Kaka Joel hii mimi imenikuta sana, tayari nimejifunza namna ya kukabiliana nao., wengine ni ndugu kabisa. Asante sana kwa life wisdom... Mungu akubariki sana.🙏
@FarajaMkumbo-pc3ft
20 күн бұрын
Asante kwa mafundisho yako tangia nianze kukufatilia nimebadilisha maisha yangu hakika mungu akubarik kaka joel
@monicakauky8914
14 күн бұрын
Ndiyo Kuna mtu nikimpa mara nyingi harudishi na nikimwambia Sina anakasirika,Kwa sasa nimeamua nikimpa sitarajii kurudishiwa.
@KelvinMmari-fp7zx
12 күн бұрын
Wako wengi mkuu
@alsam4881
10 күн бұрын
Yaani hapo umenigusa mie kabisa ,yalinikuta hayo na siku hizi nimeachana nao kabisa kwasababu walinitumilia mimi kwa miaka mingi na sasa nimewaepuka, tena huwa wanakuwaga hawana shukrani wala fadhila kabisa, wao kutwa ni kutowa lawama tu na shida zisizoisha.
@khadijaamour7654
19 күн бұрын
Wazee wetu pia wako hivo hatuna jema zaidi ya kuapizwa km huna hela za kuwapa
@leticiampeka1488
16 күн бұрын
Asante sana kwa somo nzuri sana, hawa watu huwachukulia wenzao kama fursa vile, bila kujali kuwa kuna kujinyima mpaka yanaonekana anayoyaona kwako. Nimekutana na wengi ila huyu wa hivi karibuni amezidi ana sifa nyingi tajwa, kwangu naona ni bora kumkwepa au kumwambia siko vizuri tu.
@FELISTERPETER-jf9jv
10 күн бұрын
Umenigusa kwa kiasi kikubwa sana, barikiwa sana mtumishi.
@PriscaMwamakula
11 күн бұрын
Nimekutana nao sana kwa kweli wanaumiza sana halafu wanakatisha tamaa
@user-gb1hn5ml8y
20 күн бұрын
From south Africa Durban ili tumuunge mkono kwa nguvu zote mwalimu wetu usi skip tangazo linalo pita liache liishe nadhani hii itampa faida sana na uta Kua umechangia kwa nguvu kubwa please 🙏 wanafunzi wenzangu❤❤
@paschalmasanilo2617
19 күн бұрын
Okay 🎉
@YusuphRashidiSimoni
17 күн бұрын
0
@IbrahimuRamadhani-nc4mr
15 күн бұрын
Alaaah kumbe sijawai jua ii mm ni mhanga mkubwa wa ili 😢😢😢
@IbrahimuRamadhani-nc4mr
15 күн бұрын
Nitafanya hivyo kwakweli maana ❤❤❤
@mahmoudmtanga8448
7 күн бұрын
inasaidia nn
@user-hm5jl1kh2t
18 күн бұрын
Habari , mm naona ndio walio nizunguka katika maisha yangu 😢 dah Asante sanaa
@allyway999
18 күн бұрын
From here Capetown Hii changamoto imekuwa kubwa mno kiasi kuanzia kwa ndugu mpaka wazee wangu kiasi mpata sijui nn chakufanya yaan mtu anajimaliza kiasi kwa bila mm no way out tena after that Yoh so sad 😢 man
@brackskinyozi3280
20 күн бұрын
Imenitokea sana marafiki hta kw ndugu....lakin kw hili somo nashukur nimejifunza kitu Joel asante sana
@mwanaomary3034
20 күн бұрын
Duuh wapo wengi,Asante
@rehemabakari3032
19 күн бұрын
Thank you so much ❤❤❤❤❤
@NickGamba-ft8tl
19 күн бұрын
ASANTEE SANA MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER
@olivermkuni8232
19 күн бұрын
Ahsante sana kwa somo nzuri nimezungukwa na watu wengi wenye tabia hii
@TumainiChengula-dn5vx
20 күн бұрын
Yaani kaka mm nishakutana nao sana wanachosha sana wanataka kusaidiwa wao tuu ila wew ukipata shida kama hawakuoni alafu wakizipata Sasa wanakula bata na watu wengine zikiisha ndio wanakuja tena kwakooo Aloooo kiufupi mm ngoja niwapoteze tuuu siwataki hata bureee popote walipo najua wanajijua wapite kuleeee
@MohamedSarahani-gk6jx
18 күн бұрын
Watuu kamaa haooo wapooo wengi hasaa katikaa familiaaa zetu
@ENOCKDANIEL-jo3ed
21 күн бұрын
Kaka hawa watu binafsi ninao marafiki zangu na ndugu pia , asante san umenifundisha somo kubwa mno 🙏🙏
@AllyJuma-fy2is
13 күн бұрын
Asant kaka hawawatu wapo atamm niponae lkn nimejifunza kwa somohili
@nwntz
17 күн бұрын
Thanks man❤
@SephaniaLucas
20 күн бұрын
Kiukweli watu hao wanaumiza sana. Ubarikiwe mwalimu.
@judithlugongo8804
20 күн бұрын
Ni sahihi kabisa Barikiwa kwa mafundisho mazuri nimejifunza mengi na umenisadia sana
@tullymwakatuleme552
20 күн бұрын
Nimejifunza ...mpaka saiz nimekutana nao na wanasema mm mchoyo
@brunomwimanzi6074
20 күн бұрын
Daaah Asante sana kaka,wapo mtaani Kwangu hadi unajuta kuwafahamu yaani
@user-df3su9fp1o
19 күн бұрын
Hongera sana, maana hiyo ndiyo familia yangu yaani umepita mlemle
@edinachami4318
17 күн бұрын
Mpaka waseme😂😂😂 Asante broo Joel ulikonitoa nimbali mnoooo❤❤❤
@stanleyandrea5153
21 күн бұрын
Mimi nilisha kubali lawama kuliko fedheha, Tena bila kupepesa macho
@ahz6907
21 күн бұрын
Kama mimi 😂
@stanleyandrea5153
20 күн бұрын
Safi sanaa
@westoninyema8343
20 күн бұрын
Naanza kuwaepuka nana ninao wawili awajal ninao itaj msada wao
@cocotz1892
20 күн бұрын
Jifunze kusema NO na SINA hiyo ni silaa tosha Mimi nimenuniwa paka leo na rafk yangu na Mimi nimetulia zangu kashanisema pka kwa ndugu zake 😅na mama yake ameninunia pia 😂😂😜Mwanzo niliumia ni kamekumbuka kujipenda 😅kwahiyo jifunze NO NA SINA 😊
@cocotz1892
20 күн бұрын
Nimejifuz kusema NO na SINA hiyo ni silaa tosha Mimi nimenuniwa paka leo na rafk yangu na Mimi nimetulia zangu kashanisema pka kwa ndugu zake 😅na mama yake ameninunia pia 😂😂😜Mwanzo niliumia ni kajikumbusha kujipenda 😅kwahiyo jifunze NO NA SINA 😊
@neemadaudisospeter8211
20 күн бұрын
Asante
@HamzaSelemani-rt8jt
20 күн бұрын
Ihii imenitokea Sana daah binahadamu
@lincolnkimambo3744
20 күн бұрын
Kiukweli ni Ndugu zangu.
@rhabrhab1797
20 күн бұрын
Ameen Asante sana kwa mafundisho mazuri
@amonkaiza9876
20 күн бұрын
hawa watu tupo nao Sana wengne tumesoma nao chuon pia wengne ni rafik zetu kabisaa kiukweli wanakera sans
@saay4273
20 күн бұрын
Wapo sanaa wametuzunguka katika Maisha yetu
@Jumamussa.-gm1eo
4 күн бұрын
Kuna mmoja ni best wang friend sijui nimu avoid kwa njia ip
@ambakisyemwakinunu2002
20 күн бұрын
Hawa nimekutana nao wengi sana
@rahimyahaya5776
19 күн бұрын
Wapo sana kuna mmoja alinikopa laki 5 mwisho wa siku nilirudishiwa laki 1 mpaka leo ikabidi nisamehe maana ukimdai anaona kama unamsumbua
@vitarismujuni6889
9 күн бұрын
Hawa ni ccm na raia wake
@kalengashoppingcenter1108
20 күн бұрын
Wapo wengi sana na wanatuzungukA kaka😢😢
@victoriakaroli6995
15 күн бұрын
Dah iyo mimi nilikutana nayo kwa boss wangu baada ya kunipeleka ofisini kwake na nikaanza kufanya kazi ikawa kama nafanya kazi bure, hata usipolipwa mshahara ukiuliza tu anaamua akulipe au asikulipe au anakufanyia chochote anachoamua na ukiuliza utaumia.. kiukweli watu wa aina hii ni wengi sana ni bora hata kukosa kazi lakini ubaki na amani vinginevyo utaumizwa sana na watu wa aina hii.. unatengenezewa hata skendo ili tu wawaonyeshe watu kuwa wewe ni mkosaji
@everlyneiminza5722
17 күн бұрын
Yani umesema ukweli kabisa bro, hayo mambo mi nayaona sana kwenye maisha yangu🤔🤔🤔
Kabisa yani nikama unanizungumzia mimi changamoto hii nimeipitia
@SelfathumanMisere-te6kg
20 күн бұрын
Wapo wengi mm wananisumbua sana
@Winie-ht3zq
19 күн бұрын
Imenikuta hii Ni kwel kabisa kaka
@brianisack7673
14 күн бұрын
Be blessed brother 🙏🏽🪜
@brianisack7673
14 күн бұрын
❤
@vumiliamgingu1579
17 күн бұрын
💯
@shukranjulius9526
21 күн бұрын
Hii imenikuta kwenye familia yangu ,yani kuna ndugu yangu akikuomba pesa ukimwambia huna anakasirika,naukimkopesha kurudisha lawama
@dysonmligite3482
20 күн бұрын
Yan mm dadaangu amenikasilikia hd leo nikimpigia cm hapokei kisa ss hv akiniomb hela namwambia cn
@emanuelmlingwa9408
21 күн бұрын
Ahsante mentor Joel nanauka you made me a winner,, watu wanamna hii niko nao kwenye cycle nitatumia mbinu hizi kujinasua
@kelvinemmanuel8616
20 күн бұрын
BRO LEO UMENIGUSA MNOOO YAAN AINA HII YA RAFIKI NILIKUA NAE.
@user-dy6mx4yc6y
20 күн бұрын
Huyo ni mwanaume wangu tabia zote anazo na kujitilisha huruma yan wewe ndio kila siku umsaidie na umpe moyo yan anaona ni wajibu wako kbs na hata watu wakimuazima harudishi wakichukua hatua anaona kaonewa nimeamua kumuacha aende zake yani nikipata shida imekuwa ni ngumu kusaidika kwa sabab ya kuambatana na yeye wanadhani nina tabia kama zake yan simtaki kabisa kwenye maisha yangu ATOKE
@HaniyaKisingo
20 күн бұрын
Kimbia hapo Huna mtu ni mzigo huo🙌
@jamesshirima33
20 күн бұрын
Asante sana 🎉 KAKA
@dativerdionese8099
20 күн бұрын
Asante sana,, ubarikiwe kwa kazi nzuri 🙏
@mariamndikumana-nn9ly
20 күн бұрын
Yaani huyo ni mam yangu nimechoka
@neemadaudisospeter8211
20 күн бұрын
Nimekutana nao saà
@user-kg9df9zp1h
20 күн бұрын
Hawa ninao hata nina rafiki yangu hapa yeye akiwa na shida ndo ananitafuta ila akiwa hana shida hawezi kujitafutia.
@UtnessMlimakala
20 күн бұрын
Ukweli mtupu
@FATHIAABDI-j7e
18 күн бұрын
Niafadhali wengne niwaume zao lakin cc wengne niwenza wetu natumeshazaa watoto inabidi nishida tu yaani cfa hizo zte mumewng anazo yey tutafanyeje unafkiri nandio nipo nae kwenye ndoa
@justinekereri7445
15 күн бұрын
Uko sahihi mno mimi nina ndugu zangu wenye tabia ya kukufanya kwa makusudi kabisa kitega uchumi ya fedha zao ni vigumu kujua kama wanayo lakini za zinahitajika wakati wote.
@BonfriInsuranceAgency
20 күн бұрын
Kweli, nashukuru
@TabiaChibwana
20 күн бұрын
Usiombee uyo mtu awe mwenza wako😢
@tullymwakatuleme552
20 күн бұрын
Ubalikiwe na Bwana
@MwanaishaHemed-xi6rj
20 күн бұрын
Asante Sana.
@iizalaw6674
20 күн бұрын
Hakika yameshawahi kunikuta na najitahidi nirudie makosa na wana tabia ya kurudia kukopa hata kama hakulipa lililopita, ukiazima vyakwao wanadai balaa
@HaniyaKisingo
20 күн бұрын
Mimi ni ndugu zng kabisa wa damu ndio wenye kunididimiza na mpaka sasa kaka yng tena mdogo Ana mke na watoto wawili amenifanya km baba yake baada ya mm kuchoka na kumwambia simama km baba wa familia yako imekuwa Kosa kisa ni mm nipo nje ya nchi wanadhani muda wote ninanyo pesa
@RamadhanMtaki-sw1gx
18 күн бұрын
ni rafiki yangu kabisa Yani yupo hivyo kaka.
@ayubuhamad9451
20 күн бұрын
Brother umegusa uhalisia wa Maisha ninayoyapitia Watu wa aina hiyo ninao sana Wafamilia na baadhi ya Marafiki,ningepata hili Somo kabla ningekua mbali sana,nashukuru leo kulipata nitahakikisha napata Vitabu vyako kujifunza zaidi,ni Changamoto kubwa nilionayo.
@winifridamalila6061
20 күн бұрын
Yan kuna watyu wengine ukiwapa pesa sema tu nimetoa sadaka
@neemadaudisospeter8211
20 күн бұрын
Wengi saaana
@HalimaAmadi
19 күн бұрын
😭😭😭Kaka Joel huyu nini kabisa unaemuongelea nipo gulf huu mwezi wasita Sasa tangu nifike mishahara niliopokea ni mitano hadi Sasa, lakini sina hata akiba nilionayo, familia baada ya kuskia nipo uku wote wamejazana kwa mama hawafanyi kazi wote wananiangalia mimi, na hapo na mimi nina watoto wangu 3, najitahidi kubalanc pesa kila mwisho wa mwezi lakini hawakosi kunibebesha matatizo yao, asante sana leo nimeongeza kitu
@rosesimon4630
17 күн бұрын
We dada wewe tuma hela inayotosha watoto wako tu aisee utarudi kwenu huna chochote pole sana anza kuwa na roho ngumu usipofanya hivyo Kaz yako utaiona chungu
@marykweka4247
20 күн бұрын
Asante
@user-je8qx8ze8o
20 күн бұрын
MM nimekutana nawo kwa sasa wanasema ninaringa
@muhammedwakif6216
20 күн бұрын
Tena hawa kwa kununa kama ile pesa yao Dah nimecheka sana kuskia hii mana wee acha tu Na anataka umpe hapo hapo anachokitaka kama utamwambia subiri anaweza kukupigia cm kila baada ya saa moja
@user-rd6us8eo3k
20 күн бұрын
Hawa Hua ni chamgamoto kwa wale watu wanao fanya biashara kwa Mali Kauli
@GraceSteven-qq5hn
20 күн бұрын
Asant
@user-dq3op3gs2d
20 күн бұрын
Hii kitu inasumbua Sana unaweza pata stress
@pamelaalphonce4742
20 күн бұрын
Kaka Joel what if huyu mtu ni mtoto au mume?utamkwepa Vp??
@shidashida6060
20 күн бұрын
Dadaangu 😅😅 hadi namwogopa akiomba kitu hata kama sina haamini ni kulalamikat,.
@faudhiasalum7279
20 күн бұрын
😅😂😂😂😂Ila 😂😂Joel 😂😂mpaka. Jasho limenitoka😊😂😂
@shukranjulius9526
21 күн бұрын
Mungu akubariki sana kaka @Joel ❤
@goldiegranted5501
20 күн бұрын
"amenisema mpaka jasho limenitoka"😂😂👋,,,"amenisema mpaka nimezimia"😂😂😂😂😂😂
@Sumay228
20 күн бұрын
Kama kuna namna watu wa namna hii hawatakiwi kukujua sana ili kama inawezekana wasijue kipato chako otherwise kazi ipo mi ndio nilimalizana nao hivyo ctaki kujuana sana
@abelhilonga1095
19 күн бұрын
Me ndio nina hiyo tabia kwa baadhi ya marafiki zangu
@dorrie-b8q
12 күн бұрын
Kuwa ww ni yule rafiki entitled 😂 au? Mnyonyajii
@dominickntajinya1550
20 күн бұрын
%Usiache Kutabasamu%
@goldiegranted5501
20 күн бұрын
Wapooooh 😂,nlikutana naye mmoja huyo,Ila Yule dada hafai 😂,,,anatumia hela ovyo huku anapost status,jioni ikifika tu atakupigia simu, mara nimeibiwa pochi 😂,,so sina nauli,yani umpe pesa 😂,,,mara nimetumia hadi nauli 😂 whoiiii 😂👋
@lovenessjoseph5718
10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mariammanyama6390
20 күн бұрын
Umeongea ukweli mtupu lakini mambo mengine inabidi tusamehe kwa sasa ili tuendelee kupambana zaidi watu wa hivi au marafiki ya hivi ni wengi sana
Пікірлер: 114