Fadlu namjua vizuri ashakaa Sana Pietermaritzburg Kule DURBAN kaifelisha Ile timu,then akaja Orlando km assistant then Kocha mkuu,Hakuna la maana alilofanya,Simba wamefeli Tena,sio Kocha huyo WA kukoch timu km Simba,Yanga atapiga 8,tupo hapa😅😅
@ebisomola9989
3 ай бұрын
Mm pia ni simba sana tena ila mengi umeongea mengi mazuri japo kwa asilimia za ubingwa wa yanga. Ni 60% sio 70 na pia tusikatae ukweli huyo mwamba anaongea ukweli kabisa. Wachezaji wengi tunaokota okota tu. Tunachukua wale wale walio maliza mikataba na hatujui walikuwa wanatakiwa na timu zingine zipi mpaka wakaja simba. Ila tuseme mda utaongea. Kama kweli au si kweli
@adamgwila3395
3 ай бұрын
Tuache na Simba yetu wewe we sio mungu tutaona
@IsayaJoseph-ty3kq
3 ай бұрын
waambie ukweli
@benjaminnelson4834
3 ай бұрын
Mbona Tim ya taifa anachukua wachezaji kutoka timu tofauti na wanafanya vizuri pili KAZI ya kocha Nini mbona chama alikwenda Belkane mbona kaferi
@iddrisanyange8175
3 ай бұрын
Weto masta na wanajuwa mpira
@msemakweli...
3 ай бұрын
Kwahiyo utopolo wa mo dewji nao wamechukua wachezaji kama timu ya taifa? kwasababu timu ya taifa huwa inaita wachezaji wanaong'aa kwenye vilabu vyao. Halafu sijawahi kuona timu ya .taifa inashiriki ligi kuu au kombe la shirikisho🙄😂😂.
@collectionline6055
3 ай бұрын
Huo ndo ukweli kaka😊 umechambua vizur 🙌🙌
@KS-iw7qv
3 ай бұрын
Ukweli ndio huu Simba Wenzangu.... #Nguvu moja
@RashidiMkongewa
3 ай бұрын
Ngao yanga 8 vs simba 0
@kasimuhamidu8467
3 ай бұрын
We fala tu
@sauka9622
3 ай бұрын
Shida ligi ya bongo inawachambuz wengi adi vimjusi vipo vngi sana
@suitbertmaro5792
3 ай бұрын
Jinga hili
@Graceyust
3 ай бұрын
mtukaneni tu ila mda ukifika mtamkumbuka
@kainkamwagila6046
3 ай бұрын
We ni shabiki yanga😅
@jumapindi2313
3 ай бұрын
Jamaa anaongea ukweli SEMA atapingwa vikali
@HamadMkubwa
3 ай бұрын
ww hakuna uchawa wowote huyu jamaa anaongea ukwel na ww kama humuamini subir ligi ianze utaona ukweli 😢
@shalooboyburundi
3 ай бұрын
ays unaongeya ukwr
@salymgaimale235
3 ай бұрын
Jamaa ni maandazi kweli huyu hajui kitu
@kabujeasukile5462
3 ай бұрын
Kauli Yako MAKOLO watatoa sana MAPOVU🤣🤣🤣🤣
@seniormagali5580
3 ай бұрын
Mbn hujaitwa crown media we mchambuzi mzur unaujua mpira swala si ushabiki
@sophyodago5062
3 ай бұрын
Mchambuzi maandazi kwelikweli
@christopherchisuligwe512
3 ай бұрын
Huyu ni utopolo siku zote, mwandishi ambaye elimu yake ya mpira ni ndogo sana
@reinfridlipili5666
3 ай бұрын
Huu ubishi wenu ndio unawafikisha huku na mtapotea zaidi ya msimu ujao! Hampendi kuambiwa ukweli.
@reinfridlipili5666
3 ай бұрын
Anaongea UKWELI na waswahili hampendi ukweli
@VLADDYNDANZI
2 ай бұрын
Mchambuzi mahili sana anajua pia ni mkweli
@IreneJoely
3 ай бұрын
Ambukile ndo ww
@AlfredRutaguza
3 ай бұрын
Ili uonekane kuwa ni mwanasimba lazima maisha Yako yote uwe muongo Sana ndio mwanasimba wa kweli
@SanziNzige
3 ай бұрын
Dube mnamjualakini.na huyu nae ajiongelesha.eti simba anajenga timu.ubinwa yanga.jamani mpira hamuujui ninyi.na hilo kalio gelee kwa mama yako
@AdenSator
3 ай бұрын
😂😂😂😂kweli kaka
@adamgwila3395
3 ай бұрын
Maandazi wewe utakumbuka naneno yako bichwa wewe
@benjaminnelson4834
3 ай бұрын
We muongo ata Simba wanaboresha kikosi uwezi kujenga kikosi unachukua wachezaji Bora
@tseinlee6727
3 ай бұрын
Wachambuzi wa skuiz shida sana
@jonathansirkintungi7434
3 ай бұрын
Huu ndio uchawa unaoitafuna nchi yetu jinga moja kwasababu ya tumbo lake linajitokeza kuwasemea wengine.
@maulidkawala104
3 ай бұрын
Pokea fact iyo acha kiburi uchawa upo wap xx wakat m2 anaongea ukwel
Пікірлер: 38