Jamani tusilalamikie matangazo hiyo ili live kutoka kwenye radio na msing Wa radio ni matangazo vipindi ni ubunifu Wa kuwafanya watu waweze kusikiliza kisha watu wanaweka matangazo ili biashara zao au matukio na mambo mengne yawafikie watu wengi zaid napenda radio yenye matangazo meng kwann inaonyesha jins gani ni wabunifu proud of clauds naipenda sana
@naslamgollo1467
3 жыл бұрын
ZzzszaSssszzz NM NM csz z hmm cuz NM mcxcb NM NM CVS xxzxxvvvv CNN cxzbzzZNM NM NV NM m NM NM hmm NM NM; NM NM NM hmm c NM CVS x
@ayoayoo1222
3 жыл бұрын
Uyu dada anajielewa sana alafu inaonekana kama uyu beka angekua na uwezo wa kumdhibiti uyu dada angekua anamnyanyasa sana..
@anicyaedward5605
3 жыл бұрын
This girl she is very smart am sure akiachana na huyu kijana kesho yake anampata mtu smart kama yeye, and this man kashajua anapendwa sana so his not even care.. yan mke mzuri hv anakupenda hv af ww you don’t appreciate that love she gave you .. daaa mme cwez vumilia I swear .. aiseee kaka Beaker you should change Pliz otherwise you will not get the woman like this one.. the smart one in and out ..
@mozaummy327
3 жыл бұрын
Mtoto mzuri MashaAllah uyo mwanaume mtihani wasanii hawa
@latifaragiph6443
3 жыл бұрын
Siyp wasanii2 shogaangu hata wanaume wakawaida nihivohivo
@zaiiomary8970
3 жыл бұрын
Kakaangu bora umuowe tu maan ulimpa Ahadi
@mrmwilwaja
Жыл бұрын
Ndoa ni nzuri ikiwa na maelewano Waelewane tu
@tuombesunzuesperance5196
3 жыл бұрын
She’s beautiful also she’s smart anatumia hekima kwa kuongea Hongera sana mie nimekupenda.
@alvinmbugua9830
3 жыл бұрын
I love her passion
@vunokaglori1195
3 жыл бұрын
Wasameheyane wote, maisha ya ndoa nikusameheyana tu moya na mwengine sote tuko wazaifu kima mmoja na ueaifu wake. Hakuna mwema
@aishafadhili3482
3 жыл бұрын
Nimegundua kua happy anaumia sana na beka ayupo kwenye msimamo na uyu bint (happy ukiona hataki kukuowa achana nae)
@albertdoherty9394
3 жыл бұрын
Asante tupo pamoja wallah ningekua mm mwenye uelewa wangu Mzuri ningemuacha aende2 hana mapenzi nae kabisa ila huyu dada ndo anampenda jamaa jmn wanaume mtuhurumie ss tukipenda tunaamini kupenda sana
@victoriabayo7704
2 жыл бұрын
Happy sio mchaga jamani
@josephkelvin7499
3 жыл бұрын
Mwanaume hatupo tayar na utoto umemshika inshaallah happy mungu atakupa hitaji la moyo wako
@francissasawata5473
3 жыл бұрын
Good
@dianastephen8580
3 жыл бұрын
Sauti ya waongeaji inakua chini mno then music mnaweka sauti ya juu hatuenjoy kwa kweli
@rahmssalum3163
3 жыл бұрын
Huyu dada yupo sawa kabisa
@evetajohn9178
3 жыл бұрын
Matangazo kibao mnatumalizia mb zetu. 😏
@belak999
3 жыл бұрын
Si usogeze mbele
@user-eg1dr6so4c
3 жыл бұрын
Sogeza mbele maana matangazo ndio kipata chawo
@agaowajouniar6614
3 жыл бұрын
Meme mwenzio nikiona hivyo aku nasogeza mbele Mambo mengin yanaendelea
@kelly_visiontz
3 жыл бұрын
Mungu ndie miweza ivo wajaribu kumuomba mungu nayote yataisha kwan palipo pema apakos changamoto ama vikwazo ila mimi nawaombea muoane na mdum mambo yakugombana ni mambo yazaman au ya kitoto
@efraimrichard6440
3 жыл бұрын
Mbona mitangazo mingi asee duuh MB zinaisha bhana
@rehemasteven5962
Жыл бұрын
Beka nafulahi kuwaona na mzazi mwenzio rudianeni jamani mbna hivo lakini mrembo mzur Kama huyo unamuacha kweli
@stevenmsaaada.msaada.389
3 жыл бұрын
Yaani beka kampelekea mboga tu mwijaku. Kama mmeona anavochungua kifua cha happy mwijaku. Yuko kwenye usuruhishi lakin anajisogeza kwa happy utafikil yeye ndio mme.
@ashuhunamohamed7997
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@fatmaarmy2286
2 жыл бұрын
naomba mngu mpatane inshallah 🙏 ❤
@hillumuna4991
3 жыл бұрын
Duh mdogo wangu happy anapenda ndoa
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Ndio heshima ya mwanamke my dear!!
@shedyplatinumz4853
3 жыл бұрын
Kajamaa akataki kuoa😁😁😁 kana vudemu kibao
@barakazacharia5206
3 жыл бұрын
@travelstylish nurse heeee🙄 kumbe jmn
@missmoona4497
3 жыл бұрын
@travelstylish nurse 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chikamajenisia2244
3 жыл бұрын
🤣
@alvinmbugua9830
3 жыл бұрын
Napenda huyu dada..beka should man up.
@fareskiyogera3370
3 жыл бұрын
Mwijaku mshaurin Beka amalizane na huyo mzaz mwenzake maana bado anapendwa panoja Ba mapungufu aliyokuwa nayo
@josephjohnmagesa8256
3 жыл бұрын
Dah beka uyu mtoto ulimtolea wap aisee mbna mzuri ivo
@mwajumahamis7982
3 жыл бұрын
Kitu cha chuga hicho
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Lakin hatak kumuoa sasa sijui anakwama wap mpuuz beka uyo
@annaphilemon852
3 жыл бұрын
Sasa huyu kijana anataka nn km mke huyo ni mrembo kamzalia yupo simple anajua maisha mvumilivu duh hivi viwanaume venye umri sawa na sisi changamoto
@nahyialetomia9284
3 жыл бұрын
Beka ana kiburi na dharau
@halimamvungi1
3 жыл бұрын
Beka anajikuta sana ,mimi ningeshauri huyu bint wala asirudi kwa beka kujipa mizigo ya mwili na roho amuache kwanza....asiamua mapema atampotezea sana mda
@AcroBantu
3 жыл бұрын
Hilo ndilo tatizo la vijana hawaelewi wanataka nini
@momeprotas28
3 жыл бұрын
Wanaume hawaelewagi yan
@roziicharless4705
3 жыл бұрын
Huy dada anaonekana anampenda beka ila beka anazingua
@fatmabhinda3916
3 жыл бұрын
Happy nimekuelewa ndoa kwanza akikuoa utamuheshim sana
@mwanajumasaid1983
3 жыл бұрын
Jmn matangazo Yann bac yanakeraaa
@saumusalimuhassan2499
3 жыл бұрын
Mashallah, Happee uko vizuri 😘😍
@janethkilonzi4260
3 жыл бұрын
Anaakil mno
@saumusalimuhassan2499
3 жыл бұрын
@@janethkilonzi4260 sana 😘
@madamboss348
3 жыл бұрын
Mtu hajanioa hawezi nikazia maisha ovyoooo
@husseinzayinabu3190
3 жыл бұрын
Beka amuwowe uyo daa happy
@kitwaribetisheba1295
3 жыл бұрын
Matangazo mpka mnakeraaaa
@jumaj1080
3 жыл бұрын
CLOUDS DIGITATL MUKO JUU
@sabraally7674
3 жыл бұрын
Raha San mahusiano meng yapo matatani me mwenyew mmoja wapo me naona labda ndo itasaidia maana hii habar ya kukaa tutaoana badae tunateseka wanawake namsapoti happy katika hilo
@shikuassi4876
3 жыл бұрын
Mastaa kuoa sijui huwa wanaonaje.
@nyamatabanijohannes1850
3 жыл бұрын
daaah for sure beka anampend happy kinoma
@fatmaarmy2286
2 жыл бұрын
kabisa
@estherminnahboaz6956
3 жыл бұрын
In short Happy umekua disparate sana...Kwani ndoa we unaichukuliaje? Kwani akikuoa unadhani tabia zake zitabadilika? Kifupi Beka hakupendi Kukaa na mwanaume Miaka mingi haimaanishi anakupenda..huyo shida yake umtotolee watoto akuache..hayupo tayari Kuwa na wewe...chapa lapa ndoa yenyewe ya kiislamu anakuoa jtatu ijumaa unaachwa mama..mwanaume anadiriki kukufukuza Kwake na wewe utake kurudi? Kisa una njaa sana? Huwezi kupata mwanaume mwengine au kupenda sana???
@veronicadaniel1122
3 жыл бұрын
Na alivo Mzuri sasa alafu mwanaume sijui alingia nn
@ashuhunamohamed7997
3 жыл бұрын
Huyu mdada km tanasha,
@veronicadaniel1122
3 жыл бұрын
Yaani Mzuri kiama usipokua makini unaweza sema tanasha asubiri kidogo kumbe hakuna
@kadigatanzaniya4792
3 жыл бұрын
Wanafanana sana na tanasha mashallah
@Gift-cx1uo
3 жыл бұрын
Beka umepata mke uyo nimpole lakn unamuonea jmn mbn we ulizaa nje msamehe tu uko au ushamchoka unatafuta visababu visivy na maana
@esteramon9333
3 жыл бұрын
Hao ndo design ya wanaume wa Sasa yaani no sheeeeeeda
@silvanamgulla613
3 жыл бұрын
Matangazo ni malefu yanaboa sanaa yani chaa
@hamoudcreator6343
3 жыл бұрын
Happie kama huyu Jamaa ni Mlevi Hapana usikubali kuolewa nae please.. Hamna kitu.. Badilisheni Tabia zenu
@norafrowin1748
3 жыл бұрын
Sipendagi kuangalia vipindi vyenu kwa sababu atusikilizi tunachokitaka Bali mitangazo kibaooo. Nimeangalia tena hii nikajua mmebadilika kumbe vilevile mnaboa sana
@mtasma1994
3 жыл бұрын
Matangazo ndio yanayoendesha kipindi na kupata hela
@fadhilikigwama3896
3 жыл бұрын
Unakua 🌟 halafu bado unateseka kimapenzi huo si ubwege
Sisi kama wanaume tunamshauri ndugu yetu aachane na hiyo manzi itamtesa sana
@mtumishi6175
3 жыл бұрын
Kwa msimamo wa binti huyu hakosi Mme atulie tu
@peacekatembo6944
3 жыл бұрын
Mwijaku hlo jichoo kwa happy!....haahaaa unamtafakariii apoo ushajipa jibuu
@mwanajumasaid1983
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fadhiliabduly9702
3 жыл бұрын
Beka blaza achana na huyo dem atakusumbuaa tuu mwanangu.
@FM-xi3on
3 жыл бұрын
Kweli kabisa huyo dada anaonenaka anataka umarufu tu
@fadhiliabduly9702
3 жыл бұрын
@babie thanny tunataka akuowee wewe 😂😂😋😂😂😂😂😂😂
@shedyplatinumz4853
3 жыл бұрын
Mastaa mnakuaga na miyeyusho
@hamoudcreator6343
3 жыл бұрын
Daaah yani Beka ni Mlevi Daaahhh😭😭
@stevenmsaaada.msaada.389
3 жыл бұрын
Nimeamini mmakonde ana dharau aise. Mke wamwenzio kumwambia awe video qeen kweli! Dharau sana harmonize.
@hassanparamana2215
3 жыл бұрын
daaah...demu umezingua happy umemkosea beka kiukweli dizaini unataka au umejiweka kwa Ibra wa harmonize mlevi siku zote anaongea point lkn anaonekana anaongea pombe swali alilo uliza beka ni sahihi sana huyo mtangazi mwenye t-shirt white ameongea kibaharia zaidi ila dada hapo na DC mmemtetea sana happy...interview ya kwanza kuisikiliza ilikuwa ni ya happy peke yake nikaku support lkn nimesikiliza interview ya pamoja ndio nime prove kuwa beka yupo sahihi ila beka unapigwa kwa kigezo cha pombe demu amekuchoka sasa anatoka nje kwahyo unapigiwa na demu kama unataka kulea pamoja mtoto acha kumzingua mshikaji coz utaenda kumegeka nje na furaha ya mahusiano usipate coz umeruka maji umeenda kukanyaga tope beka msanii na Ibra msanii wacha tuwe na subra lkn tutaona mengi ( Ibra acha kuuwa mahusiano ya mwenzako now hupo juu kimziki sasa isiwe fimbo wa mwengine unamtumia harmonize asolve ishu hii wakati unajuwa kuwa umefanya kosa) beka demu sio huyo atakuumiza zaidi na zaidi muache haende lkn huko pia haendapo kapotea kesha mkatiri mtoto wake mwenyewe kwa maamuzi yalio kuwa sio sahihi (why uwe video queens) kwani mwengine hakuna na kwann ulibaki Zanzibar kwa kigezo kuwa mnamalizia shooting eti wenzako walirudi huu siiii...usinichi...pole beka jipange tena mziki utaiti tu inshallah kisha tutaona hatarudi au hatabaki kwa ibra.
@nancyokwero723
3 жыл бұрын
Jaribuni kubunguza matangazo jameni
@tayk4745
3 жыл бұрын
Mwijaku mbna shingo imenenepa mpk kinataka kutokea kichwa cha pilii
dada happy na beka mjitahid kuweka mambo yenu private
@minablessing8650
3 жыл бұрын
Kwel inabd afanye private
@Jassmin-media-official
3 жыл бұрын
Miaka 8 jamani bila ondoa big no pia nimesikia akisema eti kitu kidogo beka anamwambiwa funga mizigo yako kila mda na akitoka mda kidogo anamwambia rudi rudi anabeba mizigo urudi,time hii beka beba mizigo huende kwa mkeo
@khdigahk4246
3 жыл бұрын
Hahaha 😅😅😅😅😅😅😅itadondoka mizigo kichwan
@chikamajenisia2244
3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 jamani beka beba mizigo yako uende kwa mkeo
@rahmssalum3163
3 жыл бұрын
Jamani matangazo mengi
@kapelaalphonce3375
3 жыл бұрын
Mnazingua matangazo kibaoooo
@avianboy592
2 жыл бұрын
Good job bro
@khadijasalum2302
3 жыл бұрын
Why wanawake wanapenda kujiachia maziwa kutunisha
@MohammedAli-vq2dk
3 жыл бұрын
Ili kila mtu aone maziwa yake
@hosianajoram9182
3 жыл бұрын
Mhhh matangazo yamezid adi kerooooo
@bugaboympemba730
3 жыл бұрын
Kwa hyo unashindwa kumpa taarifa mumeo kwa sababu unajua hatokubali kwa maana hyo unafanya uovu ambao mwenzio hapend huku unajua ni uovu madem bhana...Huyo demu ni buree
@faizaabdallah7217
3 жыл бұрын
Mumeo hawara taharifa Ina khusu ndio muoe sio kukaa na watoto wa watu alafu mnataka kupelekesha watoto wa watu ovyo
@suleuhai2754
3 жыл бұрын
Wakwanza ku comments
@karimujuma6595
3 жыл бұрын
Beka ulimnadi Sana mkeo ulikua unasema ktk wasanii wte tz ww ndio mwenye mwanamke mzuri kushinda ote Aya shindana nao Sasa ulikua unawatangazia
@pelesmwaipopo4382
3 жыл бұрын
nimechekaaaa
@karimujuma6595
3 жыл бұрын
@@pelesmwaipopo4382 ndio ivyo
@rosesolomon826
3 жыл бұрын
Mwijaku hapo kafika kupenda umbea
@fredrickmatiku7783
3 жыл бұрын
Beka anakapenda kadem ila wivu na hajui kucare mtoto nzuri hamfungi ndoa anachezewa tu muda ote embu Fanya maamuzi sahihi beka change
@ndaromachumu2558
3 жыл бұрын
Sasa watawezanaaaa Kama hayo yanatokeaa
@aronndossy9898
3 жыл бұрын
Madem wa arusha uwez ishi nawo kaka ulikosea sana
@iraqgirl2143
3 жыл бұрын
Utaona watakavyoishi milele
@emmanuelkapaya7779
3 жыл бұрын
Naungana na ww bro wachagga wote tu kiujumla wanawezana wenyew kwa wenyew
@iraqgirl2143
3 жыл бұрын
@@emmanuelkapaya7779 huyu Dada sio mchaga ni mwiraq
@halimamvungi1
3 жыл бұрын
Wanawake wa arusha wamenyooka na ubaya wa wanaume wanapenda wanawake wajinga
@karimujuma6595
3 жыл бұрын
Tena jamaa umeongea kweli Wana balaa yaan nawajua
@janetinzema123
3 жыл бұрын
,mm ninacho ona mmoja angekuwa masikini ndowa ingedum tatizo wote mnahela ndomana hamueshimiani bk
@nahyialetomia9284
3 жыл бұрын
Beka looks arrogant na kiburi
@robbynyamriba251
3 жыл бұрын
Tatizo pombe
@rithanalukuli3367
3 жыл бұрын
what is the different between arrogant na kiburi
@nahyialetomia9284
3 жыл бұрын
@@rithanalukuli3367, teach me pse
@aishafadhili3482
3 жыл бұрын
Anakiburi sana uyu bint aliiingia choo cha kiume
@bonifacemapunda3043
3 жыл бұрын
Kwahy,,,.mwijaku ndio Wazazi wenu au hamfedheheshi wazazi wenu jamn daah au hamna wzazi😅😅😅😅😅
@kaizamsigala2878
3 жыл бұрын
sasa ni kipindi tunaangalia au tunasikiliza matangazo maan hawa clouds wamezid
@oyay2821
2 жыл бұрын
Huyu dada amekataa ndoa ya kiislamu ndio maana Beka hayuko tayari kumoa
@veerdhaheer7288
3 жыл бұрын
Anashindwa kumuoa kwasabab dini tofauti
@talantamedia5796
3 жыл бұрын
mdada ashabadili dini muda akamfata mbona
@dinatinaeliah4297
3 жыл бұрын
Yaan mdada mzurii huyu
@Lumegilemukata
3 жыл бұрын
Hapo ndipo mnapofeli
@tundatunda1697
3 жыл бұрын
Wasanii ni shida sana hawaoi afu wanakuwaga na michepuko kibao
@jomiAfrica
3 жыл бұрын
Beka kapata changamoto demu anakimbia
@estherjoachim9845
3 жыл бұрын
Mm nimeona mitangazo tu
@bonifacemapunda3043
3 жыл бұрын
Beka,,,umefeli saana brooo daH,,,,hivi broo uliita waandishi wakati unamtongoza huyo dada daaah,,,,mapenzi ya wasanii daaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@charleamabwayi3305
3 жыл бұрын
Mwanamke anazingwa
@joelkun9220
3 жыл бұрын
Matangazo kibao dakika 20 nzima
@jessydaktari5209
3 жыл бұрын
Bake you should man up....tumia hekima kidogo
@r14kgroup68
3 жыл бұрын
Safiiiiiiiiiii 😀😀😀😀😀
@halimamvungi1
3 жыл бұрын
Mbona msichana anajieleza vizuri tena anaongea kwa hisia anaihitaji Familia yake ila li beka linaonekana lina ushamba ,yaani msichan mzuri mtafutaji anajiheshimu na anamuhitaji mwanaume wake jitu levi linatunziwa mtoto alafu linavimba 😥
@patriciacosmas5944
3 жыл бұрын
Kwa kweli maswala ya kunimiliki hutaki nifanye hata kazi wakati hata cosam hakujui uhhh hapo kwa kweli hatuta erewana.
@evalinennko453
3 жыл бұрын
dada nimekupenda bure shikilia hapo hapo
@humoudomary7077
3 жыл бұрын
haya maisha mmmmmhhhh acha nikae nao mbali
@robbynyamriba251
3 жыл бұрын
Punguzen matangazo yanaboa jmn khaaa!
@mtasma1994
3 жыл бұрын
Matangazo ndio maana ya biashara na hela inaingia kupitia hivyo
@robbynyamriba251
3 жыл бұрын
@@mtasma1994 hata km yan robo tatu ya kipindi ni matangazo tu
@jidendeyifeya1295
3 жыл бұрын
Kweli beka huyo mwanamke anakupenda jitahidi umuoe tu anajielewa Sana huyo mwanamke
@kakawane8822
3 жыл бұрын
Huyu demu ni mjinga sana beka wewe ni star bro mteme huyo demu ni zarausana
@saudaahmed6818
3 жыл бұрын
Akha matangazo kibao
@canalemilyemily671
3 жыл бұрын
Matangazo khaaa
@lightnesssabaya7028
3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Yani wanaongeya wenyewe say sjui ndo live gN
@dishonndolla8796
3 жыл бұрын
Kwani kafanya video kwenye nyimbo gani ya harmonize
@tinyaanosiatha1118
3 жыл бұрын
Ni Nyimbo ya ibraah hamonaiz naye alishikishwa kwenye hiyo ngoma
@dishonndolla8796
3 жыл бұрын
Shukrani sana asee
@12322879
3 жыл бұрын
Demu mjeuri anahitaji kichapo huyu.
@anthonymwandu5768
3 жыл бұрын
Wachaga siku zote wanajeuri yani huwezi mzuia kitu hasa kazi
Пікірлер: 250