Jiepusheni Sana Utani wa makabila Kwenye Siasa za mateso... Dont give a chance to any counter productive communication.
@elibarikimollel7149
9 күн бұрын
Tuwe nao na wote tuwe na uthubutu wa kuwakemea sio kusemewa tu wakati saa hizi wanatungiwa mbinu za kuwaengua na kuwateka,sisi tunarudi majumbani kimya kwa dhambi ya uoga! Wekeni lengo mkomae kulinda kura!
@bukurunestory3540
9 күн бұрын
Let us Go
@adelinelyaruu3036
10 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@odoieriasmonga6591
9 күн бұрын
Mama Aduli kauza kila kitu
@MichaelMwasese
8 күн бұрын
Mama Samia nipo chini yamguu yko kuongoza kuingozwa. Natu ambaao hawakuchaguliwa nn manakke Tanganyika watu wanamaind sio vzri Sasa Sasa aahh Putin aanataka bandari hifadhi zetu tumpe putini AA menzza na ginee tz watu wanaumwa putini ata waponya now twende muda utaongea
@donatusrupoli4845
9 күн бұрын
hakika hotuba imetulia kisawasawa.
@abdillahamour234
9 күн бұрын
Hujui kitu
@evelina9621
9 күн бұрын
Watania.wanaunga Mkono.kukoma.wakubali
@alvezog_3836
10 күн бұрын
Tanzania Sisi Ni Wahoga Sana Yani Tulitakiwa Kufanya Kama Kenya Mamaee😂😂
@elibarikimollel7149
9 күн бұрын
Wananchi wa Mwanga hayo yote ni kweli tupu,Jiulizeni kwanini huduma za Elimu,na Afya wao hatuwaoni huko tatizo au tofauti yao na sisi ninini?! Chunguzeni wenyewe kama mtaona watoto wao kwenye foleni hospitalini ama katika mashule na vyuo vyetu ndipo mtaamini au kukataa maneno ya mh.Lema...
@baizoboy1719
9 күн бұрын
Nilikuwepo sema sionekani maana walichukuliwa walokuwa mbele tu😠
@elibarikimollel7149
9 күн бұрын
Za kuzijaza mafuta ya bure zikienda popote nchini zimetengwa ngapi,hatujui lakini walipaji ni sisi kwenye tozo!. Yani hawa! Haidhuru Mungu anawaona...
@charlesshitobelo6870
9 күн бұрын
Mungu amekupa akili ya kutambua mema na mabaya, acha kujificha kwenye kivuli cha Mungu yeye amekwisha fanya kazi yake. Ni wajibu wako kuyakataa kwa vitendo hayo mabaya yanayotendwa na viongozi.
Пікірлер: 15