Uzuri Wa mwanamke sio sura tu,Tabia muhimu zaidi ,kama jamaa hataki dem wake awe Vedio vixen yeye analazima gani yeye afanye?
@AishaAisha-rh1fc
3 жыл бұрын
Wazuri ndugu yangu wengi nandio wanaongoza kwa umalaya na kudanga uyo mwanamke mumshauri atulie
@victormushi6641
3 жыл бұрын
WAKO HANA MTIHANI?
@FFL-X1D
3 жыл бұрын
Umeona eee🤔🤔
@jescajulius8023
2 жыл бұрын
@@salimdzuya5480 aaaah www nan kakwambia hayo maneno tu broo ata kwa khanga yapo
@fredyfundi6
3 жыл бұрын
cha msingi brooo punguzen matangazo na cha msing tambua mahusiano ni uwanja mpana saaan BEKA ....ko jaribu kujua kuwa huyo ndio mke wako wa dhat ikiona kiza kinakuwa kinene ndo kunakucha mpende mke wako......afu jaribu kuangali kuwa asiyekosa ni mungu
@tibubandar413
3 жыл бұрын
Ushauri wangu Beka huyu dem hakufai....hawezi kunukuu maneno ya konde eti "Bwana ako kanijibu upumbavu"
@asifiwekasege4662
3 жыл бұрын
anae muonaa bekaa anavoongaliaa kwa aibuu gonga like
@kisokakasuku2137
3 жыл бұрын
Ukiona mwanaume hajiamini kwa mke ,jua nayeye nimchafuzi
@lilianjohn2077
3 жыл бұрын
Happy Reuten you're so cute🥰🥰🥰🥰🥰.......love you moreeee ❤❤❤❤❤
@fidelisvenance6431
3 жыл бұрын
Beka oa acha kuzingua..kauli ya mwanaume inakua na nguvu ukiwa kwenye ndoa ..AMINI NAKUAMBIA🤗
@nyamkamawanjara29
3 жыл бұрын
kuoa sio tatizo kama hajaacha ujinga wake atamsumbua tu dada wa watu
@fatmann6341
3 жыл бұрын
Umenena hasaa beka oa yote hayo nihiyo dada amechokaa hasira zake hasa nindoa mbonaa atakusikiliza vizurii tuu
@piumagoha
2 жыл бұрын
Huyo cyo mwanamke wa kuoa. Ushauri wangu tu Beka atafute mwanamke mwingine wa kuoa. Huo ujinga aachane nao
@graceamadi2141
2 жыл бұрын
Go gal you are right that's your right stand firm
@qatarqqt8013
3 жыл бұрын
happy wewe ni 🔥🔥🔥😁😁
@umutoni-roussel5233
3 жыл бұрын
You fighting for your love And I believe harmo understand this
@netlity5532
3 жыл бұрын
Jamani yote Kwa yote vijana wenzangu tutafute hela...siongei Sana mwenye kuelewa kanielewa
@junioryasin5306
3 жыл бұрын
Kwakwel tuachane na mademu yanatupotezea muda tu hayana maana
@josephatjordan5560
3 жыл бұрын
Tutafute hela tuachane na mademu!!!Ukiwa nae akizngua chapa mbele hamna kujenga kibanda
@junioryasin5306
3 жыл бұрын
@@josephatjordan5560 off course
@karimujuma6595
3 жыл бұрын
Ukiwa na mwanamke mzuri ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule umia tu beka ulimtangaza Sana
@limbungosha295
3 жыл бұрын
Kawaida ya mama
@alexsamwel3033
3 жыл бұрын
Dah!!! Xa cjui Beka unatak mungu akupe nn tenaa ndg yng
@sayunwilliam8351
3 жыл бұрын
wewe beka pumbavu zako kuoa utaki alafu unampangiee maisha
@user-lq6mt5ji4l
4 ай бұрын
Sio lazima ndoa kama mpaka mmezaa heshima lazima na mipaka ifatwe
@Sppah697
3 жыл бұрын
Happy, she is so sweet!
@winfridahubert4072
3 жыл бұрын
BEKA ACHA MANENO YAKO MUOE MTOTO WA WATU ACHA KHMUWEKEA MASHARTI KAMA VILE UMEMUOA....BINTI ANAKUPENDA HALAFU NI MCHAPA KAZI LAKIN UNAMZIBIA NA KUMUHARIBIA MUOE KAMA HUTAKI HAPPY MOVE ON KUWA NA MTOTO SIO KIGEZO CHA KUMFUNGA MTOTO WA WATU😏
@thisiszai2045
3 жыл бұрын
Happy shikilia kwenye msimamo wako wa ndoa, Mungu akuongoze
@priscaherman5302
3 жыл бұрын
Ameen
@issahussein9224
3 жыл бұрын
Bro Beka pls muowe mtoto ...mstarabu uyooo kwakumskiya uyooo....mipango hali tena iyo nahunahishi naye bro Beka
@jojininga1780
3 жыл бұрын
Nimempendasana dada kahongea ukwelisana hanajitambua Sana uyodada
@ClaireHappy
3 жыл бұрын
Safi sana Happy🔥🔥🔥❤️
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Jaman,yaan ungekua naakil ungemuoa...
@mobbael9473
3 жыл бұрын
No reason 4 breakup, Settle your things to spare your relation.
@chainbre275
3 жыл бұрын
But the lady want to be officially married but seems beka isn't serious about marriage and this will make beka kumpoteza this humble lady
@eddymsese8747
3 жыл бұрын
We mnafiki beka bint kaxania msimàmo wako mpe muda was ndoa akizingua ukimpata was kukuoa olewa asikupotezee muda na usirud mpaka ndoa
@ahmedsalim4930
2 жыл бұрын
Best advice keep it up babie girl🍹👍🏽👍🏽
@hassanjr5318
2 жыл бұрын
ila haka kademu fresh sana 😀😍❤️
@gibsonntamamilo490
3 жыл бұрын
Beka yuko sawa. Huyu dada hajitambui. Ukishakuwa kwenye mahusiano na mtu huwezi kufanya hayo na mwanaume mwingine bila kumtaarifu. Hata mimi lazima ningeliamsha dude tu. Usipokuwa na wivu kwa mpenzi wako basi unazuga naye. UKWELI UBAKI KUWA UKWELI HUYU BEKA NI MWANAUME A.K.A BABA ASIYETAKA UJINGA.
@sarahsimon8060
3 жыл бұрын
Huyo mwanaume anataka kumpotezea muda halafu amwache
@nurahyusuph9771
3 жыл бұрын
Nakupenda happy Wang jamani 💯❤
@halimafazeli52
3 жыл бұрын
Dada umenikuna panapo washa ww njoo unywe soda kwaza😍 Kam ajakuwowa unafanya kazi
Yahani wewe Dada big up ni mekupenda bureeeee ni mwongo huyo
@fatumakassim64
3 жыл бұрын
Sawasawa mwanamke mwezangu taka ndoa
@superwomen6506
3 жыл бұрын
Ssafi happy akuowe shida ni nn tunataka ndoa 😊😊😊😊😊
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Yuko sawa happy amuoee kwanza ndio aweke sheria
@kisokakasuku2137
3 жыл бұрын
Shida ni pesa beka hana
@priscaherman5302
3 жыл бұрын
Kwakweli
@rubensaitoti6839
3 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kuka nakutafakari kua haya nimaisha na baada yahaya Kuna mengine
@nicksonhelman3436
3 жыл бұрын
Ila pisi Kali du vijana sijui tunataka nn baadaye tutaowa waganga sasa
@linahmwende8397
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@reginatsaxara4600
3 жыл бұрын
Kuja kwa wairack mtoto w home hiyo
@masalupeter9388
3 жыл бұрын
Kmmk nimecheka kifala yani
@fredyfundi6
3 жыл бұрын
hao wanapendana but POINT NI KUSIKILIZANA TUU
@RobbyDejan1234
3 жыл бұрын
Mwamba uoe acha sheria wakati huko nje ya sheria mpuuzi ww.
@albertdoherty9394
3 жыл бұрын
Kabisa anajitetea upuuzi
@amirijr
3 жыл бұрын
Yaani mahusiano ya wasanii bwana, bora hawa wa kwetu kina Mwajuma ndala ndefu na Aisha mashuzi hawana mambo mengi.
@salamafulu2185
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣nimecheka Kama Sina akili kiukwel
@agaowajouniar6614
3 жыл бұрын
🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
@rosejulius7597
3 жыл бұрын
Beka Shemeji yangu mrizishe mdogo wangu nawapenda hote
@adamsaga6700
3 жыл бұрын
Kanyagia Dada umenipunga mno amekuzini miaka minane akuowe big up happy
@zainabwage4658
3 жыл бұрын
Good point
@mrkje4727
2 жыл бұрын
Beka simamia msimamo wako ww mtoto wa kiume hongera sana
@zainabumashine3542
3 жыл бұрын
Nyie kina kaka mnatutesa Sana mwanamke kumuacha Mwanaume anaempenda kazi sana Mtuurumietu
@shadowmedia7644
3 жыл бұрын
Zai mashallah wewe jaman 😍😍😍😍😍😍😍🙏
@peninnahjohnson8695
2 жыл бұрын
Wow wander full
@rashidywadobwa2792
2 жыл бұрын
Akuna kufanya vidio safi becka
@hamedabashir9
3 жыл бұрын
Mm mwenyewe naona beka hayuko tayar happy mwambie ndoa kwanza kuzini ni dhambi na yeye anajua
@sarahlimbu706
3 жыл бұрын
i feel you happy na uko mjeuri km mimi😂😂🤣😍
@prospermaturo2378
2 жыл бұрын
We msikilize mumeo acha kiburi cha fedha. Beka upo sahihi broo sharaut
@ramadhanikibenga6317
3 жыл бұрын
SAFI SANA BINTI AKUOE KWANZA NIMEKUKUBALI SANA BINTI SHIKILIA HAPO HAPO SAFIIIIIIIIII
@adbashtv6701
3 жыл бұрын
Huyu demu boya sana unawezaje kufanya vitu eti acha nifanye nitamwambia nyumbani. Hata kama ni wewe lazimauzingue
@taustaus2737
3 жыл бұрын
Huyu dada anapitia wakati mgum kwenye mapenz maana happy anamapenz ya dhati na akipata mtu sahihi atadum ktk ndoa beka bado anamambo ya ujana mbona kuna vijana wadogo wako ktk ndoa na wametulia
@sniperbogo6210
3 жыл бұрын
Tatzo lenu ndio hilo inawezekana nyie ndo wtu mnaomshaur huyu dada afanye anachokitaka kisa hajafunga harusi
@shadowmedia7644
3 жыл бұрын
Like me
@taustaus2737
3 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 kabisa yani kama ningekua nikonae karibu ningemshauri ili baadae asije kujuta kupenda pasipo pendeka
@sniperbogo6210
3 жыл бұрын
@@taustaus2737 utakoma na roh mbaya yako haachiki mtu na akitusumbua tunakoroga uji tumuharbu ile sura kwasababu ndiyo inayompa kibri afu tunamuacha aendelee na video vixsen
@taustaus2737
3 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 utakoma mwenyewe nakihereherechako kama kuku anataka kutaga mayai
@hellenpaul2149
2 жыл бұрын
Happy nakupenda Bure dear jaribu kua na msimamo wako love mwanaume asikuzoe sanaaa
Kabisa yaan beka sio muoj uyu anamuumiza tu happy wa watu.
@mussamayele3134
3 жыл бұрын
beka mpe kazi ya maana mkeo izo kz ambazo uzitaki . daa pumbavuuuu beka kumbe hujamuowa kumanyoko we beeka
@mussamayele3134
3 жыл бұрын
beka msenge uyo demu mzr angalia utapokonywa watu wanaona na mate yanawadoka ujue
@piumagoha
2 жыл бұрын
Hayo yote mnayomshauri mwanamke mwenzenu mjue mila nazo zipo. Mwanamke anayejielewa awezi fanya huu ujinga anaoufanya. Kwani kumwomba tu ruhusa nayo ni shida? Kama hawezi aende tu. Nipo upende wa Beka 100%
@halphanhamisi1795
2 жыл бұрын
Sahihi br beka sikupng
@Emedroadtocanada
3 жыл бұрын
mdada mzuri maashaallah
@yusramadodo8269
Жыл бұрын
Wanawake tunatolewa mbali sana halafu tunajisahau mheshim sana beka kakutoa mbali na beka nimuelewa San pia toka kwenye mahusiano tunawafuatilia San pia dada tunakupenda San na pia jichunge San dada dada beka anakupenda sana utakuja kujutia
@fidelisvenance6431
3 жыл бұрын
Iyo zawadi ya valentine mpe mpenzi wako 🤗
@surujajwie4768
3 жыл бұрын
Nikwli lakin dada yang ulivo fanya kwnn wazoni hakum abiwa usirudie tena dada yang lida ndowa yako achana Allah awalide beka naoba umuowe ❤🇴🇲😅
@saniaidrisa3920
3 жыл бұрын
Hakuna ndoa hapa wote wazinifu tu
@muzneali387
3 жыл бұрын
Kweli kabisa dada SHIKA msimamo wako
@saneathanas8547
3 жыл бұрын
Happy nikikuangalia wewe ni mrembo,unaheshima na nimwanamke ambae ni ndoto ya kila mwanamme.why huyo kijana akusumbue hivyooo?hebu tulia Mungu akupe mwanamme sahihi kwako
@nivicaspect3597
3 жыл бұрын
POINT!!!
@richardjuma6405
2 жыл бұрын
U Kuma nn ebu acha kushauli utumbo kwenye hamna afu nakuomba uelewe ujinga n hasara nyooooooooooo
@vitalresspeter7295
2 жыл бұрын
vizuli sana zingatia uwo msimamo benka binafsi tunawajua jisi walivyo binafsi nakupa hongera tu
@erickgulayi2089
3 жыл бұрын
Bekha anazingua! mwanamke yuko tayar kwa kila kitu.
@yasiniibrahim3335
3 жыл бұрын
apo mwanamke yupo sawa uwezi kumpangia mtu sheria kabda hujamuoa , we bint ukipata mume olewa
@fainajaffary4070
3 жыл бұрын
Kunywa soda nakuja kulipa aisee
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Kabisa afu msichana mzur sijui anakwama wap,..Kama hamtak aachie ngaz watu wambebe chap
@fainajaffary4070
3 жыл бұрын
@@janethkilonzi4260 wasanii kuoa kaz sana kwa nadra sana mana vichupi wanavyo vingi😏😏😏
@patrickjacksoni5393
2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana beka
@calvinkasaje1938
3 жыл бұрын
Kama mwenzio unamwamini masharti ya nn! Hayo masharti yatafanya uchelewe zaid kuoa, coz yanapunguza mapato. Unajibebesha zege
@efrahfarahahmed8960
3 жыл бұрын
MUNGU awafanyie wepesi waowane Beka kapata mke mrembo sana na wanapendana
@stephaniem408
3 жыл бұрын
Beka my brother.mbona unakataa Happy kuonekana kwa vidio na wakati anavaa nguo nzuri.ila wewe unacheza wimbo na wanawake wakivaa nguo za aibu naukiwashikashika.I love you Happy,uko dada mzuri sana.
@hellenpaul2149
2 жыл бұрын
Beka yupo sahihi na anachokiongea na amesema hataki mwanamke wake awe vixen basi haina haja ya malumbano mengi
@abdulkihanza4431
3 жыл бұрын
Bw Beka huyo bint anakupenda Sana Sana, hivo usifanye utani utamkosa, fanya uwezavyo umuoe mtoto mashallah
@khadijaali4620
2 жыл бұрын
Hey beutefull don't west ur time u still Yung sioni love hapo kwa huyo jamaa
@sabinaonline6575
3 жыл бұрын
Huwezi ukamlimiti mkeo kwa mtindo huu huo ni ushamba, na wakati mwinzio yupo kazini we mbona humpi hata elfu kumi za matumizi,
@saidimpako5186
3 жыл бұрын
Usijifanye unayajua sana ya wenzako
@user-xw9wo7nh6c
3 ай бұрын
Brother wanawake wote wazur uwa sio wa kuoa ni wakuchapa unaondoka alafu maarufu oa mwanamke wa kawaida atakae kueshimu kusikiliza agalia wote waliodumu kwenye ndoa wake zao wakoje
@nasrahsamwely6871
3 жыл бұрын
Anachekesha uyu bint 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️💖💖💖💖
@charlesbaba8820
3 жыл бұрын
Kama humuoiii muachee nimuoe
@nasrahsamwely6871
3 жыл бұрын
@@charlesbaba8820 alafu ni mrembo Mashaallah ❤️❤️❤️
@@priscaherman5302 kwahiyo unataka waowane siku mbili wameachana olewa ukiwa na uhalika kuna upendo wa kweli na usidhulumu moyo wako maan doa siyo kitu ya kujaribi mtu hana upendo na wew una mlazimisha akuowe haya amekuowa siku mkigomba anakwambia kwanza ulinilazimisha mimi sikuwa na mpago utafanyaje? Kingine mwana ume mwenye upendo na wew umezaa naye ameona mmegombana hata kama chumba ni yake anatakiwa akupishe wew chumba usisumbuke wew na mtoto yeye akatafute kwingine na siyo wew ukahagaike kutafuta chumba ni kweli kuzni siyo kitu kizuri lakini kama huna uhakika na unapo peleka moyo wako usifanye kwahara ni mawazo yangu
@issaissah8832
3 жыл бұрын
Mapenzi ya mitandao kwahyo Ayo ndio mzazi wenu au alafu we beka Wacha wivu hataivyo uyo si mkeo
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Kabisa kabisa,sababu beka hatak kumuoa ndio sababu ya hayo...muoe uwe na haki
@mussamwamoto8231
3 жыл бұрын
demu anajuwa haki yake lkn wamefanya makosa kuweka mambo hadharani.lkn ni biashara zaidi
@victormushi6641
3 жыл бұрын
BEKA HUYO MWANAMKE ANATAKA NDOA, NA UKIONA HIVO KUNA MTU ANATAKA KUMPA USIPOANGALIA UTANYANG'WA AISEEE.. HUYO MWANAMKE UJAMUELEWA ANACHOTAKA,,, ANATAKA NDOA HUYO.
Jamani kwanza tambueni kwamba kufunga ndoa ni kujiweka kifungoni,Beka ni msanii mkubwa kwahio anaogopa akifunga ndoa atakua amejimaliza maana mwanamke anaweza akaamua leo muachane na mkaachana huku mkigawana nusu kwa nusu kila kitu.
@shadowmedia7644
3 жыл бұрын
Kwenye ndoa kuna mengiii Sana Basi naomba Usisahau kusubscribe like share comment katika channel hii 🙏🙏🙏🙏🙏💪🔥👆
@junuferjinu1444
3 жыл бұрын
Mwanamke mzur adi rahaaa wwecheusi mangara mwezangu owa my PONIPONI
Alafu huyu kijana ni mnafki sana, tena nasema tena, miaka takribani 3 iliopita alihojiwa kuhusu ndoa akasema ndoa imesha pita, hau ilikua imepita na upepo?
@fainajaffary4070
3 жыл бұрын
😆😆😆😆
@naamohamed1042
3 жыл бұрын
😁😁😁
@keffasschone9853
2 жыл бұрын
Beka nyimbo napendaa but umeongea utumbo sanaaa,
@swamweliteobady4496
3 жыл бұрын
Huyu Dada ameongea vzr sana kama umemfatilia
@carrenbenson2111
2 жыл бұрын
Beka mtoto mzuri huyo unasubir Nini kufunga ndoa, Kama mapungufu kila binadamu anayo nikuelekezana tu pale mmoja anapokosea
@blessingsfredi4666
3 жыл бұрын
Nilichogundua hawa watu wanapendana Ile mbaya
@gloryprotas1043
2 жыл бұрын
Nimeipenda hyooo jaman duuh dada kaongea point
@madiwarongomba6
3 жыл бұрын
R Beka acha hiyo demu kiburi mademu wapo wengi mzee
@kisokakasuku2137
3 жыл бұрын
Ukiona mwanaume hajiamini kwa mke jua nayeye nimchafuzi
@abelmchenga50
3 жыл бұрын
Toa mahali beka mbona mwanamke mzuri tu achana na mawazo ya kuwaza mwanamke mwingine hayo yote hayana faida yoyote nakusihi kaka shemeji yetu anakupenda nenda katoe mahali. Uschelewe wahi nazani mahali yenyewe sio yakusema kwamba huna s kweli fanya ivo ndugu
@jescajulius8023
2 жыл бұрын
We mwache tu ajiringishe saiv atajuta
@everlynwafula6891
2 жыл бұрын
I support you sis , 💯
@ashamahadi5281
6 ай бұрын
Maskini Beka huyo ndio mkeo.
@queenmwasanguti2370
3 жыл бұрын
Uko sahihi becca
@merrygeorge6021
2 жыл бұрын
Beka yukosahihi jamani minimwanamke hata Kama hajatolewa mahali yampasa amuage mwanaume wake ampe ruhusa then mengne yatafuata Kwan wanaume wote wanaoish nawanawake wamewatolea Mahal jaman msimseme Sana yeye anataka kulinda heshimayake
Пікірлер: 647